MAMA WA KAMBO | 1 |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024
  • #mamawakambo #movie #bongomovies
    MAMA WA KAMBO

КОМЕНТАРІ • 565

  • @mwanaSalim-re4pn
    @mwanaSalim-re4pn Рік тому +5

    Amecheza kialisia wallah uyu mma roho mbaya Yani we acha tu

  • @Jojo-y7k8g
    @Jojo-y7k8g Рік тому +7

    Pole Sana mdogo wng umeniliza from 🇧🇮

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 Рік тому +6

    Ee Mwenyezi Mungu utujalie wa mama wote maisha marefu tuwalee watoto wetu 😭😭😭

  • @STORYZALEO
    @STORYZALEO Рік тому +12

    Daah uyu mtoto kaniliza

  • @RahelCosmas-p5x
    @RahelCosmas-p5x Рік тому +3

    Jamani mama wa jambo muwalee vyema watoto wa wenzenu

  • @jacklinemutende
    @jacklinemutende 4 місяці тому +1

    woooiii mungu nipee nguvu ya kulea watoto wangu jameni

  • @AliceMwacharo
    @AliceMwacharo Рік тому +13

    Hawa viumbe wanajiita mama w kambo nyoka sana

  • @Mdakuog
    @Mdakuog Рік тому +5

    Uyu mama katili

  • @Shariphashabani
    @Shariphashabani Рік тому +2

    Nimelia sana Dah

  • @NiyonkuruEspoir-v8e
    @NiyonkuruEspoir-v8e Рік тому +2

    Mtoto anakipaji kikubwa sana kiufupi wote walicheza vizuri sana

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 Рік тому +58

    Sio wamama wote jamani msituchukie nimelea mtoto wa mume wangu sijawahi kumgusa nimekaa nae kuliko wanangu niliowazaa na yeye ananipenda sana sana sana kulikoni baba ake ambae ni mume wangu na yote nimefanya kwanza na muhofu allah na lapili kwa nini nimuonee mtoto mdogo hana hatia mimi mtu yoyote mwenye kumtesa mtoto na mchukia mama angu ameleya mtoto wa mumewe walipoachana mtoto hajataka kuondoka nyumbani kalelewa na siye anaenda kwao kutembea na kurudi tumuogopeni sana MMUNGU wanawake wenzangu tusiwe na roho za kwa nini huyu mtoto huwezi kujuwa kesho yake atakuwa nani na hatujui mwisho wetu tuthamini hawa ni watoto wetu ndio nguvu kazi ya baadae👏🏻👏🏻

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  Рік тому +1

      Sio wote wenye moyo kama wako wengine roho zao ndo kama hivi mwenyezi mungu akubariki sana kwa malezi mazuri❤️

    • @safiababu9266
      @safiababu9266 Рік тому

      Yah sio wote Na Mungu akulipe mmy na yeye mtoto Allah amjalie akujue wewe nani kwa maana wee hao pia huwa wengi wao wana mitihani but Alhamdulillah utapata kwa Mungu

    • @sophiamaiga5623
      @sophiamaiga5623 Рік тому +1

      Hata wewe ni marehemu mtaraiwa kumbuka kuomba mama yake afe

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 11 місяців тому

      @@MOVIEMPYA Ameen yaraby

    • @DrLucas-gr5gs
      @DrLucas-gr5gs 11 місяців тому

      Aisee roho imeniuma huyu mtot mungu akubaliki wew mwenyw roh nzur❤

  • @EstherMalewo
    @EstherMalewo Рік тому +7

    Huyu mama shetani kbx mama wa kambo x mama jaman nawachukia sana

  • @AllyShop-x9s
    @AllyShop-x9s 4 місяці тому +1

    Hahaaaaa huyu mama Nadhan hajazaa kbx tena mungu atamlipa matexo ya huyo mtoto!!

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  4 місяці тому

      Kuna wanawake wanaroho mbaya sana

  • @selinanimbodza2931
    @selinanimbodza2931 Рік тому +4

    Walai mtoto wa mwenzio mchukulie kama mtoto wako. Juu mungu halali jameni

  • @MwachendaMwachenda
    @MwachendaMwachenda 4 місяці тому

    Ndivyo walivyo mama wote wakambo mzuri n mumoja 2 lakn Mungu atamuxaidia

  • @JescaTindwa
    @JescaTindwa 11 місяців тому

    Mungu nakuomba uwabariki yatima maan si Kwa mateso hayo

  • @HadijaSaidi-n5t
    @HadijaSaidi-n5t Місяць тому

    Tabia mbaya ya kumnyanyasa mtoto wa wa mke mwenzio haujui kesho yako mama weww

  • @elizabethnzomo2517
    @elizabethnzomo2517 Рік тому

    Hakuna mama wakambo mzuri hata siku moja mungu saindia watoto

  • @merryananias
    @merryananias Рік тому +6

    Jaman we mam kua na uruma haujaenda reba hatakama ni moveee sio ivoooo😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AminaKarisa-q5w
    @AminaKarisa-q5w Місяць тому

