I have realized that what is ailing tz ails Kenya too. Bad leadership will cost us dearly. Nay continue speaking what we can't because we don't have a platform like yours. From Ke with love
Kichwa cha huyu jamaa ni zaidi ya dhahabu, yani kuna mijitu inajiita misomi kumbe mavi matupu ila kichwa hiki kina fikra za juu sana, zaidi ya wenye phd, big up Ney wa mitego Mungu akulinde na uishi miaka buku.
Kulingana na Sauti nzito Ya Raisi wa kitaa hafai kuimba nyimbo za kuburudisha yeye ni special mtetezi wa wanyonge Big up the True boy much love from Kenya.
Ndiyo maana mnaambiwa muwage na akiba ya maneno, wewe Nay ulikuwa ukimpinga Sana huyo John, sisi tunawambia Africa hakujawahi kuwa na kiongozi kama Magufuli na hatutegemei kumpata soon!! Any way go on, keep shining
Tumchangie nay, jamani tusiishie kumsifia tu sisi sote hata elfu 10, 10 tu wote tuliokoment humu. Kazi, hii ni nzuri mno. Watu wamekalia upuuzi tu hawa ndiyo wasanii wanaohitajika. Mzalendo ni msema kweli kwa ajili ya nchi yake. Nay hana ubinafsi amezaliwa kwa masilai ya taifa lote. Sio hao wanaimba kusifia upuuzi tu. Wasanii ni Roma na Nay wanastahili kiwa washauri wa raisi
Watoa tuzo za nyimbo msiwe mnaogopa kuwapa tuzo watu kama hawa wanaoongelea ukwl,msikalie tu amapiano zenye zimejaa ujumbe wa mapenzi tu nay ww ni mwamba sana👏👏
Maana halisi ya Mwanamziki sio msanii!! Mwanamziki haitakiwe uwe msaninii!! Big up unazidi kudhihirisha maana ya True boy❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Iko fire sanaaaaaaaaaaaa
Uyu njo mwana muziki uwache wengini wama piano nanyimbo zakichoga na umalaya.Big up brother ney tunakuskiliza kutoka Canada.Inabidi upewe heshima kwa nyimbo zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hata umsifieje ndg yang na hakuna asiyemsifia hata wasiojua mziki huwa wanamsifia kini cha kujiuliza tulimuunga mkono lini ili awe na jina na pesa kuwazidi akina Mondi,hawa ndo walipaswa wawe matajiri kini cc eti tunawakubali kwny comment tu kini kununua kazi zao hapana afu tunajifanya tunamkubali kati ni unafiki tu ,ambao tunawaponda kila uchao wanazidi kuwa matajiri kwa amapiano hizohizo
Raisi wa mitaaa....he knows each and everything happening in the streets..."Media za bongo zimestuck hazina tena ubunifu, hazikuzi presenter wake,angalia Nani maarufu, na hao maaruf sasa..." STRONG PUNCH LINES...Hongera Ney.
I'm from Burundi but trust me this song is for all African Countries ,⚡🇧🇮 big up xana Ney right kama all Presidents wangeusikiliza vizuri . Nay kwel True Bwoy , au sio jamani???
Dah ! This song.. balaa nimesikiliza mara 6 .. and way keep it up brow hata waseme nn ukweli utabaki ukweli na massage sent ... Big up.. I love the song
Muziki wako utaishi vizazi na vizazi. Hata siku ukipumzika tutaongea sifa zako kinaga ubaga bila kutafuta kukusafisha. Historia itakukumbuka kama msanii asiyejipendekeza kwa viongozi na ambaye alijitenga na watesi akasimama upande wa haki. Mungu akubariki sana na atakayekutafuta kwa shari waziwazi au kisirisiri laani ikawe juu ya kichwa chake na familia yake. Nayaomba yote hata katika Jina la Yesu, amina.
