WIVU (Part 2) | latest 2023 SWAHILI MOVIE | NEW BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Ndoa nyingi sana tumeshuhudia zikiwa na migogoro na hata kuvunjika kwa sababu ya WIVU katika filamu hii utaona maisha ya mwanadada Dahuu anavyopitia changamoto kubwa kutoka kwa mume wake Dullah sababu ya wivu.Fuatilia kisa hiki cha kusisimua mwanzo mpaka mwisho.

КОМЕНТАРІ • 211

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +1

    Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
    ua-cam.com/video/Fu1K5aTTj10/v-deo.html

  • @hanifaabdalla-qf2vd
    @hanifaabdalla-qf2vd 9 місяців тому +3

    Mh mwanaume unatesa ww na umezidi wivu sana ila filamu poa sana nimeipenda na nimeenjoy sana

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +5

    Mwanaume wa tabia izo simtaki at nipewe bahari nyangumi na papa wote wawe wakwangu, sitamtaka kabisaaa.

  • @jacklinekenyanya9352
    @jacklinekenyanya9352 Рік тому +2

    Anataka ale vinono na hela hana wala hataki mkeo atafute.mara kumkagua kama ametembea na waume.maisha ni kuvumilia lakini hata mimi singevumilia haya.kazi nzuri saana lakini

  • @ramaali7511
    @ramaali7511 2 роки тому +5

    Hongera Adam Leo kwa kazi yko

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana, nashukuru kwa kuendelea kutazama kazi zangu.🙏

  • @Jackymomanyi
    @Jackymomanyi 7 місяців тому +2

    Huyu ndio mama sasa❤❤

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому

    Usiache kutazama shortFilm nzuri ya MAAMUZI MAGUMU hapa👇👇
    ua-cam.com/video/s0-pKGpqX4Y/v-deo.html

  • @MusyokaMwendwa-t4g
    @MusyokaMwendwa-t4g 9 місяців тому +1

    Nice job🇰🇪🇰🇪

  • @milcahwangura4234
    @milcahwangura4234 Рік тому +1

    Wivuu sio mapenzi kaka angu badirika

  • @waheedsaid225
    @waheedsaid225 10 місяців тому +1

    Kilichokuponza shoga angu uvivu 😂😂😂ungeinuka mwenyewe ukamtafutie yasingekukuta yote ayo😅😅😅😅

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  10 місяців тому

      Jamaniii alikuwa anafanya kazi akafukuzwa

  • @waheedsaid225
    @waheedsaid225 10 місяців тому +1

    Uyu mama kanichekesha wallah 😂😂😂😂

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 2 роки тому +4

    Hongera sana jombaa 🙏🏾💯🏁 Sema nini, uyo baharia katudhalilisha😁😁

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +2

      Hahahaha jamaa noma sana😁

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

      😂 😂 😂 😂 😂 Hapana anawafunza

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Jahahaahh umeona eh

    • @mussahaji8539
      @mussahaji8539 Рік тому +1

      Anafundisha sikufichi wallah ndoa yangu ipo Kama iyo muvi mume wangu anatabia Kama uyo Kaka yaani acha tu nipo mie omba omba wivu ataki nifanye kazi wala biashara ataki niende ata kwa jirani ananikagua mwili msukuma uyu mshamba wa mapenzi wivu nipo navumilia kipigo pia usiseme achagui sehemu ata nje anakupiga

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Pole sana jamani.

  • @imamuhamisi4421
    @imamuhamisi4421 Рік тому +4

    Jamaa kaacha 600 alafu anaanza kukosoa chakula mara imekaaa sana kwa frij , nimechekaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @karamasaahmed5026
    @karamasaahmed5026 Рік тому +2

    Huyu mume ni boya sana.. Doh

  • @Bahati-c5c
    @Bahati-c5c 8 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @alaminmodi2965
    @alaminmodi2965 2 роки тому +2

    Nazikubali sana kazi zako mwamba all the way from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hakiamaliki144
    @hakiamaliki144 Рік тому +1

