Jolie - UOGA (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 361

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 5 років тому +253

    Wangapi tunapenda nyimbo kama hizi☝️☝️

  • @KidotiMartha
    @KidotiMartha 9 місяців тому +13

    Kama umetazama 2024 like hapa😢 nimemmistu yaan

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 8 місяців тому +2

    Daaa nimekumbuka mbali jolie jamani mbona upo kimya sana 2024

  • @allymawazo6370
    @allymawazo6370 5 років тому +16

    Kama unamkubali jolie since day one kama mimi gonga like hapa

  • @veronicacharles9197
    @veronicacharles9197 5 років тому +33

    Toka 'bado mapema' nmekua nakufuatilia sana...in love with your voice Jolie go go

  • @vailethmsigwa1546
    @vailethmsigwa1546 5 років тому +120

    Kma unamkubali malkia wa bongo jolie gonga like

  • @joycesinkala225
    @joycesinkala225 2 роки тому +1

    Yaani nhuu wimbo kwakweli mlitulia kuupangilia mzuli mnooo ukiimbwa kwenye sabufa unasaau kama utakuja kufa jamani mzuli Sana 💓💓💓💓💓

  • @z-style1982
    @z-style1982 4 роки тому +2

    katika wasanii wa kike ninao wakubar hapa TZ number 01 ni jolie, keep it up dada

  • @real_unforgettablereallife4821
    @real_unforgettablereallife4821 5 років тому +70

    Hii sauti ya huyu Dada inaweza Fanya polisi wakuruhusu utembee na bangi ndani ya mfuko wa rambo

  • @suhailaomar5338
    @suhailaomar5338 5 років тому +8

    Like hpa km umetoka kuangalia song mpya "sina' ya mwana dada jolie then ukaona uziangalie nyimbo zke zote🙌🙌🔥🔥

  • @royalprinceke6337
    @royalprinceke6337 5 років тому +50

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💞💞big love Jolie

  • @pendoilanda3875
    @pendoilanda3875 5 років тому +28

    Nakupend sanaaaa❤️❤️ 💞 jolie nic nyimbo 😍😍😍😍

  • @maryngamema7205
    @maryngamema7205 5 років тому +83

    wakurukaruka nao sio mimi wanao mkubali jolie kama mm like basi tujuane jifanye unajikuna🙌🙋

  • @godwinbenedict4146
    @godwinbenedict4146 5 років тому +20

    We dada unajua sanaaa, nakupenda mnoo, basi tu, yaani sauti yako inanikosha mnooo, dah

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 років тому +33

    Tulio kua tunasubli video kwa hamu tujiane 🇹🇿🇱🇷🇱🇸🇳🇫🇲🇻🇲🇹🇲🇿🇳🇴🇲🇾🇳🇦🇳🇪🇳🇷🇲🇿🇲🇿🇲🇻🇳🇺🇳🇬🇲🇼

  • @jescakonyanza2726
    @jescakonyanza2726 Рік тому +1

    😢 Jolie please come back we miss you girl

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 5 років тому +14

    254🇰🇪 rep 966🇸🇦....nimewakilisha hapa kuhakikisha tumegonga 1M+.....

  • @acquinno254
    @acquinno254 5 років тому +33

    Nakupenda bure mami, all the love from 254😘😘. Kuja tufanye collabo😜😜

  • @mssnee1762
    @mssnee1762 5 років тому +11

    nakupenda sana so sili weee ukiniacha utanivuluga🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌#Uoga

  • @raheemaal-hady9328
    @raheemaal-hady9328 5 років тому

    Sweet voice.. Hit song.. Beautiful Singer... lovely name...♡♡♡Go Girl! Utafika mbali sana kwa uwezo wa Mungu

  • @iyshachimamy7455
    @iyshachimamy7455 4 роки тому +1

    Joel❤️♥️🥰 sijawahi kujuta kusikiliza mziki wako never give up dada

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 5 років тому +3

    Jolie Am Yo Big Fan Since Day Uno! Natamani Kuona Colabo Wewe Na Dada Grace Matata Kama Ambavyo Huwa Nasema Kila Siku!!

