Nimeshare kwa wife Fatma Kalonga, imerudisha mapenzi yetu ya miaka 20 nyuma, pamoja na uzee wetu lkn tumeilewa, inacover all ages! Big up dogo keep it up!
a very good work of art from you jolie n bright.. every star was once an amateur.. it has to be remembered always that talent is cheap but dedication is ever expensive.. you two have a long way to express your talent through music... do not give up.
Yan hii nyimbo kwa siku nahisikiliza hata Mara mia haichosh jamn huuiii braht big up uko vizur sna yan sichoki ingekua inaonyeshwa kua mtu anaisikilisha Mara ngap ni mm
Ivi basata wako wapi nyimbo kama hizi ndo za kutoa tuzo! kwanza zina bonge la ujumbe unasikiliza every where!! bright kaza buti nyimbo imegusa maisha ya wengi nikiwemo na mm japo siyo mlinzi lkn!!! weka like twende sawa
Ngoma Kali sana, na pia sound ni tofaut kabisaa, kilichobaki ni kuongeza juhudi tu na kuongeza mipaka ya kaz zako ili ujulikane maeneo mengi zaidi na zaidi kwa hapa Tz tayar raia wameshaanza kuelewa wew ni nani.
Nimeenda kazi ya producer... You guys got it on point... Mmeifanya ikae like you are real... Sauti ya Jolie iko unique... Bright amewajibika kwa video inavyofaa...
Yani sijui kipi chakufanya usiekwe level zakina Diamond maana bro unajua sio mchezo..hii ngoma na Ile ukaimba na Nandy..yani sichoki kuzisikiliza yani Mbona warembo unajua jinsi yakuwaimbisha nyimbo nzuri.. BIG UP BRIGHT.
Tanzanians know their sound and the stories that work for society Cool song,,,cool lyrics...cool simple video. 3.47 very good acting. Overall chemistry on point
i would like to take this an opportunity to congratulate jolie and bright u have done well this song will viva 4 long time for those who knows what good music IS .. GOD BLESS U MY FELLOW TZ thanks
Katika nyimbo zinazo gusa maisha halisi ni kama hii kama unaakili kaamakini nauutafakar wimbo huu kali Sana big up Kwa bright nabibie Jolie
Safiiii unaakili Kam mm
Biga up kwa hawa WA wiki bright na joile
During my campus days I bumped into this sound ..I loved its naturally sound. Zambia 🇿🇲🇿🇲 signs for being present.
Wimbo mzuri, tungo na ujumbe safi kabisa. Sio siri Bright na Jolie mmeitangaza lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Big up for the fine export!
One of the most underrated singers in east africa..this is dope upto date
Aaaa kwel huu wimbo naukubar sana ila bs 2 jama nahuyo bibie wako sawa ila mapenz ndo yanakaa Ok do wabongo 2livyo😅😅😅
kaka bright umeutendea haki huu wimbo nimeupenda sana kila mda nauangalia kila mda siuchoki
hongera sana kwa kazi mliyofanya bigup
Hii ngoma ina ujumbe mzuri kwa wanandoa wavumiliane kwa hali yeyote ile👍
Nyimbo imetulia sana na nmekuwa nikiirudia sana kuisikiliza.. Video IPO simple sana lakn nzur..nimeipenda.
Boy! You deserve to be awarded with BASATA for this song by Educating the Community!
diamond
Bonge moja la ujumbe.. hii ndo aina ya nyimbo ambazo jamii inahitaji. BASATA wanatakiwa watoe tuzo kwa nyimbo kama hizi. 👏👏👏
kweli yani
Dogo yuko poa sana aisee
NYC song
Nice song
Haswaaaaaaaa
Kaka Bright mbona naona nyota yako iking'aaa kwa bidii uliyo nayo na kipaji nakukubali kila siku 😍..Gonga like ya Bright apa kama unamkubali👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
ths boy is doing gud
Mahmud Mkali sana aiseeeeh
kazi nzuri ndugu yangy
kweli bro bright anamoto Wake
Dennic Mtn umeona kijana anavopanda ngazi pole pole namkubali sana tu ujue
254 mko wapi🙋🏽♀️🙋🏽♀️🙋🏽♀️good music 😍😍😍
Rozie McKenna 255
Daaah..... Nataman wawepo wanawake wa hvi na mm nimpate
Nimeipenda sana sauti ya huyu dada yaan imeenda na hii nyimbo
Kama Maunda Zorro
Yuko vzr
Soma iyooooooooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍗 we have been
Da way home now
Nimeshare kwa wife Fatma Kalonga, imerudisha mapenzi yetu ya miaka 20 nyuma, pamoja na uzee wetu lkn tumeilewa, inacover all ages!