    Sivizuri kabisa kumfanyia Motto wa mwenzako ivo

  • @Zaiambi
    @Zaiambi 4 місяці тому +1

    Ni kweri na Mimi nirilelewa na mama. Wa mambo na akunitesa ❤

  • @HusseinAdam-zn6iz
    @HusseinAdam-zn6iz Рік тому +2

    We mam umeza kwli

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  Рік тому +1

      😭 Yani huruma sana

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 Рік тому

      Huyu tasa

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 7 місяців тому

      Uyu hajaenda leb wallah lazim mung atamlan jaman daaa machoz yananitok

    • @HappyRuharara
      @HappyRuharara 6 місяців тому

      Hapana yawezekana amezaa ilatabiya yake sio zr hawez kukaa namtoto wakambo huyu dada

  • @hildaMatanda
    @hildaMatanda 19 днів тому

    Waaaaa hadi nalia😭😭😭jamani uyu mama roho mbaya

  • @SaidiAbdallahSaidiAbdallah
    @SaidiAbdallahSaidiAbdallah Рік тому +7

    Namim pia ameniliz😢🇦🇪

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  Рік тому +1

      Daah Yani huruma 😢 uyu mama jamani

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr Рік тому +10

    Huyu mama mbona anareflect sura yake na tabia maana wenye sura mbaya usiombe akawa mama yako wa kambo 😂😂😂

  • @Mdakuog
    @Mdakuog Рік тому +6

    Niacheni jamani nimeshindwa KUANGALIA Hadi mwisho

  • @EfathaSanga
    @EfathaSanga 2 місяці тому

    Mungu atusaidie watoto jamnii

  • @SusanShikuku-b5q
    @SusanShikuku-b5q Місяць тому

    Mama wa kambo ni mashetsno😊

  • @NancyJepchumba-n7z
    @NancyJepchumba-n7z Місяць тому

    Pole sana Mungu atajibu tu

  • @ZuhuraHamissi
    @ZuhuraHamissi 3 місяці тому

    Pole sana yalinikuta hayo jitahid kupambana iposiku yatakwisha 😢😢

  • @NaomiSaid-m1i
    @NaomiSaid-m1i 11 місяців тому

    Mungu tusaidie ambao mama xetu wametagulia mbele xa haki🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FatumaFetty-g5r
    @FatumaFetty-g5r 19 днів тому

    Wamama kama hao jmn muogopeni mungu bs jmn yaan mpk nimejisikia vbya😢😢😢

  • @bintiDullah
    @bintiDullah 11 місяців тому +1

    Ntapambana na mwanang halelew na mama wa kambo

  • @LessaBiyaka
    @LessaBiyaka 2 місяці тому

    Duuuu, hujafaa hujaumbikaa kilaa kitu kinaa mwishoo

  • @CharlesPoulo-dm1er
    @CharlesPoulo-dm1er 4 місяці тому

    Kaa namwanao vivuli muulize kwaupendo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdiZuberi
    @abdiZuberi 9 місяців тому

    hero kuwa na mama l love you mam so mush💯❣️💝💯💚💟

  • @SalmaOmar-x4p
    @SalmaOmar-x4p Рік тому +5

    Kwa kweli ss wanawake tunajisahau kweli tujuwe yatatufika😢😢

  • @JacintaMapenzi
    @JacintaMapenzi 6 місяців тому

    Waaaaah gai mungu amusaidie plz

  • @JenniferSabas-mr3ow
    @JenniferSabas-mr3ow 2 місяці тому

    Nipe umri mrefu mwenyez walao niache watt wana jiweza🙏

  • @SolomonKamau-i1m
    @SolomonKamau-i1m 10 місяців тому

    Mama kambo ni mbaya sana.

  • @malandojames5151
    @malandojames5151 Рік тому

    Mama wa kambo namchukia sana aise!!!