Wee kwa ukweli kua makini kaka ney wamitego kingine tukisikia chochote kibaya kimempata ney ujue ni serikali juu roho za wauma mno tupo na ww kaka big up ney
Kaka nitafute kabla ujaenda basta jumatatu mm naingia mfungo kwaajili yako ❤❤❤❤ so much bro umefanya nilie na uwimbo nta upiga geto kamavip waje wafunge geto langu
Respect Nay, utakumbukwa sana kwa uzalendo wa kweli kwa Taifa letu Tanzania. True Boy unalitendea haki jina lako. Chotara wa Kinyakyusa na Kichaga, respect sana brother
Weeeee, TZ inatishaaa zaidi kwa wasaaniii. Nashindwaaa kabisaaa kuamua nani mkali, wote tena wote nasema ni wakali. Mwanzo hawa wasani wa Hiphop wanatisha zaidi. Message za ukweli. Long Live TZ. Peace.
Rais Maguful Alisema Anapenda kusema ukweli,Huyu Mwamba ni pacha ake Magu,,, katika kusema ukweli!! ,,, Mimi wa kwanza kukuombea uishi miaka yote Broo✍️😍
Huyu mwamba ni Tupac Shakur wa Africa,namkubali sana, jamani Nay wa Mitego wakenya wanakubali misitari yako.Hongera sana more love from Kenya.Njoo upige shughuli Kenya
Nyimbo inaelimisha sana, rais wakitaa tupo nyuma yako kaka, wewe ndo mtanzania halisi, ni mfano wa kuigwa, hakika ni hazina ya Tanzania 🇹🇿 Mungo akulinde ndugu yetu
salute mr president naomba mungu ndoto ya watanzania juu yako iwe kweli mungu akulinde na hasadi mkuu ipo siku utakuja kuliongoza taifa hili weka nia hakuna linaloshindikana kwake mungu
Nimesikiliza mara 8 hii nyimbo. Kiufupi Nay wamitego ndio msanii bora zaidi waHiphop kutokea bongo achana na hao tunaowaita Malegend wa hiphop hawana msaada wowote kwenye kusemea Rasiliamali zetu na kuwakosoa Viongozi wetu. Nay hatuna cha kukulipa ila ikatokea wakakuua sisi tunatachanga pesa Nchi nzima kwa ajili ya familia yako . Mungu akuweke sana kaka ❤
Sija wahi ku comment kwenye wimbo wa msanii yoyote toka nazaliwa huwa naishia kutazama ila huu wimbo ume nigusa sana piga kazi brother kazi nzuri yenye uokozi wa nchi yetu❤❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🏿
Yaantarifa zako za,kukamatwa,zimenfanya nije niangalie hii ngoma ila,Nay we,Unajua,ukiachana na kujua hupend unyonge Nakukubali sana akuna uichoongopa apo big up sana Nay
Huyu ndio Ney wa mitego nayemjua Mimi. Kama umwelewa jamaa gonga like twende sawa #AMKENI
Mungu mpe huyu msani maisha marefu my top mentor like za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwamba kajitoa sana...true artist...true vision...true heart...true struggle...mzalendo halisi...
Hii wimbo inatuhusu sana huku Kenya kuwaliko Tz...rais mtalii,wabunge akili ndogo, meli lazama ila hakuna anayeona. Afrika mashariki tuamke!!!!
I have realized that what is ailing tz ails Kenya too. Bad leadership will cost us dearly. Nay continue speaking what we can't because we don't have a platform like yours.
From Ke with love
Kichwa cha huyu jamaa ni zaidi ya dhahabu, yani kuna mijitu inajiita misomi kumbe mavi matupu ila kichwa hiki kina fikra za juu sana, zaidi ya wenye phd, big up Ney wa mitego Mungu akulinde na uishi miaka buku.
