Msondo Ngoma Band Piga Ua Talaka Utatoa Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 Рік тому +10

    Ya kale ni dhahabu. Pumzikeni kwa amani wazee wetu watunzi mahiri na waimbaji wazuri kwa mafunzo mengi mliyotupa kwenye nyimbo zenu.

  • @allykindamba9800
    @allykindamba9800 2 роки тому +6

    Gitaa la mzee Mabela🙌🙌

  • @angelskihaga8872
    @angelskihaga8872 9 днів тому

    Nimekuja huku kuisikiliza baada ya kutoka mahakamani kudai talaka😅.... anyone here Jan 2025.....like zangu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 Рік тому +3

    2023 wana msondo ngoma band nawasalimu nyote mlohai na walotutangulia mbele za haki mungu hawarehemu mahala pema peponi mzee wetu, nawapenda sana zilipendwa na zika pendeka kupendeza.watching from mombasa kenya

  • @barikomrisho7842
    @barikomrisho7842 Рік тому +2

    Mungu awape pepo njema huko mbele ya haki mliko

  • @tatuissa1571
    @tatuissa1571 3 роки тому +2

    Mungu awalaze mahari pema peponi amen kwa xababu hawata tokea wazee wet ujumb mzur Kama huu wa hawat tokea kabixa

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 6 років тому +5

    wanangu nyieee toka mdogoo nawakubari cz jumbe zenu zinaishi milele ,kazi zenu nzur snaa baba zngu

  • @MPUA-u6f
    @MPUA-u6f 2 місяці тому

    Daaa hawa watu wamenikumbusha mbali sana nimefurahi sana

  • @mecksonlongole6034
    @mecksonlongole6034 Рік тому +1

    Huu ndiyo Muziki unaokupa full package yaani unaelimika na kuburudika

  • @KasibanteTonny-xo3dr
    @KasibanteTonny-xo3dr 11 місяців тому

    Otu jazz.pongezi tele kwa music wenu bora.Asante sana kwa kuburudisha inchi zetu africa mashariki.

  • @zubedasaid5962
    @zubedasaid5962 6 років тому +26

    Hizi ndizo nyimbo haziwezi potea , sio hizo za vijana wasasa, we underrate our old musics

  • @jacksaid
    @jacksaid Рік тому +2

    Nostalgia, wazee pumzikeni kwa amani. I ❤ your songs sababu ni mafunzo tupu. From Congo

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 років тому +22

    Best Band in Tanzania. ..R.I.P Msondo Legendary. ..Tx Moshi. ..Gurumo na wengne waliotangulia Mbele za haki tunawaombea, Mwenyenzi Mungu awape pumziko jema.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +1

    Kuanzia mashairi, upigaji,uimbaji,uchezaji,vyote ni burudani ,bado tunawakumbuka mlituburudisha sana enzi zenu ,ila jamani huyu mpiga guitar, analicharaza kwelikweli,nimempenda sana,hivi bado yupo hai?06.01.24.bado nasikiliza.

  • @MilachemTanzania
    @MilachemTanzania 2 місяці тому

    R.I.P wote waliotangulia mbele za aki waimbaji wa Ott Jazz Band ..Msondo Ngoma ...I remember Waziri Dewa mzee wa Yangaa atr pumzika kwa Aman mwamba.

  • @othumanally4529
    @othumanally4529 Рік тому

    Hiijawahi kutokea walllah! Na haitatokea kwa kuwa na wataalamu kama hao wa Kitanzania. Walitisha na walilitikisa jiji.

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 роки тому +2

    Nipo Senegal 🇸🇳 nasikilinza music 🎶 wanyumbani siku ya uhuru Tanzania 🇹🇿 mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 9mwenzi 12 2022 .Africa

  • @mussadominick2930
    @mussadominick2930 5 років тому +6

    Msondoo ngomaaa 100% hakuna kama ninyi mliotangulia MUNGU awapumzishe mahala panapositahili

  • @johnjoseph7363
    @johnjoseph7363 8 років тому +20

    kwa kweli mungu awangazie mwanga wa milele hawa ndg zetu wa msondo ngoma music kwa kututangulia mbele ya haki,hakika tunaheshimu sana kazi zao na tunazikumbuka sana

    • @saidali1611
      @saidali1611 7 років тому +1

      John Joseph @

    • @saidali1611
      @saidali1611 7 років тому +1

      kweli walikua juu sana mpaka leo hakuna kama msondo

    • @sadialex9402
      @sadialex9402 3 роки тому +1

      Mungu huyu basi bwana

  • @thomaskasura7333
    @thomaskasura7333 4 роки тому +2

    Mabera toka 1972 mpaka leo msondo na roman1982 wapo nakumbuka mbali sana Central bar kibaha bado npo primary RIP mliotangulia

