Nay Wa Mitego - Bachela ( Official Music Video )
Вставка
- Опубліковано 29 кві 2024
- Stream/Download: we.tl/t-W8NQIfL11s
Video Director nicklassm
D.O.P director_numz
Actor Nanga_og
Story frankkibonge & nicklassm
Set & Art design depo
Sound by chiby_beats Mixing by themixkiller_
Listen to Nay Wa Mitego on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/naywamitego
Apple Music:
/ nay-wa-mitego
Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
UA-cam:
/ @naywamiteg
Spotify:open.spotify.com/artist/3P97o...
Connect Nay Wa Mitego on Social Media:
Instagram:
/ naytrueboytz
Facebook:
/ naywamitego
Twitter:
/ naythetrueboy
©2024 Free Nation.All rights reserved.
#NayWamitego #Bachela
Mabachelaaaa
Nmeplay zaidi ya 10x hii Ngoma brouh umetisha huu mwaka Kwa upande wangu si dai kazi kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 great job Mr nay❤❤
Kwenye harusi hata mimi nachangaga Nay
Controversy tu ndio za nay
Mr ney hizi ndio nyimbo tunazozitaka na sisi shabiki zako tumezimiss sana
Umeachana nae😅😅😅rais nakupenda sanaa
Mabachela tujuane kwa like weka hapa zote za nay wa mitego ❤❤❤❤❤
bachela ngoma kali sana nasikiliza kila siku
FREDDY GRAPHICX kutoka Mozambique Maputo
Tupo tena wengi kaka
Nami nimo baba
Acha ujinga oa😂
Kwenye nyimbo za nay wa mitego sija wahi pata like zaidi ya kumi "10" naomba like zangu hata "100"hapa ❤❤❤😢
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
Hiyo hapo bro. Hii ngoma ni kali.
Hiii tena
Nakubari
❤❤❤
Kama unahisi Nay ni kama alikuimbia ww hili GOMA hebu nipe like hapa!!!! NO NDOA NO STRESS 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪GOMA LA MATAIFA.
Vichwa vina mambo mengi🎉🎉
ua-cam.com/video/kMsceXqEL0w/v-deo.htmlsi=_pVQPY98QMXPqcqc
oi oi nimeachia nyimbo yang mpy wanangu wa kenya nawakubali san nawaombeni san support yenu dulla baisa one six tamu ipo you tube❤😂
Tulio na wake majumbani na tunamkubali nay wa mitego like hapa
Kali san
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
Kkkk tupo tu tuna mkubali zaïdi
Nay wa mitego hawez kupotea kwenye game anabadilika kila kukicha... Kot la blue na cap🎉🎉🎉
Wimbo mzuri Mr.Nay. nilikujua nikiwa high school mkitoa na diamond ule wimbo wa Muziki gani
Representing the great Bachelors of Kenya Association BKA. Wapi likes za mabachelor in the house
oyoo ngoma kali wanangu kama unakubaliana namimi gonga like hapa
Rahisi wakitaaa kaupiga mwingi
Ma bachelor tulio single hebu niachie like zenu
👍
Tuendelee kuenjoy hii song na yetu kwa ajali ya ma bachelor 🎉
Ma bachela from Burundi tujuwan hapa jaman nipen like hata 20 ntalifhika 🇧🇮 is 🇹🇿
Mabachela tumefika toka🇲🇿🇲🇿🇲🇿naombeni like
Which country is this
@@Paulleta Mozambique
Bachela wa DRC mupooo!!!!
