#IBRAHnation SALUTE Kwako Hii Ngoma UMEANDIKA MZEEE #JOLIE Hongera Pia U KILLED THE VOLCALS na audio Producer YUKO VYEmA #GeneouzJeff the Director BRIGHtness Ungeiongeza Na EMOTIONS zingeenda VYEMA kama Video Ingezidi u'Realistic Hv zaidi ya Ilivyo. Maoni yangu Tu
Najikuta na happy japo nipo empty, Bonge la Ngomaaaaaaaaaaaaaa, Asie elewa atoke, From south Africa🇿🇦🇿🇦🇿🇦 cape Town wayneberg home sweet home; Lov ma country Tanzania🇹🇿 miss home Tz
salute to you Jolie.. . and all i wanna listen to is this song,i can't get enough of this song.Your music oh my God, You give music its meaning.. I love you and work well done.
like the song and the video production rangi ziko powa pia locations walizo chagua zina balance ila director ajavaa hisia za mahudhui ya nyimbo mtu asie zungumza lughaa iliyo tumika kwenye nyimbo nivingumu kuangalia video hata akabashiri kinachozungumziwa ila naamini tunapo kosoana ndiyo mwanzo wa kujifunza nzaidi keep it up
Huyu mtoto sjui yupo wap jmn..alikua anajua mnooo...akiimba una feel..km upo 2024 ebu nmbie
Huyu mdada was Tz ameishi kunimaliza na utamu wa sauti na mtindo wa nyimbo zake aisee ,,,,😍😍😍😍😘😘
Nani anamkubali Huyu dada aweke like hapa
This song was underrated. Who's still listening to this masterpiece in 2020? #quarantine
Ambao bado tunaskiliza hii kitu hii 2023 tujuwane
Can't tired listening this beautiful voice 2020
Who's here with me?
Am here with you this 2021 lol😊😊
2022 who is here with me 😍😋
Who still watch this beautiful song, October 2019?
Me 2020
2022 like please
Hii ngoma tamu sana kila nikiiskiliza ulitisha malkia wa nguvu 🔥 🔥
#IBRAHnation SALUTE Kwako Hii Ngoma UMEANDIKA MZEEE
#JOLIE Hongera Pia U KILLED THE VOLCALS na audio Producer YUKO VYEmA
#GeneouzJeff the Director BRIGHtness Ungeiongeza Na EMOTIONS zingeenda VYEMA kama Video Ingezidi u'Realistic Hv zaidi ya Ilivyo.
Maoni yangu Tu
onezMo 130 haahhaa nawe Si Msanii ngoja Tuone YAKO
onezMo 130 Naskia rahaa Sanaa napoisikia hii Ngoma yako daaah hata sina kitu najikuta mi bonge la boss, Moyo wangu una happy Sanaa, lv kwako
Najikuta na happy japo nipo empty, Bonge la Ngomaaaaaaaaaaaaaa, Asie elewa atoke, From south Africa🇿🇦🇿🇦🇿🇦 cape Town wayneberg home sweet home; Lov ma country Tanzania🇹🇿 miss home Tz
Daahh mm nilikuwa cape Town city hapo hapo Woodstock nimekaa hapo 2 years now npo Dubai UAE
Pamoja Sana mdau ngoma ya sister inatugusa na imetulia sio poaa.. +27 783412304
@@abdallahmohamad6991 Kabisaaa Man
salute to you Jolie..
. and all i wanna listen to is this song,i can't get enough of this song.Your music oh my God,
You give music its meaning.. I love you and work well done.
Nisamehe ndyo nmeiiona Leo feeling very guilty daaah I lop u jolie.......NYC hit
nime penda kilakitu kwenye uhuu wimbo ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kali nmeikumbuka leo 2024 nkaona niitafute ❤
VERSE 1
Makosa yangu nimekubali na nimekuomba msamaha
Ila mwenzangu wala hujali na huniamini tena...
Lini utaguswa na machoozi yangu Unifutee, Lini utafuraaahhi?
