IJUE NGUVU YA KUOMBA KIMKAKATI || MAOMBI YA USIKU WA MANANE || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/01/2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 47

  • @NaomieMasoka-xp4ob
    @NaomieMasoka-xp4ob 3 дні тому +4

    My first goal in 2025 ndio hii asante Mungu kwa mafundisho mazuri haya umbariki mtumishi wako🙏

  • @SallySumai
    @SallySumai День тому

    Amen Amen Amen Thank you Jesus🙏🙏 Mwaka 2025 Ni muda wangu wa kuuona Wema wa Bwana kwenye maisha yangu ktk Jina la Yesu🙏🙏

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 3 дні тому +3

    Mwaka huu nitatoa mwili wangu kama tabiu, Ee Mungu nisaidie.

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +3

    Mungu wangu lininde ! Nibariki mbele za maadui wangu ! Bwana nifadili na Neema yako! Kutana nami leo Mungu wangu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu ahsante Yesu Ahsante Mungu fungua nji zote walizofungia wasaidizi wangu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu wangu leo nifungulie Mlango mkuu ! Kumbusha wakumbwa wangu jina langu tenda jambo Bwana

  • @losea9708
    @losea9708 4 дні тому +1

    Ni muda wangu wa kuona wema wa Bwana mwaka huu 🙏🙏🙏🙏

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu Linda uhai wangu ! Nanatakaa kifo cha kufla! Nagemea ajali nagemea uovu katika jina la Yesu kristo! Mungu wangu zuia kuumwa na kichwa kila mahali

  • @reginanicolas8720
    @reginanicolas8720 4 дні тому +1

    Baba wa mbinguni niwezeshe niwe na kesha endelevu.Amina

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Leo hii Mungu waweke aibu maadui zangu! Niinue mbele yao! Tenda jambo Leo Mungu wangu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu nitendee jambo litakalo washangaza watu ! Mungu tenda jambo! Mungu nilinde na uniepushe na mdomo ya watu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu nakuomba mlango Wazi ! Bwana Yesu kristo niongeze Neema ya maarifa zaidi

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu nitetende jambo litakalowasha masikio ya watu! Washangaze Watu Mungu

  • @ElizabethJoseph-nd7nd
    @ElizabethJoseph-nd7nd 4 дні тому +1

    Ewe Mungu nipe neema kwa maombi haya

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 4 дні тому +3

    Zaburi 27:13 Amen amen amen 🙏

  • @losea9708
    @losea9708 4 дні тому +1

    Lord I need this wisdom you gave this man of God tenda kwangu Baba mwaka huu

  • @AvitBenjamin
    @AvitBenjamin 4 дні тому +1

    mtumishi wa Mungu ,Mungu azidi kukutumia nakufatilia

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Mungu nitendee jambo jipya 😅 leo ni siku ya furaha Ahsante Mungu

  • @FranciscaManga-j4c
    @FranciscaManga-j4c 3 дні тому

    Amen paster mungu akubariki sana hakika najihisi tofauti sana katika mwaka huu ,,❤❤

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +1

    Nakataa kifo cha uchawi! Nakataa mateso ya wachawi! Kila yoyote aliroga jina langu na maisha yangu nagemea katika jina la Yesu kristo

  • @MichaelTemu
    @MichaelTemu 4 дні тому +1

    Ee Mungu naomba msaada was Roho Mtakatifu ili aniwezeshe

  • @flaviafumo-s6i
    @flaviafumo-s6i 3 дні тому

    Amen 🙏🙏 nitauona wema wa bwana mwaka huu

  • @violetnafula4948
    @violetnafula4948 4 дні тому +3

    Mungu wangu niko mzigo wa madeni fungua njia zangu nilipe madeni Mungu wangu 😢

  • @WinnieEmmanuel-d7b
    @WinnieEmmanuel-d7b 2 дні тому

    Najiungamanisha na madhabau hii kwa JINA LA YESU KIRSTO

  • @HaronKithinji-p3v
    @HaronKithinji-p3v 4 дні тому

    God bless you Man of God for your teaching Ward of God

  • @borasimukindje9633
    @borasimukindje9633 4 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ Amen kubwa

  • @FlorenceMatipa
    @FlorenceMatipa 4 дні тому

    Mungu akubariki

  • @prisca4612
    @prisca4612 4 дні тому

    Amen!!!!!

  • @christinaemanuelyusta4228
    @christinaemanuelyusta4228 6 годин тому

    Amen pastor 2025 ni mwaka wa mateka wangu

    • @christinaemanuelyusta4228
      @christinaemanuelyusta4228 6 годин тому

      Eeeh Baba naomba kesha endelevu Kila siku amen,nabarikiwa Sana mafundisho yako pastor nipo chalinze .

  • @HekaluEliastaifajipya
    @HekaluEliastaifajipya 3 дні тому

    Amen 🇨🇩

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 2 дні тому +2

    Kwa hili nimesaidika kesha langu limelemewa najipata nalemewa wakati ambao niliuweka kuomba itabidi nibadilishe,nilikuwa vizuri but Naona uzito saahii.

  • @borasimukindje9633
    @borasimukindje9633 4 дні тому

    Amen kubwa

  • @annapeter1280
    @annapeter1280 4 дні тому

    Ameen

  • @TumainiManga
    @TumainiManga 4 дні тому

    Amina

  • @RejoyceElibariki
    @RejoyceElibariki 4 дні тому

    Nahitaji vitabu vya maombi napataje Niko dar

  • @RejoyceElibariki
    @RejoyceElibariki 4 дні тому

    Mtumishi nahitaji vitabu vya maombi napajajw

  •  3 дні тому

    Amen🙏

  • @SidiBaya-v5f
    @SidiBaya-v5f 4 дні тому

    Ameeen

  • @TumainiManga
    @TumainiManga 4 дні тому

    Amina

  • @dorakaseamuli
    @dorakaseamuli 4 дні тому

    Amen

  • @elizabetharafumin8087
    @elizabetharafumin8087 3 дні тому +1

    Amen

  • @elizabetharafumin8087
    @elizabetharafumin8087 3 дні тому +1

    Amen

  • @elizabetharafumin8087
    @elizabetharafumin8087 3 дні тому +1

    Amen

  • @AnithaAlekunda
    @AnithaAlekunda 2 дні тому +1

    Amen