WIVU (Part 1) | latest 2023 SWAHILI MOVIE | NEW BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Ndoa nyingi sana tumeshuhudia zikiwa na migogoro na hata kuvunjika kwa sababu ya WIVU katika filamu hii utaona maisha ya mwanadada Dahuu anavyopitia changamoto kubwa kutoka kwa mume wake Dullah sababu ya wivu.Fuatilia kisa hiki cha kusisimua mwanzo mpaka mwisho.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 285

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +1

    Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
    ua-cam.com/video/Fu1K5aTTj10/v-deo.html

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +2

    Jamani mambo mazuri nimewawekea kwenye GROUP LANGU LA WHATSAPP ili kujiunga bonyeza link hii litakupeleka moja kwa moja kwenye WHATSAPP GROUP langu uweze kufurahia kazi zangu nyingi..
    chat.whatsapp.com/JAVGpA3xKfVAUKHCGxsVHt

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 26 днів тому

    kwa jinsi ninavyopenda heka heka za kufanya kaz binafsii mume wa hvii cmuwezi hata punjee akaaah 👌👌

  • @mgenisulemani2849
    @mgenisulemani2849 7 місяців тому +2

    Nimependa kz yako nice brother na watching from omani ❤❤❤

  • @radjabuharerimana2538
    @radjabuharerimana2538 2 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @user-zy7pe7gy5h
    @user-zy7pe7gy5h 3 місяці тому +1

    Kazi unayo daahu mumeo wivu kibao

  • @user-hg4ff2bb7x
    @user-hg4ff2bb7x Рік тому +1

    Saf sna

  • @user-tf2yc2ro9u
    @user-tf2yc2ro9u 7 місяців тому +1

    Yaan card umenichekesha😂😂😂 Sana wallah jamani huo Ni Zaid ya wivu

  • @MikiMorningmiki
    @MikiMorningmiki 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂kazi powa sn

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7g 2 місяці тому +2

    wivu gani iyi ss yaupumbavu ha 😮

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +1

    kazi mnzuri..sana ongereni.washiriki.wetu.kaka adam.asante.kwa.mafunzo.mazuri

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 2 роки тому +3

    Wow movie nzuri 😍🥰❤️

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 27 днів тому

    duuuh hahhaah hii inaitwa nin wivuuuuuuuuu au mawivuuuuuuuuuuuuuu

  • @gdddg8914
    @gdddg8914 Рік тому +1

    M skuwezi bwana ww, wivu atar

  • @mainamoses3234
    @mainamoses3234 2 роки тому +4

    Watching from Kenya... movie nzuri hongera!

  • @SamA-ec4zb
    @SamA-ec4zb Рік тому +1

    wow nmeftlia movie zko mwez sasa nasijamliza zko mwaaaaa we kaka part zko nkpnda zaid unareact kma mume wang mashaallah

  • @naomisamwel18
    @naomisamwel18 2 роки тому +4

    Adam wetu🤸twakupenda Sana🥰

  • @Ev.elijahheshima3557
    @Ev.elijahheshima3557 Рік тому +2

    Adam uko vizuri sana, unamaanisha kweli kweli , uko very serious na kazi yako.
    Big sana, endelea hivo na usichoke.

  • @reilastyle7317
    @reilastyle7317 2 роки тому +2

    Nzur San mungu awazindishie

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana kwakweli, usisahau kuSubsrcibe kwenye channel yetu.

  • @zeddyali2656
    @zeddyali2656 Рік тому +2

    Adam hongera xana

  • @Ann-Strong
    @Ann-Strong Рік тому +1

    Nikama nimemaliza kutazama marudio ya hizi filamu,. Niende Benroyal marudio pia ... Asante kwa filamu nzuri nzuri Kaka..... Sikuku njema

  • @francohaule8057
    @francohaule8057 Рік тому +1

    Mwanaume mpumbavu kuishi naye kazi jamaa kazidi

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 місяці тому +1

    Mmeenikumbusha mbali😂

  • @nanaathman6721
    @nanaathman6721 Рік тому +1

    Watching from Uk movie nzuri sana

  • @user-jg5et8uh9z
    @user-jg5et8uh9z Рік тому +3

    ❣️❣️ from Kenya

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +1

    Mwanamme mwenyew sura huna na uko na wivu ningekuwa mm ningekuekea sumu akyyy

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Рік тому +1

    "duh" huyu mwanaume amezidi

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +1

    Hahahahaha,kwenye kunikagua hapoooooo!yereyuwi!