CHORUS
Mara uninunie,Ukilewa pombe chupa unitupie ooooh
Mapenzi uniibie....najifanya sioni wacha nisiskie oooh
Mbona bado mapemaaa uùuuh
Kuyaona hayaa aaaiyaaa
Umeshindwa kuyaficha makucha yako,mbona huishwi na visa na mpenzi wako?
VERSE 2
Mawazo yako huko mbali hivyo sivyo nilivyo
Unavyowaza na kufikiri huko siko niliko, na sitoacha kukupa love japo hujali
Najipa moyo nakusubiri
Lini utaguswa na machoozi yangu Unifutee, Lini utafuraaahhi?
CHORUS
Mara uninunie,Ukilewa pombe chupa unitupie ooooh
Mapenzi uniibie....najifanya sioni wacha nisiskie oooh
Mbona bado mapemaaa uùuuh
hayaa aaaiyaaa
Bora ungeficha makucha .....
mbona huishwi na visaaa.....?
Outro........
UK njema
noma ssna
Tishaaaa
Zoouuh Love
+Jenipher Kanumba sana tu
Kama umeelwa hii ngoma gonga like hapaa
EZMO why?
nimeikubali sana hadi sio poa an
EZMO napenda
Sana
EZMO nice song
Nice
We dada mziki unaujua,,,,sana ,,,kama rihhana,,,,aseh unaimba internation music,,,,,
bado mapema 2019........ like twende sawa +255
jolie for real nyimbo zko nazipenda hadi bac
Hunizidi mm
Jolie ujawah kunichosha
Nime elewa sana ngoma video kali , ina touch hisia zidisha ubunifu ,jolie
Hey producer ndo anahusika na vedio
Jolie you really are very talented mamy.Keep doing the amaizing music.♥️
Fluffy dresses😍😃
Lini utaguswa na machoz yangu😢😢😢😢
dah Mpak leo nakomaaga na ngoma hii coz naielewaga san
napenda sana uvaaji wako. huvai uchi sana kama wasanii wengine. hongera sana mdogo wangu.
Lini utaguswa na machozi yanguu😭😭🔥🔥2021💥♥️
Such a work of art,never get tired listening to this masterpiece,keep up the good work🙏🏼
Siosiri nakupendag cn we mdada napend kusikiliza nyimbo zako👌👌❤❤ Fro Burundi
sichoki kusikiliza wimbo huu jaman dah ,,,very fantastic one
Never cant listen this music, melody🔥, voice 🔥, idea🔥, hongera sana 🎉
Wangap huu wimbo tunangalia 2024😢
Jolie nimerudi hapa kusikiliza hii nyimbo 2023 wewe ni another level jamani kwanini ulitukimbia mafans wako?😢 Rudi tena pls
Dah nyimbo Kali kinomaa Pasua anga dada uko vizuri sanaaa
Julius Sanane
wacha nisikiie mbona bado mapema dah.###
nice song
Kali kinyaaama Big up sister
Muziki unaoishi ndo huu sio wanaimba matusi wanadai ni muziki. This song will exist forever
Keep up utafika mbal, kidogodogo ndo mwendo
sauti nzuriiiiiii... mashaharaaaaaaa
MARY MLELWA umeona eee
Jimbo langu ilo nalikubali sana, kazi nzuri #jolie
Nurhaty
Sana Jolie MBNA bado mapema
Hongera sana mdogo wangu, kazana ufikie malengo video iko poa sanaaa! 😍😍
Jolie unajua mama hivyo tu tokea na bright mimi nakuelewa sana
kama tupo wote October 2024 tunasikiliza wote bonge hill la song tujuwane kwa like
am here
i was searching for this song....Buh am glad i found it 🔥🔥
This is an intercontinental ballistic missile..kudos girl
I haven't been knowing about this girl!
Thanks I have known.
I appreciate your work.
Jolie you are gifted. Great voice great talent. Keep it up
4ril
May God bless you and keep providing quality music
Gud music
Nice song mom
Bora Hajayaficha Makucha Maaana Angekuowa Ingekuwa Mara Duuufuu hayooo!
sawa sawa
😂😂😂
Such pure vibe♡ hitting deep in 2022. she deserves 2M views 👏
Nampenda saana jolie nanapenda kaz zake since day 1
kila kitu checked,,siwezi kosoa. nimeipenda saaaana..sauti pia imenivutia..kazi nzuri.
