Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
LIVE: YANGA WANATOA TAMKO MUDA HUU
- Додати в
- Мій плейлист
- Переглянути пізніше
- Поділитися
Поділитися
Вставка
Розмір відео:
- Опубліковано 26 сер 2024
- @millardayoTZA
КОМЕНТАРІ • 378
Наступне
Автоматичне відтворення
Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024Azam TV
Переглядів 482 тис.
A-Z MAISHA YA BILIONEA WA TELEGRAM, BABA WA WATOTO 100, VUGUVUGU NA POLISI, UTAKATISHAJI FEDHAMillard Ayo
Переглядів 3 тис.
ANJELA AFUNGUKA HARMONIZE KUONGEA YEYE KUPEWA GARI NA ZUCHU, MAUA SAMA “SIJAMALIZANA NA MWIJAKU”Millard Ayo
Переглядів 4,4 тис.
ГЕНЕРАЛ «ПЕКІНЕС»: листування з дружиною, коханками, фсб і відомим воєнним блогером +ENG SUBТелебачення Торонто
Переглядів 406 тис.
Білоруська армія ВСТУПИЛА В БІЙ НА КУРЩИНІ! Лавров ВИЗНАВ ОКУПАЦІЮ ТЕРИТОРІЙ! | НОВИНИ СЬОГОДНІУКРАЇНА СЬОГОДНІ
Переглядів 519 тис.
Проверка жены 😅 #тнт #shorts #юмор #камедиклаб #камеди #маринакравец #карибидис #биржатруда #работаComedy Club
Переглядів 3,4 млн
зі святом 🇺🇦 як ви готуєте борщ?СКАЖЕНА
Переглядів 174 тис.
HUYU MTOTO ANATAKIWA ATOLEWE INI LIMEVIMBA, TUMBO LIMEJAA MAJI “ATAFARIKI, MAUMIVU MAKALI”Millard Ayo
Переглядів 5 тис.
Surah Al Fatihah (Ayat Kursi) Yasin,Ar Rahman,Al Waqiah,Al Mulk,Al Kahfi & 3 Quls By Saad Al GhamdiAyat Al-Quran Live - آيات القرآن مباشر
Переглядів 1,7 млн
CHEKI MANARA ALIVYOSUSIA INTERVIEW WASAFI KISA WACHAMBUZI KUSIFIA SIMBA "staki tusifieni sie natoka"Wasafi Media
Переглядів 62 тис.
MWANASHERIA wa YANGA AFAFANUA UKWELI RAIS HERSI KUNG'OLEWA YANGAWasafi Media
Переглядів 97 тис.
Yanga SC 1-0 Simba SC | Highlights | Nusu Fainali Ngao ya Jamii 08/08/2024Azam TV
Переглядів 691 тис.
Very Confident PLAYER Thinks She Can Intimidate 64-Year Old EFREN REYESThe Magician Efren Reyes
Переглядів 3,5 млн
HASHIMU IBWE FEISAL AMEGOMA KUONGEZA MKATABA AZAM/FEISAL ANATAKA KWENDA SIMBA/KAULI YA AZAM KOCHAJEMBESPORTS
Переглядів 7 тис.
HIGHLIGHTS: YANGA 4 - 1 AZAM FC/ BOKA NA DUBE WALIVYOIBEBA SHOO NZIMA KIBABEYanga TV
Переглядів 249 тис.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.UDSM CCT MEDIA
Переглядів 1,9 млн
Громадянська оборона 2024: КУРСЬК І БЄЛГОРОД палають, у РФ ПАНІКА - повний випуск українськоюВікна-новини
Переглядів 595 тис.
❌Разве такое возможно? #storyКэри Найс
Переглядів 3,6 млн
Российские поезда 👌 #тнт #shorts #юмор #шоу #однаждывроссии #дорохов #поезд #россияОВР Шоу
Переглядів 2,4 млн
Валерий Ширяев о событиях в Курской области и их последствиях / Редакция. ИнтервьюРедакция
Переглядів 3,5 млн
«Вони вміють воювати як терористи»: військовослужбовець «Пастор»Суспільне Донбас
Переглядів 862 тис.