    Mwanaume anagubu huyu khaaa! Sanamu lake likawekwe posta

  • @beyoncebaby3591
    @beyoncebaby3591 Рік тому +2

    Jameni 😳😳😳🙆‍♀️🙆‍♀️ 600 alafu anakagua chakula waaah huyu mume n mwisho, alafu sasa kakiramba chote hata bila haya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmependa kazi yenu aise much love ❤❤❤❤❤

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +1

    Nimeimaliz jamaniii hongereni sana stori ni nzuri mno

  • @salomemakene9241
    @salomemakene9241 2 роки тому +1

    Wamecheza vizuri jamani hongera Sana huyu Dada na dullah

  • @user-xt8vm1kk9t
    @user-xt8vm1kk9t Місяць тому +1

    Mh jamanii kama ndoa zenyewe ivi apanaaaaa😂

  • @EldaKatungukasienene-xb9zw
    @EldaKatungukasienene-xb9zw 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangueeee😂😂😂😂

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 2 роки тому +1

    Jamani movie nzuri ❤❤❤❤inamafunzo ❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Asante jamani, soon tunawaletea filamu mpya.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

    Gubu, Nalo hakuliacha nyuma Hata kwenye kula🤣🤣🤣🤣🤣
    Mnachelewa Sana jaman kuleta
    Big up. Adam leo

  • @milcahwangura4234
    @milcahwangura4234 Рік тому +1

    Vituko na ndoa Mungu tupe nguvu wanaume na wivuu

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 Місяць тому

    hahahahaah mwanaume kama kuzimu jamniii mi kuwezaaa akaaaah cku mbilii tu naona kama miaka kumi na 8 weeee miguuu niokoe

  • @lidiamageta9958
    @lidiamageta9958 7 місяців тому +1

    Mbali na wivu bado unaroho mbaya sana we mwanaume😏 haumjali mwanamke hautoi matumiz sasa wivu wa nini?ehee Mungu niepushe na mwanaume wa aina hii

  • @mussakaswezi7037
    @mussakaswezi7037 2 роки тому +2

    Wakwanza leo Nipe japo like chache jamani

  • @AbdallaAthaman
    @AbdallaAthaman Рік тому +1

    mpiya lini Adam

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +1

    Vinyama vyenyewe shoga amesema vimechacha watu wanavisokomezaa🤣🤣🤣🤣ilaa jamaniiiii huyu mwanaume Ana gubu hadi wakati wa kulaa🙌🙌🙌🙌

  • @HamisaMohamedy-ew1bx
    @HamisaMohamedy-ew1bx Рік тому +1

    Wivu

  • @gasperurio2545
    @gasperurio2545 Рік тому +1

    Bonge la filamu hakika nimeielewa sana japo mwanaume kuwa wa zama za leo daaah haifai kabisa kama wapo wabadilike hata hivyo huyu binti ni mvumilivu sana hiyu ni mke kabisa.

  • @AbdallaAthaman
    @AbdallaAthaman Рік тому +1

    wivu wa huyu jamaa umenichekesha sana na kukubali Adam leo

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 Рік тому +1

    Kiufupi movi nzuri

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 Рік тому +1

    Akuna siri ya watu wawili

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +1

    Sasa mwanaume hela za kumlea mke huna,kumkagua tu ndohujambo,duh!kwakweli,hiyo inaitwa ombayasikukute

  • @hakiamaliki144
    @hakiamaliki144 Рік тому +1

    Very nice, congrat bro jah bless u

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +1

    Mama usingempea ata io pesa

  • @bahatimtilli1175
    @bahatimtilli1175 Рік тому +1

    Nakubali kaka

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 Рік тому +1

    Mwamba kaacha Mia
    Sita kaludi kaona kuku
    Aulizi duuuuk kali

  • @EshsRashid
    @EshsRashid 4 дні тому

    Amazing ❤

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyieee yaani mie leo nacheka mpaka machozi yananitoka huyu mume wa da huu ananitia uchizi mieee😂😂😂😂

  • @immai1032
    @immai1032 Рік тому +1

    kali haswa streng awe ww

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Рік тому +1

    Dona hela unaacha 😂😂😂🤣🤣Huyu mwanaume kiboko 😆😆😆

  • @EldaKatungukasienene-xb9zw
    @EldaKatungukasienene-xb9zw 10 місяців тому +1

    😂😂ebu nina tatizo gani 😂hujui ww ?shetani mtupu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  10 місяців тому

      Ahaha jamaniii, mbona shetaniii...!

