Fr Rwejuna, Padre Mwenye Kipaji cha Ajabu cha Kufundish/Mafundisho yake yakubalika na Wengi/Shuhudia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @meshackmtewele1942
    @meshackmtewele1942 3 роки тому +3

    Amina mtumishi upadre Ni wa Mungu na Padre Ni wa Mungu 🙏🙏 Nami ni wa Mungu na kipaji changu na wito wangu Ni wa Mungu Amina

  • @elionorakimath216
    @elionorakimath216 3 роки тому +1

    Congratulations Fr Almachius Rwejuna.Keep it up Fr.

  • @upendojuliassanga3663
    @upendojuliassanga3663 3 роки тому +1

    Amina kweli Mungu anagawa vipaji

  • @erickalbert4460
    @erickalbert4460 3 роки тому +4

    Nimeshiriki Misa zake nyingi alipokuwa masomoni dsm sana kipindi kile kigango cha bikira Maria Immakulata pande Msakuzi sasa parokia
    Ilihamasisha sana watu kusali
    Mungu azidi kumlinda na kumuongoza na kumbariki
    Pamoja na makleri wote katika wito wao
    Tumsifu yesu kristo

    • @paulinafelix9788
      @paulinafelix9788 2 роки тому

      Yes aliwahi fanya ibada pale Bikira Maria consolata makabe kipindi anasoma ,,,mahubiri yake n mazuri na yakujenga sana kiimani

  • @bimenyimanaclaude8297
    @bimenyimanaclaude8297 Рік тому

    💯💟

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 3 роки тому +1

    Niseme 2 Amina

  • @rwejunastavius259
    @rwejunastavius259 3 роки тому

    Ongera sana Fr ,Rwejuna, somo wangu.

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 3 роки тому +1

    Amina

  • @fridolinusboniface3574
    @fridolinusboniface3574 3 роки тому +1

    Moto wa kuotea mbali mwanamahesabu huyu.

    • @butungo1
      @butungo1 2 роки тому

      A good man, a good priest, a friend indeed