Simba 2-2 Al Ahly | Highlights | African Football League 20/10/2023
Вставка
- Опубліковано 20 жов 2023
- Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63. - Спорт
Bonge la mechi wallah🔥🔥🔥🔥
Spirit ya second half inabidi iwe priority Kwa wachezaji Kwa Full time pale Cairo,sio rahisi ila kwakuwa ni football tutapata matokeo ya kutuvusha inshaallah
it Waz fantastic day and it Waz fantastic event in Africa
Mechi ilikua ya kupendeza.. 👏👏👏🙏
Kwa mkapa hatoki mtu tunawasubiri simba nguvu moja❤❤❤
❤❤❤❤❤ boss tusajili 2 timu mbna ni nzury ila ni mapnguf madg madg
We are eagerly waiting for them,,, kwa mkapa hatoki mtu🦁🦁🦁💪💪
Simba anawatoa Al Ahli Kwa uweza wa Allah t
Dah ilikuwa mechi nzuri sana
Mnazingua sanaaa
Roundi hii patawaka moto lazma tumtoe mungu wetu sote
Mungu ibariki Simba
Highlights mnachelewa sana aise halafu ongezeni dk
Tunaruka nao round hiii
Poor defence for simba Sc😢😢😢
Ukweli Simba Wana defense ya hovyo
Mnyamaaa
Tunashinda yote tumwachie Mungu tukutane trh 29
Nyasi kama hii kenya iko kweli
😀😀😀
Waitoe wap
Simba change!
Azam kama mmeshindwa kazi acheni highlights gani za hivi sasa kama mmelazimishwa?
Miamba miwili
John Boko na Saido wanaigalimu team sana
Simba is too strong
This is simba br
By jt
Good
Wayaaaa
Mnachelewa sana kuweka clip..
❤
Kipa katuangusha gali la pili
haaa 5:06
Shida ya mabeki wa simba kwann wanatoka wote mnatoka wote nyuma mnamwachia nani ujinga huo
Wanatoka wote kwasababu kocha aliwafundisha ivo,kosa sio wacheza,kosa ni kocha,anatakiwa abadilishe maelekezo kwenye ukabaji
tanzania to the world
Simba timu nzr...lkn inabd wasajili fullbek ambazo ztakuwa mbala wa kapombe na Hussein wapumzimke...kule mbele boko,saido na onana dirisha dogo waachwe umri umeenda hawaisaidii timu kwa onna ni ubshoo mwingi unamsumbua naye aondoke tu 8:10 8:10
Mamerodi
MECHI KUBWA KAMA HII HIGHLIGHTS MNAWEKA DAK 8?
Imekwishaaa iyooo
Hawa Al Ahly ni kusifia tu, watakiona mwezi kesho.
Wanakufa nying leo
Hii Mech Makolo walikua Na bahat Saana aisee 😆Goli zilikiua Nyingii Sana 😂😅😁
Subirini na nyinyi dawa yenu inakuja
Kwan wao huon kama walikua na bahat we low IQ
🎉🎉🎉🎉
Huyu ally Salim hatulii golini wanann lkn
Mechi ya Jana azam mnaweka leo duh
Tunawakanda 3 kwao tunaenda kulimwaga droo
Kabla sijamcfu kibu chama nyieee jaman
Amjasema mtasema
Kapombe kaka yangu nakuomba update muda upumzishe Akili, mwili, na misuri umecheza metch nyingi sana . Lile GOLI LA pili ukishindwa kuruka na kuugusa mpira.. izra Patric apewe nafasi.. bocco apumzike awaache wenzake wapate nafasi
Helo tunaliona sisi ila kwa kocha hana kabisa mtazamo huo
huw
ajui wachezaji ww
Hata la kwanza goli lilifungwa mpira ulipitia upande wake
Tatizo la timu yetu.. beki za pembeni HAZINA speed sana ya kufukuzana.. nawashauri musipande wote na kama ukipanda wahi kurudi KWa haraka sanaa.. kapombe anageuzika KIURAHISI na anapokaba asimsindikize adui kurudi NYUMA ya goli KIPA wake.. apumzishwe metch kadhaa..bocco tulia WAACHE WENZAKO WAKINA chilunda nao wacheze
Kula maharage lala mpira muachie baba esther
Patrick ousems mzee wa uchebe rudi simba
Arudi simba,tuwe tunafungwa 5 bila
Wew unaeisemea vibaya simba et simba mbov haikuhusu na hao azam tuta wakanda habar ndio hyo acha itufie simba dam yetu.
Iwe mvua,iwe jua lazima wakae.
kwauwezo wa mungi hatokimtu kwa mkapa
❤🎉😂
Kuna mchezaji WA pembeni anatembea PEKE yake.. sijui Hana MTU WA kumkaba ATATUGHARIMU huyo.. metch ya marudiano MUWE makini
Unyama sas😮😢
😅
Yan jamaa wamekosa magoli meng sna
Wanazngua san sahv
Azam wangese. Bonge la mechi kama hili mnatuletea leo? Halafu dakika chache? Mafala ninyi
Safari hii lazima wakae
Hakika
Z9kk 2.0izo
Azam mnazingua wahamiaji wenu
Waletw
Hii Simba nikubwa mno ila sjui kwann wacheZaji hawajitumi
Al Ahly kapoteza bao mingi sana
Nyingi sio mingi you kenyan
@@aminata3702 who cares? You Tanzanian
We do 😅😅
Yooo
Anatokaje mtuu kwauwezo huu
Kwamkapa
Sio pow mich yamoto sana wazee
Miamba miwili ilikutana hapa! Piga nikupige! Utopolo mmeona iyo?😂
Simba wabovu
Simba wabovu
@@NyawaegaBenjamin-oh4pr ila wee kibondeeee
Azamu munakela
Ndi iv
Azam mnatuangusha mbona clip mnachelewa kutuwekea?
highlight zenu hazijawah kuwa HD
😅
Alisalim hana makosa dakika 25 za kwanza mabeki walkuwa hawana maelewano jamaa walianza mechi kwa kasi sana tubadilike wa Tanzania hakuna timu isiyofungwa wala kipa asofungwa huyu mnaemsema si ndo mlimsifia kule tanga au
Yan nyie azam mechi ya kihistoria kama hii mnawek clip ya dakik 8 mbon mnazngua
Yaan kama mechi yenyewe imejaa utumbo ulitaka wajaze utumbo tu au 😡
@@HamicKauno255
Acha ushabiki wa kishamba simba kubwa kuliko yanga mtake ndo hvyo mkatae ndo hvyo haya tumezndua uwanja sisi wakubwa wadogo sasa mnaruhusiwa kuja kuiga kaka zenu walivyofanya sawa?
@@dsgroup6093 mmezindua uwanja kwa sare ya kukoswa koswa kufungwa litimu libovu halijui kujilinda likipoteza mpira kumbe hujui soka ww
Ni halal kupumzka
😂😂😂😂😂
Ivi nyie azam hz ndo highlight za mechi nzm au shv mnaona mkiweka dk nyingi watu watafaidi kenge nyieee 🤪
sema mnachelew san kutoa highlight mnakela bhn
NaikumbukAhii
sio mbYa wasimbazi