Mama samia fatilia mwenezi kisha uone viongozi wako sijui walipataje nafasi za ukurugenzi wakati elimu yao ni ndogo,mbona kuna vijana wana elimu ya juu na wapo nyumbani wanahagaika kutafuta ajira
Hongera zako Paul Makonda, Siasa zako zinapendwa na kila Mpenda haki, Kupitia ziara zako Umetuheshimisha CCM Ndani na Nje ya Chama chetu, kwa kuonyesha njia kwa Mwenezi Ajaye. Kwamba hivi ndivyo mwenezi(Msemaji wa Chama) Anatakiwa kuwajibika na kupata Majibu ya Utekelezaji wa ilani ccm 2020-2024, itoshe kusema Dr Samia baada ya Uchaguzi 2025 Pls Mwenezi huyu Paul Makonda Apewe(🎉)Maua yake
Mh: Makonda nakuomba uje nasi kwetu mkoa wa Singida wilaya manyoni,utatuwe migogoro ya ardhi Mimi ninaeneo langu kama heka 2 nikawa nimeelipunguza Kwa kuuza viwanja kama mashamba wakati huo Bado hawajapima baada yakuja kupima watu wa ardhi ,Mimi wakaniambia hili eneo haliwezi kugawanyika na hakuna kujenga hata nyumba :Sasa je kwanini Hawa niliowauzia wamenizunguka waliwapimia nakugawa viwanja Mimi kwangu wakasema haliwezekani kugawanyika na utafute sehemu nyingine ya kujenga hapa uhame,Je kama siyo wizi nini?
Namuona magufuri kabisa😢😢😢 mungu akupe maish marefuuu
Kwa kweli naipenda hii style ya uongozi, tukiwa na watu kama Makonda watamsaidia sana Mama
Mungu akutuze mwenezi.mm nikama namuona nusu Mgufuli
Nahuona uongozi wa makufuli hapa kazi safi
Komesha komesha Makonda na mungu akutunze tunakuombea Comred🙏
HONGELA SANA YANI MWAKAN SAMIA AKUPE UWAZIR MKUU HII NCHI ITANYOOKA
Kuondoa 'stress' fuatilia ziara za makonda..huyu mtu yuko na kanuni zake,hazijaandikwa popote
😅😅 na mm niko hapa naondoa stress
Hongera sana mh Makonda Kwa Kazi nzuri ya kutatua Kero Za watu
Nakupenda makonda
Oyoooooooooooo Safi Makondaaa
Hongela kwa kazi nzuli
Maghufulu part 2
Hongera sana makonda
Mkumbuke makonda hatembei na wasanii lakini anajaza
Mwakani tunampa urais inshallh
Kwel niatar
Magufuli mtupu😢😢😢😢
Weee balaa mnyonge kweli hana haki kweli tumuogope mungu jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂
Big up Makakonda
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Mama samia fatilia mwenezi kisha uone viongozi wako sijui walipataje nafasi za ukurugenzi wakati elimu yao ni ndogo,mbona kuna vijana wana elimu ya juu na wapo nyumbani wanahagaika kutafuta ajira
Naomba sana makonda awe rais wa tanzania siku sijazo
One man show,hamnau diamond wala wanamuziki,anatuma mawe gizani anapambana matatizo ya kiroho ya watanzania,
Sina Imani na Mwanasheria Mkuu Tanzania
Wewe ni kiongozi banaaa unatufaaa
Halmashauri ina majukumu mengi yakutumia mapato yake ya ndani na siyo kila income inapaswa kwenda kwenye development kuna re-current cost
Huyu anaakili sana anafaa kuwa mwenezi au zaidi
Anafaa kuwa rais wa nchi
Maswali mazuri
Hongera zako Paul Makonda, Siasa zako zinapendwa na kila Mpenda haki, Kupitia ziara zako Umetuheshimisha CCM Ndani na Nje ya Chama chetu, kwa kuonyesha njia kwa Mwenezi Ajaye. Kwamba hivi ndivyo mwenezi(Msemaji wa Chama) Anatakiwa kuwajibika na kupata Majibu ya Utekelezaji wa ilani ccm 2020-2024, itoshe kusema Dr Samia baada ya Uchaguzi 2025 Pls Mwenezi huyu Paul Makonda Apewe(🎉)Maua yake
Utaratibu unaotumika kupata wakuu wa idara sio mzuri.. hapo mkurugenzi anajikanyaga
Mh: Makonda nakuomba uje nasi kwetu mkoa wa Singida wilaya manyoni,utatuwe migogoro ya ardhi Mimi ninaeneo langu kama heka 2 nikawa nimeelipunguza Kwa kuuza viwanja kama mashamba wakati huo Bado hawajapima baada yakuja kupima watu wa ardhi ,Mimi wakaniambia hili eneo haliwezi kugawanyika na hakuna kujenga hata nyumba :Sasa je kwanini Hawa niliowauzia wamenizunguka waliwapimia nakugawa viwanja Mimi kwangu wakasema haliwezekani kugawanyika na utafute sehemu nyingine ya kujenga hapa uhame,Je kama siyo wizi nini?
Naomba Makonda na sisi uje ututete ardhi wananitapeli eneo langu
Siku hizi siangalii jua kali natazama tu hii ziara ya MAKONDA adi raha😂 Yan wananchi wanaumia sana
Hata mi siangaliii
makonda unajitahid san
Makonda awe mkaguzi mkuu wa serikali anahoji kwa kina na kila kona,Makonda pambana watanzania wako nyuma yako
Kama ilivyo maji hufuata mkondo, mwamba huyuapa kaja kutufuta machozi wananchi wanyonge.
Makonda unafanya good work Kwa public
Yani magufuri kama anayakia haya nahisi anahuzunika sana hiiii
Haya yote nisawa lakini yataishia kwenye mikutano ya huyu kiongozi akiondoka imeishàhiyo
Napenda makonda sana
Malinda akiwa raise inchi hii uzembe hautakuwepo kwa watendaji
Mh. Makonda, kama aina ya wakurugenzi ndo hao, wanahalalishwaje kuwa ndo wawe wasimamizi wa uchaguzi nchini!?
Makonda chapa kazi.
Naomba uwatumbue nao matapeli wananyanyasa watu yanasubir Kufa vibaya!!
ivi vyeo huwa wanavipata kialali hau wanagaiana mtoto wa dada wanjomba wakae kwenye viti kuongoza watu helimu zao ndogo 😂😂😂
Anachofny makonda ni kizuribila muda haitoshi at least andekuwa anamtumia ht siku mbili per each district
Wamekutoaje kwenye uenezi
Mh rais asioneshida kutengua nchiyetu ina wasomiwengi itafika mahala tutakaa sawa na kutaeshimu haki za wanyonge
Makonda ni kiongozi
Stresss zinaisha ukimwangalia makonda
AHADI kibondo tuliahidiwa uwanja kama WA Namungo ni ........ Mkubwa
Mbona me makonda kasitisha ziara zake na kwanini hakupitia ludewa njombe
Uongozi walipata kwa kujuana
Wasukuma wanaujua uongoz
Huwezi mtukana Raisi mbele ya Chama chake mfate pembeni
Dokomenti = Document
Etty mwenezi wako sijuiii sijuij
namuoma makifuli mwingine jmn
Sema una Maswali matamu matamuuuuu hadi stress zinaondoka
Malindawewe shujaaa
Makonda wewe ni shujaa
😅
Mbona me makonda kasitisha ziara zake na kwanini hakupitia ludewa njombe