FUMANIZI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 28 січ 2024
- FUMANIZI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
Welcome to Adam Leo STudios UA-cam Channel.
Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
#fumanizi #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #adamleo #adamleobongomovie - Розваги
Kazi nzuri san ❤❤ kaka Adam hua napenda filamu zako ni nzuri mno zenye mafunzo ❤
Asante
Dah tangu nianze kuona kazi zako nimekua mfuasi mkubwa wa kazi zako nakubali sana 👏 keep it up brother.
Unajua bhana.
Shukrani
Kaka adam naweza penda kua mmoja ya wale wanaocheza kwenye filamu zako bana..najiamini nina kipaji....Love from Nairobi..
Karibu
Pambeeee 🤗🤗 na adamu wetu
Asante
Upo vzr tunu🎉
Shukrani sana
Kaz ya Adam salut❤
Asante
Good 👍 job 👌 ubarikiwe sana kaka yetu ❤❤❤🎉🎉🎉
Shukrani
🎉🎉
🤝🤝
parabéns pelo seu trabalho❤❤❤
Thanks
hakika mungu ni mwema kakaa unajua sanaa barikiwa sanà
Shukrani
sijawai penda move za kibongo kivile ila hii yako ❤❤❤
Thanks
Unaweza kaka
Asante mno
🎉🎉🎉🎉🎉
🫶🫶🫶
Hii kali sanaa❤❤..ila Da Nia anajua jaman..
Shukrani
Mashallah ❤❤iko poa
Asante
❤
❤️
😍😍😍
🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
Pamoja sana kaka Adam
Shukrani
Good job nakupenda sana kka mungu habariki kz ya mikono yko
Asante
Much love team adam ❤❤🎉🎉
Asantee
❤❤
😍😍
Nampenda sana dada nia anajua sana na sauti yake❤😂
Shukrani🙏🏻
Umeniwah
👌👌
❤️❤️
Much love team Adam❤❤❤❤❤❤
Thanks
Mm nimekosa tu wakunishika mkono but najua ipo siku 🙏
Karibu
Da nia .mnajua sana sin chakuwap nawaombea kwangu awazidishie uwezo zai ya apamlipo
Amen
Mashanllah mko vizur
Asante
Nimependa xna video za zna from Kenya
Asante
Anajua kuigiza nia nakupenda
Shukranii
Adam hii umetisha❤❤❤❤
Shukrani
Adamu nakupenda bureee❤❤❤❤
Asanteee
Masha Allah good job ❤❤
Asante
hongera sana adam
Shukrani
❤❤❤❤❤ mafunzo Tamu 🎉🎉
Shukrani
Jaman mm akiwepo yey adam geah nae jman
Shukrani sana
Nzuri
Asante
Safi Sana bro umewezac xafi all the way from Kenya
Shukrani
Adam 🔥❤
Naam
Huyu dada namkubali aliyefumania😅
Shukrani
Adamu unajua mpaka unajua tena embu jitahidi hata kwa wiki utoe movie mara 3 jamn salma asikosekane
Nitajitahidi
Na mfwede cjui mfwadu😅
❤❤❤
🥰🥰
Saaf arafu sio ndefu
Good job
Thanks
Mko 🔥🔥
🫶🫶😂
Kaka Adam jatahidi naww uwe kwenye movie hua unachangamsha sana❤❤🎉
Najitahidi
Haswaaa mm mwenyew Huwa napenda
Kweli
safi
Asante
🔥🔥🔥 brother
Naam
🔥 🔥 🔥 ❤❤
❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Sijachelewa leo
Enjoy
My brother big up i love your work❤❤😢😢
Thanks
Much love from saudia Arabia really appreciate you're work❤❤❤❤🎉🎉
Thank you so much!
Jamani na mm leo nimewahi from saudi🎉🎉🎉🎉kazi nzuri bro❤❤❤❤❤
Shukrani
Jamani Adamu kazi nzuri Ila wakuja 3 jamani
Itatoka soon
@@AdamLeoStudios Inshallah 🥰
Kaka Adam samahani lakini nilikuwa napenda uwe unajitaidi kutowa video zako part ya Kwanza na part ya pili
Sawa tutajitahidi
kaka hapa n mwendo wabandika bandua
Naam
@@AdamLeoStudios hongera sana kaka
Eeeh kwa wale wakuchoka kwa mabb zao Wakipenda tendo landoa hayo malipo
Yaani
Huyu Tau hana uhalisia so kwa ubaya lakini sura yake haionyeshi uhalisia wa anachokiigiza
Ni muigizaji mpya! Taratibu atakaa vizuri🙏🏻
Ndo mm huyo jaman..nimechelewa ila nimefika
Enjoy kibibi
@@AdamLeoStudios vp muendelexo wa "wakuja" bado?
Lovely ❤❤
Shukrani
Mimi napenda movie zako ila sasa naboeka hapo mwanzo unavoongea naboeka kweli
Hahaha pazoee tu🫶
Adam leo sijakuona sina raha😢
Utaniona kuna bomu linakuja
Nasubiri😊
kaka kado nae anaupiga mwingi?
Saana
Songola ammka usongolwe😂😂😂😂
Hahahah Songola kachoka
Kado anaona raha 😂😂😂
Hahah Kado bhana
Ndomana nimeamuwa kutafuta pesa , mapenzi yanawenyewe vituko tu
Shukrani sana
Songola😂😂😂
😂😂
ukija dom usiache kunitafuta
Sawa
Sasa movie zoot hu shootiwa kwa nyomba moja tu mkuu?
Hapana kaka! Tunajitafuta nduguzo! Kutuchangie tukue kwa haraka wasiliana nasi whatsapp +255652393960
❤
😍