MZEE SAID |YANGA BADO WAKO BORA |ZIKIFIKA GOLI 2 TU NAONDOKA UWANJANI| TUKIFUNGWA TUTULIE WANA SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 318

  • @ZainabuMandova-br5qq
    @ZainabuMandova-br5qq Місяць тому +41

    Chagamba unachelewa Sana kumuhoji Mzee saidi

  • @user-qf1rt1wx8z
    @user-qf1rt1wx8z Місяць тому +14

    Mzee Said mashallah ww ni bab kubwa .yani mm pia .ningekua Hers .kwanza mm yanga dam dam nipo sweden .ile Manara anatakiwa kukadiriwa kupewa mike ndani ya yanga au asipewe kabisa .anaharibu decipline nidhamu anaharibu nidhamu ndani ya timu .plz Hers na jopo lako la ufundi ndani ya yanga jicho kubwa kwa Manar .not allow in Avic .wangapi wananikubali wanipe like

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Місяць тому +42

    Mzee Saidi ana mashabiki na miongoni mwao ni mimi

  • @sweetbertnyambalya326
    @sweetbertnyambalya326 Місяць тому +13

    10k views in 2 hours,Mzee Saidi tumetisha,kazi nzuri Finest Online

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv Місяць тому +11

    mzee saidi umenikumbusha marehemu mama yangu anapenda msemo huo ulivyosema kufyontoka umeongea kinyamwezi kabisa😂😂😂😂😂

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Місяць тому +23

    ,Mzee saidi,wa pili,miraji,3mwanduke tv,napenda sana ushabik ushabiki wao hawana ushabi wa kitoto

  • @allymbesses97
    @allymbesses97 Місяць тому +10

    Yaan kwel nimekubali ukubwa dawa mzee saidi ninakukubar sana mzee wangu good fact

  • @zamdambwiga
    @zamdambwiga Місяць тому +16

    Chagamba unachelewa Sana kumtafuta mzee saidi ❤❤❤❤❤❤❤❤ mzee miaka 100000000000 kwak

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j Місяць тому +9

    Chagamba UWE unamuhiji MZEE SAID MAPEMA BWANA,ANATUFURAHISHA SANAAA

  • @HamadMkubwa
    @HamadMkubwa Місяць тому +14

    Huyu mzee said anajua kama hatoboi kwa yanga lakn 😂😂😂

  • @KhajraHassan
    @KhajraHassan Місяць тому +22

    Ila mazee said umetutek watu kwa kweli🤣🤣

  • @mwitatz3218
    @mwitatz3218 Місяць тому +14

    Nilikuwa nakusubili mzee saidi unikusikie

  • @MussaDaruwesh-v7x
    @MussaDaruwesh-v7x 25 днів тому

    Namkubaliii saana mzee said usichoke kumuhoji

  • @sakinamrutu461
    @sakinamrutu461 Місяць тому +6

    Tunampenda sana sideboy 💚💛

  • @obedyjohn5350
    @obedyjohn5350 Місяць тому +8

    Ujue weng tumezoea kumsifia mzee said ila chagamba nae fara sn kaz yke anaiweza😂😂😂😂

  • @user-qf1rt1wx8z
    @user-qf1rt1wx8z Місяць тому +2

    Mzeee sema unamikwala ya uhakika na tatizo unajua kutizama viwango vya wachezaji big up Mzee saidi .mind set game hizo tunawapiga tu

  • @MishekiLukali
    @MishekiLukali Місяць тому +5

    Chagamba unacherewa sana kumuhoji mzeee saidi uweee una tangulia Kwa mzeee saidi ndouende kwa milaji

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990
    @aishaomaryyousefomaryloiru1990 Місяць тому +2

    Asante mno mzee saidi kwakutupenda wamasai,

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv Місяць тому +9

    😂😂😂😂😂naanza kucheka kabla mzee saidi hajaongea

  • @charlessaimon665
    @charlessaimon665 Місяць тому +3

    Kweli nimesubiri kuhojiwa kwa Mzee Saidi asante kwa kumtafuta Mzee wetu

  • @ChangaNdorobo
    @ChangaNdorobo Місяць тому +12

    Kwel kabsa shehk said wametagaza zina kabisa

  • @hajisangu2489
    @hajisangu2489 Місяць тому +2

    Kumwita mobeto kwenye kadamnasi Ile ni kumwekea mazingira magumu Azizi Ki. Mashabiki wa yanga hawanauvumilivu Azizi akiteleza uwanjani kidogo ataoga matusi na mobeto wake na inaweza kumtoa kabisa mchezoni na akachukia kuwepo tz . Mapenzi na kazi wapi na wapi. Katika hili manara alikosea. Na Azizi Ki aelezwe madhara ya hao wanawake wasioridhika na wanaokodolewa na macho na Kila mmoja.

