Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Music by Yammi & Mbosso performing "Nitadumu nae" (Official Release)
Get it now: ziiki.media/Ni...
All profile link Yammi:linktr.ee/yammitz
Listen to Yammi on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / yammi
Spotify:open.spotify.c...
Boomplay:www.boomplay.c...
Deezer:www.deezer.com...
Catch Up With Yammi on Social Media:
Instagram: / yammitz
Twitter: / yammi_tz
TikTok: / officialyammi
Facebook: / itsyammitz
Catch Up With Mbosso On Social Media:
Instagram: / mbosso_
Twitter:x.com/mbossokhan/
Facebook: / mbossoofficial
UA-cam: / @mbossokhan
+For More Information Booking Yammi:
Contact:yammymanagement@gmail.com
+For More Information Booking Mbosso:
Contact:mbosso@wcbwasafi.com
©2024 The African Princess Ltd.All rights reserved.
#Yammi #Mbosso #Nitadumunae
Dah! Nyie Huyu Mboso. Natamani watupe hata EP moja. Hii combination kali sana, wana chemistry kubwa sana
Yammi Voice🎉🚀🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
hii nyimbo mmh
Kweli hili penzi lenu sina shaka kabisa keep going my artists nawakubali san🎉
Sema nn mboso khan Ngoma n Kali kinoma ya mahaba flan hv imetulia.ubaya ubwela
Yami and Mbosso, you are the best artists to listen to and one of the most beautiful voices. I love you, Yami ❤
Hivi hizi likes mnazo.zitaka mbona mimi sizipati?? Nipeni nijue umuhimu wake basi
Leo nimechelewa but nomefika ata mimi Leo msininyime likes jameni from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya tumekubali Yammi na mbosso sana kazi safi❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yammi yammi..... yammi anakwenda mbali sanaaa... ni maswala ya muda tu.. tuombeni uzima tuione kesho na kesho kutwa ili tuzidi kujionea mengi ya yammi inshaallah
Chemistry ya yammi na mbosso yamotooo
Hii chemistry huaga umeenda shule🔥🔥🇰🇪🇰🇪. Wapi likes za wakenya 🇰🇪
0
Hiii babu kubwa umetisha sana❤❤❤ ingawa nayachukiaa mapenzi
Tunao mkubali Yammy tukuje hapa tuonyeshe upendo
Na tunao mkubal diamond tupo wengi ❤❤❤diamond
Konde wamie mungu azid kuku barik san❤❤❤❤❤❤❤
Anipa paka nasaza sebuleni mupaka chumbani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 khani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbosso and Yammi are the best. Most beautiful voice. A Tanzanian treasure. Very proud of you.
Leo n imehawi katika ya. kutoku Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪
Nipenda like thanks 👍 God blesse🙏
Yamii kaumiza snaaaaa❤❤❤❤. Mboso. Mre uyu mtoto
Wa kwanza like kwangu
Sawaa kaka. Mbosso
aaahhh nitadumu nae jamaniii! @yammi @mbosso this is RAHA 😍😍😍
Likuwa Simba na Zuchu, Nandi na Billnass sasa Mbosso na Yammi 🙌💖
Kwann Nandy na billnas sio Billnas na Nandy😂😂
😮@@fatmaame169 Acha uchokozi
Wamepatana wote moto kama pasi❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Yammi unajitaidi sana unaweza mziki uko wazi ongeza kuandika vizuri na melodi Kali utapata mashabiki wengi na shoo nyingi balozi fedha umaarufu na maisha bora
🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254 leteni likes za Yami na mbosso khan tafadhari.
Wadau mnaisikia ukali ya ao wapenzi wawili ❤🎉🎉 like Zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 congratulations 🎉
From+254
Mimi hoi kwa hii ngoma
🔥🔥
usipo like hapa wewe nmchawi tu
Jamani mbosso anajua aiseee❤ kwakweli ni mhindi wa kusini❤
Wakenya mko wapi..nipeni likes kma mmekubali hii Ngoma
Oya wee SELEMANI unajuwa kuimba na unajuwa kuchagua fanya kitu iwe kama Nenga & Nady....Utaheshimika tuu🌷🌹🌹🥀🌷
Nyimbo nziri mbosso great big brother 💎🥀🌲
Wenye wapenziiiii wimbooo wenuuuu... Wengineee acha tu ishiye kusema ni wimboooooo mzuriii😊😊😊😊
😂😂💔
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Vijana wako motooo sanaaa 🎉🎉🎉 2:43
Moto kuliko pasi ya stima🔥🔥🔥🔥🔥😉♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbosso kwa hizi ngoma uwa noma sana
Kule nady na billnas alafu zuchu na daimond uku nako yammy na mboso mbona kutamu uku jamani 💃💃💃💃💃
Kama Unaamini Wandengereko Tuna UBollywood flani ivi....... Like here 🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤
Ubollywood au uchawi flani hivi nyau nyiee 😂😂😂
@@Zenamkuta tulikuloga au ????
