Mziki wa sasa Ni ngoma na kukata miuno tu, Wala hakuna cha kujifunza zaidi ya ngono na ulevu tu ila zamani yalikuwa Ni madini ya hatari.gonga like hapa kama tuko pamoja 2024
Oh Mungu sijui kama Africa kuna wengine kama Msondo. Sikiya wimbo utapata elim. Hongereni sana, Mungu aziweke roho zenu mahala pema kwa wale ambao wametangulia amen.
Came here after watching a certain clip of a Rwandese man pushing a wheelbarrow in a busy highway. The song in the background "Ajali" by Msondo Ngoma. The song has a strong message.
Daa namkumbuka mzee wangu libana alikua ananipeleka msondo miaka hiyo ya nyuma sasa kapatwa na malazi ya macho haoni daa masikini kweli hujafa hujaumbika
jamani kwa nyimbo iziiiiii life xanaaaaa 2020 tunaomba like kama mnamukubliiii mzeeeee wetu apaaaaa,,,,,, mama angu nakukumbuka xanaaaaa kwa nyimbo hiziiiii,,,,mafankioooo mema kwenu ....... by mnyaq tz yoel
hii nyimbo aliitunga tx William moshi baada yakupata ajali akavunjika mguu ulimsumbua mpk kupelekea kifo chake rip moshi mbwembwe momba maina gurumo nk
Ukisikia mziki unaogusa hisia hapa ndiyo penyewe. Siyo hawa wahuni wa sasa wanaropoka hovyo na muziki ukipigwa wiki moja chali. Hapo hadi mwisho wa dahari ni burudani.
Huu ulikuwa wimbo mahsusi kumuaga Tx moshi baada ya kupata ajali,madaktari walimwambia asingeweza kupons maana ubongo ulikuwa umechanganyikana na damu.Ndio maana kwa mbali unaisikia sauti ya Dede akisema Tx bye bye
acha uongo bana...yaan dam ichanganyikane na ubongo afu arudi kuimba!!!? Pia dede hakuwepo apo anaesikika ni Jumbe na hasemi Tx bye bye but anasema Tx moshi baba Aika acha kulia...
Hii nyimbo ilipotoka kulikuwa na rafiki yangu napenda kumuambia utajuta kuzaliwa mwanaume alikuwa anaipenda mwenyewe anakuambia marehemu anasema ukizaliwa mwanaume ni mateso,basi huyo rafiki na yeye alikuwa dereva wa lori akawaambia napumzika kidogo kwenye mti watu wanashusha mzigo wakamkuta kafa hapo hapo dah
🌍 sikiliza | mamela | teerera ku | lalela | feti si | ge nti na ~ PLAYLIST💖 bit.ly/2qI8t23 listen | escucha | hör dir | ascolta | cuça PLAYLIST💕 🔉🎶"Msondo Ngoma Music Band TRADI-MODERN MUZIKI-WA-DANSI afr-tanzani BAND OR'Ch,Qu'EST'r'A Official Labels & YT Medias Videos PLAYLIST lovinair AFRICA😍🙏
Mziki wa sasa Ni ngoma na kukata miuno tu, Wala hakuna cha kujifunza zaidi ya ngono na ulevu tu ila zamani yalikuwa Ni madini ya hatari.gonga like hapa kama tuko pamoja 2024
Pumzikeni kwa amani. Kazi mliifanya burudani mlitupa na ujumbe mmeuacha. RIP legends!
Kila jambo limetutenga kilichobaki kutupa faraja ni aina hii ya music asante msondo
Oh Mungu sijui kama Africa kuna wengine kama Msondo. Sikiya wimbo utapata elim. Hongereni sana, Mungu aziweke roho zenu mahala pema kwa wale ambao wametangulia amen.
JACQUE Mu BEMBE kweli kabisa usemalo yaani acha tu
Aisee atr xana msondo ngoma og...namkumbuka fundi wangu R.i.p Waziri Dewa.