  • @NanaaCutee
    @NanaaCutee 6 місяців тому +2

    Huu sio wivu huyo mwanaume ana gubu kabisaaa🙌🙌

  • @salmarashid3492
    @salmarashid3492 2 роки тому +2

    Mh kwan Adam ulitusahau jaman

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Sijawasahau, nilikuwa bize nawaandalia vitu vizuri.

    • @salmarashid3492
      @salmarashid3492 2 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios midevu kma chachandu ya mihogo hahaa Adam shikamoo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Hahahaha Marhabaaaa😂😂😂

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Рік тому +1

    Mwanaume avumiliki huyu

  • @Hamida-bu1he
    @Hamida-bu1he Рік тому +1

    Jamaa jau sana huyu Tena haon kosa kachukua elf35 yake🤣🤣🤣

  • @user-tr1ck5vb5k
    @user-tr1ck5vb5k Рік тому +1

    Elfu 30 kwa mwaka alie msikia dula

  • @marykombe
    @marykombe Рік тому +1

    Hii to much

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi2770 Місяць тому

    Wivu huo so wamaendeleoo

  • @karamasaahmed5026
    @karamasaahmed5026 Рік тому +1

    Mwanaume amekaa kama taarifa ya habari.. Anaongea muda wote na anaongelea kila kitu

  • @Ev.elijahheshima3557
    @Ev.elijahheshima3557 Рік тому +1

    Adam sijakuona kwenye movie hii, sijui kama ni macho yangu au ni kweli!

  • @francohaule8057
    @francohaule8057 Рік тому +1

    Huyu jamaa mkubwa umbo la mwili na umri kiakili hamna kitu

  • @elizabethkinyua5823
    @elizabethkinyua5823 Рік тому +1

    Amemumalizia mkewe chakula ya kuoba? Mwanaume matata huyu,, Mia sita na anakula kama ngurue,,,😅😅

  • @bredawakio5381
    @bredawakio5381 Рік тому +1

    I waiteeeeeeeeeeeeed,❤️

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 Рік тому +1

    Eti kanga🤣🤣🤣waah huyu bwana kiboko

  • @user-hh7om7nr7x
    @user-hh7om7nr7x Місяць тому

    Kado Tena kZidi chakula chote kamaliza hata kumuachia mkewe wivu anaona na choyo pia

  • @salomemakene9241
    @salomemakene9241 2 роки тому +1

    Elfu35 yenyewe umenipa!! 😭😭😭

  • @favourbahati5871
    @favourbahati5871 Рік тому +1

    Mke wa mtu ni sumu lakini Mme wa wenyewe ni maziwa 😂😂

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +1

    Hahaha huyu mwamba,hafai ,anagubu,mwanaume na gubu tena ,mh!

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 роки тому +1

    Umesema aumtangazi katoka tu unamwambia shoga ako hahahah wanawake bana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Hahahah ndiyo walivyo hivyo hahaha😁😁

  • @salomemakene9241
    @salomemakene9241 2 роки тому +1

    Huyu Dada izoela Kama Ni Mimi ningechimbia chini duuh kamponza Kaka wa watu duuh

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Yaani hakujua mwenzio... Akaona pale ndo kafiiichaaa🤣🤣🤣

  • @amour8802
    @amour8802 Рік тому +1

    Yani ndio actors tu lkn kwa nn asimwambie umeacha 600 na anasema chakula kidg mpuuzi

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Siyo acting tu kuna wanawake wapo hivyo, hawawezi kusema kitu.