😂😂😂😂😂😂😂@@Zenamkuta
@@Zenamkutabila shaka mmakonde wewe hutusumbui
@@user-rj7di9ox3e wewe unajua kutabir au nawewe ndio walewale? 😂😂🤣🤣
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤
👌👌👌👌👆
❤❤❤❤❤
Rwanda tunabapenda sana
We flag on you
Huu dada, Tanzania yote atawafuta kwa sauti yake. Namkubali sana kutoka burundi
mwara mose
❤❤❤❤❤❤❤Wwwwoooww!!!!!!!!!Kinyimbo kitamu yammii pendraaaa wew😊
Mboso na yamm mumeendana wacha nimupe Maua yenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤nawapenda sana
Hii nyimbo ilivyotamu nikiamka tu nakusali nikimshukuru Mungu kuniamsha salama nasikiliza Hii nyimbo Yammy sauti inakufanya Uwe na nguvu na furaha ❤Love
Jamani eeeeee jamani Daaaaaah mbosso anajua kuimba jamani acheni utani
Tamu Sanaa hii Yami nakupa 🎉🎉🎉🎉Maua coz unastahili
Jamani me nawakubali hawa watu khaah mboso na yammy muwape salam mkiwaona ❤
Wewe yammi utawauwa aise wew fundi San mungu akupe ubunifu zaid aise hii nyimbo hatr
❤napenda hii ngoma sana asante kwa vibe zuri
Mbosso mshike vizur yammi mkali kushindaa ata zuchuu uo ❤❤❤❤❤ wapi likes za wakenyaa chemistry ya sasa ❤❤❤likes za wakenyaaa
Uyu yammi anaimba nyie acha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
🎉🎉 Hii kali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sijaipenda!! Nimei love tu😅😂
❤❤❤❤nyimbo iko ajab 👌#Mbosso hoyee🎉
# yammy uko juu mdgo wangu 🔥💪
Wallahy ile love niko nayo kwa hawa watu wawili naeza uza hii Kenya nikuje tz tu🙂😂😊❤️❤️❤️
😂😂 karibu sana habity ❤️
Haaaah nawaona wape ndanao bwana na mumetisha sanaa ngoma kali
Good nice one job brother khan 🎉🎉🎉
Mbosso na mistari jamani Yani perfect combo👑🔥🔥🔥🔥
Love from 254 🇰🇪 🇰🇪 to Yammi my crushie en Mbosso Khan❤😊😊
Ohooo!!!napenda mzik design kuliko amapiano
Wakwanza kutoka 🇧🇮 naomba like zenu jamani
Loooh watu wanamashairi😮
Sanaaaaa hadi rahaaaa shida zote unasahau
❤❤❤wahind wa tz tunawezaaaa pambeee tuu
Kazi nzuri sana yammi ft mbosso ❤❤❤
Yamm kama zuchu big up ,mboso fundi sana❤❤❤❤
Mbosso na yammi wanamahusiano zandaaaan mbosso❤❤❤❤ anaishi na Yammi
Wapi like zawa kongo. Mbosso ni moto kabisahhh
Much love❤ from ZAMBIA 🇿🇲
Mmetishaa sana 🙌🏽🙌🏽❤️🔥
WASWAHILI WENYEWE WAMEKUTANA, TUNAWAPENDA KUTOKA MOMBASA ❤
Ngoma Kali kinoma.. Tanzania jamani 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
San🎉
جميل
Kazi safi sana yammi ft mbosso khani fundi wa ngoma za malavidavi ❤❤❤
Noma saanaa mbosso bwanaa
❤❤❤Awa wamepatana waoane Sasa mafundi
Anatembea Na Roho yangu anatembea Na mwili wangu ❤️💥🇧🇮✌️
Ngoma kaliii
Aaayah,Mbosso tena na kazi safi, nipitieni guys
Mbosso mbosso mbosso kwenye hizi mambo za mwambao ukoseagi ❤❤❤
Leo nimehawi kutoka Saudi Arabia🇸🇦 nipeni like❤❤❤
😂😂😂😂😂😂
Utauwaw wakiona saudi arabia ni dini tuu😂
🤣🤣🤣🤣🤣 utaniua dear uko wapi nikuletee Pepsi 😂😂😂😂😂
Upo Riyadh au Abha au Taif au Dammam au Tabuuk au wp?😂
@@Aboodjan4- Riyadh ndani 🤣🤣
Wow Nakuabli 2 Sana mbosso Aaaah Sawa baby Nice ❤️❤️❤️💃👏🖐️❤️❤️❤️💋💃😋❤️❤️❤️😂😂🤫✈️🇰🇪🎉🎉🎉🎉🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kitovu cha Tz 😂❤
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉 Mapambano yaendelee 🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉 hii nyimboo Kari sanaaaa
Oyaaa hoi ngoma kaliiii anaekubaliana na mmi just like the melody was so good and niceee best couple ❤ like
Kwenye hii video basata waingilie kati lasivyo 😂😂😂😂 🙌🙌🙌
😂😂😂
Nikubaya 😂😂😂
Kbx😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Sina mwanamke, Sina girlfriend ila hii nyimbo inani-inspire na naenda kuwa na mwanamke sio mda, masterpiece of the year
😂😂😂
Oyaaaaa uyuu manzi anaimbaaa kaaaaa👏👏👏
Daaaah kwani kinyimbo kimetulia hatari 😜👌❤️
254 ishafika...big up
muunganiko wa hawa watu wawili noma sana wataalam wa malhaba
Mbosso daktari wa mapenzi🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤hii kali 🎉🎉🎉🎉
Wooou 😊❤mafudi wa mapezi walikutanan Hadi Raha😊❤
Sharukan💔🔥we are single jmn hereeeee
🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴here for mbossoo😊
Mafundi wawili mmekutana wallwahi nyie ni wakali mkikutana hapa zuchu hatoboi kwa yammy🇩🇪🇹🇿
Wamekutana mafundi bravo 👏
daah hiii ngoma kali sana
Nyimbo nzuri gonga like kama umeikubali
Huu wimbo umenifikia wakati muafaka nipo kwenye huba zito halibebeki na huu wimbo ndio mahaba yamezidi🇩🇪🇩🇪
Kwaraha zako dear❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Qubbake wimbo kibokoooo yamieeeeee
vichaaa wawili wamekutana
Kazi nzuri sana hii yammy amekuwa sasa😜😜
Kazi kubwa zaid 🎉🎉