Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Aisee narudia huyu dada pembeni mwanzoni Mungu amzidishie ana imba kwa hisia za ndani kbs na yipo vzr sn, dada hongera sn aisee unafaa
Nashukuru Mungu hata hiki kidogo ninachokijua katika Ukristo wangu. Mungu Asante Kwa kunipa upendeleo huu
The last lady on my extreme right, is singing heartfully her singing is very infectious. That is how the cameraman spotted her. Thank you Madam.
Your comment is what was in my heart
Huyu dada mwenye kidude kichwani ni mcheshi sana
Hongereni sanaaa wanakwaya wa Bukoba kwa kipaji mlichopewa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.Mungu awabariki Sanaaa
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa neema na rehema zako katika maisha yangu
Kwakweli amemwuimbia mungu kwa ustadi na maarifa!analeta raha haswa
My church 🔥🙏
Naungana na wanakwaya kusema tu hivi "Niseme nini Eee Bwana .......bigup wanakwaya
Nimefarijika sana kwa wimbo huu,mbarikiwe
Najivunia kuwa Mkatoliki Kwa kweli Namshukuru Mungu kwa kweli
Hongera sana huyu dadangu mzuri
Niseme nni mmi bwana❤❤
Dada uko vizuri umeimba vizuri
More blessings
My favourite song ❤❤❤❤
Watching from Kenya Eldoret diocese 🎉🎉🎉🎉
Utukufu kwa Mungu juu na Amani Duniani kwa watu wenye mapenzi mema
I watch and listen over 100times, I'm blessed
Apart from her natural facial beauty, the lady on the extreme right, is a real chorister with her eyes fixed to the conductor. May all learn from her.
Nimekuelewa dada, wakola. Mno,okomile ekidude omumutwe
huyu mama aliyejifunga kidude kichwani amejitahidi sana kuimba kwa hisia na kutoka moyoni MUNGU ambarki yeye na wanakwaya wote
One of the reason's i love Catholic ❤😊
Hongera sana Wana Catholic ❤❤❤
Atukuzwe Mungu wetu muumba mbingu na nchi 🙏
Kwa kweli tunafaa kumshukuru Mungu Kila siku. 🎉🎉🎉
Asante wakatoliki,najivunia kuwa mkatoliki
Sifa na utukufu kwa Mungu!
Kwakweli shirikisho la kwaya hizi mmetisha sn hasa saut ya pili huyo dada yuko sawa
Hongera sana askofu kilain
Bwana APEWE sifa
Notes za huu wimbo
Mwanula
Huyu dada ameutendea hki huu wimbo
kabisa, ameutendea haki
Interesting hollymass
Amen. Am blessed too
nice mumenifurahisha sana
❤❤❤