Naomyy sazotee anafurahia tuu hata akikasirikaa bado anapendezaà❤❤❤...bailam ungetulia na ndoa yako kuliko kuhanyaa tuuuu. Taarifaa za ujauzitoo mzee babaz kajishusha chezea kuitwaa baba
Heeee kumbe masood uko nyuma yahiii 😢😢😢mwanao mwizi dadako unamfundisha kuchukua waume zawatuù loo hii kali... dada wakazi kweli 😮😮😮😮 kumbe anakuja kuvurugaa ndoa zawatuuu ila sidhani kama mtafauluu
Naomembeni like hata 10 mi leo wa kwanza kutoka burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Walai Naomy ukivaa hizo dera unapendeza sana nakupenda ❤❤🎉🎉nkiwa Kenya 🇰🇪
Naomyy sazotee anafurahia tuu hata akikasirikaa bado anapendezaà❤❤❤...bailam ungetulia na ndoa yako kuliko kuhanyaa tuuuu. Taarifaa za ujauzitoo mzee babaz kajishusha chezea kuitwaa baba
Wa pili kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Nice kabisaaa
Bhailam hunaga kazi mbona ❤❤❤mashaallah
Mashallah kazi nzur...more ❤toka 🇰🇪 ❤🎉🎉
Great job guys mwapendwa sana na wakenya uku😊😊😊😊😊
Kiukwl usimdharau mtu usie mjua,
Any Genz let's gether here 🇰🇪🇸🇦❤️❤️ nawapenda team strong 🥰🥰🥰🥰🥰👊👊👊👊👊👊👊❣️❣️❣️
Muze Simba uwana nakubari sana kwasababu kwenye move uwa anabusala sana
Masha Allah. Series nzuri yenye mafunzo. Mzee simba unajua na unajua tena.🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Hili lijama linajua sana
Team strong mkuje sasa mimi nipo Oman saham 🎉🎉
Napata mwenzangu humu hata nami niko Oman saham
@@JojoSrena twenden kazi moja kw moja pk oman😂
Na mm nipo mwenzen kutok oman
@@AmenaMm-r5t kareeb
hv ndo vitu wengn tunapenda ile shetani jmn mi sikuielewa❤❤❤❤mpo vizuri jmn maryam safarii umepatikan haya andaa kahawa hukooo😅😅😅😅
Michezo yenu niyavita tu,hamuachi mambo yenu mzee simba na shekhe masoud😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Watazamaji wa hii movie weka like kwa comedy plus🎉🎉🎉
Mr Bhailam mbona unapenda kufinya tumacho🤦🥰🥰🥰🥰
Bailam unajua sana ten unajua zaidi kipenz mungu akupe umri mrefu nakupend sana
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like zangu watu wangu
@@AishaNibizi ffcc
Mimi ninaitwa Évariste. ''. Kutoka burundi je muanaweza kunifundisha micezo tenu nimeipenda saaaana❤
Kazi nzuri bro bhailam Naomi mariam kheirat big up sana
wakwanza kutoka Kenya any Kenyan in the house 😂😂
Tuko wengi 😂😂😂😂
We are here
Watano leo from Canada ❤❤ ❤
Bhailam ana u handsome flan ivi haki y mungu😊❤
Bhailam nakupenda ❤🎉❤❤ kwa kaz nzuri
Nakupenda naomi nafasi yako unasimamia vizuri hongera sana
Hehehehe sasa hpa ndo movie inaanza vita vitan🤣bhailam na macho yke🤣🤣🤣
Mbona kama mzee magoma😂😂
Ila bhailam ww! Ati kijacho ndie alisababisha magombano 🙌...kali sana
Masha Allah kazi nzuri Sana ongera mauwa yenu 🎉🎉🎉❤❤
Bailam 😂😂😂eti ichangamshe😅😅
Kazi nzuri sana hongereni ❤❤❤❤❤❤
Mzee simba mwenyewe vn binti yke Naomi nwapnda ❤🎉mpo vzr kuigiza
