UTAJIRI wa DIAMOND watajwa,ni TISHIO! Kumiliki Kisiwa,Hotel pamoja na kuingiza pesa nyingi kwa mwezi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • #diamondplatnumz
    Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 339

  • @kadito-o3j
    @kadito-o3j Рік тому +58

    Nipeni maua yake nimpelekee kwa njia ya likes 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Рік тому +19

    #Diamond ana vitu vingi sana ila anaogopa sana kuviweka wazi maana yy TRA ni mafuta na maji...anaogopa kuweka vitu vyake wazi asije kuwekewa kesi za utakatishaji fedha na kukwepa kodi,Tanzania ukiweka sana vitu wazi inakula kwako.

  • @yanickmustafa7221
    @yanickmustafa7221 Рік тому +32

    Diamond platnumz 👑👑

  • @nunumgombewa5190
    @nunumgombewa5190 Рік тому +3

    Hongera zake sana diamond platinums kwa mafanikio hayo mi nishabiki wake toka alvyoanza mpaka leo hii nampenda sana na ninafurahia mafanikio yake

  • @Elite_Edits001
    @Elite_Edits001 Рік тому +25

    Nawapenda sana Vijana wa SNS, my favourite!!! Big up show haina jina, mimi naiita Boro ezanga kombo!!! 😂😂😂

  • @rojathedonmakumbi923
    @rojathedonmakumbi923 Рік тому +10

    Siwezi kushangaa huyo ni simba 🦁

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Рік тому +15

    Nyumba ni kweli kabisa anazo nyingi

  • @mussanchimani4839
    @mussanchimani4839 Рік тому +21

    Leo Wakwanza jamani Nipeni like zangu

    • @krishilkaba3339
      @krishilkaba3339 Рік тому +2

      Pumbafu moja, haya nimekupa likes, baada ya hapo inachofuatilia?.. tafuta pesa kijana

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 Рік тому +1

      We usitafute kazi 🙂

    • @mozespatnam7469
      @mozespatnam7469 Рік тому +1

      Khaa like zitakusaidia nin

  • @FestoReonadi-kq8kp
    @FestoReonadi-kq8kp Рік тому +49

    Ujue maisha simchezo wakuigiza jamaa kajituma bgup kwake mungu ndo kaamua

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 Рік тому

      Pesa y harm hyo

    • @mbunah255
      @mbunah255 Рік тому

      Kujituma pesa yake haitoshi na nyota ina husika bro

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 Рік тому +1

      ​@@juxjemc5768 🤣🤣ona hii kondoo

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому +24

    Apo kutakua WASAFI TOWER alafu hajatambulisha KASRI LAKE, kuna WASAFI AIR inakuja sema watu wana hela.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому +1

      @@philemonmagesa5548 Sawa mbunge MAGESA

  • @andriessegotsane
    @andriessegotsane Рік тому +13

    Jamaani mondi anapesa nyingi tu from27

  • @ibraheemyacoub4390
    @ibraheemyacoub4390 Рік тому +25

    Pesa sabuni ya roho🙌

  • @abubakarikasamwa5792
    @abubakarikasamwa5792 Рік тому +6

    Nawakubali sanaaa sns

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 Рік тому +7

    Chibu ni boss ,sema tu watu hawaoni

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 Рік тому +18

    Nyumba anazo zaidi ya kumi 11..

  • @majatzofficialmusic
    @majatzofficialmusic Рік тому +5

    Mm nayitaa iyo shoo ukweli na uhakika tu ❤

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +6

    Big up sana show show

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Рік тому +3

    Kuna watu watabisha tu ili mradi maana wanataka atajwe ally kiba ama harmonize yaani bongo uchawi uchawi tu.

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 Рік тому +8

    🤴🦁 Simba in terms of 💶💸💴💸

  • @mikenafro9393
    @mikenafro9393 Рік тому +2

    Simba anapambana sana...so he deserves all that and more......big up to Simba!!