Big up dogo keep it up!
a very good work of art from you jolie n bright.. every star was once an amateur.. it has to be remembered always that talent is cheap but dedication is ever expensive.. you two have a long way to express your talent through music... do not give up.
Nyimbo nzuri sana inamaneno ya kuelimisha.all in all mnajua kuimba na mmeitendea haki nyimbo yenu
Kweli huyu dada kani furahisha sana big up sister love from USA🇺🇸
Mlivoenda mnafaa hata kuwa wapenzi kabisa. Hii song ni classic, safi sana
Man Sure Official mazonge nakukubali sana
Dada sauti nzuri Sana duuuu"
Bonge la ngoma huu ndiyo mziki sasa now kila niendesha gari ndiyo nyimbo inayonifariji
Gud sana ukikaza utatoka ila game ngumu hongera umeanza vizuri
The end of 2023 and I'm still here i have listened to this song the whole of this year ❤
Dah nakumbuka mbali sana hii nyimbo tulikuwa na maisha magumu sana na mwenzangu sasa hivi mwenzangu ana mali kanicha dah naumia sana🥹🤦
Hivi nikisema Bright ndio mridhii wa Diamond nitakuwa nmedanganya +254 Tonga like
Hawafanani huyu nyimbo zake nyingi zinafundisha
Namuombe awe juu kuliko hata modi
Hapana ila diamond no destroyer fireee
Diamond haoni ndani, Bright ndo mpango mzima. nyimbo zake zinaelimisha jamii.
hujawahi koseaga mzee baba toka nione kaz yk yakwanza, kaza tutafka, ulaya nas tishaaaa mbayaaaaaaaa ###@brigth#
Kama bado unaangalia hii nyimbo gonga like ili tuende sawa
❤❤
Yan hii nyimbo kwa siku nahisikiliza hata Mara mia haichosh jamn huuiii braht big up uko vizur sna yan sichoki ingekua inaonyeshwa kua mtu anaisikilisha Mara ngap ni mm
daaah bonge la ngoma bright wa home ifakara tunazidi kusaport kazi zako safi endelea kukaza man bright wengine tuko njiani
Ivi basata wako wapi nyimbo kama hizi ndo za kutoa tuzo! kwanza zina bonge la ujumbe unasikiliza every where!! bright kaza buti nyimbo imegusa maisha ya wengi nikiwemo na mm japo siyo mlinzi lkn!!! weka like twende sawa
Ataàlii sana brait alikiba mwenyew akasomeee🙌🙌🙌🙌
We huna akili kabisa yaan mfalme wa music king kiba umfananishe na huyu mdudu wa juz tu
Nimeamini kweli we kipenda roho, na nyama mbichi imenikaba roho, tule kiporo.. Ahaa... D
Giza toto naweeeeee... Am in lovee with this Song mwaaaaaah
Very good song, I can say song of the year I’m in love 😍❤️❤️ watching from Chicago,USA 🇺🇸
hi ❤ sweeti
Stephen Omondi hi 👋
Furaha Sifa hahahhaah iyo so ni cool sana swty waaa
Good song
I love ❤this song .
Daily life struggles , poverty, hopeless and true love ❤ gets stronger.
I listen to it everyday. From Australia
nami nampendaga hivohivo japo hanakitu najua tutapata 🔥🔥🔥🔥🔥 najua mapenzi yakweli huendeshwa na hisia na mapenzi ya tamaa huendeshwa na pesa
epifania Mponda video
Kabisa yan
Bonge LA ujumbe.
