Nimefulai Sana kuona mmoja wa vijana ambao tumekuwa pamoja mtaani amepiga atua akika shule ya kigogo inaistoria kutoa wanafunzi Kama hawa God bless u balnaba.
CV ya ALIKIBA tu imenifanya nivutiwe na ndio maana nawapenda sana Barnaba na Alikiba lkn pia naomba siku moja mje mfanye jambo, Barnaba anajielewa sana.
Yani leo umefanya ni juwe kuwa we ni mfano wa kuigwa kwa wana music na wasiyo kuwa wana music I respect you my brother 💞🙌🇹🇿⚡
Wameenda kwa baba Barnaba, baba anasema Barnaba humtumia elfu hamsini tu!
Barnaba Nikijana mwenye heshima na Allah Amzidishiye
Ndio maana nampenda sana
Sana
Sanaa
Amina
Nawapenda nawapenda na nawapenda sana Barnaba,Mungu azidi kuwatunza daima!!!
Steve wangu kawa bonge 😘😘😘
Nimependa sana, barnaba unaheshima sana Na family yako , nawaombea mungu muishi miaka mingi inshaallah
Namkubali sana mwijaku na sudy🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My forever best artist! love you Barnaba boy classic
Barnaba classic fanya kitu na Alikiba wazee wa #Levels 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaalah. Ongera BARNABA. Nyumba simple alafu ina nafasi nzuri tu
Nimefulai Sana kuona mmoja wa vijana ambao tumekuwa pamoja mtaani amepiga atua akika shule ya kigogo inaistoria kutoa wanafunzi Kama hawa God bless u balnaba.
Vipi na wewe upo wapi??
Nawewe sasahiv unaharakati zipi
@@rehemamakwendo7743 🤣🤣🤣
@@reganmosha4591 muacheni jaman😂😂😂
Barnaba ni MTU mpore sana afu nyimbo zake pia ni zur Mungu akubaliki cnn bro
Umeona eeeh
Barnaba classic,mwijaku umehelewaa kiengerezaa au upoo tuu
Unajua Nini barnaba Kwanza hanaheshima na hajisikii nakuombea uwenamafanikio weunacheka tu
@@felistermillinga7704Ana heshima sio hana heshima, Najua umemaanisha Ana Heshima, Kwaiyo tumia A sio Ha❤
Barnaba huwaga ongei utumbo ata siku mmoja ana heshima. ana hekma. Mashaallah 🥰
Katika wasanii wakali na wanaweza kuimba basi Barnaba ni one one I love him!
Wow so perfect kwa kweli i like it mfano wa kuiga❤❤
My favorite Barnabas..baby his cutie and I love they way he impressed the young lady mama Kimbo s daughter
Everyday is sikukuuu 🤩🤩🤩🤩🤩
Barnaba you’re my favorite 💗💗💗💗💗
Barnaba mtu wa watu mungu akuzidishie uone mwangaza zaidi
I love this interview, sijawahi kusikiliza hiki kipindi kihusu barnaba nipenda sana
CV ya ALIKIBA tu imenifanya nivutiwe na ndio maana nawapenda sana Barnaba na Alikiba lkn pia naomba siku moja mje mfanye jambo, Barnaba anajielewa sana.
Umejuaje
N kwel kabsaaaaaaa na mtu anaejitambua lazma anakua anapenda Kaz za kba na balnaba
Ombi lako limefanyiwa kazi
#Cheketua
Jamani barnaba 🥺🥺Mungu aendeleye kukubariki baba😢🙏🏿😍
Mob love from 254💕😘
I like it ❤️
Kweli huyu jamaa ni classic
Barnaba i always love u. Ur my star
Mwijaku yupo poh msimuonee wivu
Wow so beautiful and lovely family God bless all of you ❤️❤️❤️❤️❤️
Verry honest guy i like him a lot yan #barnaba
nakubali hom boy kogogo my hood
Alhamdulillah.. Barnaba anafuraha jmn..
Mwinjaku alivyomshika Mara ya kwanza mkono km anamdai😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Safi sana bro upo vizur
so humble
Nimeipata hio nidham kwenye steg faida ya kusikiliza intervew mpaka mwisho🔥🔥🔥
Nimeipenda sana hayo maneno ya shemeji
Yaaani nyie ni wambea classic
Yani huyu kaka nampenda Sana anabusra Hana ckendo yoyote hongera Kaka wewe unajitambua
Sana t hanaga maskendo machafu sote tunampenda sn
Uko vizuri nakutakia maisha marefu
Yani Soudy na Mwijaku moto sana
Much blessings Barnabas🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi Sana 🙏🙏🙏🙏
Nampenda sana barnaba huna baya kaka
Barnaba ni classic classy
Mwijaku hamna kitu bora baba ashibai tu leo tena imepooza
Barinaba boy,nakukubarigi mno,huna Mambo mengi ,full kujielewa kizazi Sana .
Barnaba yuko vizuri anajitambua sana!
We love you barnaba
King kiba 4life 🔥
Mwanamke mzurii
Harafu msafi wala haringi
Balnaba nakupenda sana Hadi mwisho
DON SHOWING DEM ...nimeelewa master
Barnabas upo vizur broh
fiesta kama fiesta😀😀😀barnabaaaaa....
Ushauri tumia hearphone utackia.Ahsanteni.
Asante maana nimepata tabu sana
Nice one barnaba
Mwanamke upeo wake mdogo sanaa na
Sana ndomaana bwanaake hampi nafasi ya kuongea sana🤣🤣
Asantee mependa
Classics and me is one
Barnarba uko vizuri
Sudi unaonekana awesome vile uonyeshi sura tu
Ahaa saumuu
Nakubali barbana
Barnaba charming Sana, Good 👍
Kaongea vitu safi sana
sauti iko chini sana
Msanii nidham ni kitu bora wasaniii wasio kuwa nidhamu chukuen mfano kwa barnaba sio mnavimba mnais mshamaliza
I need support bro mwijaku
Barnaba mtu wa power
Maneno mawili tu ww ni smart boy, ubalikiwe Barnaba
Brother B boy unajua sn
RIP clouds tuliwapenda ila chuki na wivu viliwapenda zaid
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
R.I.P
😄😄😄😄😄😄
❤️❤️❤️
huyu mdogo wake yupo vzr
wa Kwanza jamani
Mwijaku ndy anaharibu hiyo interview,
🤣🤣🤣
Namkubali make wa barnaba classic
Sorry mke
Nimepnda sana uyu dada alivyo ongea
Nakukubari Sana barinaba
Big up barnab ila saut zero
Pazur😘😘😘
De boy z smart
Nampenda sana Barnaba.
Kazi nzur
Siioni album ake
Nice family
🤣🤣🤣🤣wazee wa mbanga kwel ulikula mbanga mwijaku
Barnaba ft Alikiba itakuwa pw sana, Barnaba ft cristinBella
Safiii
😍😍😍😍😍😘😘😘
Simkubal mwijaku kwenye kipind hik naona pengo kubwa la kwissa mzee mkavu.
Yaaaasss
Big up
Wazre wa mbangaaa motooo
Mwijaku we mbeya
KENGEREZAAA
Sud bhana eti ana mama Kama wote
Where is mzee mkavu?..big up barnabas
Sauti hakuna Bora muwe mnatumia Mike mbili
Tatizo mnatumia tecno hazina sautii🙆🙆
Mwijaku mnafiki sana 😂😂
Safi barnaba boy
Nice
Mimi nampenda barnabah yanii paka basi
sio mdogo wake huy
Suddy akili zake &&&& Etty ana kibendi 😂😂😂