Экстремальные Прятки в Огромной Усадьбе Закрытая Школа!ExileShow
Переглядів 6 млн
Оригинальный способ подобрать кольцо @stas.yornikСтас Ёрник
Переглядів 3,9 млн
Гордон. Шахназаров в петле, распятие Соловьева и Скабеевой, слабый Розенбаум, молчание РотаруВ гостях у Гордона
Переглядів 754 тис.
ambao tupo sambamba na hersi gonga like hapa........
Pamojaaaaa
Injinia niwetu haondok popote wajinga tuuu haowazee
Tupo pamoja na hers wote tusitaharuki hao wazee wamekurupuka kupuru.
Atoketu manakama anatakakualibu timu hussen kuto inyny
Mlevi ataanguka awezi kushinda wengi Yanga oyee
Nina Imani kubwa sana na Baraza la Sheria ktk club ya yanga...Kwa uwezo wa mungu kesi itafika tamati na wanayanga tutaendelea kuifurahia club yetu pamoja na uongozi wake.....KILA LAKHERI KTK UTEKELEZAJI🤲🏽🤲🏽
Kwa hii trending hapa ndo najionea ukubwa Yanga🤔🙌
Mungu atuepushie husda zote..
Mwenyezi mungu hawez kutuacha
Hersi simama kidete
Wape taarifa wazee wote kuwa eng. Hersi ataiongoza YANGA daima.🎉❤
Eng Hersi hapa inaonyesha jinsi gani Yanga ni kubwa na ni namna ambavyo tunaenda kunyakua kombe la Afrika
Msubiriee Tano (5) zingine.!
Tano za makalio yako
Jaman jaman hv hawa wazeee wametoka wap na wanataka nn mungu awasimamie viongozi wetu na wasiteteleke kwa lolote mungu yu upande wao atasmama nao🙏
Kwanza angalia tu makao makuu yalivyo badilishwa lakin bado hawa kenge wanaona sio sahihi kuongozwa badala yake wanataka waongoze wao alafu waturudishe kule tuliko toka yanga ya bakuli,sasa wakiwa kama wanachama wanaweza kuendesha team gani labda team ya usingiz ila sio ya mpira,waache ukuda TFF hili swala inabid ingilie kati kwakweli maana hii sio case ya jinai hii ni yampira inatakiwa kwenda kimpira mpira sasa wao walivyo wakuda wamesha suka mambo yao na wanataka kutuletea siasa kwenye mpira ,jaman huko tulisha toka kama kuna mzee mmoja wapo atapita kwenye hizi comment watuachie rais wetu na wao muda wao ulisha pita tupo kwenye usasa na mambo yanakwenda kisasa maana hata leo waachiwe team hawana uwezo wakuendesha club kwaiyo wakae pemben na wajitqmbue,ikiwa saivi wanapita kifua mbele kesho watajifungia vyumban mwao,huyu pimbi katumwa hana lolote kenge maji mkubwa
Daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💚........
SEREKALI WAFATILIE MAENDELEO NASIO MMBO YAMIPIRA SSI TUNA NJAA WANA NJII
Acheni habari wa kutaka vurugu wakati timu yetu inaendelea vizuri hao wanaolalamika wakaunde timu Yao wenyewe
Nataman kuwanyonga
Wajinga TU wazee
WASIOPENDA MAENDEREO YAKRABU YETU YANGA TUNAWAOMBA WATUSAMEHE PIA WATUWIERAZI TAFAZARI
Eng,Heris anzisha timu mpya waachie hawo wazee timu ya Yanga halafu tuone wanafika wapi Anzisha timu mpya inaitwa CSM FOOTBLE CLUB Chukua wachezaji wote waliosajiliwa halafu tuone hawao wazee nahiyo Yanga yao
Fisi utamwachiaje bucha, hao hata chakula ya familia ni mashaka.. hao mahayawani waanzishe timu yao.
