Simanzi na Majonzi, Askofu Musomba Asimulia Alivyovamiwa na Majambazi na Kutaka Kumuua, Akiwa Padre

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2022
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

КОМЕНТАРІ • 12

  • @monicamonica1511
    @monicamonica1511 2 роки тому +4

    Pole sana Baba Askofu kwa kuumizwa na majambazi.Wengine tunajifunza kitu kwako Hatukati tamaa.Kumbe kwa mateso hayo pia ni sehemu iliyokutia moyo katika kuuishi wito wako.Hata watakatifu wengi kwenye historia tunasoma kwamba walipitia mateso mengi sana na manyanyaso pia.Pole sana Muhashamu baba Askofu.

  • @marysona9999
    @marysona9999 Рік тому +1

    Pole sana baba Askofu, mpole sana na mnyenyekevu, Hata mahubiri yako yanatuvuta kukusikiliza na kupata tafakari ya siku.

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 Рік тому +1

    Hongera sana baba askofu mpole ,, mnyenyeku,,unastahili kuwa askofu uko tayari kufa kwa ajili ya mwingine

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 2 роки тому +3

    Pole sana baba mungu wa yesu kristo alikupigania endelea kumtumikia mungu

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 2 роки тому +2

    Jaman baba askofu pole sana. Wasamehe watu hao

  • @agripinakimath5396
    @agripinakimath5396 2 роки тому

    Pole Sana baba yetu, Mungu ana kusudi na wewe. Kaza mwendo baba

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 Рік тому

    Pole sana Baba kwa mateso uliyoyapata

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 роки тому

    Pole sana Askofu kwa hayo yaliyokupata

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому

    Pole sana Baba Askofu!

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 Рік тому

    Hata kwa muonekano wako hakika wewe ni Asikofu Mungu akubariki

  • @dionisiabaynit2916
    @dionisiabaynit2916 2 роки тому

    Pole Sana baba askofu

  • @adelakandidus4764
    @adelakandidus4764 2 роки тому

    duu pole sana yani majambazi hawachagui wakuwavamia