Kwa mm nilivyoelewa yule dada alikuwa ni jini na inaonekana rama alikuwa kicheche sana either kuna mtu alimtumia lile jini kumkomesha au ni jini lenyewe lilikuja tu kukomesha michezo michafu ya marehemu rama🤔RIP RAMADHANI🙇🏻♀
nimefatilia sana hi story ya rama na kifo chake na ukijanilinganisha na huyu ostadhi bado hajajibu maswali kifupi elimu yake ndogo sana zembwela ebu fanya umuulize huyu jamaa wa mambo ya jadi mahisi atajibu vizuri
Lugha gani ya kihuni anaongea apo....???kama wew ni mtu mzima na unaheshima huku umefata nn acheni chuki...mwenzenu anajitaftia tonge lake kihalali As long as hajatukana tatizo liko wap
Muislamu na majini nilijua nikweli baada ya kwenda kazi gulf countries.Huko hamna wezi na almost 99.99% ya muislamu huwa na elimu kuhusu majini .ushirikina tu
Bado Sana kwenye ufafanuzi wa huyo maalim habari ya majini ina uchakbuzi wa kina Sana amegusa gusa tu na swali aliloulizwa anajichanganya umeulizwa majini wapo aina ngapi? Mpaka unamaliza kuongea hujajibu Hilo swali
ASSLAMALAKUM I LOVE THIS STORY MY DUA ALWAYS WITH PEOPLE OF TZ. I AM LIVING IN 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimekusikiliza mda mchache lkn nimebeba bonge la point ALLAH atuhifadhii na atukinge na Shari za majini na husda za wanaadamu
Wewe ndiwe muislam wa kwanza umeongea ukweli ulivyo.... Shukrani sana
Mashaallah nampenda huyu shehe na kutowa u kweli wamwenyezimungu mngu akubariki kwahili🤗
mimi ni mkristo lakn huyu sheikh amejieleza vizuri sana kama kiongoz wa dini
Mashalllah shekh kweli kabisa
Mashalllah uyu shekh hodari nimemkubali sana
Sisi hatuhitaji kujua jini amefanya nini au atafanya nini bali tunayaharibu hayo majini katika jina la YESU ,JINA LIPITALO MAJINA YOTE.
Jamaa yupo 👌👌👌👌yupo ukweli kabisa
Kwa mm nilivyoelewa yule dada alikuwa ni jini na inaonekana rama alikuwa kicheche sana either kuna mtu alimtumia lile jini kumkomesha au ni jini lenyewe lilikuja tu kukomesha michezo michafu ya marehemu rama🤔RIP RAMADHANI🙇🏻♀
Kweli kabisa
Subhannnalllah
Kafanana na Docter Kumbuka sana
Ikiwa kuna machetani mazuri tena waislamu,no wonder watu zaidi wanaendelea kumkataa Mungu.
Mashallah
Yuko sahihi kabisa shekhe. Maana hata Mimi ninaelim hiyo.
Huyu jamaa mambo mengi hanaga Imani nayo 🚶
Muongo huyo Hana hanachokijua kuhusu majini, majini yanaonekana vizuri
Shekhe mkologo sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nimefatilia sana hi story ya rama na kifo chake na ukijanilinganisha na huyu ostadhi bado hajajibu maswali kifupi elimu yake ndogo sana
zembwela ebu fanya umuulize huyu jamaa wa mambo ya jadi mahisi atajibu vizuri
Halafu muda ni mdogo
Zembwela jitaidi kua professional kwenye kuuliza maswali, kiukweli sijalizika na interview yako
Kumbe Mwamposa yupo sahihi 80% coz anakemeaga majini
Nice
kinondoni mosco life changamoto geto moja local
Aiseh mnapiga promo ausio
Habari za kazi naomba number ya shekh tafadhari mimi ninamaswali mengi
Punguzeni miziki inakera wakiongea
hyu mtangazaji gani anaongea kihuni kiasi hiki. hajui vipindi hvi vinaangaliwa na watu wenye rika tofaut tofaut
Lugha gani ya kihuni anaongea apo....???kama wew ni mtu mzima na unaheshima huku umefata nn acheni chuki...mwenzenu anajitaftia tonge lake kihalali
As long as hajatukana tatizo liko wap
Khaa
Weka part 2
Mm nakushauri ww zembwela usipendeleee kuvaa vipensi kwenye interview na baadhi ya watu kwa cc waislamu ivo ulivovaaa unahesabika upo uchi
Umeonaa ee
Aisee wamemnyonya damu hko hko baharini
Zembwela USIOMBE KUKUTANA NA HAWAA VIUMBEE ALAMOJA HAIKAI PANGA MBILII BAKIA HIVYO HIVYO NDUGU YANGU KTK IIIMANI VIUMBEEE HAOO SIOO
🤔🤔
tukipata mashee kama uyoo 30 tu bas
Ungempa mrejesho kusikia mchanga juu bati mtu analia walimkimbizia na boda wakakutana tuh boda boda tupu
Yule awakumkuta UMEZINGUA BWANA HOST
Muislamu na majini nilijua nikweli baada ya kwenda kazi gulf countries.Huko hamna wezi na almost 99.99% ya muislamu huwa na elimu kuhusu majini .ushirikina tu
Zebwra anavyo sema shehe ni kweli Mimi imenitokea
Sheikh anajua mbungi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bado Sana kwenye ufafanuzi wa huyo maalim habari ya majini ina uchakbuzi wa kina Sana amegusa gusa tu na swali aliloulizwa anajichanganya umeulizwa majini wapo aina ngapi? Mpaka unamaliza kuongea hujajibu Hilo swali
Kajibu kua wapo Majini wa aina 2, kuna majini wa kiislam na majini makafiri
Wewe ni mganga 🤔😂😂
aruta na maruti
😁
Huu wimbo unaitwaje na umeimbwa na nani?
Meja kunta
Wanga wabaya
Wanga wabaya
je binaadam na jini wanaweza pata mtoto na kama inawezekana katika njia gani?
Wanajamiana kawaida tu na mara kadhaa umekutana nao kawaida tu kama watu
Zembwela leo umetuuzi ulikuwa umuwache aongee
Atal xana
Hahahahah zembwela bhanaaaa kwamba MBUNGI la maana alafu anaadisiwa shekh 🤣🤣
❤️❤️❤️❤️💉💉💉
🤣🤣🤣🤣
😂
Zebwra anavyo sema shehe ni kweli Mimi imenitokea