TABIA ZA MAOMBI YA USHINDI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 17-09-2022
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Kupitia haya madhibahu na kwa haya maombi kweli nimethibitisha hakuna linalomshinda Mungu,ameweza kufungua ndugu yangu kutoka ndani ya umateka wa giza ambao umemsumbua kwa mda mwingi 🙏hakika ninayo ushuhuda na Mungu awabariki sana🙏🙏🙏🙏🙌
Amina Pastor George nimebarikiwa sana, Mungu azidi kukuinua Mtumishi, Barikiwa
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu mafundisho yako yanibariki sana hakika roho mtakatifu anakutumia sana
Lord Jesus deliver me by you blood 🙏🙏🙏
Amen amen amen 🙏💖
Amen 🙏
Napataje kitabu hicho
Ameeéen Barikiwa sana
Tunaomba tawi kilimanjaro
Amen Amen Amen Asante Yesu unastahili kuabudiwa 🙌
Tunabarikiwa mno maombi haya yamenivusha kabisa blessed dady
Aminaa Barikiwa Sanaa Pastor
Mtumishi tunaomba namba ya simu
Amen Amen b blsd 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Sauti tutengenezeen vizuri
Hicho kitabu tutakipataje tulio mbali???