Sema Nay wa Mitego tunamchukulia poa sana bongo ila huyu mwamba ni mtu na nusu
Wa congo tujuwane hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 weka imoja ya bendera ya inch yetu
Likes za ma Bachelor from DRC and Kenya 🇰🇪 tujuane hapa plz😂😂😂
😂😂ndoa changaaa❤❤
Mziki@Greysonmongi
Zuchu
Deadlift workout music right here 💖a u t h e n t I c v i e w s💖 dun tookNay Wa Mitego
oFf 2 da big leagues and for dat I will always be super grate
Tupo Kama woteeeeee. Yahani cc bado tupoooo
Ngoma Kali haise huku Kenya bachelor WENGI pia
Wa Congo mpo wapi ? 🇨🇩 Lk zenu kwangu Niza maana sn hata 5 zinatosha
Bachelas tunaingoja kwa ham fanya chap
Goma la kweli hiloo
Nipe like zangu shabiki namba1 wa nay hap from mbezi terminal
Ma bachela from 254 kenya salute to the OG nay wa mitego
Wanangu mabechela ngoma letu hiili hebu tulicheki liwe top one kwenye ten
Naaammu tupo wengi
Unyama🚴🏽🚴🏽🚴🏽
Mabachelaa oyeee tujuanee apa ❤️
KAMA UNA AMINI NGOMA KALI LIKE APA
youtube.com/@winder666?si=t0lGVRhQ9UASDb-a
kali sana
Kweli ngoma kali sana
Jamani wanaopenda mziki mzur huu hapa bachela bonge la movie 🎥 ney wa mitego bachelor
Naisubiri kutoka Kenya 🇰🇪 nipeni likes jamani ❤❤❤
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
When someone comes back to us it means we had an impact, and when someone leaves it was time to let them go.
Ok bachela namba moja Africa mashariki🎉🎉🎉
Much love Nay wa mitego from Mozambique 🇲🇿🇲🇿. A música foi bem trabalhada
Wangapi mmefurahi kumuona nanga kwa hii video
Ila Kwa Malaya wenzake na Ney daah! Ni ngoma Kali, biti nimelielewa na vokali, angeimba UJUMBE tofauti na huo ukawa WA kuelimisha . Ingekaa POA Sana
Wacha makasiriko bb...🇰🇪
❤❤❤❤brow njo uwashe brow nc song top 2024 nakukubali Sana
❤❤❤❤
2024 tuko huku kama umeskiza more than 5 times nipe likes
Hi ladies and gentlemen tusidanganyane muniamini uzinifu,uchawi,chuki ndiyo chanzo cha majanga duniani sio kwa tunakumbshana tu asanteni.
Hoyehhh mikono juu mabachela wenzangu🏋️🏋️🤸🤸🦸🦸
Mabachela kutoka east Africa nipe like zangu ❤❤Let them marry , thx Brother Nay love from Moscow 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ndoa yangu c imekuwa ndoano nisaidien jmn navuliwa 🐟🐠
Bachela wenzangu kutoka Kenya, nipitie na like
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
Vitoto vya elfu 2 havituliiii kabisa kwenye. Ndoa
Let go bachelors motion
Sha nanj ndanwumva ndaha Burundi abangenzi muyikunda mumpe like🎉🎉🎉🎉
En tout cas ce chaud même si je suis congolais🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 j'écoute tous les jours ses chanson depuis que j'ai 14ans🎧🎧🎧🎧🎧🎤🎤🎤👁👁👁
Weee ,,weee,, weeee,,,,weuweeeeeeeeeee🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Hii nyimbo nairudia mara ya 10
Ila wanangu anayeona mganga wa NANGA anafaa kutafutwa...anipe like nyota yake imeibuka ghafla na alipotea hadi joti anamtumia sasa hivi
Raisi wa kitaa anatuwakilisha 100 kwa 100
Kweli kabisa ndoa za nini sisi ndio mabachela acha tule ujana 🎉🎉🎉
Zingatia hapo kwenye michango tutachanga kwenye kwenye harusi tutakuja chakula tutakula na pombe tutalewa ila sisi bado tupo bachelor hatutaki ndoa nyie oaneni the true boy🤴
