SHEMEJI | latest 2021 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2021
  • Shemeji, ni filamu ya kitanzania inayoelezea maisha ya mapenzi na mahusiano. Mume anapojaribu kumchunguza mke wake ili agundue kama kweli anampenda, anatumia njia ambayo ni ya hatari na mwisho wa siku anajua ukweli utakaomuumiza.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +6

    Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
    ua-cam.com/video/Fu1K5aTTj10/v-deo.html

  • @bignation9892
    @bignation9892 Рік тому +11

    I had this feeling that bongo movies was dead but alas i was wrong, since I bumped into this channel it has been different. Congratulations ADAM LEO & crew .. always watching your movies fro Dubai UAE

  • @danielkikotidk7610
    @danielkikotidk7610 3 роки тому +9

    Daaah movie nzur sana jmn nmejifunz san ila inauma san jamn nmeshka point moja..."NDOA INAJENGWA KWA MASIKILIZANO NA KUSHAULIAN BAINA YA WANANDOA". Big up saaaanaaaaaaa👍👍👍👏👏👏👏👏❤️

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Kabisa, Asante sana! Tunakukaribisha kutazama tamthilia yetu ya KICHECHE hapa👉👉 ua-cam.com/video/Va7TqjDkX9g/v-deo.html

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990

    Japo mm nimwanamke lakin nimejifunza kitu,kwanza wanawake wenzangu tufanyeni kazi,tuache tamaa, Asante sana adam kwa kazi nzur,

  • @user-to3wz6gv5n
    @user-to3wz6gv5n 2 місяці тому +2

    Daaah bro Adam noma sana imeniuma ata mimi

  • @bahlaoman6467
    @bahlaoman6467 Рік тому +7

    Yapo haya yanatokea Ila wanawake sio wote wenye tabia izi jamani musituambie kua niviumbe vibaya Mama zenu ivo sisi 😂 kazi nzur 💗

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Hahaha ni kweli kabisa mama siyo wote, wengine wapo vizuri mno.

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  3 роки тому +31

    Kutazama filamu yangu mpya baada ya hii SHEMEJI, inaitwa KICHECHE bonyeza hapa👇👇
    ua-cam.com/video/Va7TqjDkX9g/v-deo.html

    • @angelinamakaji9000
      @angelinamakaji9000 3 роки тому +1

      Shemeg umecheza hapo ingekua mwingine angekula nyama tayar

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Kabisa kabisa. Ila katika marafiki zetu kumi huwezi kukosa mmoja mwenye roho nzuri.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios ...Tatizo Sio marafiki ‘ Tatizo ni wanawake ‘ Kwani mwanamke ukitongozwa ni lazma ukubali..?..wengine wanatongozwa na baba zao wanakubali ‘ Ndio ujue Akili za wanawake ni za Ajabu..!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Yaani acha kabisa kaka. @ismail

    • @fatumahassan1371
      @fatumahassan1371 2 роки тому +1

      @@ismailyusuph740 lkn nyny waume ndio akili zenu sizaajabu kutongoza shemegiyo

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому

    Usiache kutazama shortFilm nzuri ya MAAMUZI MAGUMU hapa👇👇
    ua-cam.com/video/s0-pKGpqX4Y/v-deo.html

  • @kimendekimendekimende4626
    @kimendekimendekimende4626 3 роки тому +9

    Ndinyi kio cha jamii ndiomana mkaitwa wanasanaa, mna fundisha vyema kabisa jamii, thanks god bless you always in your arts works.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana. Tunashukuru. Ubarikiwe🙏🙏🙏

  • @muxbrown931
    @muxbrown931 3 роки тому +10

    Iyo movie ime wezaa♥️♥️..n upande mwengine bro Adam n km umegusia part y life yngu...umeweza mkali🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰😍👍👍

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Shukrani sana, hakikisha una subscribe channel yetu ili usipitwe nayo.🙏

  • @salhahassan2591
    @salhahassan2591 3 роки тому +7

    Daaaa ila Adam kama lafiki tu umepata..angekua mwengine angekugeuka....na sisi wanawake tunakosea sana kutoa siri za wanaume zetu....move nzuri bg up adam💞💞💞💞💞

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana! Barikiwa dada...!