  • @IssaOmary-r7h
    @IssaOmary-r7h Місяць тому +1

    Mzee saidi unatufanya turahi sana ❤❤

  • @28_nassir28
    @28_nassir28 Місяць тому +7

    Au niwe mimi wa kwanza ku comment kabla ata ya mzee saidi kuongea😂😂😂😂

  • @LEMEYANDREW-nw1pv
    @LEMEYANDREW-nw1pv Місяць тому +4

    Mimi ni Yanga damu lakini namkubali mzee Saidi sana, Manara amezingua

    • @user-nl8ec4np1t
      @user-nl8ec4np1t Місяць тому

      Kweli afu mbele ya makamu wa rais am sure hata viongozi walimuonya hakukuwa na haja ya kufanya vile kabsa

  • @suzanaally775
    @suzanaally775 Місяць тому

    Mm shabiki wa yanga mzee saidi uposawa manara kazingua sana amezidi misifa

  • @jeremiahraphael160
    @jeremiahraphael160 Місяць тому +2

    Tumuchangie mzee said jaman maana huyu ndo mfariji wetu wanasimba

  • @ShijaBulima
    @ShijaBulima Місяць тому +1

    Nakubali mzee saidi

  • @johnkikoth
    @johnkikoth Місяць тому +3

    Mzeeeeeeeeeeee side 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @pidibegashe768
    @pidibegashe768 Місяць тому +3

    😅😅😂😂 mzee namkubali sana

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 Місяць тому

    Big up mzee saidi😂😂😂

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 Місяць тому +1

    Wajinaaaaaaaa tuache utani pale kweli Manala kaalibu aisee.

  • @sleimankhamiss4586
    @sleimankhamiss4586 Місяць тому +11

    Mna Raha wa Tanzania mnawahi kabla ya anaewahiwa kila mtu anata awe wa kwanza anaeka order ya kua wakwanza Bas me niwe wa p2 😂😂

  • @derash6423
    @derash6423 Місяць тому

    😂😂😂😂hahahaa pametutumkaaaa hahahhaha baba angu saidi daaah aya bhnAa😊😊😊

  • @MaseleMabula-v2h
    @MaseleMabula-v2h Місяць тому +1

    mzeee saidi nampenda sana anavyoo ogeanga najua nishabiki wa mnyama

  • @allykarupa1411
    @allykarupa1411 Місяць тому

    Wakati azizi k anasajiliwa yanga mlimsifia mobeto leomwageuka

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo Місяць тому +4

    kipenz Cha watu saa hv tanzania n mzee said 😂😂😂

    • @JonasYohana-sg5cv
      @JonasYohana-sg5cv Місяць тому

      Kweli mm ni Young Africans lkn kufa lkn Mzee saidi KIBOKO Kabsaa

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Місяць тому +8

    Mzee nakuunga mkono japo mi ni mwanainchi hakustahili kumuita ni uchafu kwa kweli huyu mm wa wtt sijui wangapi hana haya hata kidogo tobaa amuache huyo kijana asimbemende

  • @davidkomba3868
    @davidkomba3868 Місяць тому

    Ila mzee said ana balaa sanaaa😂😂😂😂😂😂
    Kicheko cha chagamba nacho mmmmh😅😅😅

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Місяць тому +1

    😂😂😂Mzee Said leo umeongea kwa kutumia nguvu Sana sema mm nakukubali Sana Mzee Wangu miaka 💯 tuendelee kupata burudan chukua🎉🎉🎉🎉

  • @AbdallahRoya
    @AbdallahRoya Місяць тому +4

    mzee saidi Mungu akupe maisha marefu sana

  • @user-dm5ik9fp6y
    @user-dm5ik9fp6y Місяць тому +1

    mzee said unanifurahisha sana wewe na ulefa wapi na wapi

  • @FrancisLuhwago-ez1fn
    @FrancisLuhwago-ez1fn Місяць тому +1

    Nakukubali sana mzee said ❤❤❤❤

  • @user-ud6nb2vh9h
    @user-ud6nb2vh9h Місяць тому

    Hyu mzee said napenda sn anavo ongea

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 Місяць тому +1

    Hpana mzee saidi yanga hawachezi rafu rafu iko azam na sima wachezaji 3 simba wanacheza rafu sana