Lit ...kalii sna
Nampenda xn huyu manzi ana nyimbo nzuri
Ngoma hii inanifanya nikupende sana jolie
like the song and the video production rangi ziko powa pia locations walizo chagua zina balance ila director ajavaa hisia za mahudhui ya nyimbo mtu asie zungumza lughaa iliyo tumika kwenye nyimbo nivingumu kuangalia video hata akabashiri kinachozungumziwa ila naamini tunapo kosoana ndiyo mwanzo wa kujifunza nzaidi keep it up
Hello am from havana..cuba.this song is 🔥🔥
ngoma nzito julie
God bless you
Daaah hatar sana nyimbo haish ladha hii
Best song. Best. Video. I proud of you my. Tanzanian girl
Mala uninue ukilewa chupa unitupie bado mapemaaaa imenigusa sana hii nyimbo kama uliniimbia mm
Ohhhhhh it's amazing ile siku una shoot chuo sikujua kuw we ndo Jolie keep moving
duuuh! hiingoma nimeielewa sana since day one
One love bidada Jolie kaza buti mdogo mdogo ndio mwendo goma liko POA beat imetulia keep on one day all be alright
ibranation and jolie,,kazi imeonekana wakuu,,good music
2019 llike
Nice nyimbo nzuli hongela sana dada yangu Jolie
Keep it 100...ur talented af this is and will aways be my favourite" #love
Naupendaaa snaa wimbo saut nzur pia wewe n firee 😍😍
Mchawi peke yake ndo awezi kukubali Asnante kwa nyimbo nzuri
Anii jolie me hizi ngoma sizielewagi ila huwezi amini huwaga inajirud kichwni toka niisikie
Jolie Love you
Naupenda huu wimbo bure yani
huyu Dada anajuaaaaaa......don't give up ull get higher
Me sisemi tena anahitaji sapoti yetu huyu binti anajua hatari...yuko peke yake kisauti mpaka mashahili.
Ndio naiona leo...bonge la ngoma
2020 naimba nalia nafurahi hii ngoma haichuji💥💥💥✊🏽
Golden Voice... Great Work.I salute You Jolie!!!!
jamani huu wimbo naupenda viishe
Not an average shiit 🔥🔥🔥 2023 still feelin it !
Dada nakuona mbalii bonge la kideo....💪💪💪💪💪
Uko vizuri
Safi sana Jolie....hilo bonge la dude hakuna ubishi
Daaaah dada mbna kmya sana
Unaniliza Kila siku niwimbo aliekuwa anaupenda mume wangu kipenzi nisie muona sasa hivi imebaki kama dedication tu naishi nayo silali bila kuuskiliza
Kali hataree#mm fan mileleeeeee
Nyimbo Kali Sanaaaa, unakipaji.
dah ukooo vizuriii sanaa unakujaaa kamaa Maua sama
My favorite song for now 😭😭😭😭
nilijua maua sama duu sauti zinafanana hatari ngoma nzuli sana
I like every thing u do !!!! Best joliee
Mwaaaaaaa walah nmekupenda bure jolie 😍😍😍😍
2021♥️
bonge la nyimbo sana umefanya nukupende bule ww dada asee kazana
Ngoma Kali kinomanoma 🔥🔥
waooh what a voice, daah umetisha sana jolie natamani collabo na ww najua lazima ngoma iwe hot hot hot, keep it up love u girl
kaz nzur mpedwa koma mungu yu nawe👏
Nakapenda haka dada jamanii 😘🔐
❤❤❤❤❤❤
I really love this song.Keep it coming🔥💕girl
Jolie...
Upo wapiiiiiiiii
Tupe kitu kingin kipya
@BURUNDI
Jua kabisa wewe hujutahidi bali unafanya sawa keep doing " ongeza bidii
nimeguswa sana na hii nyimbo
I really like it this song 😍😍😍😍😍much much so much
Iko good
kama tupo wote October 2024 tunasikiliza wote bonge hill la song tujuwane kwa like
Kazi Nzuri ❤❤❤❤💕💖