Kweli
Dah! Vijana wa Bongo ni soo....
Nimeipenda hiii shiling ya ua kwl
™ⓩⓒⓛⓐⓢⓢⓘⓒ
We Bright utanimalizia Mb zangu kudadadek yani hii ni Mara ya mia mbili na moja naiangalia hii ngoma
umeonaeeee!
Eddo Boy hata mie sichok
Eddo Boy hahaaaaa kabisa
Yaan acha tu nyimbo za huyu kaka
Because nice song me to i like
jombaa umeniandikia mm hii nyimbo! salute
Yaan we acha umetugusa wengi sanaa
Bright is very talented kiukweli...he is the real musician...kip it up boy...and jolie ooh mom u killed it
Hii nyimbo imebeba bonge la message kuhusu uvumilivu kweny mapenz !! big up sn !
tisha sana bonge la couple mpya ya kiburudaniii usimwache jolie mna match style yenu ya muziki kweli bright trust me
iko mahali pake hii ngoma yani imetulia alafu ujumbe umebamba kinoma noma ,,,,,,, nice xaaaaana
Unajuwa sana weweeee kwann yn nakuchungulia nakuona kuleeeee kaz ngangangaa hvy hvy usiwachie hta upenyo
wakenya mpo kweli huu wimbo upewe likes zake kutoka hapa kenya broo kali sana nakam tutengeneze moja kali bro love your manegment all
Nakukubali sana Bright,, huu wimbo unahitaji views nyingi zaidi
song of de year bright salut sanaaaaa mkali ngoma ni fireeee
nimeipenda sana hii nyimbo.. shabiki toka 254
Nakupenda hivyo hivyo baba japo mambo ndivyo sivyo...licha na mahangaiko ntakupenda mpaka kifo...woooow guud song guud sms keep it up😍😍😍😍😘😘
Ngoma nzuli sana inasikilika mpaka Texas 🇺🇸👉🏻🇺🇸
Nzuri sana iyo bt inaniumiza
Aki hii ngoma ni zaidi ya umri wao Allah awaangazie vijana kama hawa ndo waitaji kupewa support nakusighniwa
Bright unajua, na huyo demu mkali kinoma safi sana
Hii ngoma kali Sana kama tupo pamoja like hapa ❤
wewe fundi sana bright,kaza kamba utafika mbali sana blood
Hii ngoma nimeshaiangalia mara kibao ila siichokii wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿mko wapi?
Much love to my best Jolie from all the way USA Orlando Florida state! 🙏
penda sana kitu kipya kaka. ngoma inaniburudisha sana kabisa tena inanifariji sana . tupo sana kaka. from here Sydney Australia.
naipenda sana hii nyimbo jaman am in love na ninayopitia na mwandan Wang hayajapishana sana kabisa sichoki kuisikiliza jaman
Jolieee nakupenda. Bureeeee. Like. Kama. Unamkubali. Jolie
huncho Evrst kazi mzuri
Tisha sana dada love you
joeli nakupendaga
jolie nakupendaga weeeee
Kazi.nzuri.sanaa
kumamamaee bonge ngomaaa
aisee usipotoboa na hii bc mchawi wako yupo vizur
hahahahaaaa!!!!!
Kazi nzuri sana.
Nimeipenda.
Yani huu wimbo Huwa unanipa lahaa sana ❤❤
demn im in love, iyo truck iko hot sana
Kwel kabisa huu wimbo mtunzi alitulia sana
nyimbo nzuli sana hii inanikumbusha maisha yangu kabisa
Rip magufuli wetu
Navipenda sana jamani nyimbo ya hisia na ujumbe wa kwenda da
Imenigusa saana hii nyimbo shukran kaka
Ngoma Kali sana, na pia sound ni tofaut kabisaa, kilichobaki ni kuongeza juhudi tu na kuongeza mipaka ya kaz zako ili ujulikane maeneo mengi zaidi na zaidi kwa hapa Tz tayar raia wameshaanza kuelewa wew ni nani.
