SI kupenda kwako kuzaliwa Mwanaume. Chukumu kwako ni nyingi duniani. Lazima kutimiza kadhili ya uwezo wako, hata kama ni matezo, bila kilio Cha kuepa. Dr. Ogeto International
MUNGU awatete wale wote waliofikwa na ajali ya kuangukiwa na ghorofa pale k/koo najua WANAUME watafutaji wapo chini pale wakipigania maisha Yao Mungu awape nguvu na hustahimilivu 14/11/2025......
Ya kale ni dhahabu ,hakika ujumbe mzuri,sauti nzuri,ujumbe wenye elimu,kweli hii ni baba ya muziki,pumzika kwa amani TX mungu waondelee adhabu ya jehanam marehem wote
Mwanaume anapopatwa na matatizo, macho huwa mekundu kwa hasira....lakini katukatu usikate tamaa..................very true, jamani Msondo kibao hiki na vingine vingi vya Msondo vinabamba sana,ila Mungu awarehemu kwa kweli bado mnakumbukwa,makaburi yametunza vipaji vingi sana na hazina. Gurumo, TX Moshi, Said Mabera, Hassan Bitchuka, Mnenge Ramadhani, Lusungu, Muhiddin na wengine
Jumbe, Tax Moshi, Ngurumo hawa majamaa walikuwa ni balaa jingine. Napenda kusikiliza Msondo Ngoma muda wowote nikiwakumbuka. Nyimbo zao zinatia hamasa na moyo. Ahsante. Pumzikeni kwa amani.
we have born by surprise, and we are living while we know that one day we will die and disapear, R.I.P tx moshi William, ngurumo and others, in our memory you will remain forever, msondo ngoma, the best never live lond
Nitakukumbuka tx umekuja home tukaandaa chakula cha mchana ww tx mkeo husseni jumbe ulipo rudi dar baada ya mwezi 1 umefariki na mm baba yangu alifariki muda mfupi ww kufariki mungu awaepushe za na mateso ya kaburini 😭😭😭😭😭
Mnaosikiliza hii 2080 babu zenu tulienjoy sana
Hapa tuliongelewa wanaume wapambanaji sio mashoga❤
Live brother
Naomba anaejua qnambie nani yuko hair hapa
SI kupenda kwako kuzaliwa Mwanaume. Chukumu kwako ni nyingi duniani. Lazima kutimiza kadhili ya uwezo wako, hata kama ni matezo, bila kilio Cha kuepa. Dr. Ogeto International
Nyimbo iliyojaa mguso iyokkmbusha wap unapaswa kusimama km mwanaume ili kuyaweka mambo saw kbl mambo hayajaalibika Mungu atusaidie sana
Dah nyimbo nzur mnoo Mliotutangulia Mungu aendelee kuwaweka mahali pema peponi Amina
MUNGU awatete wale wote waliofikwa na ajali ya kuangukiwa na ghorofa pale k/koo najua WANAUME watafutaji wapo chini pale wakipigania maisha Yao Mungu awape nguvu na hustahimilivu 14/11/2025......
R.I.P Mzee Kikikii Bado Tutakukumbuka kwa Mengi sana. PUMNZIKA kwa Aman 😭🙏
Mungu awaweke mahali pema huko peponi.
Ya kale ni dhahabu ,hakika ujumbe mzuri,sauti nzuri,ujumbe wenye elimu,kweli hii ni baba ya muziki,pumzika kwa amani TX mungu waondelee adhabu ya jehanam marehem wote
Still listening to this song 2024 rip to all those legend 😢
Mwanaume anapopatwa na matatizo, macho huwa mekundu kwa hasira....lakini katukatu usikate tamaa..................very true, jamani Msondo kibao hiki na vingine vingi vya Msondo vinabamba sana,ila Mungu awarehemu kwa kweli bado mnakumbukwa,makaburi yametunza vipaji vingi sana na hazina.