Came here after watching a certain clip of a Rwandese man pushing a wheelbarrow in a busy highway. The song in the background "Ajali" by Msondo Ngoma. The song has a strong message.
We are on the same boat.
hahaha ilibidi pia mimi nikuje
I’m here too
@@bonifacekasoka4048 Q
mliimba kwa hisia nakujitolea sna hongeren wazee wetu mpumzike kwa aman
Wenye mziki wao hao utaishi miaka million hii NI 25jan2021💥🔥
Daa namkumbuka mzee wangu libana alikua ananipeleka msondo miaka hiyo ya nyuma sasa kapatwa na malazi ya macho haoni daa masikini kweli hujafa hujaumbika
Pole sana
Huu wimbo ni kwa ajili ya wote wanakutana na changamoto za ajali. R.I.P TX Moshi
Hizi ndio nyimbo message send hizi za sasa sijui nyegezi tupa kule!!
Mumetoka wakuridhi hayupo mxiki vita
hizi mesej sent
Hahaaaaaa mara Amaboko sijui ndo nini Mungu wangu ila vijana wa karne hiii daah
😂😂😂😂
Dah asanteni sana wazee wetu saivi ndio nayaona asee kuzaliwa mwanamme shida tupu Wallah tunaishi kwa uwezo wake Rahimu
Diamond, Alikiba na Harmonise na wengine hajifunzi chochote hapa!
hawana muda huo,,, wao wanajua kuimba nyimbo za kitoto hizo
Nyimbo za sasa unaambiwa mikono juu.....daah RIP legends
14, july 2024
Umeongea point
Wanaimba mapenzi na uchawa tu
Kuzaliwa mwanaume kazi kweli majukumu yote ni yako hadi siku ya kuiaga dunia.Respect kwa wanaume wote
Ni ukweli kabisa mkuu ila tusiogope tupo na Mungu asieshindwa kitu
Mungu awe nanyi
Amen
2021 lakini bado inabamba nakumbuka kipindi imetoka hii nyimbo duuuu kama unawakubali msondo ngoma gonga like
Bado wanaishi, ma Legend hawa wapewe heshima yao
jamani kwa nyimbo iziiiiii life xanaaaaa 2020 tunaomba like kama mnamukubliiii mzeeeee wetu apaaaaa,,,,,, mama angu nakukumbuka xanaaaaa kwa nyimbo hiziiiii,,,,mafankioooo mema kwenu ....... by mnyaq tz yoel
Pamoja sana
Nyimbo zenye ujumbe mzito kwa jamii sio jeje
Waliokuwa kampani yangu wengi wametangulia inaniumiza sana
@@ramadhaninyambiza3707 qqqqqqq++q+
@@kimichamuya262 pole ndgu yangu
hii nyimbo aliitunga tx William moshi baada yakupata ajali akavunjika mguu ulimsumbua mpk kupelekea kifo chake rip moshi mbwembwe momba maina gurumo nk
Mh
Jmn wanaume mateso haya mpk lini wap 2019 twende kazi kwa like zenu jmn💪
Mawazo mazuri ayafi yanaishi ,mpo mioyoni nyimbo zenu zinaishi2024/2025
Ahh mungu wangu, msondo mna ujumbe kali sana hadi natoa machozi jaman
Daaa hizi ndo ngoma sasa mungu awasamehe makosa yao
TX Moshi will certainly be missed. In any event, his music will live on. May his soul rest in peace and light perpetual shine upon him. Amen!
Hawa jamaa walikuwa baba ya muziki Tanzania kwa kweli Mungu awarehemu waliko
Msondo ngoma duuuuh, zimbo zao zilikua na ujumbe mzito sanaa
R I P wote waliotangulia especially mabele alietutoka leo sept 2020
Pumzika kwa Amani TX Moshi William,Hakika utabaki kuwa Alama kubwa ya Muziki wa Dansi Nchini Tanzania.
