NTEMI EPI 67||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 3. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 65

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 6 місяців тому +4

    Shukuran sana mtemi mungu akubariki na wezako muweze fika mbali ilove you so much zena ❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelRevocatus-dp3dw
    @EmmanuelRevocatus-dp3dw 6 місяців тому +4

    Haya leo mi kwanza naombeni like zang

  • @BestaKondowe
    @BestaKondowe 6 місяців тому

    Safi sana Ted hamna rorote wasukuma wanaumeme wakisukuma niwanyanyasaji tu ❤❤❤❤❤

  • @leonardyohana268
    @leonardyohana268 6 місяців тому +1

    Heshima yetu wasukuma ni kupiga magodi 😂😂😂❤

  • @StivenKisesa
    @StivenKisesa 6 місяців тому +1

    Nakukubari sans kaka kea kazi Yako nzuri chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IbrahimJuma-qg1zl
    @IbrahimJuma-qg1zl 6 місяців тому

    Wakika move nzr inafudsha nawapa hongera ote mlio shilki move hiyo ya ntemi

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 6 місяців тому +2

    Jamani Leo tumewafurahiya Sana mmejitaidi kuwahi tunawapenda xn

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 6 місяців тому +1

    Mimo nawashikuru nyote Mpo Sawa kabisa🎉🎉❤❤

  • @EnoceMakenza
    @EnoceMakenza 6 місяців тому +2

    Mpo vizur Sana hamjerewi kabsa ❤❤❤❤❤

  • @AzimaGroup-m7y
    @AzimaGroup-m7y 6 місяців тому +1

    Safi Sana ntem hongera mmejitahidi sana

  • @StephanoAdam-d1d
    @StephanoAdam-d1d 6 місяців тому

    Tatizo kilugaa sanaa kwel move n nzur

  • @fatumashabani4462
    @fatumashabani4462 6 місяців тому +2

    Shangazi kaongeza ladha nainjoy 😊😊

  • @Zainp-o4o
    @Zainp-o4o 6 місяців тому +1

    Jeremia kweli unachekesha sana 😂nikupe maua yako🎉❤

  • @JumanneShingsha-ks4vb
    @JumanneShingsha-ks4vb 6 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣 aya maswal ya teddy kwa baba ake mdgo nimeyapenda big up 👏👏

  • @EmmanuelRevocatus-dp3dw
    @EmmanuelRevocatus-dp3dw 6 місяців тому +2

    Leo wakwanza jaman

  • @PetroChristian-l6d
    @PetroChristian-l6d 6 місяців тому +4

    Kilichonifurahisha ni kuwahi kutuletea epsode na kusikiliza ushauri wetu

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 6 місяців тому +2

    Teddy 😂😂😂😂😂😂😂🙌et heshima ya wanaume iko wap🤔

  • @powerofgod1742
    @powerofgod1742 6 місяців тому +1

    KAJERE KAPELE GOD BLESS YOU JEREMIA KWA UBUNIFU WA KUPLAY PART YAKO NA CHARACTER WENGINE MPO VIZURI HII MOVIE NIMEIPENDA NTEMI MOVIE MMECHEZA MAISHA HALISIA YA KWETU SHINYANGA JAPO KUWA MM NIPO DAR ES SALAAM SAFI SANA ILA MSIKAWIE KUPOST TUKO PAMOJA WANA UA-cam

  • @neemaseko4988
    @neemaseko4988 6 місяців тому

    Nawapend san ❤❤❤❤

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 6 місяців тому +1

    From Pakistan nimefurahi sana

  • @MaryamM-zw4xv
    @MaryamM-zw4xv 6 місяців тому +2

    Teddy 😂😂naye kumbe anamaswali kama mtumzima

  • @donaldmwita4227
    @donaldmwita4227 6 місяців тому

    Movi kali kweil.

