PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 63 | Love Story
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Welcome to the DONTA TV channel and we proudly present new episode PENZI LA MTOTO WA BOSS. This heartfelt story follows the emotional journey of a rich young man who falls deeply in love with a poor local worker. Despite their different worlds, their love is pure and undeniable. However, their relationship faces countless challenges as the young man's wealthy parents strongly oppose their union, believing she is not worthy of their son. Through tears, sacrifices, and unwavering determination, the couple fights against all odds to prove that love knows no boundaries. Will their love conquer societal expectations and family pressures? Or will their differences tear them apart? A tale of love, struggle, and triumph - watch as these two souls navigate the complexities of their relationship and discover if true love can truly overcome everything. Don’t miss this emotional rollercoaster! Like, comment, and subscribe for more touching stories like this one.
#love #penzilamtotowaboss
Aya jamani leo nimewawahishia 🥰
Nilisubili san ujuh tuu
Asante sanaaa mkuu❤❤❤❤
Mnatuchelewasha jamani
Unazingua kaka ahad zako zinataka kuwa zauwongo
Umetulingia hadi nilisusa eti😂😂
Sijawahi fikisha hata likes kumi anyway much love from kenya 🎉❤
Nampenda Bonny jamani....nakuombea wewe unaesoma comment hii huu mwaka Mungu akufungulie njia na baraka tele ❤
Aamin kwetu sote 🤲🤲🤲
Amen amen 🙏
Pia mm🎉❤
Wale ambao tulikuwa tunasubilia kwa hamu gonga like apa🎉🎉🎉
Nakwako pia
Love leo umeniumiza sana badokidogo tuu namm nilie kwasababu umeliya na kuongea kwa isiya sana 🎉🎉🎉🌹🌹
Hakika urafik wa bonny na kelvin nimeupenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ata namiye dungu
Ina pasa tuige mfano
Mwisho wa ubaya ni aibu leo kimewakuta aseee Mungu awafanikishe wote mnaosoma comment hii mwisho wenu uwe mzur
@@LuciaMassawe-x4r kabsa
God bless u
@@gabrielmuema3330 🙏
Aamiyn kwa sote
Amiin kwa sote
Nmependa urafiki w Kelvin n Bonny mnastahili pongezi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nafurahi kuona kervin ameludi kuwa boss denis ninge mshangaoto haamini
Kabisa
Kwel kabs ❤🎉🎉🎉maua kwaoo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Sana huu ndio urafiki wa kweli
ila mnatucheleweshea sana ak naomben muwaishe
❤❤❤❤kazi nzuri nilikuwa naisubili kwa hamu kelvin nice❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nampenda bonny.... nakuombea unaesoma comment hii huu mwaka mungu akufungulie njia na baraka tele❤❤
Amiin amiin🤲🤲🤲sote❤❤
Amin
Love ,unaigiza kweli nimekukubali. Mungu akuongoze na kukulinda katika safari yako ya maisha.
Nina wapenda sana wakina DONTA TV nitafurahi kama nikiwa na nyiye karibu
wakwanza naomba like zang plz,,,big up donta tv
From ...🇰🇪🇰🇪🇰🇪..msipo ni pea like fureshi tu maana maana to kea tuanze hii movie amjawai nipatia like hala sawa masela nawapenda..❤❤❤❤❤
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
from kitui now gulf nimekuona🎉
Izo like unafanyia nini?
@salomemakene4446 na furahiya tu kwani kunatatinzo...??
Wanao subiri ndoa ya Kelvin na loveness gonga like tujuane 😂 pamoja na wale ambao wamefrahi kumuona Kelvin kuinuka tena mwaga maua ya fraha 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Jaman tunaomba isije drama tena tuna taka kitu kifupi chenye utam ikiwa ndefu sana itaharibika. Kama unaungana na mim gonga like
Acha ujinga ss tunataka ndefu fupi Tunga yako
Binadam bwana
Na hawa ndo binadamu bhana😂😅 hawanaga jema kabsaah
Tinah pole sana na hongera sana💕 kwan sehem uliocheza unaweza sanaaa💞💪
Jamani movi nzuri sana kama ulikuwa ukiisubiri kwa hamu kama mim gonga like hapooo
Lik zanin jamn
😂😂😂@@IbrahimuKapera
Kama mimi
Kam mm
Hii movie hiko poa but mwachelewesha sna mpaka hamu hinatoka....hila loveness Pole tu mungu awalinde ❤❤❤❤❤❤❤