    • @rahmaibrahim4020
      @rahmaibrahim4020 3 роки тому +1

      Wangekuaa walee marafiki wa sasaa heheheeee ingekuaa mbayaaaaa

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 20 днів тому +1

    Asante sana bro adamu niko darasani kujifunza kitu🎉🎉🎉❤❤❤❤ mungu akubariki sana

  • @jacksonmkomboz2408
    @jacksonmkomboz2408 11 місяців тому +2

    Daah ni noma,,,,movie kali sana

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 роки тому +4

    Woow🥰🥰🥰 congrats ila sio wanawake wote wako sawa

  • @milkamakena3914
    @milkamakena3914 Рік тому +4

    Kazi nzuri kaka angu Jamani mungu akulinde na akutie nguvu,,maana kwa kweli sio rahisi najua unaumiza kichwa hili tujifunze kwako,,badly niko darasani najifunza mengi katokana na movie zako be blessed my brother 🙏

  • @saum9697
    @saum9697 8 місяців тому +2

    Nimeskia kirangi😂asante kabila langupendwa😂😂😂 Adamuuuu umetisha

  • @sidemjapan-1941
    @sidemjapan-1941 Рік тому +3

    Bg up broo adam kaz mzr lkn mshukuru sana hans yaan km mm mchezo ucngali maliza mana shemej katimia😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahahah jamani vijana wa ovyoo nyiee😂😂😂

  • @josephwambugu9258
    @josephwambugu9258 3 роки тому +5

    Watanzania mko juu sana kwa movie za kiswahili,mnatuweza sisi wakenya

  • @VipajiVipya
    @VipajiVipya 3 роки тому +56

    Asanteni nyote! 🙏🙏🙏 NAWAPENDA SANA.

  • @jennykanduyu4078
    @jennykanduyu4078 11 місяців тому +2

    Umetisha Sana 🥰

  • @harunikigega4603
    @harunikigega4603 Рік тому +2

    Hilo somo zuri sana kwa wanandoa

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +3

    Yan nyinyi wanaume aky sai mmenifundisha nikiombwa namba na best ya mumewangu simpei

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому +8

    😂 😂 😂 😂 😂 Mwana kulitafuta mwna kulipata Kilanga komo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Kz nzur ila msijaribu Kumchunguza bata

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Hahahahaha kabisa! Japo mwishowe kapata ukweli wenye maumivu na umeokoa ndoa yake.

  • @sneedlekisengo9592
    @sneedlekisengo9592 2 роки тому +2

    pole dogo mwanamke achunguzwi kiumbe hatari

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Kabisa kabisa hakika Adam kajifunza hilo japo limemsaidia kugundua nini tatizo lake.

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 8 місяців тому +2

    Aisei Adam move zako nazipenda sana hakika nmekifunza kitu hapo ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +4

    Adam u never disappoint aky much love watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому +23

    Wanawake siss ni wtu Sema katika mapenz ukianza Kumchunguza mkeo au mumeo bas utamaliza Dunia!!! Cheza na party yako kikamilifu kwenye mahusiano

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu Рік тому +2

    Adam nakubari sana mambo yako

  • @sajdayusuf6821
    @sajdayusuf6821 2 роки тому +2

    Aka uyu nichee uvaha jii hahahahaaaa mashaallah nzur nimeipenda na kiluga juu ila nimekupata vilivyo kumbe wakayi😀😀😀😀

  • @gamap2023
    @gamap2023 3 роки тому +3

    Adam uko vizuri,hii unafaa kufundishia kwa jamii zote,Ni Tamthiliya inayoonyesha tatizo la pande zote,lakini wakati Mwingine pia Onyesha Nafasi ya Mungu ktk utatuzi wa tatizo kama Hilo kwenye Tamthiliya.
    Ubunifu Safi.