😂😂😂😂😂
Anaeamini ney fundi wa kubuni nyimbo gonga like
❤❤❤❤
Mzee abarundi natwe harabavyase kurongora abantahuye gonga like
Ngoma kali mzee baba raïs wa kitaa i like this song from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩 wanetu wa Drc Congo tujuwane kwenye Like ❤❤❤❤
Ndimi bachela kamili wa BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 sitaki ndoa kabisaaaa
Burundi 🇧🇮🇧🇮 tunakupenda sana Mzee❤️❤️🙌🥰
Bonge moja la mkwajua uyo ndo Nay mnyama
Tupo hapa ma bachelor ❤❤❤❤❤ much love for you my big single usually ❤❤tuna kesha nao bars waliyo Howa nakuholewa❤❤❤
KIWANDA CHA MUZIKI EAST AFRICA KIPO TANZANIA KUNA WASANII WAZURI WANAIMBA SANA AISEEEEE PIGA KELELE KWA WATANZANIA WOOOOOOOOTE MNAPEPERUSHA BENDERA YA MUSIC YANI MMESHINDIKANA GOOD MUSIC IPO AISEEEEE
Let's Go Mabachela Tukaenjoy...❤❤🎉🎉🎉
Bachela from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wah noma bro
Best of us bachela.......Bachela wote wapitie hapa
Ngoma Kali Sana Kila nikiangalia natamani ni comment tena
Nay hapa umenimaliza bahati mbaya yako nisha oa
NAIPENDA SANA TENA SANA SISI MABACHELA RESPECT ❤🌺🥀💯NIKO FROM RDCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE
Big love from 🇰🇪 Nay muzix twaukubali kwani hakuna kuoa Wala kuolewa...halafu tuko tuko
Tuko sana
Tukuone jamani mabachela Mimi wakwanza basi kama wewe bachela piga Copa ❤hapo
❤
Ney kammulize mwana FA
mzg umetulia sana ngoma kali sanaaaaaaaaa
Umeupiga.mwingi.mzee.wangu.rahis.wetu.wakitaa.bonge.langoma.hatal😊😊
Vraiment elengi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩le goût de ça
This is love From mozambique 🇲🇿❤🎉
Nipo bachela❤
Wa bachela Tujuwane kuma liké wa congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
JAMAN KUOA NI JAMBO LA KHERII
ALLAH KATUAGIZA
Oya 2siokuwa na mpang wa kuoa 2juan hapa kwa like za kutosha
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
Toka Drc pacent'b misani mwenzio napenda Sana
Beat Killer. More love toka 254
Raiiisiiiii...
The truboy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Munajisifu ujinga bila ya baba Ako namama Ako kuoa ww ungepatikana wapi Kuna nyimbo zingine zinaleta ujinga katika jamii omba mungu hakupe mume sahh na namke sahihi
Mabachela hamutaki kuona 😅😅, umetisha sana 🎧🎧🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Umetisha sana an ngoma qaliiiii
Naona umeamua kutupa uhalisia wako Broz emma utaki kuowaa kabisaaa 😂🔥🔥🔥🔥🙌🏼ngoma Kali
Nakuku Bali sana ❤️❤️❤️
Bigup nay.. Keep the fire burning.. Christine--kenya
Vedio iko motooo...nay 💪💪💪
❤❤🎉🎉Nime ipenda iyo
Senior Bachela nakula ujana bado nipo nipo🇰🇪
❤❤❤❤ kwel.kbxc big up my big bro tunagusikiliza gutoka kwetu Congo Lubumbashiiiii❤❤❤
Tupo mabachela 🎉🎉🎉🎉
Hii ngoma kesho itakuwa trening no 1
Nay wa mitego nyimbo 2:27 yako izi seemu za kongo 🇨🇩🇨🇩 wana onekana sana ku furaiya ku baki ma bachela
Akuna wa kumuwz uyu jmaa big talent
ua-cam.com/video/hYCgjflkAwE/v-deo.html
Achai Kaz mzee
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ujana lzm
Upo sawa kaka bora kubwa bachela ndoa ni uongo
Mr king mabachela big up gonga mabachela wenzangu
Bachela from USA 🇺🇸
Bonge la Gomma