  • @loveCatholic254
    @loveCatholic254 5 місяців тому +1

    Unatesa mke wangu wewe😂
    Adam vipi dulla anatesa mke wangu namna hii

  • @Saumu254
    @Saumu254 7 місяців тому +1

    Asalalaaah aaah huu n wivu ama n ugaid 😂😂😂😂 waume kma hawa wapo sana daaah samwaliku😅😅

  • @SOLENTERTAINMENTHUB
    @SOLENTERTAINMENTHUB Рік тому +2

    Adam Umeweza, una story nzuri sana na waigizaji wazuri sana. Kongole Kaka. Endelea tupo nyuma yako

  • @gdddg8914
    @gdddg8914 Рік тому +1

    Dulla punguza wivu , keeeeh umezd , zaidi ya mume wangu Yani huo wivu

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 2 роки тому +4

    Oi kaka adamu.. Uyu baharia kauwa umu sema katalogi zake 😁😁 Marenji flani, movie kali bruda keep going💥👊🏾🏁

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      😂😂😂hahah umeona eh! Shukrani sana mzee..

    • @ommie_nyzer
      @ommie_nyzer 2 роки тому +2

      @@AdamLeoStudios Bless up damu yangu tunasubiri part 2🙏🏾🔥🏁🦅

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +2

      Soon tu tunaiachia.

  • @barackmaile7976
    @barackmaile7976 Рік тому +1

    Adamuuu yaan mm MB hazikauki zaishis hkhk honger sanhaa unafanya kazi nzur sanh Mungu akupe ubunifu zaidiii Mungu abariki kazi ya mikono yako🙏🙏 kwakwel zanifundisha sanh

  • @mkasijuma4803
    @mkasijuma4803 Рік тому

    🤣🤣🤣🙌🙌🤣🤣sina usemi ila mashallah kwa kazi nzuri bro Adam maan sio kwa wivu huo kama namuona mume wangu vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌

  • @omansur6584
    @omansur6584 2 роки тому +3

    Love from burundi🇧🇮

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +3

    Duuu huy mwanaume kiboko

  • @iranziyvet3503
    @iranziyvet3503 2 роки тому +3

    No1 from Rwanda 🇷🇼 nipe like bwana naitaji

  • @ramadhaniseif9447
    @ramadhaniseif9447 2 роки тому +2

    Wivu huu ni proMax, gubu asilimia mia 100/%,

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Jamaa ni noma sana. Wivu kauchanganya na gubu akauongeza na ubahiri kidogo.

    • @ramadhaniseif9447
      @ramadhaniseif9447 2 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios sema katisha xn, kuna muda alitema madini kuelimish lkn kumfatilia mkewe kila anakoenda akashndw kutafuta kaz afnye ili tonge liende kinywan

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Hahahahah jamaa ni noma.✍

    • @adamfungamwango4640
      @adamfungamwango4640 Рік тому

      @@AdamLeoStudios Hahahahaha

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      😂😂

  • @albanimusa9133
    @albanimusa9133 Рік тому +1

    Awavai nder wear😂😂😂

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +4

    Ila kwenye kujistir mashaallah umeongea pwent

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Umeonaaa eh,,,, jamaa kumbe yupo sahihi kimtindo.

  • @chicahchic5708
    @chicahchic5708 Рік тому +1

    Ndo kupigwa jamani 😂😂🙌🙌

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi2770 21 день тому

    Huu wivu vipii😢😢

  • @emmyyussuf9234
    @emmyyussuf9234 2 роки тому +1

    Hongereni washiriki lkn dah so kwa mume huyu ady kukaguliwa mungu awabarik mzidi kutuelimisha🙏🥰

  • @wanzamuinde6736
    @wanzamuinde6736 Рік тому

    Hapo kwa hukaguaji Doo sipo😂😂

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 Рік тому +1

    Usikute apa ata nguo za
    Ndani ajavaa duuuuh
    Oya ww mbinguni utapasikiq to
    Aaaah ww noma

  • @hawamongela8572
    @hawamongela8572 Рік тому +1

    Movie kaliiii

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 Рік тому

    Kaka weee Mnunulie dada gari yake...❤😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahhahaha umeona eh

    • @halemamoon1782
      @halemamoon1782 Рік тому

      @@AdamLeoStudios sndio wvu mwingi kwa mkewe na hana ata baiskel sasa kwenye gari mtu atakaa Vp sit ya pekee ata kwenye ndege nako watu hukaa wawili wawili ama watatu watatu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Kabisa yaanii

  • @salomemakene9241
    @salomemakene9241 Рік тому +1

    Ndo naanza kuangalia tuu nainjoy sijamaliza movie

  • @godfreyemmanuel5902
    @godfreyemmanuel5902 Рік тому +1

    Omulimu omulunge

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +6

    2 wapili adam weka koment yako hapa

  • @gdddg8914
    @gdddg8914 Рік тому +1

    Sio Kwa wivu huo ,

  • @user-tr1ck5vb5k
    @user-tr1ck5vb5k 11 місяців тому +1

    Kaka mm ndo muuza butcher uyo ningemchuna ngozi akyamungu

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +1

    Wivu shikamooooooooooo!