Kwn miaka yote mliouwa wapi Leo yanga ipo kwenye mafanikio makubwa ya clb ya yanga Leomnaivuruga yanga hakika mungu anawaona manepoteza muda wenu tu kiufupi mnaharibu syclogy ya watu
Yanga bingwaaa hadi 2039
Hiyo mizeee michawi na njaa
Hawa wazee waorewetu
kaka naww Sasa wakunraj
Kuitwa mzee sio kuzaliwa zamani, bali uzee ni busara, magoma ni shushushu, muharibufu, mfunja amani kwenye timu.
Daah kwan hao wazee walikua wamekufa ndo wamefufuka leo hii yanga iko vzr mbona awakujitokeza kipind cha ñyuma
uyo mzee atakufa akiwa ananuka , anataka kutuvulugia club yetu
Shid yahuyo mzehe imeanzia penye Jin mtu mwenyeakili timam ataitweje ngoma
ENGINEER HERSI ALLY SAID KUWA. MAKINI NA HUYO ANAYE JIFANYA. NI RAFIKI YAKO UNAJIFANYA KUKAA NAYE MARA NYINGI KWWENYE MECHI KUBWA KUBWA ZA KITAIFA KAA MBAL NA. HILO JOKA YAAAN. SHETWAN NA IBIRISI NI HILO TU.
Sina hamu kwa kweli mungu anitie nguvu kwanza
Hapo wazee walikua wanakula vijihela Sasa ulaji hapo njaa itawaua wote ni Simba hao wazee njaa tupu zama zao zimeisha yote hayo ni Simba damu
Dunia hii hakuna taasisi inayo endeshwa na WAZEE
Umeua mwamba
Hao wazee hela za kulipa mahakamani wanatowa wapi uchunguzi ufanyike haoo wauwaji wa YANGA
Wana simba msituingilie nyie niwapumbav tu
M nahic wazee wametumwa kuja kuiteketeza club ila club iwe na migogoro kwa sababu hawaitakii meme club
Wazee mnatka nn sas mnashdwa kumalza wazee wao vzr
😂
Naona huyu mzee kuokota Makopo kumemfanya awe mwehu
Kwan Hao wazee wananafasi gan kwenye timu yetu ya yanga? . Na Kama ni wanaamua kuzalilisha timu yetu kisa njaa zao. Inatakiwa tuwashitaki ili hata siku nyingine wasije kurudia ujinga wao.
Hawa wazee wataorewa
Huyo mzee njaa inamsumbua kamatumwa na jirani haache njaa zake
Wazee hao wachaw
Njaa mbaya sana wazeee huwenda kuna mgao wazee hao hawaupati umezibwa ....hapo kelele tu 😂😂😂😂🤣🤣🤣
ijinia yupo sana
Wanaumia sana kwa kuwa tunae chama😅😅😅
Hapo. Ni. Lazima. Uongozi. Wetu. Pendwa. Wa. Hersi. Na. Ghalib. Uwepo. Tuu
Jamaan mnahangaika na wazee wapumbafu
Raha sana ila wazee 😊😊😊😊
Hili jambo limesukwa na wale waliokuwa wamezoea kutumia Yanga kama chanzo chao cha mapato na kwa sasa zimezibwa na vijana na wanahisi hawana nafasi tena ya madaraka Anachofanya huyu Mangoma ni kumwaga mboga ili wakose wote . Lengo lao sio kutetea katiba ya Yanga kwa maslahi ya Yanga bali ni kwa maslahi binafsi nje na ndani ya Yanga . Kuna kundi la wanayanga wachache wanaopta ushauri na maelekezo kutoka nje na ndani ya Yanga na hata wenye dhamana ya nchi kwa nia ya kuitikisa Yanga ili iharibikiwe katika mipango yake na wao wajipenyeze ili wapate fedha. Hakuna mwanayanga anayefiria ujinga huu kwamafanikio ya Yanga walivyo kwa muda huu. Hii ni hatari na baadhi ya wazee wa daresalam waache kuifanya Yanga kama kitega uchumi chao .
Haaaaaaaaa❤yangaaaaa
Injinia asitoke
Braaah
Braaah
Braaah
😂😂😂😂😂
Safisana Wazee Haovijana walafituu Yanga oyeeee
🙆🙆🙆🙆 MUNGU naomba unisikie maombi yangu, Naomba wote walio peleka kesi uko wafe yaani wakufe kabisa, ndani ya siku 7,.