Nimeenda kazi ya producer... You guys got it on point... Mmeifanya ikae like you are real... Sauti ya Jolie iko unique... Bright amewajibika kwa video inavyofaa...
Umefanya video nzuri sana this time duuuuuuuu kali sana hii video.
hivi nikupe nn wew kijan daaaah uwiiiii
hii ngoma niliickia saluni, ikabidi niiwekee bando fasta kwa mangi. cjakosea kufanya hvyooo
big up Bright...
Best song, keep it up Bright! Ha ha ha, song of the year indeed!!!!
Uuuuwi bonge LA ngoma aisee yote uliyo yaimba yalinikuta kaza mzazi
Bonge LA nyimbo Bonge LA ujumbe asante sana bright mungu akujalie ufike mbali zaidi
Hii ngoma iko powa sana @bright@jolie
Binge ujumbe ppngez kwako kaka
Nice man nilikuwa nataman San ufanye kolabo na huyoo QN imetulia sana fireeeeeeeeee
Yani sijui kipi chakufanya usiekwe level zakina Diamond maana bro unajua sio mchezo..hii ngoma na Ile ukaimba na Nandy..yani sichoki kuzisikiliza yani Mbona warembo unajua jinsi yakuwaimbisha nyimbo nzuri.. BIG UP BRIGHT.
Hassan Joho Bright yupo vizuri na anaitendea haki nafasi yake lakini suala LA kufananishwa na level ya chibu tutampoteza akazane tu
Ikopoa kinoma
Nice sana kwakee
Safi sana nimeielewa sana.... Ujumbe tosha
Waya mwanangu @bright kaz nzur sana
wanaofanana na wasanii
Mtu wangu mbona unapoteya sana nini tatizo sijisikiye ata bien jisi uñapoteya bright idole wangu❤❤❤
Nimekuelewa mzee baba bgp
Bright unautamu wasauti kama chege congregation
Cette musique est vraiment éducative pour les mariés 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Vraiment
daah nikitzma hii video nakumbka nliopitya awali hii nyimbo inajumbe mzurii .for 2022✌✌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzanians know their sound and the stories that work for society
Cool song,,,cool lyrics...cool simple video. 3.47 very good acting. Overall chemistry on point
I'm still watching this powerful track in 2022 ✨✨✨🔥🔥🔥 #vamos
kiko sawa
ningekuwa na uwezo ningempa bonge la zawad lakin nakuombea kwa mungu azidi kukuwezesha kuimba zaid na zaid
Nakukubali sana braith
Naipenda sana hii nyimbo big up bright namkumbuka sana ex wang moodi aliipenda sana hii nyimbo kipind nasomaa
This song still my favorite in 2020🔥🔥🔥🔥🔥
mazonge noma sana IFOZA BOY MBN watatuelewa t mjini kasoro
Bright heshima kwako bg up
leo mwaka 2020 nimeiangalia tena hii nyimbooo. like kwangu
yaani Alikiba hakoseagi jamani moto mwingine huu
Dah nimewapenda bure nyie watu
ya ukweli sana ngoma hongera bright never return dark
mbele Kwa lembe hii haina pancha gud song mzee baba
Kama uko nami kuisikiliza hii song kwa huu mwaka 2020 kipindi cha karantini corona . Nipe like yako tujuwane wangampi tunamkubali bright
Nice song jamaa anajua
Daaaaah!! Una balaaaaaaaa we mtoto
i would like to take this an opportunity to congratulate jolie and bright u have done well this song will viva 4 long time for those who knows what good music IS .. GOD BLESS U MY FELLOW TZ thanks
Umenitoa chozi baba.mungu awatangulie
Rashidi Saidi Yan kanikumbusha my life wid my boyfriend jnc tulivyoanzaga
Beautiful video beautiful I don’t understand the language still loves 👏🏽👏🏽👌🏾👌🏾
Ngoma kali sana, mmetisha sana, afu huyu Jolie huyuuu tusimchukulie poa
Mhh inaniusu sana
dah! cna comment kabisa,bright mdogo wangu unajua
Yan hii nyimbo haiishi utam kila niskilizapo