Waandaaji, waendeshaji na washiriki wa kipindi hiki, wote ni wapotoshaji wakubwa wa jamii wanaohimiza umalaya na kuchochea zinaa. Hivi vidada vinavyokuja kwenye kipindi hiki havina tofauti na wale wadada wanaoendaga kujiuza kwenye kumbi za starehe. Ni ukahaba tu. Bahati mbaya katika kizazi hiki uchafu ndio unapendwa zaidi. Kizazi cha nyoka.
Sindio uwongo huo əti anajiendesha kimaisha. Chumba kimoja sangapi tunajipanga bado mdogo 22 unatafuta mke hakuna mume hapo nyie videmu waongo hapo mmekuja kujiuza tuu
Bro anatafuta Mwanamke mwenye maadili anakuja kwenye kipindi cha Mr. Right kutafuta sijui kama yuko sawa.. Mimi nimshauri na Kuwashauri wengine hapo hakuna Wanawake hao ni Wafanya biashara na wapenda kula Bata ukipotea tu kimaisha hauna chako Mzee Take care.
Nyie mbwa wa mr right mnaendekeza hivo vimbwenye vyenu yaan inaonyesh mnapend saana kuvumbulana na kuvumbulwa😮😮...yaan watu tuko gulf miak sita wengin mpk nanee ila hawajui hizo vibwenye msitutie dhambini minio anyu😮😮😮
Nashauri muweze ku advance, kwa kuongeza kigezo cha kupima uwezo wa kufikilia wa both Mr and Mrs right, yaani Mr right awaulize maswali na yeye aulizwe swali? Hiyo itafanya upime uwezo wa mtu kufikilia
😅😅😅uyu njo mnasema ni mzuri😅😅😅😅 tanzania ni inchi yawatu wabaya kwa masura njomana mukiona mutu yoyote munamwita mzuri.kuja burundi, Rwanda muone watu wazuri
Waandaaji, waendeshaji na washiriki wa kipindi hiki, wote ni wapotoshaji wakubwa wa jamii wanaohimiza umalaya na kuchochea zinaa. Hivi vidada vinavyokuja kwenye kipindi hiki havina tofauti na wale wadada wanaoendaga kujiuza kwenye kumbi za starehe. Ni ukahaba tu. Bahati mbaya katika kizazi hiki uchafu ndio unapendwa zaidi. Kizazi cha nyoka.
Huko sawa Masha,Allah Hawa makafiri ni shida ktk jamii.
Sawa nyoka
Kma wewe una hekma je ni vizuri kuwaita watu mbwa??
@@KhalfaniFarisy-c3w sawa ostadh😹😹😹
@PhinnahWilliam-hq8cx Badilika nikuoe
Mimi ndio wa kwanza hapa sio wew
mwanahussein kasema vizuli sans good kwako👋👋👋👋
Lulu diva acha umalaya😂😂😂
Mbon tunavyo jua waarabu auwez kuishi na mwanamuk bila ndoa😮😢😢
@@HusnaBinti-o5c so kwl me naishi na mwarabu na atujafunga ndoa
We unafikir mzur tyu hata wabaya wenzio tumepangwa foleni wenzio wanataka tyuu helaaa wadada wote kaam hujui utakaa sana
Marry kamtafute kaka ake taus mdegela huko😏
Watuwana kaahata mwakaminne hawafanyi ajabunn
Mbona umri mudogo hawa wadada watamukubali kweli 😂😂
😂😂miaka 22 jmn ivi watoto wa 2000 mna nin lkn jmn kizaz cha ngono
@@ZubedaMasolwa 🤣🤣🤣🤣 mbn kizazi cha ngonooo
Kipindi cha umalaya cjui mnafundisha nini jamii kwamba haiwezekani kuishi bila zinaa maana sio Kila mtu aliye balehe ameoa au kuolewa.. 😏
Kabisa hawa wanapotosha jamii uzinifu na uzinzi
Hahahah
Kwahio ww apo ulipo hauwahi kufanya chochot pia bikra
@jumamussa9609 acha ufala rudia kusoma nilichoandika unakurupuka
@@MwanaHussein-s2n mh kmbe saw
Nyie mnavichekesho Tu 😅😅😅😅😅
Yaan una upwiru unacheza gem 😂😂😂 mnajua maana ya upwiru😅😅😅
Mwarabu kwio😅😅😅
Uyu jamaa alikutanana n'a kimbembe kweli,yana kera sana..