Mungu ashughulike nao kiukweli
Dozi iongezwe ya Magoli mpaka hata Ali Kamwe nae wajikute wamejichanganya kuwa usajili wake hauna vibali vya uhamisho nadhani wenye D 2 wameelewa... Daima mbele nyuma Mwiko Sisi ndo Yanga
Njaa zina tutesa sanaaaaaa walio watumavwasubili 7.2 Tena
Braaah brahaa hatutak kusikia kwan hawo wazee wana maan gan na wawo wanataka nin kam sio ujinga tu tangia mwanzo walikuwa wapi mpak leo hii ndo wafany hvo hawo wazee waache utoto bas
Wanasheria hamfanyi kazi zenu kwa umakini wanasubr mpaka yawe makubwa ndo muanze kijitetea hamjui mnatugawa wakati ilikuwa ni swala la kumaliza wenyew mapema kabla hata ya hukumu mngekuwa na hoja hizi nan angetoa hukumu ya namna hiyo
Unaendaje tena mahakamani. Chukueni hiyo hukumu mkapate ufafanuzi TFF. Kwenye mpira Mahakama ya Kisutu haihusiki maana hiyo siyo kesi ya Jinai. Msipate presha ipotezeeni, waulize mahakama lini wamepewa mandate ya kusikiliza kesi za mpira?
Wazee wa hovyo na michawi ktk nchii hii ni tatizo kubwa,na mchawi hapenfi maendeleo timu inafanya vizur mizee inaibuka na kubabwaja nendeni mkalime huko mashambani
Hapo. Ni. Wazee. Wanaotumiwa. Na. Simba. Tu. Timu. Imekuwa. Bora. Chini. Ya. Ininia. Na. Ghalib. Leo. Nani. Ataisaidia. Yanga
Unajua wazeee hao hawajielewi wakati tupo na bakuli walikaa mbali na club leo wameona mafanikio wanakuja kuongea pumba zao ni njaaa zao zinawasumbua tu amna kingine
Itaku wametumwa na upande wa pili
Hao wazee wakaanzishe tim yao make walio iyanzisha tiyar walishaga farik toka 1935 had leo ni mzee gan aliopo hai
Mlakuku wa mweziwe miguu humwelekea
Hao wazee tutakufa nao..wametumwa na wasiombe ili swala liishe,likiisha hao wazee tutawafyekelea mbali.
Wananchi TUWE MAKINI,hizo ni fitna za maadui nia yao KUTUVURUGA,Yanga mshikamano daima,DAIMA MBELE NYUMA MWIKO,washindwe/waregee hao MAFISADI kwa Wananchi,Cc ndio Yanga imara
Kabisa nifitna tu
Mizee yanyewe ukiangalia inanjaa hata ukipa mchezaji mmoja aiezi mlisha mikundu hii tu
Chama ndio kawaumiza hehehe 😅😅😅
Na hapo Bado hajaonekana uwanjani chama atawakera zaidi yanga oyeeeeerrr😊😅😮😢😂😊😊😊😊
Chama k mmoja tulikua na Samagoal
Yani nyinyi wazee hamnazo kweli hivi mnataka kuipelekawapi hio yanga yani hii nishidasana
Mzee magoma analake analolihutaji,,, Mimi naona Ili tim yetu iendelee kuwa ya moto,,, tuwaheshim wazee,, Kwanza wazee wazamani wanauwezo wa kuimalisha Tim na kuipoteza Tim kabisa,
Hani hao wazee miaka mitano hakuna chchte kinachofanyika,leo mnaitaka timu...pumbavu wewe mzee huna akili na hakuna kitu utaifanya Yanga kwa sababu sio ya kwako ..........na uachane na Yanga ufe zako ukapumzike.