  • @tambwe
    @tambwe 3 роки тому +11

    Ongera sana kaka mkubwa naona Kazi nzuri

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Shukrani man.. Burundian actor!

    • @tambwe
      @tambwe 3 роки тому +1

      Pamoja sana mzee

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Рік тому +2

    Waaaah hii iliuwa Adam box big up san🤣🤣🤣🤪🤪👌🤗🇰🇪

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 роки тому +10

    Yaani mpaka umemuoa bado huamini kama anakupenda!!! Hilo tatizo na usijaribu kumtumia rafiki,ndugu wakaribu au jirani akuchunguzie au amjiaribu mkeo By Mr.Habsy

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Kutazama filamu yangu mpya baada ya hii SHEMEJI, inaitwa KICHECHE bonyeza hapa👇👇
      ua-cam.com/video/Va7TqjDkX9g/v-deo.html

  • @tausindekwa7314
    @tausindekwa7314 3 роки тому +11

    Wow kazi nzuri kaka ake hujawahi kufel mungu akulinde uendelee kuinua vipaji ❤❤

  • @hakiamaliki144
    @hakiamaliki144 Рік тому +2

    Daaaaaaah jmn achen2 hv wanaume wa hv wapo kwel au walishakufaga kwenye meli ya titaniki

  • @Marcos99750
    @Marcos99750 Рік тому +2

    uyo shemeji awache usnitch, angeDinya uyo dem Na anyamaze Nayo!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Dah hahahaha we jamaa wewe

    • @Marcos99750
      @Marcos99750 Рік тому

      @@AdamLeoStudios cheki, Mi Ni shabik kutoka Nairobi,kenya, Nikikuja kutembea Tanzania Mnaezakunipea ni act part flani Ndogo?

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 роки тому +4

    shemeji nae mzuli khaaa🙌🙌🙌🙌🙌❤❤

  • @fredgomes8639
    @fredgomes8639 3 роки тому +6

    Picha iko na mafunzo mazuri sana juu ya maisha na kina binti.

  • @leonardleo345
    @leonardleo345 Рік тому +2

    Me SIKUACHI . USIFIKIRI BAADA YA HAYA NITAKUACHAA SIKUACHI😀😀😀😀😀 ADAM UNAJUAA YAAAN UNAFANYA SANAA KAMA MCHEZO WA KAWAIDA TU KWAKO BIG UP BRO SIJUI NILICHELEWA WAPI KUKUFUATILIAA

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahaha asante sana kaka leo, wajina. Unarikiwe mno.

  • @najmaabduli9593
    @najmaabduli9593 2 роки тому +2

    Uclie bby mie nipo kwa ajili yako Adam❤️🤓

  • @elizabethjohn9313
    @elizabethjohn9313 3 роки тому +3

    Hongereni Kwa move tamu washiriki woteh move karii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana, ubarikiwe! Usiachebku SUBSCRIBE channel tetu🙏🙏

  • @sundaypeter3950
    @sundaypeter3950 3 роки тому +6

    Muvi iko poa sana hongereni sana kwa kutoa elimu kwa jamii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana, usiache ku subscribe channel yetu kwa filamu zetu mpya zijazo!

  • @felistahaaly2290
    @felistahaaly2290 2 роки тому +1

    Picha nzur San jmn nmeipenda na inafundisha sana

  • @muhidinmahmoud2168
    @muhidinmahmoud2168 3 роки тому +10

    Movie poa kabisa, love from Mombasa

  • @zainabumashine3542
    @zainabumashine3542 3 роки тому +5

    Daaa kaka ilo.tatizo linatafuna ndoa nyingi sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Kabisa, ila jambo la muhimu ni kuambizana kama wanandoa ili mpange namna ya kulitatua. Hakuna kinachoshindikana chini ya jua!