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 6 місяців тому +3

    REO Nnamba mbiri kutoka chanika

  • @noellaniyonizeye1646
    @noellaniyonizeye1646 6 місяців тому +1

    😂😂😂 Jere maskini wa Mungu eti wayahudi munakanyaga madhabahu

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 6 місяців тому

    Mnaongea sana kiluha mnaboa

  • @emmanuelsimbeye3939
    @emmanuelsimbeye3939 6 місяців тому

    I love you more guys move tamu

  • @alphakapinga3329
    @alphakapinga3329 6 місяців тому

    Big up Ntemi

  • @GradnessMarico
    @GradnessMarico 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉ntemi maua yako

  • @kevy254
    @kevy254 6 місяців тому +2

    ntemi kiboko cha watundu wote 😂😂😂

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 6 місяців тому

    Leo nimewaona wayahudi wakikanyaga madhabahu

  • @FrenkJohn-b9m
    @FrenkJohn-b9m 6 місяців тому +1

    Nakukubar xan ntemi?🎉🎉🎉

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 6 місяців тому +1

    Hilo li minza liongo

  • @HoloLuchoma
    @HoloLuchoma 6 місяців тому

    Kajelemia kanakichwa gan hakajawahi kuvua kofia

  • @kevy254
    @kevy254 6 місяців тому +1

    jere masimba nae si ni mwoga saana jamaan 😂😂😂

  • @faustinenkende6372
    @faustinenkende6372 5 місяців тому

    Ntemi nooma sana

  • @josephkisura4406
    @josephkisura4406 6 місяців тому

    Et nyinyi wanaume eshima yenu ikowapi😂😂😂😂 hako kamtoto kweli balaa

  • @PauloAmos-k2f
    @PauloAmos-k2f 6 місяців тому +1

    Asante ❤

  • @ZubedaBita
    @ZubedaBita 6 місяців тому

    Miza kaongo htr

  • @MonyJack
    @MonyJack 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @agathangwema7192
    @agathangwema7192 6 місяців тому

    Wayahudi mnakanyaga madhabahu😂😂😂

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 6 місяців тому +1

    ❤❤

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @ElipidiusKweyamba
    @ElipidiusKweyamba 6 місяців тому

    Mnakanyaga madhabau😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maltamateo3051
    @maltamateo3051 6 місяців тому +2

    naomba keki zangu

  • @mariamhamis2170
    @mariamhamis2170 6 місяців тому

    ❤❤🎉

  • @HUSSENIJUMA-k8d
    @HUSSENIJUMA-k8d 6 місяців тому +1

    Sasa mbna zinazotoka saiv sio HD kama tulivyo zoea ziangalieni bas

  • @kennyjr2840
    @kennyjr2840 6 місяців тому +1

    Me wa 4😅

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 6 місяців тому

    Minza umbea utakuponza shoga angu😂😂😂😂😂😂😂

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 6 місяців тому +1

    Jeremiah jamen😂😂😂

  • @isackerasto5360
    @isackerasto5360 6 місяців тому +1

    Tupoooo

  • @simonwaswa2535
    @simonwaswa2535 6 місяців тому

    Aki Jeremiah ❤

  • @geselaoscaremanuel6481
    @geselaoscaremanuel6481 6 місяців тому

    Ntemi hutaki kurudiana na vero kweli??

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 6 місяців тому

    Jeremiah uwaenda kupona nmfirahi ntemi kwa kumjali jeremiah zena huyo mashimba mshughulikie ama mwambie ntemi juu ataka kumuharibia bbko aonkne yeye😢

  • @hadijahamis4080
    @hadijahamis4080 6 місяців тому +2

    Ila minza mbea jaman yan yupo huku na kule kama chaja kobe

    • @lilianndeka1893
      @lilianndeka1893 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂 Yaani eti nisije kufa nalo kaburi langu likapasuka

    • @hadijahamis4080
      @hadijahamis4080 6 місяців тому

      @@lilianndeka1893 yan mbea kama nn

  • @simonwaswa2535
    @simonwaswa2535 6 місяців тому

    Sena mko wapi wengi aki natamani kupata mmoja

  • @maltamateo3051
    @maltamateo3051 6 місяців тому +1

    Malta nàmba 1

  • @MillicentKenyanya
    @MillicentKenyanya 6 місяців тому

    Mashimba nangojea mwisho wako

  • @johnkonk9617
    @johnkonk9617 6 місяців тому +1

    saf sana naipenda zaidi, hakika ninzur

  • @EmmanuelRevocatus-dp3dw
    @EmmanuelRevocatus-dp3dw 6 місяців тому +1

    Leo wakwanza jaman

  • @catherinecharles5876
    @catherinecharles5876 6 місяців тому +1

    ❤❤