Zile zilikua ni speed za mediocre😅 Wapi kigagulo mbona haongelei mambo ya vilainishi si alikua anampigia kifua boss wake na kukashifu wengine...haki King ni pasua kichwa kapiga watu na kitu kizito 😂😂😂
Ata wakati ef inafunguliwa ulikua hv hv mbo utafauti mdogo wao walikua wana piga ngomatu na kina stanibakola na kit ale mkude simba wakaja kila week walikua wana piga showo nakumbuka show yao yakwanza ili ulikua mwembe yanga, tarehe moja mwezi wa 6. Yapili ulikua Kati Kati ya sinzaa na tandale
Sns wao wako busy nakuposti gauni la zuchu 😂😂nakulichambua 😂😂😂😂ila sns mmeniangusha kweli nyinyi niwakula rushwa kweli ? Ili sasa ivi wasani wa wcb hâta wakinya sns tayari walisha tupostia insta n'a you tube 😂😂😂
Hii crown imekuja moto sana naamini radio nyingi zitapungua nguvu zaidi
Pale quna qiqeqe ndugu yangu m,bobezi wa iyo talent
Kusema ukweli crown media ya Alikiba ipo sawa sana myonge myongeni haki yake mpeni Alikiba kajipanga sana juu ya hili
Crown ndio habari ya mjini kwasasa ndg zangu
Alikiba est le meilleur de tous 🔥🇨🇩🙌❤️🥰
Crown ipo juu sana, kama unaamini hivyo shusha likes nyingi 😂
Viva king viva...❤❤❤🎉🎉🎉 kwel kutangulia sio kufika!!! Hongera sana bro kiba😍😍🤝🤝🤝🤝
King is king
Redio haina hata mwaka ila kama miaka 6
Kingi kiba kama king🎉❤
Alikiba kajitahidi
Crown is a big station 🎉🎉🎉🎉
Sasa kama hamsikilizi radio hapo mnajadili nini wakuu
Ali ameleta mapinduzi kwenye media
Jamaaa anajituma sana❤❤❤
Best Radio station ever ❤❤❤
Hii crown ya Moto sanaaa sahz ndio redio inayotkisa Town ya Moto sanaaaa
mmeongea vizur sana🎉🎉🎉
Kingkiba
King
Crown Media is 🔥 🔥 🔥 🔥
Ipo vzur
👑🙌
Mim na crown ❤❤❤💋💋💋👑🔥
Alikiba is slow but sure.
Crown Media Mwanza haipo ila kama ipo tu ,kwenye magari ni pichaz za Crown Media sana
❤❤
Nouma sana
Kawaida sana wakuu. Afanye jitihada sana kumfukia mwenzie dai. Wasafi forever
ucnune ndio mambo
ucnune ndio mambo
Hujalia lkn mana boss wako kapipididiwa😂😂😂😂
P Diddy forever na Vilainishi 😂😂😂😂😂😂
Uko Kwenu Shida Vilainishi😂😂
crown imewashika wengi hasa kipind cha kasri la kikeke
Tangazo la bengi kwenye kipindi cha rap inaweza kuwa sawa kabisa
King kiba hainaaa hataaa mwakaaa lakin ya motoooo
East Africa radio ndiyo tunasilikiliza hapa Kampala
Crown ni habari nyingine sasahivi
Zile zilikua ni speed za mediocre😅
Wapi kigagulo mbona haongelei mambo ya vilainishi si alikua anampigia kifua boss wake na kukashifu wengine...haki King ni pasua kichwa kapiga watu na kitu kizito 😂😂😂
Yani jeuri wa kufanya vitu mdogo mdogo😂
Nooma
Huyo dada Imani alikuwa kings fm ya njombe
Kweli kaka
Ata wakati ef inafunguliwa ulikua hv hv mbo utafauti mdogo wao walikua wana piga ngomatu na kina stanibakola na kit ale mkude simba wakaja kila week walikua wana piga showo nakumbuka show yao yakwanza ili ulikua mwembe yanga, tarehe moja mwezi wa 6. Yapili ulikua Kati Kati ya sinzaa na tandale
hiyo crown hata siijui
Huwezi ijua unakaa bush
@@salamSalehhhhh kumanyoko
Ali kiba ni habari ya mjini
Yani wanafanya kawaida sana kiukweli msisifie vitu nomo sana haki
Kama huifuatilii huwezi ukajua utofauti, hapa hatupo kishabiki
Kama hamsikilizagi redio mnajadili nn vijana.
Crown babalao
Kavunja miiko
Mme mdiss the most expensive hyper Man😢
Crown n nom xn nd habr ya mjin
Jama siku iZi mume tuliya sana
Hapa ni nyumbani 💦 🔥
P Diddy Fm ndio abali ya mjini😂🙌
Wasafi itabaki kua juu juu zaidi
Kwa lipi😂😂😂
@@salamSalehhhhh we hujui??au unajitoa ufahamu?
Labda kwafuta la P Diddy😂😂
@@DismasGeraldi-i2s umeyapenda au sio?
Tume miss round table kwa sana
Nasikia wasafi ni ya p.didy
😂😂😂
Hahaha
Hahaaaaaa
😂😂😂😂😂😂
Lakini bado wasafi wanafanya vizuri zaidi
Kwa umbea wa juma lokole but vipindo vya crown vipo juu angalia namba za UA-cam za crown sports na pi did fm 🙌😂
Kwahiyo Creez umeamua kunisema 😂
Kila redio ikiwa mpya inakuwa hivyo ta Efm ilakuwa moto,clouds ilakuwa hivyo kwahiy kawaida mnapaisha tu
Bt hii imekuja tafauti kabisa
😂😂mnachekesha nyie 😂😂
Cheka sasa
Wanachekesha Kwan wamepakatwa na diddy😅
𝙽𝚊𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚙𝚛𝚘𝚐𝚛𝚊𝚖 𝚣𝚊𝚘 𝚒 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚝𝚑𝚎 𝚠𝚊𝚢 𝚝𝚑𝚎𝚢 𝚖𝚊𝚔𝚎 𝚒𝚗𝚝𝚎𝚛𝚟𝚒𝚎𝚠
Sns wao wako busy nakuposti gauni la zuchu 😂😂nakulichambua 😂😂😂😂ila sns mmeniangusha kweli nyinyi niwakula rushwa kweli ? Ili sasa ivi wasani wa wcb hâta wakinya sns tayari walisha tupostia insta n'a you tube 😂😂😂
𝚏𝚛𝚘𝚖 𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚌𝚛𝚘𝚠𝚗 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚓𝚒𝚎𝚕𝚎𝚠𝚊
❤❤❤❤