  • @pendopeter4058
    @pendopeter4058 3 місяці тому

    We mama mnafiki sana mung anakuona

    • @ZirediKhalisa
      @ZirediKhalisa 2 місяці тому

      Anapita umoumo nilimopitia mie😢😢😢😢

  • @khadijayusuf7968
    @khadijayusuf7968 Рік тому +2

    Hadi nimelia jaman

  • @CheerfulValley-ei9dr
    @CheerfulValley-ei9dr 3 місяці тому

    Jaman mtoto amenilza atal maan me mwenyew nmelelewa km huy mtoto dah ee mungu mxaidie huy kijan

  • @ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh
    @ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh Рік тому +2

    Mama una loo mbaya kama sura yako

  • @Maua-mj7pm
    @Maua-mj7pm 7 місяців тому +1

    Jaman mm pia mama wa kambo niko na watoto 3 wa mume wangu lkn siez8 fanya watoto hivi mungu aninusuru na ili wallah wangu nawapenda sana

  • @MwajabuNyinge
    @MwajabuNyinge 2 місяці тому

    inauma sana wa mama wahivo waache tabiya mbaya haya nimaisha

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому +1

    Waaa waenga hawakukosea kusema mama wakambo si mama...i feel the pain

  • @LailiSaanan
    @LailiSaanan 7 місяців тому

    Mam katil sanaaaah jamn pol mdg ang

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Рік тому +8

    Najikuta Nalia😢😢😢😢😢😢

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  Рік тому +1

      Jikaze mtoto kaniliza Huyu 😭

  • @MargaretObare
    @MargaretObare 2 місяці тому

    Mama Wa kam Ni maumbwa sana

  • @Husna-s5k
    @Husna-s5k 4 місяці тому

    Hii move inahuzunishaa sana juu ya haka katoto kanavyoteseka na huyu limama anavyomtesaa

  • @LeilaAdija
    @LeilaAdija 6 місяців тому

    Pole Sana mdog ang umeniliza sana

  • @RodahKulela-bd8tu
    @RodahKulela-bd8tu Місяць тому

    Xio wote jamani mmh nliaja wangu juu y matukio nbut wanasoma, though wanapitia but elimu wako safi..

  • @LovenessSifuni
    @LovenessSifuni 11 місяців тому

    Wewe mama Mungu akusamehetu mana m

  • @HonoryMassawe-z7j
    @HonoryMassawe-z7j Рік тому

    Siyo vizuri anavyokuwa
    Kigeugeu

  • @LilianiReymond-u7r
    @LilianiReymond-u7r 2 місяці тому

    Namchukia saana mama wa kambo kwa kunitesa hata kuninyima urithi wa baba yangu mali zote kachukua yeye😢😢

  • @Annamtanga-b8c
    @Annamtanga-b8c 3 місяці тому +1

    mama wakambo anasahau kama tunasafali yakwenda mbingini shetan anamtumia haswaaa

  • @ubuyumediatz
    @ubuyumediatz Рік тому +4

    Mtoto aendi shinda baba hajui

  • @JacklineNassary
    @JacklineNassary 6 місяців тому

    Daaah mama wakambo sio mama kweli

  • @Mariam-h6h6v
    @Mariam-h6h6v Рік тому +2

    😢😢😢😢jmni ndio mna niliapa mwanangu ata nife stki alelewe n mke mwenza kher mamangu kma pia hyuko hri mpita njia 😢😢😢 mungu t

  • @AuntyDerick
    @AuntyDerick 3 місяці тому

    Huyu mama ni laana kabisa shetani

  • @ERICKNJERU
    @ERICKNJERU 11 місяців тому

    Mama wa kambo bure kabisa 😂😂😂😂😂😂

  • @RobaiBarasa
    @RobaiBarasa 5 місяців тому +1

    Waa huyo mama shetani kweli kweli

  • @VeronicaShinyaka
    @VeronicaShinyaka 5 місяців тому +1

    Tunakosea wamama kidogo tu kamulilie mama ako kabulini da inauma sana

  • @omarmpotite1183
    @omarmpotite1183 Місяць тому

    Jamani huyo mama kiboko hy xio malezi mazuri yamtoto inauma sana jaman tuwapende watoto wa wenzetu jamn xio pawa wala nn😭😭