Mpaka nasikiya kukia kbs 😢
Mm nina miaka 30 je naweza kuja apo kutafuta mume au kuna umri maalum naombeni jibu please ❤❤🎉🎉
@@SazuwhatTz-h4f hjmbo
Vp unaish wp
@jumabakari9812 Ninaishi Dar ila kwa sasa nipo oman
Nitumie no zko mm natak mke
@@SazuwhatTz-h4f unatemegea kurud lini
Uwarabu kautoa wapi uyu mbongo kabisa😂
Mbona wakawaida sana😂
Mhh! Mwana ume WA kipemba hapo dada zangu mmepigwa na kitu kzito sana hamna muwaji hapo
@@kapanikapani5280 Hamna Noah Sio.. Ivi Wapemba Munawachukuliaje au na wao Umalaya mwing?
Bila Dr Kumbuka hapa fungeni kipindi Hawa waigizaaji
Me nataka nije niwaangalie tu hao waalifu nawapata wapi😂
Mpemba kawapga we mwanaume ukae ujagonga miezi 6 aahaha uo uongo bhana
Mr Light au Mr Right 😂😂Daaaah
Live mbona si mzr kule ndanii mzr sanaa
Inawezekana tuko gulf tuko na miaka na tuko stress free
Hello❤❤❤❤hi darling
Lulu unajitiaga vidore uyo mpiga nyeto😅😅
Siwema Ana Roho Yangu😂😂
Mbona kam kwenye umri katudanganya huyu😂😂
Mbn ata si mzuri
Nakuja kutafuta pis wik ijayo
Yani unaupwiru unacheza gam 😂😂
Jomn me light ya saivi dactari hayupo tunamtaka divaa
Jaman samahnn me nataka kuulza hao vijana wakike wanaochukuliwa hv hawatilewi posa yoyote?? Yani ukishamchukua ndio wako tayr??
Nzuri sana
kwan miaka mnahesab kuanzia wap mana uyu mr Right ana 22
huyu jamaa alosema ni mzanzibar siyo mzanzibar si kwa lafudhi iyo mr right kusema mr light hahaha kuwa mzanzibar si mchezo
Sindio uwongo huo əti anajiendesha kimaisha. Chumba kimoja sangapi tunajipanga bado mdogo 22 unatafuta mke hakuna mume hapo nyie videmu waongo hapo mmekuja kujiuza tuu
Kwa unyamwezi gani jmn kwanza sipendi mwanaume anaesuka 😏😏😏
Mm nipo
Kwani unafanyaje ili kufika hapa, maana natamani sana kufika hapa nipate mrembo na mwanamke wa kuishi nae
Bado mdogo kijana ungepata mke mzuri mwema tu bila ya kuja hapa
Sio mzanzibar muongo uyo Zanzibar hatupendi umalaya kama uwo
@@nahilabdul Hamupendi umalaya kama huo mnapenda umalaya upi??
@@Maria-mussa1hh5hl7r 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna ki2 Kwa huyu Mr. Rite
kwenye miaka 22 ni uongo amewadanganya
Marry hayuko serious😂😂😂😂
@@sehelsalum1843 😂😂😂😂😂 at hajanyoa dongo xo mbilikimo😂😂🙌
Ety wakaka kumbe wanawake wazur wanapatikana kwa siku moja na sehem kma hzi?
HAKUNA KABILA UWARABU
Ivi uuwa wanaowanaga au ni kudeti t hembu tujue me natafuta mume hivyo wa kuoa so kudeti
Vigezo gani vinazingatiwa
Hatakama ungekuwa namiaka 45
Kwani nikweli iyo au ndio video tu
Umli wa myaka 22 😂😂😂
Mbona kama vile haijaisha
Ivi kweri ukiwa una hitaj mke una kuj hap kutafut mke 😂😂😂😂
Ndio karibu sana asante kwakutufwatilia
@@STBONGOTVhapo hamna mke wala mme mnaamasisha uzinifu
Yuko vizuri kapanda juu ila mwanaume anayesuka mh
Hivi Wana jiuza au
mbn uku anaonekan mbaya afu mzenjii hpn kwakwl
umalaya tu na uvivu wa kulima t
Tatzo humu waigizaji wengi ni malaya
Sema why vjana wadg ndo wanaenda kutafta wenza na c watu walojitafta na kujipata 😢huwa najiulza hapo tu
Mimi sijawahi kuelewa hiki kipindi.
Hua wanalenga kitu gani?
Hapa thamani ya mwanamke inashuka kabisa yani duu maandiko yanatimia
Muache kufanya mambo ya zinaa zi
Mnisaidie wenzangu hivi huyu ndio Amigirl ndio aliekuwa mweusi wasafi au?maana sauti km yake lkn ghafla naona mwarabu
Wahatifu wakubwa nyie
Huyu siwema ni yule anayeigiza au??
