Highlights | Al Ahly SC 1-1 Simba SC | African Football League 24/10/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2023
  • Simba imelazimisha sare ya bao 1-1 mbele ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya #AfricanFootballLeague uliopigwa kwenye Dimba la Cairo nchini Misri.
    Simba wametangulia kwa goli la Sadio Kanoute dakika ya 68 kabla ya Ahly kuchomoa kwa goli la Mahamoud Kahraba dakika ya 75.
    Matokeo haya yanaisukuma nje Simba kwa hasara ya goli la ugenini kufutia sare ya 2-2 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliochezwa Jijini Dar es Salaam.

КОМЕНТАРІ • 42

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Місяць тому +1

    Simba nguvu moja❤❤❤

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Місяць тому +1

    Simba anampa mechi ngumu mnoo Ahly😅

  • @PaulMkwama
    @PaulMkwama 2 місяці тому +1

    Mzinga nimwamba kwelikweli anatialaa sana kutafsili mpila mnaopanga twaomba sana uyu mwamba awekwenye gem kama izi apa

  • @richardmichael7523
    @richardmichael7523 6 місяців тому +3

    Tumebaki kujiamini zaidi tu pindi tunapopata mpira. Pia tuhakikishe kila nafasi inayopatikani inatumika ipasavyo. Mmeonyesha kuwa timu za Afrika Kaskazini sio za kutisha tena.

  • @EvelynDeusi
    @EvelynDeusi Місяць тому

    Unyamaa

  • @PhysicalSecuritySystem
    @PhysicalSecuritySystem 2 місяці тому +1

    Simba tujipange

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 2 місяці тому +1

    safalii atu kubali

  • @AtanasMnkondya-qq7vh
    @AtanasMnkondya-qq7vh 6 місяців тому +1

    Simba dude kubwa

  • @user-qb9zh6vj1w
    @user-qb9zh6vj1w Місяць тому

    Simba mabeki tatizo

  • @hemedkadili6934
    @hemedkadili6934 2 місяці тому

    Safar hii awa tutakufa naooo

  • @abasitwahiru8898
    @abasitwahiru8898 6 місяців тому +8

    Wapili ku comment naombeni like zangu sema simba hawana cha kujitetea tena ccl

  • @masikimhina158
    @masikimhina158 Місяць тому

    Hii mechi simba walifanya makosa mengi sn na ahly walishindwa kuyatumia so inabidi kuwa makini sana kwenye mechi yetu ijayo kwa kweli

  • @user-dz3ud9ot3f
    @user-dz3ud9ot3f 6 місяців тому

    1 be up

  • @ericksamwel4814
    @ericksamwel4814 2 місяці тому

    Maoni yangu kwenye mechi ijayo club bingwa huko Cairo Simba wanakuwa kama hawajiamin mipira ya Kona hawaruki kama wameduwaa hvi Hawana making nzr ya 1v1 kwenye ukabaji na kushambulia tunakuwa kama hatujiamin hivyo game ijayo tupige ball kwa speed na kujiamin tusiwe woga

  • @AmosJakson
    @AmosJakson 2 місяці тому

    Jaman tujipange mpaka tutoboe

  • @JamilaHauzigwa
    @JamilaHauzigwa Місяць тому

    Yallab akatuongoze hapo kesho kutwa

  • @user-js8vk6ze7v
    @user-js8vk6ze7v 3 місяці тому

    Simbanibora

  • @swadahamningo1948
    @swadahamningo1948 2 місяці тому

    Tutakukumbuka baleke

  • @omarymwazema5332
    @omarymwazema5332 3 місяці тому

    muone saidoo alivyosimama

  • @user-zn9zl4kh1w
    @user-zn9zl4kh1w 6 місяців тому

    Simba sijawazoea na jez za blue 💙 naona kama wengine. Wamecheza wote mashetan wekundu❤

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 5 місяців тому +1

    Mechi za Simba dhid ya Hawa ariahal ni big mechi kuliko ya yanga na hii tim

  • @BoniphaceCosta-kd2yw
    @BoniphaceCosta-kd2yw 2 місяці тому

    Tunaishi nao

  • @shanmlawa
    @shanmlawa 6 місяців тому

    Nyie

  • @CarizaidangoteDangote-et2xo
    @CarizaidangoteDangote-et2xo 6 місяців тому

    Kwanini

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 Місяць тому

    Hapa makolo msijifanye mlijitahid

  • @user-xh7py6mp8h
    @user-xh7py6mp8h Місяць тому +1

    Mbn wepec

  • @hamtvonline7281
    @hamtvonline7281 6 місяців тому

    Ukiangalia hii game Simba Kam wamekubali wafungwe licha ya kuwa wanauwezo ...Yan hawaonesh asa Kam wanaitka game

  • @MartinKombe-oc7ie
    @MartinKombe-oc7ie 2 місяці тому

    Simba nguvu moja

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 6 місяців тому

    Off side goli la AFC

    • @groovy5357
      @groovy5357 6 місяців тому

      na goli lao la kipindi cha kwanza haikuwa offside @3:03

    • @CloudfrankIkumbo-ys8bu
      @CloudfrankIkumbo-ys8bu 6 місяців тому +1

      @@groovy5357 aisee hii gem wao walikuwa na viwango vya juu

  • @anthonykamugisha9159
    @anthonykamugisha9159 6 місяців тому +1

    Nikweli Robertinho ni mpuuzi kweli, watu woote anaowatumia pale mbele hakuna mtaalamu kama Philili lkn mpumbavu hajui

    • @nshaijatedy5512
      @nshaijatedy5512 6 місяців тому

      Nenda ue kocha sasa tuone

    • @hemedkagodah1436
      @hemedkagodah1436 6 місяців тому

      Sema mpila haupo hvo hata angekaa phir baleke bench ungeongea tu phir ajawa kwenye form aletwe baleke pale

  • @johnsonideuly5710
    @johnsonideuly5710 Місяць тому

    N; ;. Mb nn; n n n

  • @michaelamon2437
    @michaelamon2437 2 місяці тому +1

    Kibu alizingua sana hii mechi badala atoe pasi kati anakimbilia kufunga na pili sub ya ya chama na kennedy juma ndio walifeli kabisa yaani