Kuna Wanamuziki halafu kuna Mr Nay wa Mitego is just another level! ✊🏼🇹🇿
Kabisa
Kabisaaaaaaa
Much love Nay npo hku kwenye Nitasema kama nawee upo kwenye ngoma mpya ya Rais wa kitaa gonga like zakutosha toka Malawi Nitasema tuu
Akili ndogo inaongoza akili kubwa... Punch line...huyu jamaa yuko vizuri... Wapi like za Nay ....
Ambao tume rudia zaidi ya mala 10 huu wimbo tujuane 🙏🏿
Dah😢
2po mzee kwanza tumekusanyika saiv tunasikiliza jamaa anajua
✌️vidole viwilijuuu
🔥🔥✊🏿
😥😥
ishi Miaka Mingi Mzee Baba, Hii ndio Hiphop tunayoitaka Uhalisia mbele, hakuna kukumbatia mavi liwalo na liwe.. ishi miaka mingi..🇹🇿
Kulingana na Sauti nzito Ya Raisi wa kitaa hafai kuimba nyimbo za kuburudisha yeye ni special mtetezi wa wanyonge Big up the True boy much love from Kenya.
Ndiyo maana mnaambiwa muwage na akiba ya maneno, wewe Nay ulikuwa ukimpinga Sana huyo John, sisi tunawambia Africa hakujawahi kuwa na kiongozi kama Magufuli na hatutegemei kumpata soon!!
Any way go on, keep shining
Tumchangie nay, jamani tusiishie kumsifia tu sisi sote hata elfu 10, 10 tu wote tuliokoment humu. Kazi, hii ni nzuri mno. Watu wamekalia upuuzi tu hawa ndiyo wasanii wanaohitajika. Mzalendo ni msema kweli kwa ajili ya nchi yake. Nay hana ubinafsi amezaliwa kwa masilai ya taifa lote. Sio hao wanaimba kusifia upuuzi tu. Wasanii ni Roma na Nay wanastahili kiwa washauri wa raisi
Huu wimbo wa hatarii zaidi ya hatari wakifika watanzania 150 tu wenye roho kama ya ney nchi inakombolewa🔥🔥✅
Mmmmh ney we nouma
Kabxa
Hakika,anawakilisha vema nafasi aliyo nayo kama Muimbaji mwenye Akili
Sana sema tumezidi uoga
Hakika
Hii ngoma nimeikuta inapigwa kwenye daladala. Abiria wote kimya ... Wengine wakionesha nyuso za kuuzunika....duu. Ney for Hip hop
Wimbo mzuri na wenye wa maana halisi ya maisha yetu ndani ya nchi yetu Tanzania.Big up @Ney
Wakola muno
🤝🤝
Huyu wimbo hana ila ana mashairi ya uchochezi tu kwa kuwa hana kitu kingine cha kumtangaza
AMBAO mnakubali Kama huu wimbo Ni number one east africa tujuwane
On my side let Ney wa mitego move on drops such a song at all ❤❤❤❤ ndo nyimboo tunazo ziitaji au nazo zipenda Kama mzalendo
Waliorudi hapa baada ya kusikiliza nitasema tujuane maana ndio kama kasema amkeni tena 😊🙌
Aisee nmetoka kule nmekuja hapa aisee
Watoa tuzo za nyimbo msiwe mnaogopa kuwapa tuzo watu kama hawa wanaoongelea ukwl,msikalie tu amapiano zenye zimejaa ujumbe wa mapenzi tu nay ww ni mwamba sana👏👏
Uhakika
Hawawez kaka coz hata hao wenyewe ni mamluki tu hapo
Watoe Tuzo kwanza cjui mpka kesho kma itakuwa bdo haijafungwaa
Kabisa...umenena
Tatizo la wa Africa ukimponda mtu ukweli anawa adui yetu
Maana halisi ya Mwanamziki sio msanii!! Mwanamziki haitakiwe uwe msaninii!! Big up unazidi kudhihirisha maana ya True boy❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Iko fire sanaaaaaaaaaaaa
❤
😂
Nmemkubali huyu mwamba
Uko vizur sana
Uyu njo mwana muziki uwache wengini wama piano nanyimbo zakichoga na umalaya.Big up brother ney tunakuskiliza kutoka Canada.Inabidi upewe heshima kwa nyimbo zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hata umsifieje ndg yang na hakuna asiyemsifia hata wasiojua mziki huwa wanamsifia kini cha kujiuliza tulimuunga mkono lini ili awe na jina na pesa kuwazidi akina Mondi,hawa ndo walipaswa wawe matajiri kini cc eti tunawakubali kwny comment tu kini kununua kazi zao hapana afu tunajifanya tunamkubali kati ni unafiki tu ,ambao tunawaponda kila uchao wanazidi kuwa matajiri kwa amapiano hizohizo
👍👍👍👍💪🏿💪🏿✌️
Wengi wetu hatupendi Muziki wa kufundishaa,,Tunataka matusiiii,,,Saluti Sana kwako Ney
Every African country needs Nay.