  • @prosperhosea7966
    @prosperhosea7966 5 років тому +1

    Zilipendwa miziki sijaona kama inaupinzani kwasasa kwa upigaji mziki na kujipanga
    Ongereni sana wazee wetu maana ni nyimbo zilikua na maana

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 4 роки тому +2

    Msondo wosia wenu kwasasa unatufaa sana sisi vijana Wa 2020 hata baadhi yawazee wasasa wamepoteza ladha.
    Ewe mwenyezi uwape pumziko tulivu.

  • @zidanzidani2344
    @zidanzidani2344 2 роки тому

    Kitambo sana wap robert mshana Eng Jacob

  • @mashakalunyombe2087
    @mashakalunyombe2087 7 років тому +5

    msondo kamili iyo na message hii niliambiwa na mtaalam wa mambo aya mhe j mpalasinge kuwa hilo ni dongo alikuwa anapelekewa hsn rehani bichuka nae kupitia ddc akajibu nyimbo inaitwa tende harua harua

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 років тому +1

    Kwa Tanzania bado hawajatokea kama nyinyu hakika msondo mlikua the best pumziken kwa aman wote mliotangulia TX MOSH WILLIAM &NGURUMO &MAINA &SULEMAIN MBWEMBWE

  • @ahmedyissa4777
    @ahmedyissa4777 Рік тому +1

    😢😢 nyimbo nzuri mno

  • @ramadhaniramadhani0602
    @ramadhaniramadhani0602 9 місяців тому +10

    Who is still watching 2024🎉 old is gold❤

    • @ZingaSefu
      @ZingaSefu Місяць тому

      ❤kweli nimbo zao zinailimishajamii

    • @ZingaSefu
      @ZingaSefu Місяць тому

      Zinga seifu manza bey Willa mkinga

  • @robertrobert725
    @robertrobert725 4 роки тому

    Zakale nidhabu kwakweli kwenye bandi hiii sinaga swali na waliotangulia mungu awaweke mahali pema

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 роки тому

    Izi ndiyo nyimbo za kuelimisha mana azina natusi wala azichakayi kuliko za vijana wetu wa ss azielimishi ni kupotosha tu bado mko vizuri

  • @abdallahmtosa6979
    @abdallahmtosa6979 2 роки тому +1

    Inshaallah Mola awape kauli thabiti.

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 2 роки тому +1

    Hizi ndio ngoma zakusikiliza ambazo Zina mafundisho sio zasasa nyimbo matusi matupu

  • @gilbertlusiji
    @gilbertlusiji 4 місяці тому +1

    Njoo uluyani kenya na msondo ngoma uchekwe

  • @tobiasimussamuna1510
    @tobiasimussamuna1510 3 роки тому +2

    ama kweli ya kale ni dhahabu ina mafundisha kwenye maisha kuna wengine imewakuta

  • @mahelamnazaletimahela9317
    @mahelamnazaletimahela9317 5 років тому +1

    Dah baba zangu mungu awalaze mahali pema peponi emen

  • @dottokondo7299
    @dottokondo7299 5 років тому +4

    Mungu awa rehemu mlio tutangulia jamani ila msondo mlikua kiboko yao

  • @sierraminingltd1590
    @sierraminingltd1590 3 роки тому

    Ukisikia nyimbo zenye kufundisha nihizi sasa sio vijana wasasa wanaimba wameshiklia suruali kwachini nyimbo matusi matupu. Well done Msondo Ngoma

  • @kidukujaki3187
    @kidukujaki3187 4 місяці тому

    Nakubali sana lispect

  • @Isaac-vm5mi
    @Isaac-vm5mi Рік тому +1

    Inanikumbusha kitambo kweli

  • @MariamMussa-y3i
    @MariamMussa-y3i 2 місяці тому +1

    Nawakubal sana mungu awahepushe na adhab ya kabr

  • @vickieeddie2230
    @vickieeddie2230 Рік тому

    Daaah kuna mzee ukimuewekea hizi nyimbo analia vibaya jamani OLD IS GOLD 🙌

  • @kassimulait7919
    @kassimulait7919 5 років тому

    Kiukwel zamani kulikua na jumbe nzr sana kiukwel

  • @samuelbyser5105
    @samuelbyser5105 3 роки тому +1

    Nyimbo zuri san hii ina mafunzo mazuri sana tutakukumbuka sana legendary wetu

  • @jumbeomari3044
    @jumbeomari3044 6 років тому +11

    Kweli kijana wangu mashaka lunyombe hilo ni dongo waziwazi la bichuka maana izi band vijembe vingi wasababishaji ni bichuka na shabani dede ao ndio magwiji wa kuahama hama kidogo na hussein jumbe.