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 Рік тому +2

    AYA MWIGULU NCHEMBA SASA KAZI KWAKO KACHUKUE KODI

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 Рік тому +12

    Afu Kuna mmakonde anamiliki visiwa vya mademu wenye matako makubwa nyieee😅😅😅😅😅

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 Рік тому

      Wewe unamiliki nini wewe na ukoo wenu hamna hata robo ya hela ambayo anamiliki hamonize

    • @saidabdulkadirmjahid8255
      @saidabdulkadirmjahid8255 Рік тому

      😂😂kisiwa Cha Tako

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 Рік тому

      @@saidabdulkadirmjahid8255 Hawa ni wapumbavu Sana nahisi watakua hawajui maana ya kisiwa eti mondi anamiliki kisiwa

    • @babiddi8620
      @babiddi8620 Рік тому

      Kisiwa cha zuchu na kuna baadhi ya watu uleuongo ndowanaoupenda

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 Рік тому

      Mfano Kajala nyika😅😅

  • @godymaster8727
    @godymaster8727 Рік тому +4

    Tanzania nomaaaa

  • @muhamedabubakali7256
    @muhamedabubakali7256 Рік тому +1

    Kwel yule nisimba mwache apige ela❤

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 Рік тому +5

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yahyakiomone8792
    @yahyakiomone8792 Рік тому +3

    What is the name of the hotel in order to make a booking The building at Mikocheni is not even complete .

  • @princehans8346
    @princehans8346 Рік тому +3

    kenye swala la nyumba masamaki alikua na nyumba zaid ya 100 mjini shida sio nyumba shida ni nyumba za aina gani nyumba za million20 sio kitu

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 Рік тому +4

    Simba Simba nimfano was kuigwa kwa wore wanaopambana kujinasua na umaskin

  • @JacobUster
    @JacobUster Рік тому +1

    he deserve it n he knows what he's doing

  • @mustaphamatelefone-lc9pr
    @mustaphamatelefone-lc9pr Рік тому +5

    Saluti kwa Simba🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @mtetezimbeki7539
    @mtetezimbeki7539 Рік тому +2

    Hotels anayo mana ilisha onekana kwaiyo ahina hofu mana uwezi kutowa nyumba isiyo yako kwa ajii ya Corona

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz Рік тому +1

    Jamaa kaukuza muziki wa tanzania namkubari sana simba

  • @shaqirwayne6029
    @shaqirwayne6029 Рік тому +4

    ❤❤❤❤

  • @JulienNgoy-ng4nd
    @JulienNgoy-ng4nd Рік тому +2

    Acheni kukariri vitu mnafikiri kumiliki kisiwa ni mchezo. Aache uongo bhana

  • @lukasmnyethi5903
    @lukasmnyethi5903 Рік тому +3

    Acheni uongo nyumba ziko wapi

  • @Makakulaya
    @Makakulaya Рік тому +4

    Sadala anadanganya hana kitu

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 Рік тому

      Una umia ukiwa wapi kipenz

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 Рік тому

      Kwahiyo unateseka tu 😂😂 yani kuskia tu Diamond 💎 anapesa bro😂😂. Inabidi Ukajitundike tu ili usi skie Ivi vitu vya Platinumz bro😂😂

  • @jayomarion8183
    @jayomarion8183 Рік тому +7

    Zanzibar hawauzagi visiwa bro..mm nafanya kazi kwenye moja ya kisiwa na wazungu wanapipa Kodi ya 3.6billions bro,..so akiwa kakodi kisiwa hicho naeza kukiamini

    • @wakunatahafai1969
      @wakunatahafai1969 Рік тому +1

      Si ajabu ukawa ndo labour katka kisiwa chake 😂😂😂

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 Рік тому +1

      Mzungu kupewa umiliki ni kazi tofaut na mbongo bro 🤣

    • @bwanabrainex433
      @bwanabrainex433 Рік тому +1

      Kabsa serikal yetu inaakil haiwez kuuza kisiwa Znz maan znz yenyew inakuja kuja bado

    • @zeelakukomesha3653
      @zeelakukomesha3653 Рік тому +1

      Zanzibar mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi ndio maan wanawatumia mabeach boy kumiliki maeneo

    • @jayomarion8183
      @jayomarion8183 Рік тому

      @@wakunatahafai1969 ahahahah kweli lakin hajanunua hapa kakodi tu na analipa 3bilions na something

  • @ray45king84
    @ray45king84 Рік тому +1

    TRA wamefurahi sana leo

  • @mathewikobwo9862
    @mathewikobwo9862 Рік тому +2

    The Nameless show (TNS) nimewapa jina

  • @jozidasuperior7257
    @jozidasuperior7257 Рік тому +4

    Mje na kwangu tupige mahesabu

  • @ErcilioFrederickManjate
    @ErcilioFrederickManjate Рік тому

    My favourite song Mr diamond 💎

  • @feroozrajab4391
    @feroozrajab4391 Рік тому +14

    Mbona sasa wasio mpenda wanasema hana kitu? Cha ajabu wengini hujaribu hata kumpachika kajina yasio na maadili.

    • @wakunatahafai1969
      @wakunatahafai1969 Рік тому

      Kama yule Muha alieowa Mombasa ni vijembe tu anamiliki jiulize kwanza mtu anaowa Mombasa si mchezo kajaa roho mbaya husuda 1000000000000 senge sana yule🖕

    • @StephanoMashavu-mw2ij
      @StephanoMashavu-mw2ij Рік тому

      ​@@wakunatahafai1969 haaahaaa

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 Рік тому

      ​@@wakunatahafai1969 kwakwel jamii ya watu wa Mombasa yaani ni vjembe husda roho mbaya ukikaa vbaya kurogana 😂 Aah niliwai Kukaa nao hawa watu hunidanganyi kitu Hadi kikaama nyumba kwa kukimbia na ilikuwahataki niame dah😅

  • @saulielisha9729
    @saulielisha9729 Рік тому +3

    Vitu vijioneshe hicho kisiwa ni kisiwa gani ambacho, ata kukitaja ajawahai kukitaja mwenyew na sifa alizo nazo, pesa anayo but aache uongo vingi ni vya kushere

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Рік тому +1

      Tomaso

    • @bekarpaul
      @bekarpaul Рік тому +2

      Punguzeni makasiriko jamani tutafute pesa

    • @valeriaally6584
      @valeriaally6584 Рік тому

      Sauli Elisha mtakufa na viholo,sasa atangaze kila kitu ili iwaje

  • @rashidigaston3274
    @rashidigaston3274 Рік тому

    Wali saabu wasafi bet

  • @alisalum2023
    @alisalum2023 Рік тому +2

    Kununua kisiwa kwa Zanzibar sio kweli labda fukwe

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Рік тому +1

    Matangazo hayo

  • @strong8534
    @strong8534 Рік тому

    Jux has cash too boys

  • @mariammganga4301
    @mariammganga4301 Рік тому

    Wewe daimondi ni tajiri sana huna wakulinganisha, ila nilikuomba gari tu sijaona najibu

  • @Ayan-h2p
    @Ayan-h2p Рік тому +23

    Nyumba 11 ?naona ni ndogo sana kwa platnumz .I believe this guys got double the number mentioned

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому +1

      Fact

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 Рік тому +1

      Inategemea ni nyumba gani ndugu yangu,kuna boss mmoja yuko mji flan hivi ana ghorofa 10 na kila ghorofa lina vyumba zaidi ya 100😢 ebu jiulize hio pesa.

    • @benahdesigner
      @benahdesigner Рік тому

      Ndogo

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 Рік тому +1

      @@patrickmukundichalamila3038 kuna watu wanahela hapa tz Ila wengine makerere tu mtu akijenga kinyumba Cha hela kidogo makelele kibao mondi ananyumba nyingi Cha kushangaza amepanga inamaana hizo nyumba hazina hazi ya kukaa yeye wenzo pale marekani msanii anatumia mabilioni ya hela kujenga au kununua nyumba ambazo wanaishi mfano Rick Ross nyumba yake bilion 44 tuache kiki za kijinga maisha ya mtu ni fumbo na Siri kubwa

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 Рік тому +1

      ​@@rashidyally8715 sawa amepanga sababu nyumba zake hazina hadhi lkn Ni zake na kwa uwezo wake na familia yake tunaweza kusema anahela

  • @juliusmethod6380
    @juliusmethod6380 Рік тому

    mmi nna jiko la gass kitanda na godoro ddoma sofa la watu wawil frij tv32inch laptop zulia kabat mbili la nguo na vyombo viatu pear3 kwa mwez naingiza laki4 nimepanga kwa mzee Ngunde alaf kiwanja ntannuliwa nikifa kidogo tuuu cha kunitosha kulla mille🤣😂😅

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому +2

    Kaka please malipo selekalini kutokea kwake anapatikana Africa akon na dj sub ndio waripa coli sanaa

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 Рік тому +5

    Waandishi gani hamjui kisiwa na Hotel anazomiliki acheni ujinga

    • @bwanabrainex433
      @bwanabrainex433 Рік тому +1

      Kweny comments zte ww ndio umeandk cha maan

    • @ianjohn797
      @ianjohn797 Рік тому +1

      ​@@bwanabrainex433 vitu tunaangalia wengine tunashindwa kucomment😅😅 ATI kisiwa kwani yeye ni Ronaldo

  • @MudrikifariMudriki
    @MudrikifariMudriki 4 місяці тому +1

    Mm.raisi wabadae.sijauzakisiwa.muogo😂

  • @sabraomar6604
    @sabraomar6604 Рік тому +4

    Naomba na mm pesa jamni😢

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Рік тому

    Sky kakimbia

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 Рік тому +4

    Hapo kwenye show wamekurupuka kwa upande wa Zanzibar concerts zake analipwa dolla elfu 20 na kishafanya concerts mbili kendwa Rocks, kuhusu Kisiwa Zanzibar huwezi kupata Kisiwa kwa dolla laki 7 mana Kisiwa kinaanza na dolla Milion 3 kwenda 4 wajaribu kufanya research again mana dolla laki 7 kwa Zanzibar unanunua land tu tena sio beach safi

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 Рік тому +1

      Una umia ukiwa wapi kipenz

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 Рік тому

      @@salimalaquimane3077 Niumie for what sasa? I’m not even musician nyie kawaida yenu kila Mtu akubaliane na Mitazamo yenu, naumia nikiwa Zanzibar Ndugu 😂😂

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 Рік тому +2

      ​​@@zanzibarboyzanzibar509 acha kukurupuka hiyo pesa anayolipwa ni show za nje..show za ndan hauna uwezo wa kumlipa anakuja kushow love tu

  • @adammadogo
    @adammadogo Рік тому

    Jamaa anamkwanja

  • @Igauf3
    @Igauf3 Рік тому +1

    UA-cam numbers could have been more, if his residence was in USA. Algorithm could have favored him.

  • @AmbelleMgalla
    @AmbelleMgalla 10 місяців тому

    Baada ya kwamba ninyi ndo mtoa tarifa za watanzania ili media za naijeria zichukue kwenu ninyi ndo mnachukua kwao😅😅😅😅

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +4

    SIO TAJIRI,,ANAJIWEZA

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 Рік тому

      Una umia ukiwa wapi kipenz

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Рік тому

      @@salimalaquimane3077 UTABURUZWA IVO IVO POLE MNO

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 Рік тому

      Mbona yeye kirasiku.kwanin awachek wasanii wengine watznia?Ina maana kwer jamaa pesa anayo.Kwahiyo Kama una umia kuhusu Diamond nenda Ukajitundike kamba ufe tu😂😂😂

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Рік тому

      UNACHOAMINI WEWE USILAZIMISHE NA MWENZIO AAMINI,,NDOMANA KILA KIUMBE KIKAPEWA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI,,,WE UNAKUBAL ME NMESEMA HAPAN,,SHIDA NIN

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 Рік тому

      Kama ulikuw unajuw utasem hapana Kwanini ujibu sasa?si ungekaa tu Kimya no comment yako ??Kwani vilikuw Vina kuhusu Mpaka ujibu hapana🤣🤣.Watu wengine mnajichosha Mjue

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 Рік тому +1

    Izi nyumba za Sauzi nyi mwaona mchezo eti

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Kaka following sio mchong msani tajili Africa ni Lisundu America Msani tajili P DDY au JAY Z angalia follows wake na wa Chris brown au Justin beby

  • @bdreams2793
    @bdreams2793 Рік тому

    Huwezi jumukisha anaco charge kwa show wakati hujui anafanya show ngapi kwa mwezi

  • @rasta50289
    @rasta50289 Рік тому +2

    Hey, he deserves it ❣️🏀✌️

  • @johnhanga-dp9ck
    @johnhanga-dp9ck Рік тому

    Mondi aliwai kusema wanaigeria hawamzidi hela wao wanawza kununua vitu vya mapito ila yeye anawaza kuwekeza watu hawakumuelew

  • @wolinet1
    @wolinet1 Рік тому +1

    TRA kama wamestuka ivi na hiyo record

    • @perfectpixelsstudio3603
      @perfectpixelsstudio3603 Рік тому

      Nibmfanaya biashara wa kwanza kulipa Kodi kubwa wa mwaka TRA wanamjua vizuri tu hawasemi Yani naweza kua tajiri kuliko matajiri mnao wajua nyie

  • @loicebaraza
    @loicebaraza Рік тому +2

    He deserves that and more,he's a hardworking guy,A boy from Tandale

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 Рік тому +3

    Ya Kweli haya 😂yasije kuwa ya kanumba

    • @muryd6999
      @muryd6999 Рік тому

      Mhhh !

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 Рік тому

      Ila nyiny wabongo hamna akili yan mtu unauliza ya kweli hayo wqkati unamuona msanii anamiliki vitu vya pesa ndefu sana kama magar ya kifahar zaid 8, ana endorsement na pepsi na makampun mengine, ana redio stations...ndio msanii mwenye stream nyingi u tube kwa africa mwa jangwa la sahara lkn pia ana streams nyingi spotify,boomplay,audiomark,apple music, n.k then unakuja unamfananisha na kanumba kweli?? Kwelii??? Wabongo akili hatuna..au ukisikia streams unajua ni ufahari tu...streams ni pesa...money

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 Рік тому

    Acheni uongo wenu jinga kwel msani tajili tz ni akiba sematu hanaga maonesho

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 Рік тому +2

    Kisiwa cha wapi? Tumepigwa

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel Рік тому

    Bado bado sana. Hawezi overtake our Akothee.

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 Рік тому

      Mhhh😂😂😂😂😂

    • @valeriaally6584
      @valeriaally6584 Рік тому

      Chibaby Daniel endelea kujidanganya,nyumba anayoish akothee ni miongon mwa nyumba alizopangisha diamond huko sinza na mbez beach,sasa ya akothee iko shamba ambako mtu yeyote mwenye vijipesa anaweza kununua eneo shamba akajenga

  • @neemaapolo-lc6ts
    @neemaapolo-lc6ts Рік тому +1

    Jame tuweni wa kweli ndg zangu kwenye ukweli daymond iyo pesa kumiliki utajiri kama uhuuooo apana sikubali apo gadangya sana

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому

    Nmh sisi wenyewe bongo hatuzijui izo nyumba jmn

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 Рік тому +3

    Kwenye hoteli na kisiwa tumepigwa

  • @kelementbushishi3687
    @kelementbushishi3687 Рік тому

    Simba🙌🙌🙌

  • @MohamedHassan-sp2un
    @MohamedHassan-sp2un Рік тому

    Nyuma alishaga zizungumzia aliulizwa kwanini anapanga akasea anavibanda zaidi ya kumi na moja

  • @jumajux730
    @jumajux730 Рік тому +13

    Jitahidini mtupe news zauhakika musiji kupoteza jammi kutokana nyinyi niwa Tanzania kwaiyo bado tunangoja tujuwe kwanini jama bado anapanga

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Рік тому

      Umuulize mhusika

    • @AmelbergaKempanju-uf1zh
      @AmelbergaKempanju-uf1zh Рік тому

      We ndo unampangisha halafu usiaibishe majina ya wasanii Jux si wa hivyo shida nyie mnataka kuleta ushabiki hata kwenye ukweli

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Рік тому

      Umempangisha ww unachukua Kodi kias gan

    • @BijouxMunezero
      @BijouxMunezero Рік тому

      Nikweli bado anapanga

    • @sumajux4530
      @sumajux4530 Рік тому

      Kupanga ni kuchagua kwan si ana nyumba Madale anayokaa mama yake na South Africa hizo ambazo ametaka watu wazijue tu

  • @OmanOman-ry5gw
    @OmanOman-ry5gw Рік тому +6

    Kisiwa ikisha znz 😂😂😂 tuambiane kisiwa gani tumbatuu au pemba

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 Рік тому +1

      😂

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 Рік тому +1

      Wamekurupuka Zanzibar Kisiwa kinaanza na dolla Milion 3 mbaka 4 na kupanda Juu

    • @OmanOman-ry5gw
      @OmanOman-ry5gw Рік тому

      @@zanzibarboyzanzibar509 aa po umempenda kisiwa gan diamond kaswaend kuwadangany wa naija muhun san sio pow ww jiulz kiswa gan

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 Рік тому

      ​@@OmanOman-ry5gw kanunua plot tu ambayo inaangalia bahari lakini sio kisiwa

    • @OmanOman-ry5gw
      @OmanOman-ry5gw Рік тому

      @@janerouhassanjanerou7933 uyo muongo sasa kwnn akawadangany weziwe

  • @babiddi8620
    @babiddi8620 Рік тому +1

    Kisiwa cha zuchu

  • @mudriqhamidu871
    @mudriqhamidu871 Рік тому

    Jaman kuna kisiwa zabr lkn rekebisheni hyo kauli me ninajuwa zbar peke yke ni kisiwa ss mondi amenunua kisiwa kipi hiko ,semeni kuwa amenunua ufukwe na cyo kisiwa

    • @fadonblue4581
      @fadonblue4581 Рік тому

      Acha ufala wewe tuulize sisi waznz ndani znz kuna visiwa vidogo dogo kama vile chumbe;changuu, prison island na nk

    • @fadonblue4581
      @fadonblue4581 Рік тому

      Fukwe mbali na visiwa vidogo dogo mbali fukwe kama vile nungwi.paje,bwejuu na nk mondi kanunua visiwa vidogo dogo vinavyop patikana znz na hivi visiwa ni miradi ya raisi mwenye katoruhusa viuzwe ilikuzidikuekeza uwekezaji wa utalii kama hujui mambo ya watu usikurupuke

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +1

    Tunampa maua yake 🙏🌹🌹🌹🌹

  • @isaaceliya7952
    @isaaceliya7952 Рік тому

    Axhawah kusema ananyumba Zaid ya kumi

  • @chamyfx9377
    @chamyfx9377 Рік тому +1

    Kumekucha 😂😂😂

  • @eliashibundabalinze2754
    @eliashibundabalinze2754 Рік тому

    Waliosema hana nyumba amepanga, waje hapa sasa

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 Рік тому

    Uongo huo

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Рік тому

    Mashallah ❤️ ila wenzetu wametuzid sana davido yy dollar laki moj ni collabo tuu diamond platnumz ni show🤦

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 Рік тому

      Wizkid analipwa zaidi ya million 600 kwa show moja

    • @mackysuphian
      @mackysuphian Рік тому

      @@highthemetv7857 tz bdoo sanaa

  • @lameckmagunya7013
    @lameckmagunya7013 Рік тому

    Icho kisiwa kipo wap

  • @robertpaul7714
    @robertpaul7714 Рік тому

    Hicho kisiwa tunOmba kujua kiko wapi

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 Рік тому

    Babalevo alisema nyumba 110 😅 +sifuri

  • @nussah3158
    @nussah3158 Рік тому +3

    Mbona bado anapanga?Bakhresa asimiliki kisiwa hapo inakuaje? 😂. Views za youtube hapo sawa. Dollar laki 1 halipi kodi? Kwani hawa TRA wanafanya kazi gani?Kila kona kodi zinatakiwa zikusanywe ili watoto wapate madawati,majengo mazuri ya shele na hospital.

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 Рік тому +1

      Kwani alikwambia halipi Kodi ?? Acha ushirikina mtoto mdogo

    • @nussah3158
      @nussah3158 Рік тому

      @@highthemetv7857 Kua na adabu kwanza. Kwani huwezi ku comment bila matusi? Swala lipo hivi. Kato la kodi kwa matajiri ni muhimu sana as along mtu anaingiza kiwango kikubwa cha pesa. Na hii itasaidia nchi kuwanyanyua maskini ili pengo kati ya maskini na tajiri ipungue. Na hili si swala binafsi. Laa hasha! Hata nchi zilizoendelea hufanya hivyo. Kuna wazee wapo vijjji hana huduma na hawana jamaa wakuwasaidia. Unadhani watasaidiwaje? Na pia swala lingine ni uongo na masifa ya kupitiza yanayofanya nisiamini wasanii wengi. Wanaishi maisha ya maigizo.

  • @MussaHaji-z3r
    @MussaHaji-z3r Рік тому +1

    Hana pesa ya kununua kisiwa 😂

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 Рік тому +1

    Nyumba kuwa nazo anazo,pesa ako nayo ila kwenye hotel mmedanganywa hapo hotel gani iyo bro mbona haijulikani!!!,kwenye hotel kawapiga hapo na Kisiwa kawapiga pia,tatzo uongo mwingi+ukweli kiasi

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 Рік тому

      Hoteli anayo kweli sema sio kubwa kiviiile mi nilishaenda na nisha kama vyumba vyote anaweza kumiliki yeye peke yake kwa sababu hainaga ukubwa kiviiiile

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 Рік тому +1

      Nilishaenda na nime kagua vyumba vyote mpaka.sehem yamkutano ni hoteli tu mtu ilimshinda akaamua kuiuza aka inunua yeye ni kama vile bondeni hoteli iliopo pale magomeni mapipa karibu na kwa macheni zamani.

    • @VITALS-cx6hk
      @VITALS-cx6hk 10 місяців тому

      Yeye hajasema watafiti wamemfuatilia wakakutana nahivyo achawivu hivovitu vipo

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 Рік тому +1

    Kama ana pesa kwa nn aishi nyumba ya kupanga ajenge yakwake Kama alikiba.alikiba ndio msani tajili tz

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn Рік тому

      kuishi nyumba ya kupanga sio sababu hata wakina messi na Ronaldo wanaishi nyumba za kupanga lkn ni wachezaji wenye kumiliki nyumba kibao na makampuni

    • @edithajonh2970
      @edithajonh2970 Рік тому

      Acha ujinga wako ukifa inakuaje et sema anakuwa Hana pesa ya kujenga nyumba yenye hazi labda Kama ni mgeni uko nchi za nje huko Sasa mtu unaishi ndani ya nchi yako usijenge nyumba

  • @BakariKitemi
    @BakariKitemi Рік тому

    Msisahau kua anamiliki soko la tumbaku uko vijijin yni yule jamaa anabalaa kubwa

  • @m___ck799
    @m___ck799 Рік тому +5

    To be honest I expected more.!! Na huyu ndiye no1 East Africa...really???? Kweli wasanii wetu have a long way to go..

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Рік тому +4

      Wewe una shillingi ngapi?

    • @edwinerick5735
      @edwinerick5735 Рік тому

      Mnajua anamiliki zaidi ya hivyo..😅

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Рік тому

      ​@@nightwishisthegreatestband6355 mm nna 1000 tu

    • @StephanoMashavu-mw2ij
      @StephanoMashavu-mw2ij Рік тому

      ​@@paulntalima6998 hahaaaahaaa

    • @kiatu
      @kiatu Рік тому +2

      1. Kaeni hapo hapo jina la kipindi hasa linaweza kuwa jingine lakini liwe la Kiswahili please.
      2. Charge kwa show hiyo sio income mpaka awe amelipwa hivyo sio sahihi kuingiza kwenye total.

  • @toastresskiwanja221
    @toastresskiwanja221 Рік тому

    West si ndio magharibi😂😂

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 Рік тому +3

    AACHE MANENO AMILIKI HIZO NYUMBA TUONE

    • @milazoomilazoo4494
      @milazoomilazoo4494 Рік тому +1

      Daimond ana ela wewe co alikiba na sio mariooo na siyo hamo Yule ni levo ya ulaya na naijeria we angalia cheni zake kama kina wizikid ndo kumiliki nyumbaa unabishaaa

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Рік тому

    Mzee unatafuta kaz wasaf nn maana ni diamond thus diamond that

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +1

    Kujituma ndo kitu ambacho,sasa we we kaa tulia afu useme miujiza itakushukia

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 Рік тому +8

    Na ndo muache kumshindanisha Simba na watoto wadogo wapumbavu walilia mapenzi kina vilandage hasa nyie #sns

    • @silasila3111
      @silasila3111 Рік тому

      😂😂😂😂

    • @valeriaally6584
      @valeriaally6584 Рік тому

      steven chenga hapo chacha🤣🤣🤣😂😂🤣🤣

    • @stevenchenga1978
      @stevenchenga1978 Рік тому

      @@valeriaally6584 hawa jamaa sns wanampaishaga Sana mmakonde wao😅😅