Ao wazee watamkumbuka Engineer tuu tunasubili.Yani timu inakaa unyama ndo wanajitoa wanakela sana ao wazee
Hao ni wapinzan ,wanatumika tu
Huyoo magoma mshezi kama ana chaaseme tumchagie iri arenawajumkuuwake hiyoni chaa tu tukateekatika wanachama
Aowazee kweli wanaipenda yang
Habaki ijinia hers
Safi sana viongozi wetu mungu awatangulie
Tushilikiane kuipenda yanga
Malengo yenye tamaa na chuki,husuda huwa hayafiki popote.
Huyo Magoma atakuwa katumwa, ashindwe na ALEGEE.
Herssssss❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Hao wametumwa kuharibu harakati za yanga za mafanikio mafanikio ni vita wavuliwe uana chama tusiwape nafasi
Tokekeni yanga majizi wakubwa
Hersssss❤❤❤
Rais wetu haendi kokote tunaimani nae yeye magoma ndioandoke yeye Nani kwanza mashabiki wengi hatumjui asitualibie timuyetu mjinga mmojahuyo
hawa wazee wasenge yani hawataki maendeleo ya timu kweli hawa ndo wachawi wakizamani wanafaa kufinywa hawa mmbwa koko
Mwanashseria anajichanganya sana ati kesi ya mwaka 2013, ukanjanja unanukia. Yawezekana waliidharau kesi na kilichotokea kimewashock wa matopeni
WATANZANIA MMEZIDI KUA WADAKU NAWAPENDA KIKI INAWEZEKANAJE THOSE SO CALLED WANASHELIA KUOMBA MDA KWENYE MAHAKAM ILEILE ILIOTOA HUKUMU KWANINI WASINGEKATA LUFAA MAHAKAMA ZA JUU ILIHAKI ITENDEKE
uyo mzee naona iziraeli uyooooo
Hizi ni mbinu za moooo kutuzohofisha
Mo kaingiaje hapo malizeni mambo yenu kama wazee mmewadhuru kwann wasilalamike
Ila bana wa2 cjui huw wanalala wanamka kuvuruga tu timu za wa2 wakaunde timu yao xaxa wawe wanacheza wenyewe ili wajiongoze na mandevu yao!!
Hao wazee wametumwa waivuruge hiyo yanga
Soma sheria wewe
Mzee magoma yupo sahihi gongera sana
Wazee wasenge xn dawayao kupigwa Tu na kufukuzwa wasixhabikie yanga maana mafuxadi Tu kuma zamanazao pumbavu xn
Hivi mambo gani tena haya shetani gani ametuingilia jamani haya mazee ningekuwa mie ningeyalipua inamaana leo ndo yamejuwa uongozi hauko sawa au kuna mkono wamtu Hapa kuhusu CHAMA simba wameweka mkono ili tuvulugane
Vile Kuna watu wanaojua Sheria watashindwa na kulegea.
Unae sema injinia atoke wewe kwanza siyo shabiki wa yanga.acha bangi ukalale kwa mamako
Huyu mzeeeee si.afe tu hata leo mchawi mkubwa sana
Ambao tuko live. Tujuane
Kwa kweli haowazee wametukosea sana wanayanga
Wana yanga wapo na heris ila Simba wapo na wazeee
hakuna wanasheria hapo kesi toka 2023
Hao wazee mikundu hatuwataki
Tena mikundu haswaaaa
Punguza hasira mimi pia yanga japo wanakera sana
Mnawakosea heshima wazee nakuwatukana kosa lingine hilo hivi unaweza kumwambia babako ana njaa
Simba wewe fara chama tunae na trh 8 itafika mrete ha marojo yenu mriyoyaokoteza
Ndo mpira huu bora mishabikie amapiano wazee washezi kabisa
injinia bado tupo nae sana yanga wapizani mtapata tabu sana mda wetu uuu
Mti wenyewe matunda lazima upigwe mawe rais wetu hersi nimti na unamatunda kibao lazima upigwe mawe usiogope rais wetu hersi hao nawapumbavu tu wasiopenda maendeleo ya timuyetu Ila kingine unapofanyakazi vizuri changamoto lazima
Kesi hii imesikilizwa lini hata kuhukumu hukumu kama hivi.
Waondoke ili mfurahii ??! Tabu ipo pale pale . Tumewajua mbinu zenu
Wanaho penda hersi ahondoke gonga like