  • @halimaabdalla4856
    @halimaabdalla4856 2 роки тому +1

    Mwanamume nuksi km nn 🤣🤣🤣wivu wa kimaskini ndio anao 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amaliaanthony3739
    @amaliaanthony3739 Рік тому +1

    Kuolewa na mwanaume mwenye mawazo ya kimaskini bora kuwa single mother daima upambane mwenyew na watoto wako kama utakuwa nao

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Kabisa, nilichoelewa hapo ni kwamba kuwa masikini siyo tatizo, ila kuwa na mawazo ya kimasikini ndiyo tatizo.

  • @wanzamuinde6736
    @wanzamuinde6736 Рік тому

    Eti kwanini hupendi kutumia kanga😢😅😅

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 Рік тому

    Kaka dula tatzo lako n kwamba una wivu wakupitiliza Alafu mwanamke anajichunga mwenyewe sio km hvyo❤

  • @NzaaraMTAITA
    @NzaaraMTAITA 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @qudrashaeed4265
    @qudrashaeed4265 Рік тому +1

    Apana kwa hii namba Mbili huyu jama amamezidi. Biman WIVU WAKE AMEINGIZA NA UBAKHILI NA GUBU KABISA.
    KWA HAPA , ANASHINDWA KUJITAMBUA , ILA TUNAPATA FUNZO KWAKUA WAPO WANAUME MFANO HUU.
    AMEPITILIZA KABISA .

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +1

    Jamaniii samahaniii kama nawaudhi kwa coment maana naangalia huku nacoment so sorry🙏🙏 etiiiii chana khanga ufanye pedi mwanaume Ana balaa huuyuu hayo mambo ya kushika shika hiyo kitu tulishaga sahau siee☹️

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahahaha we comment tu jiachie.!😂

    • @user-ku8dk7bu7p
      @user-ku8dk7bu7p 7 місяців тому

      Hilii piaaa limenikwazaaa jomnnn duuuh😀😀😀😀😀😏😏😊

  • @Ann-Strong
    @Ann-Strong Рік тому +1

    Weee!!! Kama huu ndio wivu, mapenzi ya aina hii basiiii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Hahahah mapenzi nomaa kabisa achana nayo🙏🙏

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios niliacha kitambo, najifunza kuzoea

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Yaani acha kabisa

  • @barackmaile7976
    @barackmaile7976 Рік тому +1

    Kha huyu mume mm hta wabule simtk kha nibahiri huyu

  • @halimaabdalla4856
    @halimaabdalla4856 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn mi nacheka tu na vtuko vya uyu dullah

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 роки тому +1

    Jamani izo ngumi za kwel au hahahahhs

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi2770 Місяць тому

    Eti mironjo😂

  • @gracemwinuka4172
    @gracemwinuka4172 2 роки тому +1

    tunasubili mambo mazuli

  • @misstee102
    @misstee102 2 роки тому +2

    😢hela huna halafu unakuwa na wivu 😢ukipata presha hospital utatoa nini?? Si utakufa tu😅

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Hahahah hapo kifo kinakuhusu.😂😂😂

  • @adamshabanintandu4115
    @adamshabanintandu4115 2 роки тому

    Kweli haya ni mafunzo mazur kwakwli🙏🙏

  • @salomemakene9241
    @salomemakene9241 2 роки тому +1

    Ondosha vyombo wakati hata MIA hajanipa

  • @neemafrenk8966
    @neemafrenk8966 2 роки тому

    Kumuacha nikaixhi kivyangu sula yenyew sasa

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 Рік тому

    Hiyi kunguru ya mwanamume awezi kukalia kiti changu kaa ni ndoa wacha ikae Kasia

  • @mfuu9160
    @mfuu9160 2 роки тому +1

    Mia fil mia 😘😘

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 Місяць тому

    mtoto wawatu unampgia hvo hata aliyemzaa hajawai mpga hvo kama punda

  • @user-tr1ck5vb5k
    @user-tr1ck5vb5k Рік тому +1

    Elfu 30 kwa mwaka alie msikia duka