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl Рік тому +1

    Hahahaha 🤣 sasa huku tuite kapenda sana hadi wivu huu au upuuzi,yani movie inaburudisha mno 👌......nayo hii kali yani nikirudi unikague weeeee 🤔 ukikosa kasoro ujue utaiandika talaka mara hio hio, maana takua hapaliki hapaliki🤣🤣,Adam thanks more love watching from Qatar

  • @MMoriet
    @MMoriet Місяць тому +1

    Bro uko na kanzi mwanamke yale yoote ambayo hupendi ndiyo atafanya so uchauri yngu ni bora asikuletee mtoto na asikuonyeche yule chizi wake 🥱🥱🥱🥱🥱🥱

  • @user-yd9jd4bh8t
    @user-yd9jd4bh8t Рік тому +1

    Jamani unieke wivu mpaka unikague

  • @atijatuaha1865
    @atijatuaha1865 2 роки тому +1

    Ongera kwa kazi zako mzur ✌️from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿✌️

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana.

    • @joeae6297
      @joeae6297 Рік тому +1

      Wow… Hata Mozambique Kiswahili kinasemwa? Hongera sana kutoka Democratic Republic of Congo.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asanteni sana ndugu zangu wa Congo.

  • @mwajabusalimu1982
    @mwajabusalimu1982 Рік тому +1

    ni motooo

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 10 місяців тому +3

    Mwanaume Kama huyo mwenye wivu mmmh Hapana

  • @emmykisigelile4412
    @emmykisigelile4412 2 роки тому +2

    Adam leo big up bro

  • @immai1032
    @immai1032 Рік тому +1

    una baya

  • @somas1170
    @somas1170 Рік тому

    Adam kaka nakupenda bure kwa movie zako nzuri

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +2

    Dulla ni mwanaume wa kweli

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому

    Usiache kutazama shortFilm nzuri ya MAAMUZI MAGUMU hapa👇👇
    ua-cam.com/video/s0-pKGpqX4Y/v-deo.html

  • @zenakambi6207
    @zenakambi6207 2 роки тому +2

    Adam mbn ukitoa mpya me kwangu aziji taarifa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Huja subscribe. Hakikisha una Subscribe na kisha bonyeza alama ya kengele.

  • @user-hh7om7nr7x
    @user-hh7om7nr7x 28 днів тому

    Duuh huo wivu hatari😅

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Рік тому +1

    Huyo mme kiboko hata mama mkwe hamuongopi😀😀😀🤣🤣

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

    Wote wanaume. Wangekuwa hiv
    Kusingekuwa na ndoa wala.mahusiano khaaaaa

  • @mwajabusalimu1982
    @mwajabusalimu1982 Рік тому +1

    wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh

  • @tegemeongalama6737
    @tegemeongalama6737 Рік тому

    Mwanaume mwenyew sura mbovu nakujiondokea je

  • @danielyokoly5052
    @danielyokoly5052 2 роки тому +3

    part 2 iko wapi..? Adam mungu aendelee kukulinda maana movie zako znatupa mafunzo huku mtaani..

  • @fatmahaji
    @fatmahaji Рік тому +1

    Bora wivu kuliko gubu

  • @AliAbdallah-sh4ih
    @AliAbdallah-sh4ih Рік тому +1

    Antii

  • @immai1032
    @immai1032 Рік тому +1

    nipo bize na move zako japo nilichelewa

  • @halimaabdalla4856
    @halimaabdalla4856 2 роки тому +1

    Mwenye kibanda kanikosha 🤣🤣🤣🤣🤣na yuwaangaliwa tu 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Hahahahah hatari, anataka aachane na genge aje kuwa msanii mkubwa.

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 Рік тому +3

    Kama umesikia mtu anasema umundani watu wanashuti Kama Mimi Gonga Leki hapa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahahaha jamani ya movie nzima umesikia hapo tu🤣🤣🤣🤣🤣haya mimi mwenyewe nimesikia nagonga like na comment juu.