  • @swahibu1202
    @swahibu1202 Місяць тому

    Mzee saidi mungu akubariki manara nimpumbavu aliepitiliza

  • @mariajames8118
    @mariajames8118 Місяць тому +2

    Ndio Mzee saidi manara Hana heshima Tena hafahi hata kwenye mpira awachie watoto

  • @AzizMangara
    @AzizMangara Місяць тому

    Mzee said 🔥🔥🔥 SIMBA NGUVU MOJA

  • @yasinkhatib618
    @yasinkhatib618 Місяць тому

    Mzee said🙏

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf Місяць тому +5

    Mzeeee saidi nime kungojaaaaaaaa

  • @maalimzingizi4221
    @maalimzingizi4221 Місяць тому

    😂😂😂😂 ilaaa mzee said 😂😂😂

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Місяць тому +4

    Ila Mzee Saidi kavurugwa sana na Haji Manara achana naye mzee wangu Manara akili zake anazijua mwenyewe

  • @MAMUUSUU
    @MAMUUSUU Місяць тому

    💛💚💛💚💛💚💛

  • @mkudembeteni4075
    @mkudembeteni4075 Місяць тому

    Mzee Saidi MUNGU Akuweke sana hauna baya una pendwa na Mashabiki Wote wa timu Kubwa.

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 Місяць тому

    Kwa burudaaaaani hii ya mzee Said Chagamba tunakutakia followers kama milion 🎉

  • @borratmteketa3950
    @borratmteketa3950 Місяць тому

    Ila kweli kamdhalilisha mwenzie mpk AIBU

  • @zaharanshekilango46
    @zaharanshekilango46 Місяць тому

    Shida mkifungwa mna timua wachezaji halafu mnasema bado mna jenga timu endeleeni kujenga timu kila mwaka wenzenu waleeee

  • @NeylahMhagama
    @NeylahMhagama Місяць тому

    Mzee said daaa tunakupenda sana tunaenjoy

  • @nizarchiwaye4328
    @nizarchiwaye4328 Місяць тому +1

    PROUD KIBAIGWA

  • @HarithAlyhamadi
    @HarithAlyhamadi Місяць тому +3

    Hahahah iyo aya ilivyo somwa mzee said hiyo inasomwa walaatakrabu zinaaa inahuukaana faahishata wamakata wasaaa a sabila

  • @user-pw5jt5mj6k
    @user-pw5jt5mj6k Місяць тому

    Kufyondoka duu Mzee said noma sana..

  • @JonasYohana-sg5cv
    @JonasYohana-sg5cv Місяць тому

    Nomaaaa

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому

    Mzee Said wewe Tanzania one

  • @pastorykasonso
    @pastorykasonso Місяць тому

    Nampenda bule huyu mzee

  • @HassaniBakari-qj7ft
    @HassaniBakari-qj7ft Місяць тому +1

    Chagamba hata ukiwa unamuhoji Mzee saidi sisi hatumchoki yaaani Mzee saidi 😂😂😂😂

  • @QueenAngel-zh9st
    @QueenAngel-zh9st Місяць тому

    Mzee said acha makasiriko, tarehe 8 kipigo kipo pale pale

  • @kelvinakyoo3737
    @kelvinakyoo3737 Місяць тому +1

    yanga na mpa 55% simba 45% kushinda napingana na mzee said

  • @zaharanshekilango46
    @zaharanshekilango46 Місяць тому

    Ubora wao utaisha wakikutana na yanga

  • @SuleymanMohd
    @SuleymanMohd Місяць тому +5

    CHAGAMBA UNATUCHELEWESHEA MZEE SAID 😂

  • @EZEKIELPAUL-r4j
    @EZEKIELPAUL-r4j Місяць тому

    Hahhaahahahah daah mzee anafurahisha

  • @nashonobeid
    @nashonobeid Місяць тому +3

    mzee said, humu tu!!

  • @user-ii6sp2nn1m
    @user-ii6sp2nn1m Місяць тому +8

    Aisee nimecheka sana kwenye kufyontoka tu kwel we mzee nishida

  • @vuauvae8552
    @vuauvae8552 Місяць тому +1

    Lete maneno 😂😂😂😂

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 Місяць тому +8

    Tajiri kasema supu alianza mwenyewe uchokozi

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому +2

      Tajir kayataka mwenyewe

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Місяць тому +2

      Mzee Said Kajizima Data.