Gurumo, TX Moshi, Said Mabera, Hassan Bitchuka, Mnenge Ramadhani, Lusungu, Muhiddin na wengine
Kwely
Anayekubaliana na Tx kuwa kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa tabu, agonge like nyingi hapa.
Pengo hili halitazibika😍😭😭😭
Jumbe, Tax Moshi, Ngurumo hawa majamaa walikuwa ni balaa jingine. Napenda kusikiliza Msondo Ngoma muda wowote nikiwakumbuka. Nyimbo zao zinatia hamasa na moyo. Ahsante. Pumzikeni kwa amani.
RIP all legends,now we lost Jumbe daah😭😭
msondo ngoma best of the best. .hawana mpinzan 100yrs
Naanza kupata fundisho kwann baba yang alikuwa anipenda hii band dah
R I P msondo
R I P father
Inatufundisha kuwa tunaondoka Duniani
Wasela nondo wa zamani hao! Pumzikeni kwa amani wazee wetu.
Sikia ujumbe huu, nyimbo imetulia na inagonga ukuta, sasa diamond sijui ali kiba ah kibao hichi bana🙏🏼
🤗🤗kula chuma icho
we have born by surprise, and we are living while we know that one day we will die and disapear, R.I.P tx moshi William, ngurumo and others, in our memory you will remain forever, msondo ngoma, the best never live lond
Msondo itabaki ni alama ya bendi bora kwa tunzi na upigaji wa ala mungu uwarehemu wote waliotutoka aamin.
Karibu kwenye dunia ya changa moto na ndoto zisizo timia 💪Wanaume wote aluta continua ..🤙🏻never give up
wanaume kazini hao!!!! aiseeee hawa jamaaa miaka 100. RIP wote
R.I.P TX MOSHI WILLIAM. ..GURUMO n Others We Love u. ..Old is Gold hakuna kama Msondo
eugeniu
Hakita tokea kizazi kam hikii tenaa
Wangapi tupoo Wote hapa 2020 na musond ngomaa like hapa pia Kma unaukubalii wimbo ngonga like Kma zote
Hawa kweli ndio baba ya muziki,Mungu awarehemu
Dah. Msondo ngoma number 1💕💕
Sanaaaa!!
Dah hii ngoma ni balaaaaaaaa hadi leo bado ni kali tu
Nimegundua wanao comment wengi wanaume
Wanaume hoyeee
@2018
Dah,,, mungu awArehemu
Takes me back in time to salaams za adhuhuri kbc idhaa ya taifa na Charles omuga kabisae
Mention the year please,
Wapi Mabera!!!!!1
Who is still watching in 2024?
Here
Tunaenda tukiendaaa😂😂
Npo
duuh! ni kwel yakale ni dhahabu, mungu amefanya kazi yake.
Legends wetu hao dah Suleiman Mbwembwe, Momba, Tx moshi, Ngurumo, Jumbe, Mabele, Romario
Tutawakumbuka sana kwa jumbe zenu nzuri
Wanaume 2meumbwa mateso dah the best song still watching 2019
Macho huwa mekundu kwa uchungu.msondo hawana mpinzani.
The best song Leo naangalia hii 20/01/2020
hawa ndo walikuwa wanaimba sahivi ni fujo na aibu tupu,wimbo raha yake uimbe ukuachie ujumbe.
dah r.i.p wanamsondo.
its remind me back when i was young boy kweli ujana maji ya moto
1st of January, 2023 watching from home with my family. Full of message.
Enzi hairudi nyuma vitu adimu kama hivi vimepita
Here for Jumbe, RIP Hussein Jumbe
Nimevunjika mguu nipo kitandn kwel huu wimbo waliimba wanaume tumeubwa mateso
Pole sana kaka
R.I.P waliotangulia msondo ndio mlikua the best
Msondo ngoma band, the then East Africa's best.
Hussein Jumbe anajua kukatika SANA
Jumbe shikamoo, Tx wewe huna mbadala wala mpinzani,Gurumo pumzika kwa Amani,msondo njie ndie baba wa muziki Tz
Mziki unaongea
22/05/2023, relevant message to our life
Ukipatwa na jambo, usiende kwa waganga, muombe Mungu akusaidie!
