DUUH!! RC MWANZA AMTOA JASHO AFISA HUYU/AMBADILIKIA MBELE ZA WATU/AMUWASHIA MOTO HUU MZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 101

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 3 місяці тому +2

    Mkuu wamkoa. Mzuri huna jaziba Wala mihemko uko vizuri

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @SelemaniMsemakweli
    @SelemaniMsemakweli 3 місяці тому +1

    That's my Brother Mr Mtanda

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @GerysonMsukwa
    @GerysonMsukwa 3 місяці тому

    Safi mheshimiwa kama wakuu wote wa mikoa mngewajibika kama hivo taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo Asante Mheshimiwa Raisi Kwa kukuteua wewe pamoja na makonda na slaa mpo vizuri

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 3 місяці тому +1

    Yani huyu kiongozi apewe maua yake🎉

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 3 місяці тому +1

    Upigaji tu wanataka kuuziana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 3 місяці тому

    Uyu uwa namkubari sn anaakili nyingi Sana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 місяці тому

    Wizi na uzembe serikalini😢

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @OphoroMinjaMinja
    @OphoroMinjaMinja 3 місяці тому

    Ifike mahali serekali itupe ajira sisi darasa la Saba kama wasome wanavurunda namna hii kwanini sisi darasa la Saba tusianiriwe?

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 3 місяці тому

    Mtanda kanyooka

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @ramadhanlugembe3561
    @ramadhanlugembe3561 3 місяці тому

    Hii taalifa si niyazamani huko mara wewe unasema mwanza

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому +1

      Asante Kwa Kutufuatililia ila huyu kwa sasa ni Rc Wa Mwanza

    • @iddshechambo7866
      @iddshechambo7866 3 місяці тому

      Hii ni Kwimba Mwanza si Musoma

  • @sapikiwanga6154
    @sapikiwanga6154 3 місяці тому +2

    Dah!wakati mwingine ukiona UZEMBE mkubwa unaofanywa na baadhi ya watumishi wa UMMA,unaona Hadi kinyaa.hivi watumishi labda niwaulize kitu Leo,mnataka hizi kazi za usimamizi tuwape WANAJESHI??????,

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @messiasulleydidy2585
    @messiasulleydidy2585 3 місяці тому +1

    Tangia ulipokuwa Mkuu wa Wilaya Arusha namkubali sana sana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @YohanaLuchapa
    @YohanaLuchapa 3 місяці тому +1

    Mtanda Mungu azidi kubariki katika kazi yako hua auna mzaa kwenye kazi mi nakukubali sana

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 місяці тому +4

    Safi sana said katanda hao watumishi nimzigo

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 місяці тому

    Mkuu ulikua wapi? Maana hayo magali wanagawana hao hao wala si mbovu ki hivyo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 місяці тому +2

    HAo Huwa wanajiuzia wenyewe vibaka hao fukuza

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @SelemaniMsemakweli
    @SelemaniMsemakweli 3 місяці тому +2

    That's my Brother Mr Mtanda

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @hassannjiku
    @hassannjiku 3 місяці тому

    Izo gar wakizpaki tu utaskia imeuzwa 2m

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa mpuuzi, Hana uchungu na Kodi za watanzania, afukuzwe kazi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 місяці тому

    magar yasiuzwetena,makeimekuwa diri,akienda mwingineilianunue ,anapigwa danadana ilimkatewajimilikishe ,garin8nzimazote,ilakunauhuni katkaharmashaurinyingi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 3 місяці тому +2

    Ccm.nchi.imewashinda.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 3 місяці тому

      Kwa Mtazamo wako wewe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 місяці тому +1

    Hawana uchungu na mali za umma potelea mbali hata kama zitauzwa kwa khasara

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 місяці тому

    Bora hawa wakuu wa mikoa walio kubari kuigwa na wamefanikiwa hongera Makonda umeamsha nchi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @kulwamikwanga3112
    @kulwamikwanga3112 3 місяці тому

    Mpigie cm charamira aje manispaa ya Temeke kuna madudu kama hayo mkuu

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @fredricksiamesiamebeatuss2269
    @fredricksiamesiamebeatuss2269 3 місяці тому +1

    Safi sana wabane hao wamelewa madaraka

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 місяці тому

    Washenzi hao alimashauri kazi yao ni kunenepa tu kama jiwe la kobe watengeneze magari

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 місяці тому

    Mia Moja sabini na Saba wezi hao hyo gari ya mchanga haizwi bei hyo wamekudanganya wamivimba nyuma hera za wizi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @rodrickmwankenja6263
    @rodrickmwankenja6263 3 місяці тому

    Nakukubali sana Mzee yaani kama Mzee Said wa Simba tu!!

