JAMANI HAWA WANAWEZA KUTUINGIZA PEPONI AU MOTONI | DEC 27 /2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 25

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 8 днів тому +2

    Allah awazidishie iman zaidi na awajalie mwisho mwema na awape subra walimu wetu

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 8 днів тому +1

    Subuhanallah lailahailallah MUHAMMAD RASULULLAH ❤❤❤

  • @OmanOman-st3kg
    @OmanOman-st3kg 8 днів тому +2

    Subhenanllah Allahu akibar atuongoze ktk hii tuweze kuwasaidia wenzetu

  • @yunusmasoud32
    @yunusmasoud32 9 днів тому +1

    Ndugu Waandishi wa Habari, engekuwa vzr tukajua na jina la hiyo sehemu. Allah awabaarik katika kazi Zenu, Amiin.

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 9 днів тому +1

    Sbuhanallah Allah atufanyie wepesi aitie wepesi na nyoyo zetu tusaidie kwa tutakacho kua nacho inshallah

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 8 днів тому +1

    SUBHANALLAH

  • @SwalehAbdallah-z6u
    @SwalehAbdallah-z6u 8 днів тому

    Allah atufanyie wepes inshallah

  • @KMk-h9c
    @KMk-h9c 8 днів тому

    Subhanallah

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 9 днів тому

    SubhanAllah 😢 inasikitisha sana

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 9 днів тому +4

    Mm nnachohic kweli ss shida tunazo nying lkn katika kuomba kwetu tumtegemee Allah pekee ndie mtendaji wa yote, lkn tukimwaga choz ktk kumuomba mfadhili kiukweli huo nimtihani mkubwa, Inshaa Allah kwarehma zake mtukufu wa darja atashusha kher zake. Lait ingekua kanisa hilooo🙄🙄🙄🙄🙄 mtihan

  • @MahmoudHamad-fy1in
    @MahmoudHamad-fy1in 9 днів тому

    Hasbuna Allahu Wanighimalwakil

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 9 днів тому

    Allah tunakupmba ufanye wepesi amiina tunaomba mrejesho kila hatua tutakapo fikia,tunataka tumuone yule mtoto yatima wa pemba anayeumwa na mlemavu pia juu ya hali yake.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 9 днів тому

    SUBHANALLAH 😢

  • @mwanamosishah4104
    @mwanamosishah4104 9 днів тому

    Subhaanallah

  • @saidilaay9490
    @saidilaay9490 День тому

    Samahani, mkoa gani huo, pili mbona ina muda mrefu takriban miaka 5 zaidi

  • @FotoBaraza
    @FotoBaraza 9 днів тому

    Miti tayari ipo, ni bati ya kivuli na saruji kidogo ya sakafu peke yake kwanza, kuta zijengwe mbeleni. Vijana wa kusaidia fundi watatoka humohumo darasani. Dada zao wakiteka maji, na kina mama wakipika chuo kinasimama hatimae. Wanangu someni, limewaka jua ama imenyesha mvua, someni. Mumekwisha kulipwa pakubwa hapa duniani na Akhera vilevile. Washikeni wazee wenu hivyohivyo, katu msiwatupe mkono. Msaada upo njiani inshaallah.

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 9 днів тому

    Yaani mmejenga nyumba mmeshindwa kuweka hta tofari moja mnata mjengewe tu au tumepigwa yaan toka mwaka 1998

  • @KhamisJr-g6m
    @KhamisJr-g6m 9 днів тому

    Nahc kama ni gamba hapa

  • @MonoMono-q7s
    @MonoMono-q7s 9 днів тому

    Sehemu gani hiii

  • @SALIMMUUNGWANA-he9it
    @SALIMMUUNGWANA-he9it 9 днів тому

    Inasikitisha viongozi waserikal nchi hii wameshatoa mamilioni ya pesa kwenye timu ya mpira

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 9 днів тому

    Yaani toka mwaka 1998 bado mnasomea kwenye mti miaka 26😂 mhhh sjaelewa hyo

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan 9 днів тому

    Pengine ao wanafunzi misahafu na vijuzuu pia wanaazimana

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 9 днів тому

      Watoto wa kiume wameshindwa kuvaa hata hofia, juzuu ni mbovu Sana kuna watoto Mara hawana misahafu watoto hawana buibui subhanallah