Apo kwenye miaka 22
Unahis timepigwa nakitu chepesi
Kumbuk mashikaji wana kua kama mchicha kwasabab una weza kukuta kwao Wana pesa ndo ukakuta umli wako ni huo bro
@@AlexChungu-t2jaswa
Alafu kweli nime mzoom
Hao wanawake wote wako single
Hapo hakuna make/ Mme ili upate mke/mme
Hayo yote ni ma Malaya tu
Mbona inawezekana jmn mnazinguwa mbona inawezakana
Nayajiuza kwel
Huyo marry ajielewi kbisa yani
Nikitaka kuja kutafta mke nawezaje kufika apo maelekezo plz
Kwahy anatafta wa kumfunika x lakin hajampenda huyo bado ajamove on....😅
😂😂😂😂 ataenda kuumia
Mh mm j
Bro anatafuta Mwanamke mwenye maadili anakuja kwenye kipindi cha Mr. Right kutafuta sijui kama yuko sawa.. Mimi nimshauri na Kuwashauri wengine hapo hakuna Wanawake hao ni Wafanya biashara na wapenda kula Bata ukipotea tu kimaisha hauna chako Mzee Take care.
Kilasiku ni walewale
Mbna siioni kwa hewa Huwa inaonyeshwa lini Tena?
Huyu kijana aliondoka na nani maana iliishia kati
Danguro
Mwendelezo tupeni
kaa karibu na page yetu unakuja asante kwa kutufwatilia
Miaka ishirini na mbili hapo unatubeba wana
Kumbe wanachagua wanawake wa kutoka nao
22 years
Kipindi cha umalaya na ushoga
Mlicho nikera nikushangaa eti huwezi cheza gemu ukiwa na upwiri .. hamuijui ps5 nyinyi hata mwaka unaweza ukacheza gemu na ukasahau upwiru ni nini
Atakuwa amedanganya umr
Nyie mbwa wa mr right mnaendekeza hivo vimbwenye vyenu yaan inaonyesh mnapend saana kuvumbulana na kuvumbulwa😮😮...yaan watu tuko gulf miak sita wengin mpk nanee ila hawajui hizo vibwenye msitutie dhambini minio anyu😮😮😮
@@swalharajab8365 we mnyatur acha makasiriko 😂😂😂huku ulijileta so Tula mohaja
@Zanura-t5e 😂😂😂wananzingua kwa nini wanalazimish mtu aseme kuwa amedinya wakati hana tabia hiyo😂😂😂
@@swalharajab8365 yuyu
@@swalharajab8365ngwi anyatruru gwivingi kunu
😂😂😂😂katukana kinyatuuuuu,vakhanie kangee meneo avee
maesenge ao
mbn amjatumalizia aluchaguliwa nan jmn
Sasa apo tuna fanyaje sisi tupo inje za ichi
Sema warembo wa week hii kumamamake wamoto😂😂
@@sehelsalum1843 sanaaa
wapili mim
Nashauri muweze ku advance, kwa kuongeza kigezo cha kupima uwezo wa kufikilia wa both Mr and Mrs right, yaani Mr right awaulize maswali na yeye aulizwe swali? Hiyo itafanya upime uwezo wa mtu kufikilia
Haya na mimi nimpate Mwarabu jamani❤🎉, ila uyu Marry kama kachanganyikiwa pia hajielewi kwanini mnatuwekea Wanawake wasiojielewa😏😕
hapo kweli mbili kimo jmn nimecheka hivi hawa wadada anajielewa kweli😅😅😅😅
Location jamni
Aiseee 😅😅
Mwanaume anae suka mmmh
Mr Right mwenyewe kama goli kipa wa Fulani ivii
Hujitambui ww
@magrethyeremia2279 labda wewe hujitambuwi bana
Umemuelewa binti
Mnapatikana mkoa gani natak nije
😅😅😅uyu njo mnasema ni mzuri😅😅😅😅 tanzania ni inchi yawatu wabaya kwa masura njomana mukiona mutu yoyote munamwita mzuri.kuja burundi, Rwanda muone watu wazuri
Warundi wafupi hivo mna uzuri gani sasa.
Warundi ni wazli
Labda kwa wanawake sawa ila kwa wanaume uongo kwani hatuoni sample kwani warundi na wanyarwanda wangapi wamecheza apa bongo kiasi kwamba tusiwajue?