NAMTAKA BABA YANGU (part 1)
Вставка
- Опубліковано 19 жов 2024
- #Bhailam#Khairat#Mbwela
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...
Hairat uko vzr Utafika Mbali
Big up
Mko vzr kazi zenu nazipenda sana
Vp Hiyo part2 lini
Dah hairati kiboko mtoto hatari sana kwenye tasnia hii aisee mwenyezi mungu akutunze sana
Waaah...mmepangilia story vizuri sana yan kuituuzima kweli congrats 🎉😂
Namtaka dadaangu
Nampenda hairati anavaa uhusika kweli 👊👊👊
This is the best series ever .....it's among the best including big boss, siku ya tatu baada ya kifo , mangamungamu, jini mahaba na zingine chache zinasifika...,....
Namtaka dadyangua
ua-cam.com/video/O0IALZfelFc/v-deo.html
Hailati anajuw kucheza filam kabsaa tumependa sana natunawafuata
Hairati anajuwa sana huyu mtoto👍👍👍👍✍
Today I am the first from Congo 🇨🇩, man I was mixed up when Bailam and Mbwela met and laughed 😂😂
Duuuh mimi Mwehu tena wapi na wapi??
@aishanatecho4139 okay very good m'y syster.
😮
I surprised too
hailayi amewaweza nyinyi nyote kumbe🤣🤣🤣🤣🤣nimejikuta nacheka sana kwenye hii scene ya mwisho kumuona mbwela anavyo tetemeka mwanaume mzima kashikwa na kigugumizi,laaaaah duuh kazi nzuli sana.basi tukutane hapo kesho kwenye part2🤣🤣🤣🤣uongo mbwela??kesho bwanaaaa
Mtoto halaty anakuja speed sana hongera sana dogo
Team hii iko vizuri kabisa yaani muna jipanga vizuri
Wazee hii kazi, Mmmefanya jambo hapa hongera sana Bhailam na Team nzima.
The Best One Again,,, Congolee Team👏
Khairat anaweza sanaa huyu msichana ❤
Mambo ni moto napenda xna nyinyi nyote , khairat 🥰 🔥🔥🔥🔥
Kali sana😅😅episode next ikuje haraka haraka
Mr bhailam be careful Mtoto atakuuwa!
Otherwise Respect munafana kazi vizuli nawapenda sana❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Aisee safi sana
Bhailam man you're the best bravo keep it up 🥳🥳💪💪✌️✌️
Hongera, kazi safi Bhailam
Bhailam hanaga kazi mbovu kabisa 🔥
Kaz nzuri bhailam unajua sana..
Mumeamua kutuonyesha ukweli wenu😂😂😂😂😂😂
hii Kali sana🙌❤️🇨🇩 bon travail. ce ton abonnés depuis Lubumbashi.
Mimi ni mshabiki mkubwa wa kazi zako bail lakini mnachelewesha sana kazi zenu
Nakubali Sana bahilamu
Uko vizuri bhailam lakin unachelewesha sana 💯
❤❤❤❤ penda nyinyi sana from Kenya 🇰🇪,,na Ile ya mama yangu n mchawi Iko wap
Karibun Moçambique
Kazi nzur hairat unanikumbusha mbali ishawahi tokea kwa babu yangu
Waaaaah khairat💪💪💪💪💪💪💪💪moto
Mmetisha sana mnaweza sana....
Ndo uzuri...😂😂😂😂😂
🔥 inachomaaa❤
Hailati umenipa raa😂😂😂
Hailati yupo vizur sana
Hii ni nzuri sana, kanumba amerudi
ilaiti nipendaga anavyo ongeya love u ailay❤️💖
Mnanimalizia bando sana ndugu yangu maashaallah dah nakuona mbali sana mzee khan
Imeweza sana mashaallah ❤❤❤
Wow nzuri...hongera
Wàaaah, ilove you baby girl Hayat
Mashaa Allah...bg lv kwako bby girl❤❤❤
Nakubali
Team Hailati oyeeeee❤❤❤
Nzur sana party 2 plz
Good job wanangu wekan na mwendelezo mapemaaaaaaaaaaah
Bahairam umeweza san umecheza kama mzee umetisha bro
Yaani kazi nzuri shida huwa hammalizi uhondo hebu hii fanyeni basi muimalize halaf mkimaliza mnaunganisha vipande inakua kama movie flani hivi jamani dah
YANI MPAKA TUSEME😂😂😂😂BHAILAM SRK
MOJA YA SLOGAN KALI SANA KAKA 😂😂😂😂😂
Yani bado hujasema
The best one again❤❤❤
🥀❤️🥀🥀🥀🥀🥀✨✨✨✨✨ jap0 nataman kuigiza na nyinyi jaman
Namtaka baba yangu ❤
Kaka bhailam bana🤣🤣🤣 hauna mpinzani🔥
Wow❤
Wow ❤❤❤nangoja part 2
kuna sound la kiyao au kimakua❤❤❤❤ big up
Nimeipenda
Khyrat yupo na talent 🔥🔥🔥
Hairat mtoto amekua ka Jennifer kanumba yule
Isee ninoma sana ❤❤
Good job
Big up
Hailt ongera unajuw kuigz saf kabx❤
Jaman hailat ❤❤❤ kakoseriosy sanaa
Ndp uzuri anamdomo Leo 🤣🤣
Good work bhailam love you from 🇿🇲🇿🇲 zambia
Zâmbia karibun
noma
Jamanii part2 tunayisubiri kwa hamu nyingi sana
Huyo dada huyo katika kulia
Bhailam munawez san👌👌
Wachawi ni wanafiki jamani nyieee 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
❤❤❤❤
Kaka bhailam naipenda sana kazi zako naomba nipate namba yako tafadhali
Nakukubli broo kaza
Merci excellent
Mbwlaaaaaaa eti shebishishibi😂😂😂😂😂😂😂mdo unkuwa mzuto 😅😅😅😅😅
Nakubar
Tumupata Jennifer wa kanumba🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👇👍👇
jaman leten part 2 sasa daah kazi nzuli
Bhailam unajua sana kaka❤❤❤
Ubaya mnachelewesha
MashaAllah napenda part 2 plzz isikawie
mbwela 😂😂😂
Bhailam upovizul Kwa mafunzo ayako wewe mwalimu mkuu
Part too ipostiwe haraka😂😂😂
Mimi ni mkenya tafadhali mnisupport enyi watazania
❤
Movie nzuri sana
Dahhhhh
Nimeipenda Hiyo
Mko vzr
Vp hiyo pat2 lini jamani
creativity
Waiting for next part
Mwendelez sasa bhailm fund sana
Nawapenda sana 🇿🇦
❤❤❤❤❤
Wow like it
Waa kweli 🎉🎉
Next please 😘😘😘
Mtoto wa ajabu sana🤣🤣🤣🤣
Lailat Ngoma yako sio ndogo, nakuaminia gaujawahi kuzengua hata sku moja
Lini part2 umeanza balaaa nawew story hizi kali mnatoa mnasoma vitab gan leta muendelezo