Njoo huku Kenya 🇰🇪 , tunahitaji wimbo kama huu kwa viongozi wetu.. #wake up call to the African leaders
kwa hio hali ni ngumu kila mahali cc hapa kenya ndio tunaaribu zaidi 😢😢😢maandamano sio suluhisho🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi waimba MAPIANO mje mjifunze nyimbo hapa big up brother ney japo ninahofu juu ya usalama wako ,,,nakukabidhi mikononi mwa bwana ameen
hiyo ndo maaan ya kujitoa muhanga long time ney kajitoa ssdaka kwa lolote
Hata na Mie nahofia Hilo😔😔Namuombea lkn..
Daaa❤ pamoja sana
#kweri kabisa sio Wana bwabwanya ovyo to kama wanaugua vifafa
Kwel kabisa
Ulimmchukua tujifuuunze au tupate kuhema,Ney true boy umenikosha mnoo
Huyu kaka Ndo mfano wa KIOOO CHA JAMAIII 😍😍🙏🏽🙏🏽🙌🏽😱😱😱😱🙏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Jaman kama umeskiza huu wimbo zaidi ya mara 1 gonga like 2pac wa bongo huyu hapa
Raisi wa mitaaa....he knows each and everything happening in the streets..."Media za bongo zimestuck hazina tena ubunifu, hazikuzi presenter wake,angalia Nani maarufu, na hao maaruf sasa..." STRONG PUNCH LINES...Hongera Ney.
Na hao maarufu sasa kma machangudoa apo kaguswa mwijakuu na baba levo
@@dorcusjidinga4624kina Maulid kitenge pia
I'm from Burundi but trust me this song is for all African Countries ,⚡🇧🇮 big up xana Ney right kama all Presidents wangeusikiliza vizuri . Nay kwel True Bwoy , au sio jamani???
Sure
True spesal for all Africa country
You went so far for sure
Dah ! This song.. balaa nimesikiliza mara 6 .. and way keep it up brow hata waseme nn ukweli utabaki ukweli na massage sent ... Big up.. I love the song
Tuliorudia baada ya mwamba kuitwa Centro tujuane❤❤
When it comes to great messages' songs, thats where Nay wa mitego brings his A game
When it comes to great Messages Songs, that’s where Nay wa Mitego brings his “A” game
Bonge la song tunahitaji watu ka Hawa Sasa Roma huko uliko shusha nondo Sasa na wew
Kama mnamkubali ney kama mimi like hapa wadau👍👍👍👍👍
Ana baya 💯💯💯
Nimekuelewa mwamba
Mungu wa mbingun akulinde ,wimbo umezungumza uhalisia wa maisha yetu ya watanzania ,kwel nay ni rais wa kitaaa big up
Amiin
Muziki wako utaishi vizazi na vizazi. Hata siku ukipumzika tutaongea sifa zako kinaga ubaga bila kutafuta kukusafisha. Historia itakukumbuka kama msanii asiyejipendekeza kwa viongozi na ambaye alijitenga na watesi akasimama upande wa haki.