Nmependa xana ulivoingia na bony kwel kev roho xafi wengne wanaxahau kabxa wema big up kk🎉🎉🎉
Tulipoenda kelvin kuludi ofisini tujuane tushaherekee🎉🎉😂😂
Nipe like hata moja bass
Bonnie I love you personally...pole sana kwa kifo cha ulie tamani sana kumpenda Dada Kendi but sky is the limit don't worry. Sending hugs from Kenya 🇰🇪
Wa kwanza from Kenya 🇰🇪💪💪💪
Woooooow kelvin kwani leo umenifulahisha jamani tumuombee mama kelvin apone vizuri
Wenye hamtaki hii movie isiishe mapema Tujuana
Mi nishaanz kuichk maan kwa vile Kelvin amefanikiw
Aisee kumbe kevi ni mkali kiasi hicho Bata maji ww Denis akauze tu karanga lati nae hapokei sim ya denisi dah kimeumana👍👍👍♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Anifurahisha sna Kelvin 😂😂😂Bata maji huwaje Kwan 😂😂
Chukueni maua yenu kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤ ila sauti kidogo leo imezingua hapo kwa tina na baba ake
😂😂😂😂😂😂😂
Wakwanza naomba like zangu
Asanteni Sana DONTA TV Kwa kutuletea hii kipindhi lakini "kasupiidi kidogo jameni" I just begg be first for us abit
Mwenyezi mungu akufanyiye wepesi kwenye kazi zako akujaliye afya jema na wezio wote
Ahhaah nainjoy kumwona kelvine ofcn na piah kuandikia mkon wa kushito na hii familia ya kina tinaa kwishaaa mwisho wa ubaya aibu
Move imenoga sasa, nawapenda wote kwa ajili ya Allah,mimi nimefuraha kweli kuona Kelvin amepambania haki yake❤❤❤🎉🎉
Kazi ya lati hyo
@@juliethmathew559 Sijui anamalengo gani na Kelvin
Aseee mmetucheleweshea movie yetu wa kwanza leo mm nikiwa nchini 🇫🇷 France
🎉 aloooh me ndo wakwanza kabisaa leoo naomb japo like 10 tu
❤❤❤❤❤
Nimewahi na me wakwanza nilikua nikusubili kwa hamu sana kevi apewe maua yake🎉🎉🎉❤❤❤
Mungu hawezi kumsahau mja wake waama Mungu si athumani
Nasherehekea ujasiri wa kevi tuu mm❤❤❤
Hayahaya ambao tukitoka uku tunaenda kuchungulia kule duniani kwa manyanya tujuane
Hahahahahaha huuuuwiiii wametushika masikio.hawa jamani
Mimi wa kwnza apa from kenya,wap like tukisonga👍❤
Tina n baba ako chuma mnacho tena cha moto kitawachoma pole pole Ndio mujuwe maana ya malipo duniani ahera mahesabu big up Kelvin n Loveness 👏👏👏👏mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️
Nafurahi sanah kumwuona kelvin akiwa mwanahisa mkuu wa lile kampuni
Mungu mwema tumeiona jumapili ukiwa njema mungu atubaliki wote 🙏🙏🙏
Ila mmetuchelewesha sana kevi lakini asante❤❤🎉
Ninabapendaka sana niko Europe ❤❤❤❤❤
Hii movie sijapenda kwasababu kelvin akuonana na love ness
Vipi wenzangu wa mozambique 🇲🇿 mpo tujuwane kwenye like naitwa Grande PiQui kutoka nangade
Kbs nirikua na kumiss Mr Kevin
Haloooooo kumekuchaaa huku mko wapi tumeisubiria kwa hamu sana sasa mtoto kazaliwa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mungu amkuze
Hongera sana kelvin ila sitegemei kama na wewe utakuwa msaliti kwa love ness kwa ajili ya tamaa ya mali
Alianza kumpenda akiwa na mali leo hii amsalit vip
Daah kevi ww ni mfano wa kuigwaa big up brooo
Mwisho wa ubaya ni aibu dhuluma haifai😅😅😅😅😅😅nafurahi Kelvin kupambania🎉🎉🎉haki yao mana walikua wanateseka😮hivi mali zimerudi😅😅kwa mikono yao 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Zilikuwa sio za kwao na wao walimuua baba ake denis
Akuna aki ya Kelvin apo haki niya Denis alafu latty n nyoka sumu
❤❤ Daa 2meigoja sana wanao ikubali 2kutane
Wakwanza leo kuiona from Kenya
Ww kelvin shauri yako utampoteza loveness.. love nenda ukatafute mamako Kevin kawa jeuri
❤
Mnajuwa 🎉 mnajuwa tena nimeanza kuifatiliya mwanzo mpaka hapa ilipo fika mambo nimatamu kwakweli
Kimewalamba jamani hongera love kwa uvumilivu
Kazi nzuri Ila mjitahidi kwa wiki hata mara tatu❤❤❤
Wow kazi nzuri sana kumenoga mbaya mwisho wa ubaya ubwela Kelvin nakupenda bure na kazi zako sana ❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman kelvin umependeza san waoooooh nimependa san