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @moseskusamba431
    @moseskusamba431 3 місяці тому

    Haha aibu hawana wizi tuu ni mpka mtu awazibishwe kisawasawa hii tu haitoshi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 місяці тому

    Kiukweli inasikitisha sana 😢 Taifa linachezewa vibaya mno na watendaji. Sijui tumerogwa na nani 😭

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому +2

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @barakarobert1029
      @barakarobert1029 3 місяці тому

      Ndio shida ya kuwalewa wez fukuza kaz

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 3 місяці тому

      Ni kweli,na walivyo wa hovyo wakifeli wanailaumu serikali au Rais wakati wao ndio walioshindwa huko chini.inasikitisha mno uzembe wa hawa wafanyakazi.

  • @stephenkyarwenda4490
    @stephenkyarwenda4490 3 місяці тому

    Mali za SERIKALI hazina msimamizi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 місяці тому

    magar yasiuzwetena,makeimekuwa diri

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 місяці тому +1

    MAKONDA amewaamsha hata mkifanya ni Copy And past

    • @LouisMambaAloyce-cu6ud
      @LouisMambaAloyce-cu6ud 3 місяці тому

      Hoja dhaifu hii

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @jonathanmlinda2580
      @jonathanmlinda2580 3 місяці тому

      Huyu alikua anafuatilia tangu akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha na Makonda alikua nje ya system

    • @barakalukeha6184
      @barakalukeha6184 3 місяці тому

      HOJA KAMA HIZO KWAMBA ETI MAKONDA NDIYE ORIGINAL WANACOPPY KWAKE,,,NI HOJA DHAIFU HATA KAMA NI KWELI LAKINI KWA MTU ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUTAMKA HIVYO NADHANI HAUJAFIKIRIA VIZURI USINGE TAMKA HIVYO WEWE WAPONGEZE SANA WATU KAMA HAWA USIWAVUNJE MOYO ETI WANA COPPY KWA MAKONDA SASA UTASABABISHA WAACHE KUFANYA VIZURI ILI WASITAFSILIWE KWAMBA WAKO WANA COPPY MAANA WAKO WENGI WAZARENDO AMBAO MAMA SAMIA ANAWATEUWA KTK NAFASI MBALIMBALI SEMA TU WALIKUWA NA NIDHAMU YA WOGA WALITAKA MTU WA KUWAANZISHIA UJASILI WA KUWASEMA WAZI WATUMISHI WASIO WAJIBIKA NA MAFISADI WAKUBWA NA WADOGO,,MAFISASI WAKUBWA NI KAZI YA RAISI WETU KUWAONA NA KUWATOWA KWENYE MFUMO ,,NA MAFISADI WADOGO TUSAIDIWE NA WAKUU WA VITEGO WAKIWEMO WAKUU WA MIKOA,,WILAYA N.K

  • @consolatamsacky6400
    @consolatamsacky6400 3 місяці тому

    Jaman hawana uchungu ni kodi zetu hiz😢

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @Nyati-l7q
    @Nyati-l7q 3 місяці тому

    Wanajiuzia nagari ya selikali

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @JosephMatuli-iy6ej
    @JosephMatuli-iy6ej 3 місяці тому

    Senga

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 місяці тому

    fumua comred haosiyo

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel 3 місяці тому +1

    Mkuu wa mkoa tatua changamoto za wananchi achana na magari fanya kama makonda

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 3 місяці тому

    Wanataka wauziane bure.

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 3 місяці тому

    Hapo kazi imeanza

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 3 місяці тому

    MKUU ASANTE SANA

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @lucykiwelu4451
    @lucykiwelu4451 3 місяці тому

    Kazi kazi

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 3 місяці тому

    Akiri nyingi sn sn kuliko mkurupukaji waharusha

    • @ICONTVTZ
      @ICONTVTZ  3 місяці тому

      Asante Kwa Kutufuatilia

    • @drmataba7825
      @drmataba7825 3 місяці тому

      Wewe unajambo lako,kanywe sumu kama haumtaki Makonda