    • @jazrajamal1582
      @jazrajamal1582 5 років тому

      my nice songs very good work that's a good dedication

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 5 років тому +1

    Jolie kipenzi changu roho yng go go mama 😍😍😍

  • @isaacadam3898
    @isaacadam3898 Рік тому

    Nikimkumbuka dada yako Jessy huwa nakuja huku kujifariji na nyimbo zako she was one of my best friend. May the lord rest her in heaven piece

  • @athmanihha1783
    @athmanihha1783 5 років тому +8

    Nice Jolie nakupenda buree from 254

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 5 років тому +1

    Woyoooo kama maua Sama vile hapa nakupenda

  • @PmodernTheArtist
    @PmodernTheArtist 5 років тому +9

    all the way from Canada,nice song Jolie

  • @geeabby746
    @geeabby746 5 років тому +5

    Sauti yake tyuuu ni🔥, she is so talented, if you lov her thunb up🤓.

  • @antonylameck
    @antonylameck Рік тому

    Jaman jolie umenifanya nikakumbuka mbali sana nikiwa chuoni cos of your songs not only this but also others songs

  • @KiddybeatzOfficial
    @KiddybeatzOfficial 2 роки тому +1

    Hatariiii

  • @michaelkichaka7596
    @michaelkichaka7596 5 років тому

    Love you Jolie hadi naogopa
    Yaani ni uoga tu ila wa kucheza mimi ni wew
    Love your sound

  • @hamisisha
    @hamisisha 5 років тому +33

    Dada yangu wewe utajaza cm yangu kwa #Songs zako nakupenda sana kwa hiyo sauti yako ya chocolate😘

    • @mjemamussa1223
      @mjemamussa1223 5 років тому

      hamisi sheby 😂😂😂😂sauti ya chocolate wat kind of line is that

  • @mkandarasi1946
    @mkandarasi1946 5 років тому +4

    REPLAY HAPA KUONGEA CHOCHOTE JUU YA STAR AJAE #JOLIE 🙌🏿

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 5 років тому +17

    Uyu dada atakuja kwa bonge la star ..watch her

  • @anitaasimwe3346
    @anitaasimwe3346 5 років тому +4

    Nakupenda bure jolie umeimba vizuri sana

  • @queenkhalimaqueenkhalima3174
    @queenkhalimaqueenkhalima3174 5 років тому +3

    Mwaenzako nakupenda sana hadi UOGa chiiiii..

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 3 роки тому +1

    Hii nyimbo n nzuur sanaaaa

  • @isamiloprezdent6807
    @isamiloprezdent6807 5 років тому +1

    Ujawai kukoseaaaaaaaaa

  • @nasrahmohamedy2848
    @nasrahmohamedy2848 5 років тому +5

    Ucje change pigo🤗 uoga Mwenzako nakupenda sana

  • @everngonyani2001
    @everngonyani2001 5 років тому +2

    Nakupenda wewe peke ako Jolie kazi nzuri💝💞

  • @upendogerlad594
    @upendogerlad594 5 років тому

    Dada nakupenda... Yaaan huu wimbo mm naona umenitungia 😘😘😘💥💥💥💥💣

  • @ishamafie8644
    @ishamafie8644 5 років тому +4

    Gonga like kama umeikubal ngomaaa 👆👆👆

  • @ezzy_tv3143
    @ezzy_tv3143 5 років тому +2

    always unafanya kaz nzur sana @jolie

  • @nasramohamed6384
    @nasramohamed6384 5 років тому +2

    Jolie unajua kuimba sana Allah akuongoze ufike mbalii

  • @catherinerothbletz6496
    @catherinerothbletz6496 5 років тому +3

    Jolie unajua sanaaaaaaaaaaaaa, this is amazing i love your music keep it up

  • @evangelineniyukuri4234
    @evangelineniyukuri4234 5 років тому +9

    Nice nyimbo 👍💙💜❤️💕💗🌹 Jolie

  • @vicentvenent447
    @vicentvenent447 4 роки тому

    Namkubali sana huyu dada...anajua na anaimba kwa hisia zote....