Hili battle la Kelvin na Denis nimelipenda wacha tuone ila namuombea ushindi Kelvin😂😂😂 muwahishe hizo episodes zinazofuata❤❤. Big up sana Kelvin hujamsahau Bonny nimependa❤❤❤
Haswa kelv ni boss sasa
Waliofurahi mzee Gamba na binti yake kuishi chumba kimoja gonga like hapa
Hongereni sana family kilvni ila natamani huwa na furaha na family yako yote 🎉🎉🎉
Nimefurahi sasa ❤❤🎉🎉 kina tina muosha huoshwa ila kuna yule mjinga donta movies yuwanikera kweli 😂😂😂😂
Ni nani yule
Tuliokua tumeikumbuka mtoto wa boss tujuane kwa umoja wetu tuwashinde waomba like😂😂😂
Na ikumbukwe kutesa kwa zamu hatima familia ya Tinnah kimewaramba😂😂 makofi matatu kwao👏👏👏
Mi jana nilishinda nachungulia tu 😂😂😂😂
@@FelisterKamangajamani poleeee😂😂😂
@@FelisterKamangawalitudanganya 😂
Tupooo😊
Duh wameweka kigodoro chini!😂😂😂
Aiishi mpka iisheeeeeeeeeee mambo ni fireeeeeeeee😇😇😇😇😇😇😇😇😇isiishe mpka tuone kina tina wanavyopitia msotoooooooooooo big up sanaaaaaaa bro kelvin💝💝💝💝💝💝💝💝
haya sawaa mm wakwanzaaaaa mninyime sasaa na leooo
Jamani nilidhani mi wa kwanza!! Kumbe ni wengi mlikuwa na hamu na yo. Basi like
❤❤❤❤❤loveness na kelvin hope muko poa
Nimekuwa wa kwanza ku view ,,, like zangu guys naombeni
Chukua 🎉
Sawa ila mnachelewesha au mimi tuu nachelewa 🎉🎉🎉
Kazi nzuri kelvin kw kurudisha mali yenu jamani 💪💪💪💪 then mkumbuke pia before I meet you juu imekaa sana am ilisha na cjaona episode ingine ikiwa n mwendeleo 27
Ilati aolewe ña Bon. Bon ni mme mzuri sana alfu kev abaki na love
Waaaaa safi sana Tina na babake😂 mnakula majibu ya kaziyenu safi kelvin ❤❤
Walio onakama ni 🔥🔥🔥munipe link zangu mana kelvin na denis gemu njo inaanza❤❤❤❤🇸🇦🇧🇮🔥🔥🔥
Wote mnaotazama move hihi mungu awabariki pamoja na familia zenu
Amiin
Congratulation team kelvine takes your flowers 🍸👌🎊🎉🌹🌺🇹🇿💪🇰🇪🇯🇴🇧🇮🇳🇬🇺🇬🇪🇹Aya team strong.hope Mie ndio Wa Kwanza kuwalisha team fulus Mafi mushikila🇸🇦🇸🇦😁😁
Kazi nzuri saana ❤❤❤❤
Tunaofurahia kuteseka kwa tinah kutokana na matukio aliompiga Kelvin mbeleni gonga like 😊
Niko na ww pia na furai hadi raha😂😂😂
😂😂😂😂
Muache akome kabixaaa🎉
Tupo pamoja kufurahiya 😅😅😅wacha wakome
Leo nilikua makin kusubili sijafanya kaz nasubil ii ep
Ilikuwa naisubiri kwa hamu namkubali sana bony anacheza vzr sana nafasi yake❤🎉
Nishagundua msiwashutum sana walikuwa wanatafuta location kwa ajili ya akina tina si unaona ni new location
Yeah ❤❤
Wakwanza leo ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani kwani amkua kanisani huh doh kutoka na cjui nko nabari gapi from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mimi hapa naomba like 👍 hata 5 tangu tuanze mtoto wa boss sijewahi pewa like DONTA family Hello 👋
@@SoziSozi2020 uongoooo huooooi
Hii y leo Love umenitoa majozi team strong 💪 kama kawa 💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🤝🤝🤝🤲🫂 mungu awatangulie uko bele Kevin n Bonny nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe kelvn wew ni mashoto...unatumia kushoto kuandikia
Leo jamani nipeni like ufanikiwe utakae nipa like
Leo nimewai sana jmn naomben like ❤🎉
Leo Mimi wa kwanza kutokea msumbiji🇲🇿🇲🇿
Muendelezo tafadhali😂😂
Tamos juntos mana
Jamani duu hatali Sana nawapenda wote
Congratulations 🎉
Wa kwanza nimefika...wapi likes zangu jamani?
Yan mbn mmfika sehemu nzur Harafu ndo mnaboa Yan nasubiri mpaka nakasirika m sijapenda kelvin mpenzi wangu 🥺🥺🥺lakin nice kazi nzuri unajua baba hongera😘😘😘
😂😂kua mpole😂
Et mpenz wako nitakumaliza mmewangu huyu😂
Wa kwanza leo aki nipeeni mauwa yangu ❤❤
Ni kitu bomba sana me nafurahia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana nawapenda wotee
Nimewai leo naomba like zangu namimi jmn 😢😢😢
Jaman mileo wakwanza ❤❤❤ pamoja cn Kevin ft love ness
Vizur sana
Daaah yaaani leooo nimewahiiiiiiiiiii❤❤❤❤❤
Tunaotumiia left hand Kama Mr kalvin tujuaneee✋✋✋✋✋❤❤❤
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮.