Mimi ni mkenya. Nimelelewa Mombasa lakini saizi naishi Nairobi. Nimeipenda interview. Nina mambo kadhaa.. 1. Chwani ni sheng na neno hilo halitumiki sana Mombasa. Huko kuna Hamsa/Hamsini =50, Jiti = 100, Tenga = 1000 2. Mnaskia watu wa Nairobi wanaongea Kiswahili kibovu na mnachukulia wakenya wote hawajui Kiswahili. Hilo si sahihi. 3. Hilo shirika lililoiweka Kenya number 1 lenyewe ni international. Dunia nzima Kenya ilikuwa nambari mbili. 4. Msichanganye ukarimu na upole. Karimu = generous. Mpole = kind/polite 5. Camp Mulla waligawanyika kwa sababu wengine kama miss karun walienda kusoma ng'ambo. Camp Mulla wenyewe wametoka kwenye familia za kitajiri. 6. Kuna makundi kama vijana barubaru na wanavokali Show ya Simulizi na Sauti iko juu. Fredrick Mulla yuko juu
Kenyan here. What an observation! This guy is intelligent and understands our differences as neighbors. Hii interview imeenda shule. Very good content.
Woow! I’m surprised by this guy’s depth of knowledge of the Kenyan music industry.Everything he said is si true especially about charisma! I have subbed to his channel ❤
Interview nzuri hii🔥🔥 lakini ni vizuri mtofautishe Ukarimu na upole,, wakenya tunapenda wageni sana,,, jiulize mbona tuna kambi mingi za wakimbizi na idadi nyingi ya wageni.
Sio kingereza kinachosha , wakenya sio wote wanaongea kingereza , mtaani wanaongea kiswahili chao , na kipo kivyao vyao . Wakenya Kingereza wanasoma shuleni , sio mtaani , so mtaani ni kiswahili na makabila yao na kama kunahaja ya kingereza wanaongea kingereza kizur na kibovu . Iko hivyo .
Kuna watoto wa familia walilelewa Tanzania, walipokuja Kenya, ilikuwa ni Kila asubuhi watu wakiamka, unaskia "Shikamoo mjomba" (hata sikumbuki kama hio ndio ilikuwa hio salamu ya asubuhi). Tulikuwa tunachoka sana na hio mambo. Saa hizi ni wakubwa, huku Kenya, wako na tabia za Kenya kabisa. Halafu, ile chenye amesema. Hata Mimi nilipotoka Kisumu nikaenda Mombasa, kuongea kwa kiswahili ilikuwa si mchezo. Nakumbuka sijui nikiulizia kitu kwa duka ni shilingi ngapi, na wananiambia "Dala". Na Mimi Dala yenye najua kwa kijaLuo inamaanisha "home". 🤣
Maoni yangu Kwenye malipo ya wasani wa njee inabidi wasilipwe kikubwa sana kuliko wa ndani ilikuongeza value yetu kwani hata kenya kuna wakatiwalishuka sana kimuziki kutokana na kuwapa nafasi kubwa wasanii wa njee na sio wa ndani ndio maana wasanii wengi sana wa kenya aliokuwa wakali kipindihiko waliacha mziki na kuangalia kazinyingine za kufanya kuwaingizia kipato. Pia bila kusahau hapa kwenye live preformance kweli tuko nyuma inaitajika tuaalike sana ilitupate kujifunza lakini pia Kuna live preformance alifanyaga Mboso kwenye stage ya Yamaha niliona ilikuwa noma sana. @Fredrick Mulla asee hawa Camp Mulla walikuwa noma sana kipindi chao Kama ile kazi ya # Hold it down ilikuwa noma sana Sharauti sana men
Kuhusu mlima kilimanjaro na meruserikali yetu ilifeli kitambo na ziwa victoria na ziwa nyasa ziwa tanganyika .sema wacha tunyamaze kwa sababu hatuna ubaguzi.ila tubadilikeni wabongo mm nishazaa nao ulaya wana ubaguzi wa vitu vingi.....mtazamo mimi zitazami maokoto...mitazamo kwa maslah ya taifa...
kusoma tu caption nimekosa hamu ya kutazama, napita mtanisimulia badae🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️ Uzalendo ni pamoja na kupenda taifa lako na kulithamini bila kujali mapungufu yake.🤔🤗 alisema Baba
Daah🙌🏿 chukua soda mkuu nitakulipia. Mimi pia huwa sipendi mtu kudharau nchi yake. Kwanza huyu anaonekana anatamani sana kuwa mkenya, ona hata anavyoongea😂 eti anadhubutu kutaraba kwa kiswahili kibovu cha kenya😢👀👀
@@africanmandetraveler2847 Ulishajiuliza kwann Kenya kuna ukabila tangu enzi na enzi? apo ndo pakuanzia, hata hivyo hakuna aliowabagua ila tunachotaka uzalendo kwanza aibu yetu ni ya kwetu, uwezi kuta kituo chochote cha television huko Kenya ikiandika ati ya kwamba Kenya imezidiwa na nchi fulani why sisi ndo tutukuze wenzetu.🤔
wee.. ukarimu sio upole, wala heshima ama kusalimiana... ukarimu maana yake, kusaidia na kumuinua mtu aliye chini. haiya. mbona basi, ombaomba toka tz wamejazana katika miji zetu zote, na sio dar ama arusha ama mwanza? jiulize hino swali.. 🤔🤔
Streaming Tz hailipi ,UA-cam pesq yake kidogo,mfano tu sofiya nzau ambaye alianza mziki mwaka jana pkee,aliunda 75M za Kenya toka tu Spotify pkee,msanii bora Tz , diamond hajaweza kufikia pale ,kazi zake zaenda youtube pkee😢😢
Very true,na hivo ndio alipata pesa,hata sahizo asipowachilia hits,ashajitoa Kwa shida zake,na ujuwe shows Kenya hawezi kosa,hata sio lazima afanye show Nairobi pekeake,Kenya unaweza kulia mziki miaka mingi sana hata ukiwa hujulikani sana.
Wakenya hawapendi muziki WA Kenya kwa ukubwa. Wakenya wanapenda Bongo na miziki ya kigeni. Inashangaza lakini inaeleweka. Wasanii WA Kenya wengi huimba maneno yeye aibu kubwa. Tasfida hawana hata. Hauwezi sikiza wengi wao ukiwa na mwanao ama mzazi wako.
kenya sisi wakarimu, ndo maana unakuta wabongo walemavu katika miji zetu kama zote wakiombaomba mitaani. pia utakuta wahamiaji toka uganda, rwanda, burundi, congo, southsudan, ethiopia, somalia, na sahizi wanigeria na wacameroune, wanazidi kujazana kenya, kisa kenya kuna riziki na mapato mazuri. yaani wakenya ni watu wana wasapoti kwenye biashara zao ndogo ndogo, pia wakenya wanawaajiri kazi ndogo ndogo. yaani kenya kuna opportunities
Mimi ni mkenya. Nimelelewa Mombasa lakini saizi naishi Nairobi. Nimeipenda interview. Nina mambo kadhaa..
1. Chwani ni sheng na neno hilo halitumiki sana Mombasa. Huko kuna Hamsa/Hamsini =50, Jiti = 100, Tenga = 1000
2. Mnaskia watu wa Nairobi wanaongea Kiswahili kibovu na mnachukulia wakenya wote hawajui Kiswahili. Hilo si sahihi.
3. Hilo shirika lililoiweka Kenya number 1 lenyewe ni international. Dunia nzima Kenya ilikuwa nambari mbili.
4. Msichanganye ukarimu na upole. Karimu = generous. Mpole = kind/polite
5. Camp Mulla waligawanyika kwa sababu wengine kama miss karun walienda kusoma ng'ambo. Camp Mulla wenyewe wametoka kwenye familia za kitajiri.
6. Kuna makundi kama vijana barubaru na wanavokali
Show ya Simulizi na Sauti iko juu. Fredrick Mulla yuko juu
Kabisaa,, ukarimu sio upole,, wakenya niwakarimu ndo maana tuna support wageni wengi Sana haswaa kimziki
wewe pia upo juu 🔥👏🏼
Kenyan here. What an observation! This guy is intelligent and understands our differences as neighbors. Hii interview imeenda shule. Very good content.
Niko rada
Woow! I’m surprised by this guy’s depth of knowledge of the Kenyan music industry.Everything he said is si true especially about charisma! I have subbed to his channel ❤
Very intelligent interview. Mnauelewa mziki. Big up.
Wakenya wanapenda wabongo sana but wakenya si wapole
Interview nzuri hii🔥🔥 lakini ni vizuri mtofautishe Ukarimu na upole,, wakenya tunapenda wageni sana,,, jiulize mbona tuna kambi mingi za wakimbizi na idadi nyingi ya wageni.
Mulla my nigga💯🙌🏿
Intelligent rapper ako na catalog ilosheheni madini. Nigga is next level 🙌🏿
Huyo brother, we wish him all the best, while he is in Kenya. He is our brother because we are all Afrikaans
WAKENYA SIO WANAFIKI, NA PIA HAWANA USWAHILI, HAWAFUATILII MAISHA YA WATU.
Sio kingereza kinachosha , wakenya sio wote wanaongea kingereza , mtaani wanaongea kiswahili chao , na kipo kivyao vyao . Wakenya Kingereza wanasoma shuleni , sio mtaani , so mtaani ni kiswahili na makabila yao na kama kunahaja ya kingereza wanaongea kingereza kizur na kibovu . Iko hivyo .
Kizazi sana, umetusoma vzr❤
Ukarimu ama generosity ya hiyo list, ni ya uwezo wa kusaidia mtu akiwa kwa shida, kama kumchangia hela hivi si ukarimu wa kusalimia watu
Njoo mombasa salam utapata Hata kama hutaki kwanxa wakigundua we Ni mbongo
Kuna watoto wa familia walilelewa Tanzania, walipokuja Kenya, ilikuwa ni Kila asubuhi watu wakiamka, unaskia "Shikamoo mjomba" (hata sikumbuki kama hio ndio ilikuwa hio salamu ya asubuhi). Tulikuwa tunachoka sana na hio mambo.
Saa hizi ni wakubwa, huku Kenya, wako na tabia za Kenya kabisa.
Halafu, ile chenye amesema. Hata Mimi nilipotoka Kisumu nikaenda Mombasa, kuongea kwa kiswahili ilikuwa si mchezo. Nakumbuka sijui nikiulizia kitu kwa duka ni shilingi ngapi, na wananiambia "Dala". Na Mimi Dala yenye najua kwa kijaLuo inamaanisha "home". 🤣
Maoni yangu Kwenye malipo ya wasani wa njee inabidi wasilipwe kikubwa sana kuliko wa ndani ilikuongeza value yetu kwani hata kenya kuna wakatiwalishuka sana kimuziki kutokana na kuwapa nafasi kubwa wasanii wa njee na sio wa ndani ndio maana wasanii wengi sana wa kenya aliokuwa wakali kipindihiko waliacha mziki na kuangalia kazinyingine za kufanya kuwaingizia kipato.
Pia bila kusahau hapa kwenye live preformance kweli tuko nyuma inaitajika tuaalike sana ilitupate kujifunza lakini pia Kuna live preformance alifanyaga Mboso kwenye stage ya Yamaha niliona ilikuwa noma sana. @Fredrick Mulla asee hawa Camp Mulla walikuwa noma sana kipindi chao Kama ile kazi ya # Hold it down ilikuwa noma sana Sharauti sana men
Mbona watanzania mwapenda sana kulinganisha Kenya na Tanzania na wote wamoja
Sisi ni kimoja but tuko na differences ,we are built different
Hii tabia itabidi muwache
uko sahihi sisi sote wamoja. We all africans black peoples. I like the way I'm mtu mweusi from Tz nawapenda sana kenya
Tunashare boundary na lugha
The ❤❤i have to my country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️❤
Nipitie maryam plz nishakupitia
Imebamba ..nawapenda sana tz mulla issa vibe😂
Huyu ni young Mulla? Wa
Kusema ukweli muziki kenya wanalipa poa nliwai kuhisi pia lakn bongo mtu kama mapanchi, kina baraka na wengine apo apaa wana talent na wakufa njaa
Mapanch mtu mmoja noma sanaaa
@aminmohammed4249 Tanzania msanii kulala njaa nikujitakia hususan kama una kipaji
Mimi ni mtanzania naipenda kenya
Karibu mombasa
Kuhusu mlima kilimanjaro na meruserikali yetu ilifeli kitambo na ziwa victoria na ziwa nyasa ziwa tanganyika .sema wacha tunyamaze kwa sababu hatuna ubaguzi.ila tubadilikeni wabongo mm nishazaa nao ulaya wana ubaguzi wa vitu vingi.....mtazamo mimi zitazami maokoto...mitazamo kwa maslah ya taifa...
Makubwa,ila watu hii bongo wanafiki sanaaa wanakuchekea moyoni🙃
Kenya inatuzid mambo mengi tu way bck
Kama
Tanzania tupo vizuri kwenye professional football. Timu zetu zinalipa vizuri na league yetu ni Bora.
kusoma tu caption nimekosa hamu ya kutazama, napita mtanisimulia badae🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️ Uzalendo ni pamoja na kupenda taifa lako na kulithamini bila kujali mapungufu yake.🤔🤗 alisema Baba
Pamoja Sana Tr,ni vyema kuwapenda jirani zetu kama nafsi yetu kwakuwa imeandikwa,bila kusahau uzalendo kwanza kama ulivyo tangulia kuwasilisha.
@@kakawamashariki8978 Mpende akupendae usisahau hilo pia 😅😅 kwa mbili ,mbili hapo
Daah🙌🏿 chukua soda mkuu nitakulipia.
Mimi pia huwa sipendi mtu kudharau nchi yake.
Kwanza huyu anaonekana anatamani sana kuwa mkenya, ona hata anavyoongea😂 eti anadhubutu kutaraba kwa kiswahili kibovu cha kenya😢👀👀
Sote ni wafrica na ndo maana kuna mwingiiliano wa makabira pande nyingi za Africa.
@@africanmandetraveler2847 Ulishajiuliza kwann Kenya kuna ukabila tangu enzi na enzi? apo ndo pakuanzia, hata hivyo hakuna aliowabagua ila tunachotaka uzalendo kwanza aibu yetu ni ya kwetu, uwezi kuta kituo chochote cha television huko Kenya ikiandika ati ya kwamba Kenya imezidiwa na nchi fulani why sisi ndo tutukuze wenzetu.🤔
Kwa ukarimu. Tz mko top. Hakuna vile kenya tuko hapo 😅.
🙄🙄
wee.. ukarimu sio upole, wala heshima ama kusalimiana... ukarimu maana yake, kusaidia na kumuinua mtu aliye chini.
haiya. mbona basi, ombaomba toka tz wamejazana katika miji zetu zote, na sio dar ama arusha ama mwanza? jiulize hino swali.. 🤔🤔
@@freddiekipkoech4752we jamaa wakalenjin acha kubwabwaja bila facts,,mbn hyo miji ya tz ulioitaja omba omba wamezagaa Kila kona
ukarimu sio upole
Mziki kenya walipa ,na vile muda wasonga viwango vitazidi kuziacha za Tz ,yaudhi kunq wasanii tulowaskiza tukiwa watoto leo hawana chochote
Kenya hata Kuna wasanii mitaani tu,wadogo bt wanapata shows za kama 50k-100k za Kenya per show.