  • @smartestkid7012
    @smartestkid7012 5 років тому +8

    yaani,it's a good music,can't stop listening

  • @mussasellemani8220
    @mussasellemani8220 5 років тому +11

    Uko vizuli dada huja waiii kuhalibu yn🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Lee-bd9xd
    @Lee-bd9xd 5 років тому +1

    Nashindwa hata kuelezea hisia zang kwa huyu Dada talent moj kubwa sn nakuona mbl sn #jolie

  • @nuruifuge7625
    @nuruifuge7625 5 років тому +2

    ukiniacha utanivuluga, Love you Jolie ❤️❤️

  • @mr.agastrobert9157
    @mr.agastrobert9157 5 років тому

    Ngoma Kali Jolie ,, jtahad Sana usikate tamaa.. I'm believe that one day you will be a greatest singer in tz

  • @adamngarama8743
    @adamngarama8743 5 років тому +1

    Nmetafta sana huu wimbo na leo nmemjua jina la wimbo na muimbaji
    Ni baada ya miezi mi3 ila kwangu kama imetoka leo

  • @innocentpaschal7539
    @innocentpaschal7539 5 років тому +3

    Ujawah kuniangusha mrembo ngoma kali 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jesicananyaro9942
    @jesicananyaro9942 5 років тому +3

    Keep going dr,, in love with talented one like u,, appreciated!!!

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 5 років тому +5

    254 let's support this talented song writer.

  • @richmitindo4695
    @richmitindo4695 5 років тому +1

    Petii Hatariii hiiii Uwezo wa hali juuu🙌🙌

  • @giftbebe1386
    @giftbebe1386 5 років тому +4

    Nc sanaaa jolie ukoo vizuri ndugu

  • @lilianmwinuka9236
    @lilianmwinuka9236 5 років тому +10

    Unajuaaaa Jolie, so proud of u😍

  • @stelasimon9132
    @stelasimon9132 5 років тому +1

    nakukubali Dada
    upo vzr

  • @kelvin_mnene.6215
    @kelvin_mnene.6215 5 років тому +1

    Kwanza aunaga skendo pili unajitambua sana nyimbo zako ni noma sanaaa hii ni nyimbo nzuriiii sanaa.

  • @eliadaashery2805
    @eliadaashery2805 5 років тому

    Nakupenda mumy jolie nice song BG up

  • @mussamohameddy8082
    @mussamohameddy8082 4 роки тому

    Jolie unakwama wap dada, nakukubal kinomoa..good music alive...here 2020...idon't want any like just here to enjoy da music

  • @saulabraham6461
    @saulabraham6461 5 років тому

    Nyota njema huonekana asubuhi,saf sana Jolie wewe unajua mpaka umepitiliza.

  • @othmankhaleed3158
    @othmankhaleed3158 5 років тому

    One of the best song I have ever listen from a such talented young female artist from bongo(THT) Ruge Rest in peace brother