    • @user-ht5tc5yv5t
      @user-ht5tc5yv5t Місяць тому

      Kabisaaaaa ye ndo alianza, na manara alisema vile makusudi huyo tajir Yao ndo alianza madongo ya supu 😅😅😅😅

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Місяць тому

      Amejuzina data

  • @zuberymasalu1452
    @zuberymasalu1452 Місяць тому

    Mzee said😂😂😂😂😂😂😂

  • @FrancisNkwera-vo2tj
    @FrancisNkwera-vo2tj Місяць тому

    Nikweli kabisa Mzee saidi kaikosea yanga manala
    Kwaupande Fulani wanammalia mpila azizi k

  • @josephjila957
    @josephjila957 Місяць тому

    Mzee said huwa msema mkweli mara nyingi

  • @costadaraja2327
    @costadaraja2327 Місяць тому

    Yani nimecheka sana tena kwasauti kubwa sana

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Місяць тому

    😂😂😂😂 mzee Saidi bhana..Ila ana Jicho flani hivi la kuona Mambo..Kweli mechi ya APR kuna Pahala wachezaji wetu walikuwa wanamiss kuziba nafasi.

  • @Shadia544
    @Shadia544 Місяць тому +2

    Jamaniii mzee saidi jamaniii 😂😂😂😂nilikuwa Nakusubili hapa 😂😂😂Ila mzee saidi jamaniii chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂

    • @johnkikoth
      @johnkikoth Місяць тому

      Tafuta cku ukamhoji na ww

    • @BarakaAmosi-gb4ve
      @BarakaAmosi-gb4ve Місяць тому

      Hahahaha Mzee anaongea

    • @Shadia544
      @Shadia544 Місяць тому

      @@BarakaAmosi-gb4ve 🤣🤣🤣🤣tena anaongea ata mate amezi🤣🤣

    • @Shadia544
      @Shadia544 Місяць тому

      @@johnkikoth sina uwezo miee

  • @godfreyathumani9912
    @godfreyathumani9912 Місяць тому +5

    Hahaa ata bao la kwanza haliwah km mlivyo wah nyie

  • @user-fw3cr7cu3r
    @user-fw3cr7cu3r Місяць тому

    Kama uswahili Simba mnaongoza kwa uswahili tumejaza viwanja viwili mnasema uswahili

  • @HanceAndrew-j9s
    @HanceAndrew-j9s Місяць тому

    Mwambie Mzee said mobeto alikua Simba so alikua anavishwa he's na kutawazwa kua shabiki wa yanga

  • @abouMuslin97
    @abouMuslin97 Місяць тому

    Changamba nataka umtafutie mzee saidi t-shirt na kofia ya MGen atakua bora sana

  • @omarymuya142
    @omarymuya142 Місяць тому

    Wape mzee saidi simba tunawapa asilimiya100❤❤

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 Місяць тому

    Hata mimi shabiki wazee said

  • @godlightgodlight
    @godlightgodlight Місяць тому

    Ila alicho fanyiwa azzi ki sio kizuli...... Opinion 😢😢😢😢😢

  • @chidyboy798
    @chidyboy798 Місяць тому

    Mzeee hiyo point sana

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 Місяць тому +4

    Natutawangoga sana mzee said afu umpunguze kuwa Sifia sana simba unajihami

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Місяць тому

    Nakukubali sana mzee saidi nipo dubai ila nawafatilia sana wewe na miraji mara moja na mwenyewe chagamba mpo okay

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Місяць тому +2

    Ila Mzee saidi apo umedaganya maan kama Kuna wanaopenda sifa hakuna wa kuizidi Simba kolo

  • @abumussabnassor6141
    @abumussabnassor6141 Місяць тому

    Mzee said nakupata haji manara katangaza zinaa

  • @inocentlukumay767
    @inocentlukumay767 Місяць тому

    Hapo kwa wamasai umetudanganya

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf Місяць тому +3

    Ww achilia uyu .mzeee aongee jamani

  • @godfreykanijo4223
    @godfreykanijo4223 Місяць тому +1

    Murudani yangu ni kumuangalia mzee said 😅😅 waukae kabisa huyu

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 Місяць тому

    Gambaaa safiii san leo ni me enjoy San 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @markokanyika874
    @markokanyika874 Місяць тому

    Ila tajiri nae aliyatimba alisema anataka kuwasaidia yanga supu

  • @fesalhumud6762
    @fesalhumud6762 Місяць тому +3

    Chagamba kwanza mhoji Mzee said halafu ndo uwende Kwa miraji😂😂😂

  • @Hassanchuwa
    @Hassanchuwa Місяць тому +5

    chagamba tunashida na namba za uyo mzee tumtumie ata vocha

  • @mwechizumbabaraka3273
    @mwechizumbabaraka3273 Місяць тому

    Mzee SAIDI noma😂😂😂😂