Jaman msondo ngoma' MUNGU alaze roho zenu mahli pema pepon wale muliotangulia mbele za haki, kwakwel hz ndiyo nyimbo cyo wanazoimba wasanii wa kileo
Huss3in jumbe in jembe sana.momba balaa tx maalim.mwanamume katu katu usikatee tammaa
Nyimbo zenu zitaishi mirere amina sio nyimbo za kisasa hazina mafundisho yoyote bari kuharibu jamii
Mziki wa zaman ni dhahabu.. RIP TX
kweli mateso ndo maana tunakomaa na wazulu uhaibuni ila ipo siku kitaeleweka tu inshallah
Mwanaume,malezi,uchumi,elimu,afya,na imani zakuabudi ni baba nikiongozi wa familia.
Asante mnatupa faraja ingawa mmetangulia mbele ya haki
noma sanaaa, nyimbo ina ujumbe full life
Old skuli wanaume tujuane kwa like na comments sio boys nimesema wanaume
Hapa kazi ilifanyika wazee walikuwa hawataki porojo kama za ndgu zetu wa leo nyimbo cku tatu imepita
Daah hakika sichokagi kuusikiliza huu ujumbe
Good vibes🎉🎉🎉 nimemiss sana hii ngoma
Wapo juu mungu awaweke panapo stahili👋
Maisha ndi vyo yalivyo ahsante xana msomdo music
I remember my father Kabwele mrefu was like this song Rest in peace my Dady
Najisikiaa raahaa nikipigaaa hiziii nyimboo Leo 31 December 2019
Nyimbo za aina hii ni za ajabu kweli!
Nyimbo zenu maudhui, Mambo ya kwangwaruu hatuyawezi.
2020 hoyeeeeeeeeeeeeeee Jumbe wapiiiiiiiii
Watu wenyekujua wanachoimba hawapo tena rp
Jamani wanaume wapiiiiiii 2020 nateseka Sana
Mungu awasamehe dhambi zenu huko mliko hakika ninyi ndio mlikuwa wasanii
Mungu awalehem 🙏🙏🙏❤️ ❤️
Kama bado unaitazama mwaka 2021 like yako muimu pia mshukulu mungu kwa kukuweka
Msondo in flying colors by then. Big up guys!
Mosh William ajali
Miongoni mwa Album za mwisho za TX MOSHI WILLIAM.
Baba wa Familia ni nguzo ya nyumba,nguzo imetetereka NYUMBA INAYUMBA....😪😪
Ina nikonga moyo naumia sana kila nisikiapo hizo nyimbo daaaa
Yan nikisikiliza hii nyimbo nakumbuka mbali sana...
Kweli ehhh
Mwanaume anapopatwa na matatizo macho uwa mekundu
Awesome 🎉😊
Ni noma wazee wa kazi hao
Tsup,who still watching 2019
Show love..
Swahili to the world....
Huu wimbo unatuumiza sana wanaume wengi,hasa,Jumbe,karama,mabera,Bangwa,ally,mnyupe,romalio,wakimukumbuka moshi.
Mmmh ayaa
Msondo ngoma baba lao
I'm 24 lakini naipenda hii!!
Daah rahaa sana nyimbo hzi babu kanifnya nipende zaidii
Babu
Asantee sana 03.01.2019 nikisindikizwa na Chelsea 5-0 Huddersfield
😁😁😁
Nyimbo za zamani zina maadili sana
Kwer matesoo kwa mwanaume , vya kale ni zahabuuuu
Ukisikia mziki unaogusa hisia hapa ndiyo penyewe. Siyo hawa wahuni wa sasa wanaropoka hovyo na muziki ukipigwa wiki moja chali. Hapo hadi mwisho wa dahari ni burudani.
Daaah hakika mlikuwa mwaona mbali ndomuziki usoisha radha keep wotch 2019
Huya Mbiti
Tx
Asante I msondo ngoma waume
The beat mwaaa 😍😘
Da namkumbukatx mosh na mzeegurumo munguaziweke rohapemapeponi aamin
jamani ! hilo gita saidi mabela !