  • @brunoamir355
    @brunoamir355 3 роки тому

    Duh huyu ndo mungu anachukua chake kwa muda alopanga

  • @emmanuelmwanza6963
    @emmanuelmwanza6963 2 роки тому

    sema dunian tunapita yan huu wimbo nikiusikiaga tu sehemu unapgwa machozi.huwa yananitoka,,huyu mtot mnenguaji cjui saiv anaisha gani nw2023

  • @Sona-f7k
    @Sona-f7k Рік тому +20

    Any one 2024👁️👁️👁️

  • @NorbertChale
    @NorbertChale 11 місяців тому

    Nakumbuka mbali jamani dar

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Рік тому +1

    Safi sana ujumbe mzuri

  • @radhiarajabu5183
    @radhiarajabu5183 8 років тому +15

    kwa kweli msondo ngoma kiboko yao hakuna kama msondo

  • @jumakitwikj5586
    @jumakitwikj5586 4 роки тому +1

    Nngurumo na moshi nawakumbuka sana awa waze

  • @tonnykasibante8823
    @tonnykasibante8823 2 роки тому

    Asante sana otu jazz.Mmenikumbusha maneno mengi kwa wimbo wenyu.

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +1

    Seleman mbwembwe; Tx moshi na Kamanda Gurumo tutawakumbuka daima

  • @VictorJoseph-u5c
    @VictorJoseph-u5c 2 місяці тому

    Pumuzika kwa amani kamanda.

  • @shebathutajirishohalisihal2458
    @shebathutajirishohalisihal2458 5 років тому +1

    Well well goon sana kutuletea hizi nyimbo .naomba ule wimbo unaosema .ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 4 роки тому +2

    Mabela mbaka Leo unapeta, mungu akulinde.

  • @samuelaleixo5247
    @samuelaleixo5247 Рік тому

    Nikisikiliza music huu nakumbuka malemu baba

  • @jamesrobert8890
    @jamesrobert8890 3 роки тому +2

    Ngoma safi sana rest in peace mzee ngurumo na TX moshi William na wengine wote wana msondo ngoma kiukweli mlikua faraja ya watanzania mziki mliuweza sana hongereni sana kwa hilo.

  • @bakarisechala4951
    @bakarisechala4951 5 років тому +3

    Hivi vyuma vingekuwepo mziki wa dans ungebaki kwenye nafasi yake

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +14

    2021 kwa uwezo wa Mungu natizama hii, gonga LIKE kama tupo pamoja

  • @aishamzonge457
    @aishamzonge457 2 роки тому +1

    walale mahala pema peponi hawa watu hakika waliifanya kazi yao vizuri sana May, 2022 gonga like

  • @shambaiddi4984
    @shambaiddi4984 3 роки тому

    Tunajikumbusha maisha kitu huna badhi wala vazi lakini mtu unakuwa na furaha kwani kulikuwa hakuna malumbano watu walikuwa wanajuwa maisha hivi sasa ni ubinafsi tu kila mtu ana lake

  • @priscafidelic9074
    @priscafidelic9074 5 років тому +1

    Kwan hii nyimbo ya mwaka gan mana naisi cjui ckuzaliwa au nilizaliwa Nilikua mdogo sana nimeipenda

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 роки тому

    Mziki ndio ingekuwa kufundisha maisha vijana

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 років тому +3

    Nimeangaria uu wimbo nimekukumbuka bibi ang Upumzike kwa amani bibi ang kipenz nimekukumbuka

  • @matumbifaustine244
    @matumbifaustine244 6 років тому +10

    jaman nani ako namimi..2019^hapa machozi yananitoka

  • @mitchy408
    @mitchy408 9 років тому +18

    Nimekua sina raha hapa nyumbani., kila siku maneno yako mama hayaishi..

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 років тому +2

    Sep 2018. Siamini macho yangu. Jopo zima la wanaoimba hapo wamefariki dunia. Mungu wasamehe makosa yao na uwahifadhi. Amin.