  • @SadaSalum-x4j
    @SadaSalum-x4j 18 днів тому

    Ee mungu nilindie wanangu maana uyu mama ni mshenzi kuliko maelezo

  • @CalebWasike-g1e
    @CalebWasike-g1e 5 місяців тому

    Jamani mungu asaidie uyu mtoto 🙏🙏🙏

  • @NaftariMapunda
    @NaftariMapunda 5 місяців тому

    Ila uyu mama ni noma anajua kuigiza

  • @OlivierMageni
    @OlivierMageni Рік тому

    Mwana Muke mubaya Saaana, mama mtesi

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل Рік тому +3

    Jaman 😢😢

  • @JescarJina
    @JescarJina 8 місяців тому

    Aki si wote pole sana dogoo

  • @RihanaMtweve
    @RihanaMtweve 5 місяців тому

    Jaman tuwe na huruma akina mam

  • @PatyEdo
    @PatyEdo 11 місяців тому

    Akika aiseee atari sanaa iyoo muv kam vp iyendeleeeee

  • @VivianAnyango-e1u
    @VivianAnyango-e1u 4 місяці тому

    Kuweni na roho mzuri kwa watoto wawa ume zenyo

  • @MudiDua
    @MudiDua 3 місяці тому

    Ww mama mungu atakuhumu mbwa ww

  • @JUMAJUMBE-ww7rd
    @JUMAJUMBE-ww7rd 5 місяців тому

    Jaman wazaz weng tuwe wavumiliv kwenye ndoa zet

  • @Irenejelshom
    @Irenejelshom Рік тому +2

    Baraha

  • @AgnesPauli-n7k
    @AgnesPauli-n7k 3 місяці тому

    mama shetani sana anahadamu anajifanya mwemaa

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +1

    Yaliza aki 😢😢😢❤❤

  • @Janeth-kv7pp
    @Janeth-kv7pp 5 місяців тому

    Mama wa kambo sio wote mimi mwenyew napenda mama wa kambo kuliko chochote

  • @MwanneOthuman-o3q
    @MwanneOthuman-o3q 27 днів тому

    yatapita yana mwisho iposiku utaya sahau 😢😢😢😢wamama jifunzeni kupitia hapa spendi kumtesa mtoto yeyote mim

  • @HellenKwamboka-x5h
    @HellenKwamboka-x5h Рік тому +5

    Jamani wanatezwa mama wa kambo si mama

  • @FarajaSanga-t1f
    @FarajaSanga-t1f 2 місяці тому

    Maripo nihapa hapa duniani mungu atakujaria

  • @SaumuRashid-s8b
    @SaumuRashid-s8b 27 днів тому

    Roho mbaya huyu mama. Mm yaniskitisha sana kuangalia vitu hivi roho yangu dongo sana ningemtandika mtoto mdogo kumtajia.mtu ambae hayuko Tena keshatangulia. Jamani vibaya. Hata nafsi haikusuti ukimtesa mtoto mdogo 😢aibu hiyo ...wako na wamwenzio

  • @ThebawseFantasy
    @ThebawseFantasy 3 місяці тому

    Kuliko mama wa kambo bora ukakae na bibi kijijini

  • @AdamAdinani-ic6tm
    @AdamAdinani-ic6tm 11 місяців тому

    Mm nkibaini unamfanyia hvyo mwanangu nakuuwa

  • @SHUNGURAPPER
    @SHUNGURAPPER Рік тому +1

    GOOD IDEA

  • @biancabelair8394
    @biancabelair8394 6 місяців тому

    Kanikumbusha mbali sana isee😢😢😢

  • @NadiaKatush
    @NadiaKatush 5 місяців тому +1

    Acha mungu akuonekanie

  • @YahayaHamza-x3q
    @YahayaHamza-x3q 4 місяці тому

    Mama wa kambo sio mama kwakweli

  • @MwanneOthuman-o3q
    @MwanneOthuman-o3q 27 днів тому

    huyu mam wakambo fala rohombaya tuuu😢😢😢😢

  • @KilyKidende
    @KilyKidende 3 місяці тому

    Mhu
    Jamani
    Huyu
    Mama
    Ninaona
    Aseee

  • @SilviaMassawe
    @SilviaMassawe 5 місяців тому

    Jaman mama wa kambo nawaogopa sana😢😢

  • @DazuuAlii-w2s
    @DazuuAlii-w2s 2 місяці тому

    Ee mungu muepushe uyu mtoto na ayo mateso 😭😭😭😭

  • @Joan-o6e
    @Joan-o6e 15 днів тому

    Newish ningemjua ako far ya wapy ningemchukua kama kakangu

  • @FatumaHassan-vi5km
    @FatumaHassan-vi5km 10 місяців тому

    Usimfanyie ivo mtt was mwenzio uyui wakwako watalelewa na nani tuwapende watoto jaman inauma sanaa

  • @habilimediatv
    @habilimediatv Рік тому +4

    😭😭😭😭😭😭Aiseee aya mateso daah

    • @MOVIEMPYA
      @MOVIEMPYA  Рік тому +1

      😭😭

    • @ThomssKapep
      @ThomssKapep 11 місяців тому

      wanawake ni wauni sana hasa walio achika

  • @MariamNyanda-vv3oy
    @MariamNyanda-vv3oy Місяць тому

    Ila huyu mama MUNGu anamuona nyie mwacheni tyuuu one day atasema hata Kwa wanae wengine walitutesa lakini Leo tunafurahia maisha atavuka tyuu mdg wanguu 😭😭😭😭

  • @ShabikiMedia-wc1fk
    @ShabikiMedia-wc1fk Рік тому +6

    😢 dah