  • @pettykemmy4846
    @pettykemmy4846 5 років тому

    Polee sana kwa msiba da jolie...mungu akupe nguvu zaid

  • @meesakitomari4717
    @meesakitomari4717 5 років тому +1

    wimbo mzuri 😚

  • @saracharles304
    @saracharles304 5 років тому +1

    Unanikoshaga sana, nilikua naisubir hii ngoma ni fireeeee

  • @allymawazo6370
    @allymawazo6370 5 років тому +3

    Hizo back vocals dah🥰

  • @biusimohamed1049
    @biusimohamed1049 5 років тому

    Love u so much jolie mungu akujalie kheri kwenye kaz zako ufike mbali

  • @mickyplanmaker9053
    @mickyplanmaker9053 3 роки тому +2

    Favorite Song❤️

  • @avitusmutatina296
    @avitusmutatina296 3 роки тому

    Hongera dada kazana uku ukiendelea kumuomba mungu kwakila jambo

  • @shamimunkungunkungu5144
    @shamimunkungunkungu5144 4 роки тому +1

    This is my favorite song ever. I do listen always

  • @alenabelkinoni6571
    @alenabelkinoni6571 5 років тому +3

    Nyimbo nzur Dada yangu

  • @nkanenoel8357
    @nkanenoel8357 5 років тому

    Tamu kama asali
    Kuipata fanya bidii
    Utadundadunda....
    Nyimbo mzuri
    Sauti mzuri
    Msanii mzuri

  • @pendojuma9624
    @pendojuma9624 5 років тому +4

    Mmmh uko bzr mama big up to u

  • @alicelutaremwa3597
    @alicelutaremwa3597 5 років тому

    nakupenda jolie, Mungu azid kukuinua zaidi na zaid.

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 років тому +3

    wapili hapa kazi kali sana

  • @fikirirevocatus6626
    @fikirirevocatus6626 5 років тому +2

    Our queen 😍😍😍😍

  • @asheilla
    @asheilla 3 роки тому

    Minakupendaga Tu with or without mziki ❤️

  • @djthunderstormkenya3238
    @djthunderstormkenya3238 5 років тому

    Jolie on top. Much love from 254 Kenya. Omaaa Gad this song 🔥🔥🔥

  • @xtrem8278
    @xtrem8278 5 років тому +1

    pole sana dada kwa musimba Nakukubali kabisa

  • @mrfranciscocharles8138
    @mrfranciscocharles8138 5 років тому

    Wooow nice song Ms Jolie, usije change baby ''uwoga''❤❤❤❤

  • @Terryn_Wangui
    @Terryn_Wangui 5 років тому +2

    You're so underrated but greatness is awaiting.❣️

  • @PmodernTheArtist
    @PmodernTheArtist 5 років тому +4

    kazi nzuri, keep going

  • @suleymanathman4085
    @suleymanathman4085 5 років тому

    We mdada c unaweza sana.. 💯😊❤️❤️🔥🔥🔥

  • @kauthariramadhani1526
    @kauthariramadhani1526 5 років тому +1

    🔥🔥🔥 kazi nzur sweet

  • @elizabethkituli1693
    @elizabethkituli1693 4 роки тому

    Usije chenji pendoo, nakupendaa sana

  • @galdemsugar
    @galdemsugar 5 років тому +1

    From Kenya more love 😍😍 nice song

  • @rojatv167
    @rojatv167 3 роки тому

    Ngoma tam Sana😍😍😍😍

  • @johnsonantony4903
    @johnsonantony4903 5 років тому

    Daaaaa aloooo kweli vipaji vipo alooooo

  • @Suleiman._bey
    @Suleiman._bey 5 років тому +2

    Napenda sana masong yako

  • @jukebob1895
    @jukebob1895 5 років тому +2

    noma na nusu mama umeuaaaaaa 🔥🔥🔥

  • @festojackson8087
    @festojackson8087 5 років тому

    Kubali sana dada never give up penda sanaaaaa,

  • @abdallahabubakar933
    @abdallahabubakar933 5 років тому +1

    ngoma kama hizi zina tufa sana tunao penda halafu hatu semi good

  • @modestangalembula9659
    @modestangalembula9659 5 років тому +3

    lol jmn hii video nimesubiriiii sna big up mamy unajua Sana

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 років тому +1

    Wimbo mzuriii saaanaa na video nzuri keep it up Jolie 🙏

  • @jophaxbeat900
    @jophaxbeat900 5 років тому +1

    i believe in you jolie.....much love love

  • @twingaboyboy8231
    @twingaboyboy8231 5 років тому +1

    Ngoma Kali sana

  • @qnmaxtz5811
    @qnmaxtz5811 5 років тому

    Big up jolie unajitahid sana😍😍