  • @shabanfungameza
    @shabanfungameza 2 роки тому

    Hizo ndizo nyimbo za hekima dah mungu awalaze mahara. Pema amin

    • @ZingaSefu
      @ZingaSefu Місяць тому

      Kweli nyimbo hizi nikisiliza nafurai

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +1

    Ukweli utabaki ukweli hakika msondo ni baba lao

  • @HappyNyagawa-hh6rr
    @HappyNyagawa-hh6rr 3 місяці тому

    Wimbo naupenda huu

  • @yoctanchandaromediarevolve9483
    @yoctanchandaromediarevolve9483 4 роки тому +15

    2021tunaingia na msondo gonga like kama unakubaliii

  • @ambroselugezi2187
    @ambroselugezi2187 7 місяців тому

    Mziki wa kweli. Safi sana

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 роки тому +2

    Ni Nyimbo za Mwisho mwisho kupigwa wakiwa wote” Duh Mabera Mwana Kigoma, Momba, TX Moshi, Mahina’ Gurumo, Hakika Watanzania bado Wanawakumbuka”

  • @jumammbaga9974
    @jumammbaga9974 8 місяців тому

    Nyimbo zote za wasafi na kile kituo chao cha kurushia matangazo yao na watangazi wote ni nyimbo moja ya walimwengu

  • @carolynemkutano8086
    @carolynemkutano8086 Рік тому

    Zama zetu aki hadi raha

  • @adamali438
    @adamali438 4 роки тому

    Hahaaaa nakupa talaka kwa shingo upande

  • @MwajanjaPaul
    @MwajanjaPaul 4 місяці тому +1

    msondo. ngoma baab kubwa

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 роки тому +1

    Zinanikumbusha mbali mno hizi nyimbo

  • @machanoalawi9833
    @machanoalawi9833 5 років тому +1

    Nikisiliza moyo wangu unatulia nyimbo kama wanayaona yanayo tokea mtaani

  • @sadickndembo6642
    @sadickndembo6642 6 років тому +2

    Kumbuka baba angu alikua anawapenda

  • @jovinjoseph4887
    @jovinjoseph4887 2 роки тому

    Kutengana kwenu kusiwe chanzo cha uhasama.

  • @musawaziri860
    @musawaziri860 Рік тому

    Kazi mzuri sana

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 6 років тому +3

    Itabaki store tu ila mziki ndio unapotea tamaduni zetu vijana wa leo wanaiga asili za wazungu tulindeni hadhina ya kitanzania jamani 2019 bado naikubali dhahabu yetu

  • @maimunakassim2840
    @maimunakassim2840 3 роки тому +1

    Hii ndio miziki bhana 2021 twende sawa hapa

  • @hamisikaisi461
    @hamisikaisi461 5 років тому +3

    Ilikua kama team ya france ya 98 ya zidane...hatareeeeeee

  • @brunoamir355
    @brunoamir355 3 роки тому

    Mwendo mmemaliza wengine wapo good old is gold

  • @KasibanteTonny-xo3dr
    @KasibanteTonny-xo3dr 11 місяців тому

    Kutengana kwenu kusiwe chanzo cha uhasama.....

  • @samwelinguru2837
    @samwelinguru2837 5 років тому +2

    Heshima kwenu wapendwa msondo ngoma!!!?, MUNGU awapunguzie adhabu ya kabur!!!!!!!!!!.

  • @jumannehamis8699
    @jumannehamis8699 4 роки тому

    Tam tam band kilio cha mtu mzima

  • @tyronsweya4751
    @tyronsweya4751 4 роки тому

    Wakenya tuko hapa kweli

  • @abubakarlipululu3311
    @abubakarlipululu3311 5 років тому +1

    Nakumbuka mbali sana

  • @zakariajoseph9435
    @zakariajoseph9435 9 років тому +14

    Nawakubal sana waliobaki mjitahid Sana

  • @frankezekiel1955
    @frankezekiel1955 2 роки тому +1

    2022 HERE

  • @prosperchrizant5214
    @prosperchrizant5214 5 років тому

    Nikwel mtu anaishi mara moja tu wangelikuwepo ingekuwa Raha sana

  • @ihanomadili
    @ihanomadili Рік тому

    Udongo huu unameza wengi

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 9 місяців тому

    Nyimbo za kizaz cha leo ni uchafi tu

  • @amanothmanhamimu1174
    @amanothmanhamimu1174 3 роки тому +1

    Best of msondo ngoma

  • @sezarialfred6240
    @sezarialfred6240 5 років тому +8

    Moshi pumzika sulema pumzika, ngurumo,pumzika,

  • @mbiyugobo1031
    @mbiyugobo1031 9 років тому +14

    zakaria hawaliobaki hawezi kufikia hii musondo kama hii

  • @kassimghajih5186
    @kassimghajih5186 5 років тому

    Na burudika saana ngoma hiz