  • @aminasaid1573
    @aminasaid1573 2 роки тому +3

    Mi napenda movie zenu wallah allah awaongoze inshaallah love from 🇴🇲🫶🏼🙏🏻

  • @priscanjovu8965
    @priscanjovu8965 2 роки тому +1

    Gubi gubi🤣🤣🤣🤣🤣❣️

  • @costabanzi1692
    @costabanzi1692 2 роки тому +1

    bro ukovizuri sana

  • @user-dq9bx1qf9e
    @user-dq9bx1qf9e 2 роки тому +1

    Nice

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +1

    Kaka mwenye wivu ata sura huna 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @christinamwilawi8335
    @christinamwilawi8335 Рік тому +2

    P1

  • @Hamida-bu1he
    @Hamida-bu1he Рік тому +1

    Hahaha vaa nikabu 2 hii kwel kabisa 🤣🤣🤣

  • @chellynpanja3970
    @chellynpanja3970 2 роки тому +1

    Simu Yako na wewe mpo saw😊😊

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Hahahahha simu inasema saa 12 asubuhi 😂😂😂😂

  • @ngoyifelly4923
    @ngoyifelly4923 Рік тому +1

    Bongo hatoki anakucheza, mujanja huyo

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +1

    Yaani leo nimejua kucheka daahh🤣🤣🤣🤣 mume anawivu mpaka anapitilizaa kaahh😂😂yote tisa kumi etiiii anasema ukute hapo hata nguo ya ndani hajavaaa🤣🤣🤣🤣🤣hiii movie nitairudia kila siku haswa ninapokua sipo sawa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahahha pole jamani.. Enjoy kazi zetu usiache ku Subscribe kwa maana mengi yanakuja.

    • @muniramsati5345
      @muniramsati5345 Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios ucjali tena ngoja sasa hivi ni subscribe nisije sahau bure

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana🙏🙏🙏

  • @gdddg8914
    @gdddg8914 Рік тому +1

    Wanaume mpunguze wivu 😂😂

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 Рік тому +1

    Kumfatilia sokoni alikuwa
    Sahihi jamaa muuza nyama
    Kaanza maneno
    Ya kijinga alikuwa sahii wauza nyama
    Wasenge sana muda mwingine

  • @furahambondo-rp6qm
    @furahambondo-rp6qm Рік тому +1

    Hii story kama muliniona aki

  • @adiahassan1149
    @adiahassan1149 2 роки тому +1

    Aweee aende zake huko nafungasha mm vilago vyeng kwetu

  • @julianamaganga4803
    @julianamaganga4803 Рік тому +1

    Sitaki kuyakumbuka haya maisha niliyapitia yaani acha kabisa

  • @qudrashaeed4265
    @qudrashaeed4265 Рік тому +1

    Katika uhalisia jamaa alikua vizuri, ila alizidisha ikawa gubu.
    But alikua sahii kbisa kumfuatililia mkewe, kosa ni ile kumfutililia sokoni au gengeni ila mambo kama kuitajia kufahamu kwa kina juu ya kutoka kwake na kuvaa kwake hakika yupo vizuri sana jamaa.

    • @qudrashaeed4265
      @qudrashaeed4265 Рік тому +1

      Mimi binafsi namkubali sana, japo wengine wanamuelewa vibaya na hii ni kutokana na wengine wetu waishia katika mifumo kristo Dini.
      Mtu akiwa mfano huu waita gubu waitajia wanawake waishi kma wamagharib .
      Ila yupo sahii kbisa, mwanamke aitajika kuishi katika shuruti hizo , ijulikane anaenda wapi na anarudi saa ngapi, na amefika kweli? SABABU HAWA VIUMBE ALLAHU ANAWAFAHAMU KULIKO SISI.
      BIG UP SANA, ADAM.
      HUYU JAMA NAMUELEWA SANA.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +2

      Asante sana, maoni haya yananipa moyo wa kufanya kazi nzuri zaidi! Nitajitahidi kuongeza ubunifu zaidi.🙏

  • @user-fq6yh2ej4v
    @user-fq6yh2ej4v Місяць тому

    Mwanaume huyo ni mateso sio wivu.

  • @halimaabdalla4856
    @halimaabdalla4856 2 роки тому +1

    Ckwa wivu uwo jmn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @juxkhan
    @juxkhan 2 роки тому +1

    Funzo

  • @mbogojulius5328
    @mbogojulius5328 2 роки тому +1

    Dah filam nzuri lakin

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Shukrani sana, soon tunaachia muendelezo wake.

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 Рік тому +1

    To be continued

  • @mariamjoseph7836
    @mariamjoseph7836 2 роки тому +1

    Love you ❤️

  • @mariamjoseph7836
    @mariamjoseph7836 2 роки тому +2

    ivi yy kazi anafanya saangp hyu Bwana mana mda wote tu kumfatilia mke wake yani mm npate mme wa hvi nafungasha siku hyo hyo nausea