Streaming Tz hailipi ,UA-cam pesq yake kidogo,mfano tu sofiya nzau ambaye alianza mziki mwaka jana pkee,aliunda 75M za Kenya toka tu Spotify pkee,msanii bora Tz , diamond hajaweza kufikia pale ,kazi zake zaenda youtube pkee😢😢
Very true,na hivo ndio alipata pesa,hata sahizo asipowachilia hits,ashajitoa Kwa shida zake,na ujuwe shows Kenya hawezi kosa,hata sio lazima afanye show Nairobi pekeake,Kenya unaweza kulia mziki miaka mingi sana hata ukiwa hujulikani sana.
SAFI SANA
Ndomana alikiba anasemaga ukitaka ambie live pesa inapanda nitofaut na kumbia to heit
Huyu jamaa ako na Unairobi mob
Watoto wa morogoro..mko wapi? mulla uyapa
Niko kenya
Fredick mullur is up coming Kendrick Lamar
✌️👍👊.
🇰🇪🇰🇪
But honestly Swahili started in Kenya, then went to Zanzibar and the rest is history 😂😂
Go back to your history books.
@@Brian_J17 Uo ndio ukweli anakwambia. Tofauti ni Tanzania mlikikumbatia kama taifa sisi tunachukulia tu kawaida isipokua kwa wapwani.
Exposure muhimu waambie wabongo wenzio boi
Nakubaliana nae 10% tu
Sasa mbona wasanii wao wanalalamika malipo ??
Sababu wanafahamu wanafaa kupata zaidi kuliko vile wanalipwa. Competition huku iko juu sana
Hawataki kulipwa pesa kidogo,wanataka hata ikiwezekana ikuwe standardized,ile ya hakuna kulipa msanii chini ya 50k za Kenya,wanajuwa rights zao boss.
Wakenya hawapendi muziki WA Kenya kwa ukubwa. Wakenya wanapenda Bongo na miziki ya kigeni. Inashangaza lakini inaeleweka. Wasanii WA Kenya wengi huimba maneno yeye aibu kubwa. Tasfida hawana hata. Hauwezi sikiza wengi wao ukiwa na mwanao ama mzazi wako.
Provoke. Wrong number na sitakwambia kwa nini. Jijazie mwenyewe. Fanya collabo mob.
King Tai
Wabongo hamna ukarimu yoyote nmekua uko kwenu mara mbili
Wakenya muache kabisa na mkae kw ku2lia otherwise watachukua wasanii wenu wawe wakenya😂
haiya. wasanii wote wa kibongo waliohamia kenya. kisa, kenya inalipa vizuri;
-fredrick mulla
-mr nice.
-lady jaydee
-ray c
-babalevo
-dudubaya
-rose muhando
-maria shusho
-zabron singers (ata Marco alifariki kenya),
-fautine munishi
Ray C yupo France
@@FrankKashamakula-xb1pc awali, alikuwepo kenya🇰🇪 kabla ya kuvuka ughaibuni 🇫🇷
Uyo boya tu
Unamjua adi useme boya??
@@risson_76 namjua boya tu
Boya ni kitu gani 😂
Kaka kuna banana zoro
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
kenya sisi wakarimu, ndo maana unakuta wabongo walemavu katika miji zetu kama zote wakiombaomba mitaani. pia utakuta wahamiaji toka uganda, rwanda, burundi, congo, southsudan, ethiopia, somalia, na sahizi wanigeria na wacameroune, wanazidi kujazana kenya, kisa kenya kuna riziki na mapato mazuri. yaani wakenya ni watu wana wasapoti kwenye biashara zao ndogo ndogo, pia wakenya wanawaajiri kazi ndogo ndogo. yaani kenya kuna opportunities
Naona @mutoriah kwa background