    • @bremo3241
      @bremo3241 3 роки тому +1

      Zai

    • @petermsangi2701
      @petermsangi2701 3 роки тому +1

      Hatar sana ,hakuna mwanamke anayempenda mwanaume asiyemfikisha kileleni

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Kabisa peter

  • @eliyajakobo644
    @eliyajakobo644 3 роки тому +4

    Daah inauma Sana, moves ndo hizi picha nzr

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 20 днів тому +1

    Jikaze brother 😢😢😢 hivyio ndivyio ilivyio tamaa baya but in all we❤❤❤❤ you bro

  • @lilianmwakalinga7952
    @lilianmwakalinga7952 2 роки тому +2

    Daaa nimeipenda sana iyo jaman tuleteen pact 2

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 3 роки тому +4

    Very nice move👌👌👌keep it up

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Thanks mama. Stay tuned for our next movie.

  • @mrbeasty5449
    @mrbeasty5449 3 роки тому +3

    Safi sijawahi ona movie kali kama hii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana! Nashukuru kwa maoni yako.🙏🙏🙏

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 Рік тому +1

    Hongera sana ndugu yangu Adam Yan napenda sana move zako

  • @user-nm6vd8og3d
    @user-nm6vd8og3d 9 місяців тому +2

    Adam unajuw yan unajuw fundi sna

  • @fatumajumanne3529
    @fatumajumanne3529 2 роки тому +3

    Mwanakulfind mwanakulget😁😁😁

  • @kimwagaedward2400
    @kimwagaedward2400 3 роки тому +3

    Hawa watu wanajua aisee movie moja tamu sana

  • @labikongwa
    @labikongwa Рік тому +2

    Adam unajitahida San mungu akutangulie

  • @samsonmzava1316
    @samsonmzava1316 3 роки тому +2

    Umezalilisha Chama ,,,ungemtwanga kidogo.

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 роки тому +147

    Wale Wa kusoma coment huku Wa naangalia movie weka like twende sawa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Tupo pamoja sana!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Kutazama filamu yangu mpya baada ya hii SHEMEJI, inaitwa KICHECHE bonyeza hapa👇👇
      ua-cam.com/video/Va7TqjDkX9g/v-deo.html

    • @olivatobias3308
      @olivatobias3308 3 роки тому +1

      kama xielewi vle

    • @aljabirijuma6558
      @aljabirijuma6558 3 роки тому +2

      Safi Sana ndugu umemetufundisha kitu.😭😭😭

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Shukrani sana kaka. @aljabiri

  • @rehemarehemamasond-et3jw
    @rehemarehemamasond-et3jw Рік тому +2

    😅Niulize na mm mwaenza kunichukuwa nionekane Kwa movie yenu😂😂adam nakuuliza

  • @sanaipeitetwilliams9210
    @sanaipeitetwilliams9210 2 роки тому +2

    Wow filamu iko na mafunzo mazuri I say... Kongole sana

  • @hassanibakari9355
    @hassanibakari9355 3 роки тому +6

    Kazi nzuri brother..... so interesting

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 3 роки тому +7

    Jamani Adam umelia Nam nmeshndwa kujizuia, pole sana 😭😭

  • @winrosemaloda6305
    @winrosemaloda6305 Рік тому +2

    Jaman sis wanawake mungu anatuona et jamaa hana nguvu za kiume

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Yaani acha tu, nguvu za kiume ndiyo zimepelekea yote hayo.

  • @scolanicholas5986
    @scolanicholas5986 7 місяців тому +2

    Kazi nzur

  • @estersanga8086
    @estersanga8086 3 роки тому +5

    Afuuuu wanawake sio woteee tupoo ivo banaa 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @michaeltangi5120
    @michaeltangi5120 3 роки тому +3

    Dah hizi ndo videos zinazotakiwa kwenye uwanja wa UTUBE nimeipenda saaana

  • @user-iu1qj8uu1t
    @user-iu1qj8uu1t Рік тому +2

    Adam 😂😂😂😂😂Roho yamduda anataka kuongea

  • @janetymwakupha4784
    @janetymwakupha4784 Рік тому +1

    Weeh majaribu hayo makubwa mno💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣

  • @evodiusbinamungu9962
    @evodiusbinamungu9962 3 роки тому +4

    Mnajua Sanaa 😁👌👌👌

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana, usiache ku SUBSCRIBE channel yetu!