Nani mwanaume mwenzangu shida na stress zimemkaba akakumbuka haka ka wimbo. Kamfariji
Still watching this song, early of 2019
Bendi bora kuwahi kutokea ktk huu uso wa dunia
Sio kweli, bendi Bora hapa Africa ni TPOK jazz ya Franco,
Hii ni bendi Bora kwa hapa Tanzania mkuu.
Maoni yangu
Daah nyimbo bora kabsa miaka 100 zaid zitadumu in 2018.11.29
Hakuna mwanaume asiye ujua huu wimbo.
wasafiii 😀😀😀😀
Daa kitambo sana kweli
Asante moshi wilium!!!! msondo ngoma!!!
BANYAI HASSAN mambo
BANYAI HASSAN kwema
Rest in peace huseni jumbe
Old is gold.... good song leo naangalia 10/11/2022
Wanaume wangap 2po apaa 2019
Nakwambia tabu tupu
It's January 2023 but this song still reminds me 2007 while in Daresalam Kariakoo.....legends never die....
2024 like plz jaman
Hz nyimbo tamu sana znaujumbe na znatia hamasa
ewe Mola awape kauli thabiti inshallah
2018 bado naiangalia hii ngoma haijapoteza ladha yake
Yote wanayosema kwenye wimbo huu ni kweli tupu
Daaaah nyimbo hazichuji miaka 1000
Nyimbo za enzi hizo nazipenda
Ukizaliwa mwanaume
Nitakukumbuka tx umekuja home tukaandaa chakula cha mchana ww tx mkeo husseni jumbe ulipo rudi dar baada ya mwezi 1 umefariki na mm baba yangu alifariki muda mfupi ww kufariki mungu awaepushe za na mateso ya kaburini 😭😭😭😭😭
Kila nikiangalia video yako naumia sana namkumbuka marehemu baba yangu na ww tx
rythm ya said mabela jaman mzee analitendea haki Gitaa kama tupamoja gonga like
Jumbe Moshi Karama Maìna Gùrumo Mabera pangamawe Kandaya Bangwe Saad Ally Mnyupe Romario na Ali Rashid mwana Zanzibar
Jamani mimi sandala wanaume kwel tunapambana kila aina
huu ndio mzik saa hawa waimba matusi
Mashoga wasisikilize iih ngoma 27/11/2024
Kwa kweli kibao hiki kinanipa nguvu ajabu na kufanya KAZI bila mchoko😁😄
Safi sana
Huyo ndiyo mzee Mabela
Yaan we acha tu
Kitambo sana
Polen sana wanaume!
safisana shidakwa wanaume ndoukubwa love sog
Nice music very nice.
Asanten bado tunawakumbusha kwa mwimbo nzuri ya huruma kabisha.
awesome history!thank you!
Kiukweri lna ujumbemzurisana kurikizazikipia sichochote nikuza vumbi kwenye matamsha chamana hakuna
Kwa kwel mko vzr
kazi ni kazi jamani. Msondo walikuwa hawana upinzani Africa maybe duniani kote. sikiya wimbo jamani
Yaan mpaka leo bado nyimbo zao zinahiti
Sikinde ndio mabigwa wa muziki Tanzania.kapekue kumbukumbu za Rtd.Msondo nao wakali kinoma.
Wanaume hata bibilia ilisema tutakula kwa jasho
Mungu kawapenda Zaid ila nyimbo zenu zinaishi milele.mpunzike Kwa aman tunadhamini sana mchango wenu
Amina na awapumzishe kwa amani
nawakubali sana enzi hizo
sina lakusema lakini TX mosha na wenzie ni majembe na hawata sahaulika kamwe
18/04/2019 bado inaishi
Aliyeona style ya shakushaku Kama Mimi ni Nani tujuane kwa like plz 2021 still watching this song
Msondo hii hatarii
Love this song.
Legends never die and so is this song
wanaume mateso kweli!!!!