Mungu akubariki sana na atakayekutafuta kwa shari waziwazi au kisirisiri laani ikawe juu ya kichwa chake na familia yake. Nayaomba yote hata katika Jina la Yesu, amina.
Wee kwa ukweli kua makini kaka ney wamitego kingine tukisikia chochote kibaya kimempata ney ujue ni serikali juu roho za wauma mno tupo na ww kaka big up ney
Nay we huogopi gusema ukweli kabisa nakwamini sana endelea na kazi yako
Kaka nitafute kabla ujaenda basta jumatatu mm naingia mfungo kwaajili yako ❤❤❤❤ so much bro umefanya nilie na uwimbo nta upiga geto kamavip waje wafunge geto langu
Wafunge tutapiga geto na kwenye mabajaji yetu Ngoma kitaaa imeenda sana Basata Tcra mmechelewa sisi walengwa wimbo tunao
Amkeniiiiiiiiiiiii kitaaa NI balaaaa nipo nawanangu hapa mzumbe mbeya ishu n bandari na hii Ngoma nyie acha tu wana kitaa wamechoka kinoma
Afrika tuna matayizo this song isn't for TZ only but all African big up ...Ney wamitego much respect bro
Kama una amini mkoloni hajaondoka Afrika ame badirisha tu mfumo wa utawala gonga like tusonge mbele. AMKENI❤❤❤❤
Nimependa,kazi ya Mungu haina makosa kumchukua magu ikimpendeza Mungu achukue na Hawa waliosalia🎉
me nangoja miujiza ya mwamposa
Nay wa mizigo is the most wanted because he kills in every beat 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
❤ 3:56
Mungu akpe nguvu, uschoke kusema ukwel
Almost to everything he kills Dope 🔥🔥🔥
apo akitekwa amuongei c muwe kama wakenya
@@mkamadsimas2254hakika chief, yaani Kila nikikumbuka kuhusu bandari naumia kinyama ila fresh 2, imebakia miaka mi2 tu😭😭🙏
MRISHO MPOTO! Jibu wimbo huu. Ukijibu vema huenda ukajisafisha doa ulokwisha jiwekea!
"Kazi yako haina makosa ikikupendeza mchukue na HAWA" Aisee this song is lit
Respect Nay, utakumbukwa sana kwa uzalendo wa kweli kwa Taifa letu Tanzania.
True Boy unalitendea haki jina lako.
Chotara wa Kinyakyusa na Kichaga, respect sana brother
Kenya wana Erick Omondi, Tz tuna nay wa mitego💥💥
Weeeee, TZ inatishaaa zaidi kwa wasaaniii. Nashindwaaa kabisaaa kuamua nani mkali, wote tena wote nasema ni wakali. Mwanzo hawa wasani wa Hiphop wanatisha zaidi. Message za ukweli. Long Live TZ. Peace.
Rais Maguful Alisema Anapenda kusema ukweli,Huyu Mwamba ni pacha ake Magu,,, katika kusema ukweli!! ,,, Mimi wa kwanza kukuombea uishi miaka yote Broo✍️😍
Oyaaa mwamba anajua sana sema basi2 tz tunapenda nyimbo zakipuzi kusisapoti nay ajengewe sanamu
Unapambana kwa ajili ya wa Tanzania,mungu akulinde Nay,Basata kukuita sijakubaliana nao
Tuliokuja baada ya ney kufunguliwa kesi ya mchongo ya uchochezi, gonga like hapa
Nimeipenda hiyo na "Mama ikikupendeza kuhusu mkataba wa Bandari isiishie Bara peleka na Zanzibar " Big up 🤴 Mr Nay natrue boy
Não consigo ficar 4 horas de tempo sem escutar a música viva Ney 👊 mais força 💪🇲🇿🇲🇿 peço pelo menos 10 likes para Ney 🔥
Hata isipoingia trending ujumbe umefika... We love you Brooh great Job....