2020 naisikilza hii kali San gonga like zakutosha
31 December 2019 naskiliza hii nyimbo nakumbukambali sana 😭
Its 6th Dec, 2023 still listening this amazing song😍😍
Sio poa nikisikiliza mpaka nasinzia
RIP ndugu zetu kwa wale walio tangulia
mungu ndio kila kitu tutasonga. apa kazi
walikua wanakubalika cio mchezo msondo ngoma yaukaeh
kweli jamani, nyimbo ndo hizi, siyo wanaoimba saiv ugoro
zakale ziko biyee!!&
Bad boy huzeeki jaman
Dash msondo ngoma mziki wetu halisi
Mateso kuhangaika....Omba Mungu Usikate Tamaa 2021 March
Nimeuludia zaidi ya 5×
your song will live forever
It's 2019 and the music still beautiful, RIP Tx Moshi
Huu ulikuwa wimbo mahsusi kumuaga Tx moshi baada ya kupata ajali,madaktari walimwambia asingeweza kupons maana ubongo ulikuwa umechanganyikana na damu.Ndio maana kwa mbali unaisikia sauti ya Dede akisema Tx bye bye
Inauma sana
Dede hakuwepohapo
Daaah inauma sana
acha uongo bana...yaan dam ichanganyikane na ubongo afu arudi kuimba!!!? Pia dede hakuwepo apo anaesikika ni Jumbe na hasemi Tx bye bye but anasema Tx moshi baba Aika acha kulia...
Muongo Dede hakuwepo
Wapi Ngurumo.#
Dah izi ndio nyimbo sasa sio izi amapiano 😢😢😢
MABELA AKIZIMA GITAA LAKE UHONDO KWA HERI!
Hii nyimbo ilipotoka kulikuwa na rafiki yangu napenda kumuambia utajuta kuzaliwa mwanaume alikuwa anaipenda mwenyewe anakuambia marehemu anasema ukizaliwa mwanaume ni mateso,basi huyo rafiki na yeye alikuwa dereva wa lori akawaambia napumzika kidogo kwenye mti watu wanashusha mzigo wakamkuta kafa hapo hapo dah
Daah😢
2021 nililia Sana kwa matatizo wallahi 😭😭
Pole usikate tamaa hemedy
Mie naemtambua hapo ni huyu mweupe tx moshi wengne siwajui
Hata Ngurumo hujamtambua?
@@eliezakalaita7433 Sio muhenga uyo hamjui Jumbe ngurumo...sijui kama kina Suleiman Mbwembwe angewajua na Mabele
Hapo kuna Hussein jumbe jose mahina Athumani Athumani momba mzee gurumo
Nyimbo inagusa sana
Nice san
Hiin nayo ni noma wanatisha
Huyu bad boy nnae wa kitambo
Who is still watching June,2019
Me
I am watching we kama unaangalia uno au nyegeze au sijui nn tell me what you get from nyegeze or uno!!!!hizi ngoma kali sana
2020....huu wimbo uliimbwa jamanii
Daz nunda
Pumzika kwa amani-tx moshi
Sweet song
Long live good music
2021 still in msondo bira kuchuja maberaaaaaaa
Sikilizeni vituvya,asiri.
nyimbo nzuri sn ninawapenda sn msondo
🌍 sikiliza | mamela | teerera ku | lalela | feti si | ge nti na ~ PLAYLIST💖
bit.ly/2qI8t23 listen | escucha | hör dir | ascolta | cuça PLAYLIST💕
🔉🎶"Msondo Ngoma Music Band TRADI-MODERN MUZIKI-WA-DANSI afr-tanzani BAND OR'Ch,Qu'EST'r'A Official Labels & YT Medias Videos PLAYLIST lovinair AFRICA😍🙏