Asante mtumishi cheif Apostle ,napenda mafundisho iwish siku moja nifike kwachurch nizidi kubarikiwa from Kenya work in Saudi Arabia naprnda Sana mafundisho ya mtumishi wa mungu
Asante Chief Apostle kwa kutukumbusha nafasi zetu kama washirika lakini pia nafasi za Watumishi wake katika kutupatanisha naye, thanks God of Major for this Powerful Servant @Chiefapostle
Ni kweli kuwathanini watumishi wa MUNGU , maana MUNGU alisema niaminini mimi na watumishi wangu manabiii.. nikweli watumishi wa MUNGU huja na majibu yetu. HAleluyaaaa.
Nashukuru MUNGU wa mbiguni akubariki maubiri yako inaogeza imaniyangu nakuendelea kumutumainia Mungu wa mbiguni akubariki. Ni veronica kutoka saudi Arabia
Niko haba kila siku na kufuatilia Hadi mwisho nai sure you servant of God 🙏 you have raised me spiritually in Jesus name get blessed
Amen Mungu hajanisahau mtumishi umenipa moyo asante Kwa yote nimebarikiwa sana
Nahitaji mtumishi katika maisha na huduma yangu.ili system ya mungu ikamilike barikiwa chief 🙏🙏🙏
Ameen mtumishi ubarkiwe sana nimeelewa somo
I hear you my Apostle, this is Powerful message
Amen yesu akifika ulimwengu anakuwa mwanadamu wa ulimwengu Amen I receive in Jesus name from kenya very through servant of God
Asante mtumishi cheif Apostle ,napenda mafundisho iwish siku moja nifike kwachurch nizidi kubarikiwa from Kenya work in Saudi Arabia naprnda Sana mafundisho ya mtumishi wa mungu
Asante Chief Apostle kwa kutukumbusha nafasi zetu kama washirika lakini pia nafasi za Watumishi wake katika kutupatanisha naye, thanks God of Major for this Powerful Servant @Chiefapostle
Naweza kupata namba ya Apostle
Ni kweli kuwathanini watumishi wa MUNGU , maana MUNGU alisema niaminini mimi na watumishi wangu manabiii.. nikweli watumishi wa MUNGU huja na majibu yetu. HAleluyaaaa.
Amina Mtumishi mafunzo yako yamekuza moyo wangu
I receive in Jesus name Mimi ni mmoja wao nimefika mwisho sahii siifi moyo Hoo yes I receive
Mimi nakukubali mtumishi 🙏🙏🙏 sanaaa na Mungu azidi kukuinua viwango vya juu
Uko vizuri mtumishi WA Bwana
Mtumishi Mtalemwa na Mungu mnamajibu ya maisha yangu%.
Natamani nifike hapo Church cku mmoja
Karibu sana sana kanisa liko makongo juu nyuma ya chuo cha ardhi jijini dar es salaam
Unaweza wasiliana na mchungaji kwa namba 0659 675 151
Karibu sana, mtumishi wa Mungu anakuombea na kukukaribisha.
Piga simu 0717 960 901
ECG Makongo juu ni chuo tosha...powerful teachings!
Naomba naomba namba ya Apostle
Mungu akubariki kwa somo zuri.Nimebarikiwa na kupitia ujumbe huu Mungu anipe nguvu ya kusonga mbele
Ahsante sana baba. Nimebarikiwa mno kwa mafundisho. Ubarikiwe baba.
Oooh yes, am receive through God and Apostle.
You are blessed man of God
Thank man o
Thank you man of god
Amen mtumishi wa mungu
Congratulations man of god.
Thankyou lord.
Hoo yes I receive in Jesus name
Ameen Chief naomba Mungu wa Major One akutume kwangu leo kwa jina la Yesu
Mungu uzidi kumtumia Mtumishi wako Chief Apostle kwa viwango vya juu zaid.
Thank you man of god
Nashukuru MUNGU wa mbiguni akubariki maubiri yako inaogeza imaniyangu nakuendelea kumutumainia Mungu wa mbiguni akubariki. Ni veronica kutoka saudi Arabia
Very powerful thank you chief..
The lord bless it.
Amen sana Apostel
Barikiw sana mtumishi m.paka ushangae
Powerful
Amen amen
Amen Bahari imepasuka mbele yangu kwa Jina la Yesu. Amen.
MUNGU NAKUSHUKURU KWA UFAHAMU HUU THAT GODS SYSTEM IS WHEN HE CHOSE AND SEND HIS SERVANT💪NOW THE SERVANT OF GOD IS MY ANSWER🔥I CONNECT🙏🙏
Powerful revelations.... chief wetu
Amen
Lord is the. Hero
Mungu nakuomba Unipe Moyo wa unyenyekevu,na utii kwa Ajili ya watumishi wako ❤️
Powerful service 🙌
Nakupenda bure baba mngu wa mbingun azidi kukutumia
Amen Chief. Powerful
Amen Apostle,, nabarikiwa sana
Hallelujah 🙏
Asante Yesu kwa ajiri ya mtumishi wako
Ubarikiwe mutumishiwamungu
Yatimie kwangu kama wana wa lsrael,kupitia Mungu na Mtumishi wake
Amina, napata nguvu
I connect in Jesus name amen
Amina
Mungu naomba unipe hekima
Serious this one it happenes in this world
Ameeen
Kweli
Thank you chief ....powerful
Be blessed Apostle mtalemwa kwa ujumbe wako mzuri..Amani..
Am good nice 4pastor.
God is might
Amen Apostle
Kweli chief anabadilisha akili na moyo pia ee Mungu Usiwe mbali na Musa wetu wa leo ndiye mwenye majibu yetu asante Yesu love dady
Anayemkubali chief na kuona mafunuo yake niyatofauti na watumishi wengine tuwe pamoja
Ni kweli yuko vizuri Sana lakini kumbuka wapo watumishi wengi kila mmoja kwa karama aliyopewa katika mafunuo.
Hi man of god.
Haaa kaaai the embassy of Angeles
Lord gives
Be blessed
Hi the man of god
Ameen mtumishi
Hi man of god
Naenjoy kusikiliza mafundsho yako Maana yananifundisha
Hi mtumishi naomna uniombee kiuno uwepo wako wa mbali utanifariji
Amin Mungu 🙏🙏 weka imani my dear na kupitia mtumishi wake Apostle mtalemwa bushiri umepona in jesus name.
I hear you Apostle 👏🏽👏🏽👏🏽
Hallelujah 🙏🙏ooyes
Deep relevation man of God
Ameen ujumbe mzuri sana nimebarikiwa sana
Amen 🙏🙏🙏
Sina mengi Chief Mtalemwa
Mungu akupe zaidi Hekima na unyenyekevu
Napenda niwe mwalimu mzuri kama wewe.🙏
Ujumbe mzur saaana
Thanks jesus
Yeso ni bwana
Ooo yess
NASIKILISA MTUMISHI WA MUNGU
Anapatikn wapi jmn
Love papa
Ameeeeeen
Karibu xana
Thx dady
Ameen
Nakukubali sana mtumishi hakika umepakwa mafuta na bwana na hakika wewe ni mtumishi wa mungu aliye hai
Hi
Hi Hi
Jesus was there before.
🙏🙏🙏🙏🙏
À
Tusaidie Baba tupone
Ibada ni siku na saa ngapi please
Kila siku za alhamis saa tisa alasiri na Jumapili saa moja asubuhi siku ya jumapili kwa maelekezo zaidi piga simu namba 0717 960 901
Hi man of god.
Powerful
Hi
Hi man of god.
Hi
Hi
Hi