  • @nurianababy5471
    @nurianababy5471 3 роки тому +3

    Duuh mungu atusamee kwakweli wanawake wana moyo dhaifu ila sio wote jamaniii.💃💃💃

  • @charosafari3116
    @charosafari3116 2 роки тому +2

    Movie nzuri sana Adam mungu akubariki

  • @paschalsimwanza6485
    @paschalsimwanza6485 3 роки тому +2

    Mmejitahidi Sana hongera kwa ku ekti movie vzr nimependa kwakweli

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Asante sana. Ili usipitwe na kazi zetu mpya usiache ku Subscribe channel yetu.

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 3 роки тому +10

    Mwanamke c kiumbe mbaya ila ni kiumbe dhaifu sana.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Kabisa, umeongea kweli tupu.🙏

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 3 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios mwanamke anaweza kukupenda lkn akarubuniwa kwa 10000 tu wajanja wakala migo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Issa Hassan inawezekana pia

  • @danielkikotidk7610
    @danielkikotidk7610 3 роки тому +5

    Hii film ni nzur saanaaa na inafunzo zuri sana kuanzia vijana walio kwny barehe mpka wanandoa!!! Saaafiiiiii Mungu akujarie ufany kazi nzur zaid ya hiii saf saaanaaa....UBARIKIWE

  • @samora3
    @samora3 5 місяців тому +1

    Your movies are amazing, keep up the good work

  • @VincentNsengiyumva-ip6zi
    @VincentNsengiyumva-ip6zi 11 місяців тому +1

    Nimeipenda sana

  • @adamchivatsi4681
    @adamchivatsi4681 2 роки тому +3

    Hii ndio movie nzuri zaidi ya mwaka 2021 so far

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana kaka, kuna siku watanzania wote watalijua hili🙏🙏

  • @divadaqueen6558
    @divadaqueen6558 3 роки тому +5

    Movies nzuli sana❤️❤️❤️❤️🔥

  • @hakiamaliki144
    @hakiamaliki144 Рік тому +2

    Bro Adam wew ni hancham boe saaan! Ila xax nikwamby k2 kimoja wivu nisehem yamaisha hasa katik safar ya utafutaj! Hii imenigusa saan kweny maisha yang nilitaman hata bae wang asiwe na chochote ili atulie na mm2 lkn nd hivyo

  • @shadrackkayuni7543
    @shadrackkayuni7543 2 роки тому +2

    Kaz zenu nzur xana Mungu awatie nguvu ili mfanye makubwa xaidi

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana🙏🙏nanyi msiache ku SUBSCRIBE ili msipitwe na filamu zetu mpya.

  • @dynessmubanga6307
    @dynessmubanga6307 2 роки тому +10

    Watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲nice nd educative movie

  • @scolanalle7503
    @scolanalle7503 3 роки тому +7

    aaaah I love this movie

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +2

    We kwaio izo dawa za kimasai za kunywa si nzuri

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7g Місяць тому +1

    mwanamke hachunguzwe na mwanaume hachunguzwe.ayo mausiano haya wezi fika mbali niliwai kuwa na mwanaume wa ivo ivo 😢 ila pole sana Adam

  • @aishaabubakar4099
    @aishaabubakar4099 3 роки тому +27

    Movie nzuri ila Adam una moyo kweli wa kumuamini rafiki siku hizi hakuna marafiki ni wanafiki tu!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +3

      Kabisa kabisa! Rafiki mwingine angekugeuka hapo habari ingekuwa nyingine!

