Anaumwa anaonekana jamaa hali yake siyo poa,mwili umeondoka sana,dudu baya alikua na mwili haswaa anatakiwa achekiwe afya yake ana matatizo mwenyewe alisema amepata nafuu kiasi kwa sasa.
Dudu najua kwa sasa upo kwenye Detoxification kuondoa sumu mwilini .. plz endelea kunywa maji mengi usafishe damu yako .. Na Plz ukipata muda nenda salon wale madada wakufanyie SCRUB coz ngozi yako inaonekana inahitaji deep bath 🛁 wakutoee nongo nongo zote my bro lkn SCRUB ni Muhimu kaka uso upate kungaaaaa
Sasa unanjiita mungu sasa wewe bro namunagani wewe umeteresha sasa hakuna kiumbe kitaitwa mungu asipokua tuna njua mungu alituumba kwa mufano wake.heri ukashome dini tena😊
Huyu mtu ni muislam na aliwai fiwa na mkewe wa kwanza kitambo ,basi hpa mbona kma karitadi alafu ni kma ana kitu kinamsumbua mwilini ,anakaa kunyaukanyauka kiasi
Acha congo uo nimtazamo wako sio miislam nimklisto toka utoto wake amelelewa mama sista kifupi dhehebu lake nimromani hata nyimbo zake zakwanza kuna nyimbo inataitwa amli kumi za MUNGU nahapo alipo sasa anaumwa
Dudu is a critical thinker...#Intelligent
Tunaomba serikali impe dudu wizara moja asimamie
Ww dudu bay ume comment hap sio 😂😂😂😜😜
🎉🎉🎉🎉
😅😅😂atanyoosha watu Sana unajua wasukuma tena
@stanadtana3199 muziki ulimshinda wizara ataweza?
Kweli serikali imuangalie Kong dudu Baya anaupeo mkubwa sana ana fundisha na tunamuelewa sana..apewe kitengo
True kaka... Mwenyez Mungu akusmamie bro
Oil chafu mamba dudu BAYA mapafu ya Mbwa
Konnk mastar duuu anaishaa jamani uyuu anauumwa auu eraa anaa uyuu
Brother dudubaya may God bless you umenifundisha vingi japo mi sio msaniii makofi kwako kaka u r genius
Mwamba mda wote anatoka majasho
Ata ukimueka kwenye friji anayafuta tuu 😂
Huyu alitakiwa awe mchungaji
INAMAANA SEREKALI HAIMUONI HUYU JAMAA IKAMPA KAZI
Huyu ni Mtumishi wa MUNGU jamani
Kocha Mkuu mpya
Huyu jamaa inafaa awe chairman wa bongo flavour uko tz
Nakuku bari sana kaka
Kuumwa kawaida tu kwa mwanaadam
Mungu amumujuwo
LAISI WA ULUSI 😂😂😂
Dk Sule hajakutukana alikupa ushauri. wala hana Chuki na wewe 😅 umtafute mkae private kilichokufanya kutoka
Mmm anaumwa huyu
Anaumwa anaonekana jamaa hali yake siyo poa,mwili umeondoka sana,dudu baya alikua na mwili haswaa anatakiwa achekiwe afya yake ana matatizo mwenyewe alisema amepata nafuu kiasi kwa sasa.
Ameanza kupona sasa alikua hoi sana kwasasa yupo fiti na huzo interview anafanyia sehemu alipo na inaonekana ni za kumrudisha mdogo mdogo@@Pedeshee01
Nakuombea kwa Mora wangu urudi ktk hari yako ya zaman mzee puttin
@@Pedeshee01I believe pia anaumwa na hospital za tz asiaminiki. Bora aende nje akacheck afya upya
@cdeleo9336 Nje ni pesa na kwa jinsi maisha yake ya sasa na sanaa yake si kama zamani kwa sasa hana kitu vinginevyo angeshaenda kutibiwa nje
Msema kweli koki
Inta Veu ya Chidi benzi Dudubaya Niki mbishi Uwaga Nielimu Tosha Pia Uwaga Sizichoki
ya youngkiller umeisahau
Mbona anazidi kuchoka kila siku
Haaaa eti PUTINI
.
Mimi trana nitakuwa nawewe tu hapatena wajua sasa hunataka Kufo sasa kama hunatafutakifo mwishiwe hutakuta tu
EITHER.... EITHER
EITHER...OR
Dudu baya putin🤙🤙
Ushakuwa mzizin
Ulusi ma Malekani, Laisi wa Ulusi, Kaleni
Umejuaje Mwe Kama ujawahi oa
caption unaandka vingine mahojiano mengine 😢
Koki humenipa furaha nimecheka sana
Dudu baya
Dudu bayea
Kiukweli dudu umechoka mno. Please kaangalie tena afya yako nje ya nchi hata msaada omba tutakusaidia. Don’t trust tz hospitals
Utapona na ushapona jiamini
Dudu najua kwa sasa upo kwenye Detoxification kuondoa sumu mwilini .. plz endelea kunywa maji mengi usafishe damu yako ..
Na Plz ukipata muda nenda salon wale madada wakufanyie SCRUB coz ngozi yako inaonekana inahitaji deep bath 🛁 wakutoee nongo nongo zote my bro lkn SCRUB ni Muhimu kaka uso upate kungaaaaa
Ulusi
Kakonda kisengee
Sasa unanjiita mungu sasa wewe bro namunagani wewe umeteresha sasa hakuna kiumbe kitaitwa mungu asipokua tuna njua mungu alituumba kwa mufano wake.heri ukashome dini tena😊
Wewe huelewi kiswahili
Konk
Huyu mtu ni muislam na aliwai fiwa na mkewe wa kwanza kitambo ,basi hpa mbona kma karitadi alafu ni kma ana kitu kinamsumbua mwilini ,anakaa kunyaukanyauka kiasi
Acha congo uo nimtazamo wako sio miislam nimklisto toka utoto wake amelelewa mama sista kifupi dhehebu lake nimromani hata nyimbo zake zakwanza kuna nyimbo inataitwa amli kumi za MUNGU nahapo alipo sasa anaumwa
@@user-nb6yh2bn9ykweli 👏🏿🔥🔥💯
Dudu baya