Mungu akuweke t jmn Ney tunakupendaa sana ney, km unamtu anamkubali km gonga like yk❤❤❤❤❤❤
🔥 🔥 🔥 😊 Mara 10 na sichoki 😮
ney ni kioo cha jamii kama mnakubali nipeni like kutoka burudi
Wimbo mzur unaozungumzia maisha yetu hongera sana mwamba nakukubqli sana Rais wa mtaa.
Huyu mwamba ni Tupac Shakur wa Africa,namkubali sana, jamani Nay wa Mitego wakenya wanakubali misitari yako.Hongera sana more love from Kenya.Njoo upige shughuli Kenya
Tanzani uchawa unajeng nyumba ila haki wanakuua
Huyu jamaa mkorofi sana. Ila amwemwaga kweli tupu bila kupepesa macho.
Walio rudi kuangalia kama bado wimbo upo UA-cam tujuwane
Wale ambao tupo na Ney ngonga like apa
Huyu ni zaidi ya Mnyama 🍁🤝
❤❤Tamu sana. Ni sawa tu na Zakayo Wetu apa Kenya 🇰🇪 .
Daaah unyama mwinqi zaidi ya mbuqan mamae😂😂😂😂, kama imekuqusa gonga like tujuane
Alafu utaskia tuzo imeenda na amapiano.
Ukweli ndio hautakkani Africa. Love from coast Kenya 🇰🇪
Tuzo Tena hapo ni basata kufungia na kuhitajika osterbay
Hahaha
🤔🤔yaan kwa hii nyombo hawatasubli ujzke watakuuwa na wakuZke 😭😭😭 Kama lakhdube
Tupo wengi pamoja Na freenation for life ni nassib toka Mombasakenya
Nay wa mitego big up sana this song manze umetok reality .
Nyimbo inaelimisha sana, rais wakitaa tupo nyuma yako kaka, wewe ndo mtanzania halisi, ni mfano wa kuigwa, hakika ni hazina ya Tanzania 🇹🇿 Mungo akulinde ndugu yetu
Kazi ya Mungu haina makosa ikikupendeza chukuwa na hawa mkataba wa bandari usiishie bara peleka na Zanzibar hii imeenda tumpe maua yake🌹🥀🌷🥀🌹
Zanzibar mbona kitambo au hufuatilii umejaza chuki
Ikikupendeza chukuwa na hawa😢😢😢😢wajinga wanawaongoza wenye akili ila kweli jmn🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🇧🇮🇧🇮
Daah! Hatar nchi inakoelekea tunaumia wanyonge wao wanakula bata kwa mlija bora mpaze saut tuokoe tanzania
True boy in the building -👍 bip up bro...wapi lyk za 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Toka congo drc nakukubali bro pull up 🔥🔥🔥🔥
Tumekubali Ngoma tunamchukia huyo raisi hatari Yani hata wakikufungia umetusaidia kufikisha ujumbe✊🏿
Hii imeenda. Bro piga kazi nakubali sana 🔥🔥
salute mr president naomba mungu ndoto ya watanzania juu yako iwe kweli mungu akulinde na hasadi mkuu ipo siku utakuja kuliongoza taifa hili weka nia hakuna linaloshindikana kwake mungu
Rais wa Kitaa. Tunakutambua hapa Kenya . Your an inspiration to this generation . The voice to the voiceless
Nimesikiliza mara 8 hii nyimbo. Kiufupi Nay wamitego ndio msanii bora zaidi waHiphop kutokea bongo achana na hao tunaowaita Malegend wa hiphop hawana msaada wowote kwenye kusemea Rasiliamali zetu na kuwakosoa Viongozi wetu. Nay hatuna cha kukulipa ila ikatokea wakakuua sisi tunatachanga pesa Nchi nzima kwa ajili ya familia yako . Mungu akuweke sana kaka ❤