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 роки тому +3

      Rafiki Sio mnafiki ‘ mnafiki mwanamke wake..

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому +2

      @@ismailyusuph740 swadaqta. Wanawake wengne ovyo huyu atongozwa na shemeji.angalia alivojibu.hakusema m siwezi najiheshimu amesema je rafki yako akijua? Yaani hapa aonesha ako tayari lkn hataki mumewe ajue.kisha pale hoteli kapewa elfu10 kapokea upesi

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 роки тому +2

      @@maherzain615 ...Wanawake Ndio miyayusho ‘ Kwani ukitongozwa lazma ukubali..?....hujashikiwa PANGA wala BUNDUKI....Siku zote wanawake ni TAMAA zinawashusha thamani..!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Yaani.

  • @umwanziwawentarikureseries5842
    @umwanziwawentarikureseries5842 3 роки тому +5

    Movie nzuli kabisa

  • @zenjonlinetv4953
    @zenjonlinetv4953 3 роки тому +2

    ❤️❤️❤️❤️☝️☝️☝️sijawahi kuangalia bongo movie youtube hata siku moja 🤣🤣🤣lakini leo nmeangalia mwanzo mwisho kazi nzuri jaman nimeipenda mr Adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому +1

      Asante sana aisee. Ubarikiwe! Usiache ku subScribe channel yetu tu kwa kazi zetu mpya.

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios aiseee mwaweza sana kuigiza yani movie zenu zote nzuri sana nawapenda sana nyote 😍😍💃💃

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      @veronica Asante sana!🙏🙏🙏

  • @zogizogi1187
    @zogizogi1187 3 роки тому +1

    Oya hansi bonge la rafiki...nimekubali

  • @omarmhmammed216
    @omarmhmammed216 3 роки тому +7

    Hakuna mafunzo yoyote zaid utovu wa nidham tu ...we dume zima hujiamin unatuma dume mwenzio limjaribu mkeo huo sio irijal ni ujinga wakupindukia ....

  • @sabrinasalum4387
    @sabrinasalum4387 3 роки тому +4

    Jamani me nampendaga uyu adam

  • @nasibumwigane6854
    @nasibumwigane6854 Рік тому +1

    Bigup cana

  • @RoseRose-hz9mx
    @RoseRose-hz9mx 3 роки тому +2

    Movie nzuri hii nimejifuza mengi Sana asantee

  • @matildakratoz8111
    @matildakratoz8111 2 роки тому +5

    Movie nzuri sana ila vijana jameni wacheni mambo ya punyetooo🤣 kwnza wenye wako gulf 👌 nice job 👏🔥💯

  • @RoseRose-hz9mx
    @RoseRose-hz9mx 3 роки тому +6

    Umeyataka mwenyewe🤣🤣

  • @NguzaPlatnumz-jf4sc
    @NguzaPlatnumz-jf4sc 4 дні тому

    Kazi nzuri sana❤

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому +2

    Adam hili bwawa lipo sehem gan

  • @mussamajisu9781
    @mussamajisu9781 3 роки тому +4

    Kaka pambana mungu hatakuongoza umenifundisha kitu kikubwa

  • @rrblo3sorry
    @rrblo3sorry 3 роки тому +4

    Asante kwa mafunzo
    Ee mwenyezi mung nisaidie hili pepo lisije likanikumba 😢🙏🏽

  • @zogizogi1187
    @zogizogi1187 3 роки тому +1

    Sonia hhhhhhhh kazi nzuriii long time kitamboo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      🙏🙏 usiache ku subscribe channel yetu kwa filamu zetu zijazo.

  • @hajraissa467
    @hajraissa467 3 роки тому +1

    Warangi oyeeee safi kaka amu ngojera

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 роки тому

      Hahhahaha warangi tunaye muwakilishi wenu humu. ROYAL IBIN NYERESSA

  • @maryamevarista9473
    @maryamevarista9473 3 роки тому +12

    Mpnde mkeo mpnde mumeo muheshimiyane