Safi Sana bwana philam Kwa kazi nzuri pokea Maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Aaaah bhaylam ukajifanya kujichekesha kichambo umekipata
Beautiful girl naomy pend sana❤❤❤❤
Mi kiukwel itim naipenda kwa kwel 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤ bhailam na team mnajuaaaa🎉🎉🎉
Iko motrooo hatar hongeren hamjawai kufer🌺🌺🌺💞
Naomi mstaarab mashallah 🎉❤
Wee ndio mzee Simba nakukubali sana
Bailam km mzee majuto uwigizaji wake xfiii sana❤❤❤❤
😅😅
Bahraim dakika ya mwisho umenichekesha sana 😂😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮
Huenda likawa nilakihindi hili li movie jaman mbne liko tamu🎉🎉🎉❤❤❤
Bailam ongera kw kazi nzuri kka😂😂😂🎉🎉
Kama unampenda bailam weka likes hapo🎉🎉
Bhailam yaan unanfurahshaga ww
Heeee kumbe masood uko nyuma yahiii 😢😢😢mwanao mwizi dadako unamfundisha kuchukua waume zawatuù loo hii kali... dada wakazi kweli 😮😮😮😮 kumbe anakuja kuvurugaa ndoa zawatuuu ila sidhani kama mtafauluu
Much love my great 👌 pupils ❤❤🎉
O esperado saio, I'm from Mozambique 🇲🇿
Jamn mariam wanifurahisha unavyomtazqm bailamu kwa jicho kali😂😂😂
Much love from Kenya ❤❤team bailam
Nampenda sana Naomi from Mozambique
❤❤❤mko vizuri wa2 wangu
Kimwona bhailam namwona kanumba
Movie nzuri sana mafunzo tele
Hii nikiboko🇰🇪🇰🇪🇸🇦💖💖💖💖🔥🔥🔥
Courage ❤❤❤❤❤❤❤
Picha nzuri sana 🌹🌹🌹
Mzee simba nakukumbali sana baba yetu ❤❤❤❤
Kitu kimeanza kunogaa😂😂😂
Team bhailam mko vizur sana🎉🎉🎉🎉
Safi wazee wakaz Kaz to a kitu weka kitu
Wallah Naomi anapendeza akiwa ktk vazi la heshima
Unyama sana 🎉🎉
Bhailam unajua kutuburudisha🎉🎉❤
Bailam 😂😂😂kujicekesha tuuu
Mambo moto xx🔥🔥🔥
Mzee magoma🤗🤗
Kaziiiiiiiiii ipoooo🎬
😂😂 ila mariam 😂😂 ndo umwagie maji mwenzako ila nawakubali sana ila Naomi Ana moyo sana wa uvumilivu
Naomi nakupenda habibty
Nzuri sana ❤🇹🇿
😂😂😂😂kamanda naekaigiza🎉🎉
Kazi nzuri
Mjitaid kututolea movie kwahala tunazipenda sana movie zenu
I say, Burundians we're coming to much here 😅! Because you are organizing smart movies ❤❤
Jaman minimeipenda hii muve inachangamoto zake
Mzee Simba mwenyew Tunskuaminia ❤❤❤
kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nawakubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🔥🫶
Mashaa Allah ❤❤🇴🇲
Mtupe muendelezo wa fall in love pls 😊😊😊
haki🎉🎉
Iko vizuri
Bhailam Naomi mwaendana kabisa bro 😂
Movie nzuri
Naomi nitakufuta nioe kabisa roho yangu taaban mzigo upo
Bailam vip baba mbona km unatumbo la kuendesha😂😂😂😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🌹🌹🌹🌹one love team strong
❤
waoooo🎉🎉🎉😅😅😅
Mzee Simba na akasimama kweli😅 dah
Nawapat nikiwa Burund🇧🇮🇧🇮🇧🇮mauw yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤😊
Kazinzuri sana
❤❤❤❤
Bhailam soon kitakulamba we subirii😂😂😂😂😂
Huyu Masud anatawalwa na shetani sana ndio maana yy siku zote vita tu namzee Simba
Mariam umetisha
Kazi nzuri sana
Muvimzuli🎉🎉🎉🎉🎉