Wa kwanza roma wa Pili nay wa mitego
et ikipendeza chukua na hawa
@@abdullundenga3517 wakwanza Nay kaka hamumunyi maneno na wala haogopi mtu yaani huyu jamaa ni mwanaharakati wakweli kabisa
@@asherysadock6389yaani wafe😂😂😂😂😂😂
Tena bonge la msanii mwenye kuona mbali
Eric Omondi and Nay wa Mtego are real and Patriotic. Good Work Nay..thumbs up
Eric omondi ni comedian tu. Hananga lolote la maana
Hawando wasaniii 🔥🔥🔥🖊️ukweli lazima usemwe
erick omondi akuna messages anasend huyu ndo rais wa vitaa vya africa mzima from kenya ❤❤❤ umeguza our current situation 😢😢
Bro Bravo hawo waingine hawaku ezii ww ndio jeshi kamili salute you ndugu yangu more love and one love
Uyu jamaa anajiamini sana aise noma sana💪💪💪
Miongoni mwa wasanii wachache wanaotunga nyimbo zenye ujumbe bila kuogopa Big up Sana Nay
Sija wahi ku comment kwenye wimbo wa msanii yoyote toka nazaliwa huwa naishia kutazama ila huu wimbo ume nigusa sana piga kazi brother kazi nzuri yenye uokozi wa nchi yetu❤❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🏿
Yaantarifa zako za,kukamatwa,zimenfanya nije niangalie hii ngoma ila,Nay we,Unajua,ukiachana na kujua hupend unyonge Nakukubali sana akuna uichoongopa apo big up sana Nay
Huu wimbo umegusa hisia za watu wote kasoro viongozi wetu. Shukrani kwa kusema ukweli bro Ney.
sioni sababu ya kuufungia huu wimbo.Kama kasema ukweli,shida ipo wapi? serikali msipende kusifiwa tu ,ukweli ni kwamba,anaeongoza nchi uwezo mdogo
Nay we ni mzalendo wa kweli, nyimbo za Diamond, hazina.maana lakini ndinzo zinapigiwa promo duuh. Namba one msanii bora.
Wakenya mko wangapi hapa🙋♂️😢😢😂😂
Ney anacho ongea kingekuwa sio kwer isingewauma kumbee yote ukweri wambiie mpaka wabadilike wasipo badilika ongeza nyingine wazalilike
Nimekua mtu wa milioni Moja kamili nipeni like zangu
Kama umerudia kuisikiliza hii Ngoma gonga like tuendelee kusikiliza mzic mtamu achana na nyimbo zingine uchwara Ney na Roma ndio wasanii wa wawananchi
sanaaaaaa baba
nimesikiliza hadi gaji imeisha
nimetumia 1GB.
Umetishaa😝😝😝😝😝
Alieisikiliza 2024 tujuane hapa
Mbna hatuingiii trending jmni kuna mchezo hapa😢😢
Yupo namba mbili bhn
Huo ni ukweli kabisa kaka na ukweli unauma.
No fear this man is a Legend 💪💪💪
but he said real street presd
This song is for all African Blind Leaders thank you Ney Rais wa Kitaa
D. R. Congo 🇨🇩 ❤
Kama unamkubali mwamba gonga like hapa 🔥🔥
This song is special dedication to all Kenyans for what is happening now🇰🇪🇰🇪,
kenya hatuna mama
Kabisa 😂😂😂
Kabisa 😂😂😂
ukweli kabisa
🔥🔥🔥🔥🔥💯Kweri👊👊👊
Mpe Maua yake Ney🎉🎉
Mziki kioo Cha jamii,huu ndio mziki natamani wanamziki wa Kenya waamkie,,I salute you Mr nay