Tena kwenye pilau unakaanga tu Jamani 😂😂 unajua ukiwa unapika Mara kwa Mara unakuwa mbunifu jiko.linahitqji uzoefu kamamuingii jikoni Mara kwa Mara kila ukipika avinogi
Huyu mwana mke nimuchafu kweli unaweza pigiya muchungu iliunguza emo unapiga bila kuosha?? Makubwa wasani mnaishi maisha yakuigiza hawuna hata sufuria yamana sufuria zakisasa zenye haziungizi zinaja sana hawuna hata moja . Ww tu kaa maisha yabu single tu hakuna mwana umme asiye penda mke wake amupigiye chakula anyway hawa wamesha achana hizi show nizahapo nyuma
Me nampendaga tu Diva ,she is such a lovely lady with a pure and a clean heart
duh..una shida upstairs..dva ni fake mtupu...huenda mmefanana tabia..
@@masalakulwa7601😂😂😂😂 siyo kwa mchambo huo 😂😂😂
@@masalakulwa7601😂😂😂
For what thingg jmn😂
Sasa kama humpendi ni wewe unamchukia mtu kwa maisha ya mtandaoni si ujinga@@masalakulwa7601
Mbona Sasa kapikia sufuria aliyo unguzia njegere😂😂😂😢
😂😂😂picha linaanza bi.mzungu kaunguza njegereee
🙌😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Tatizo la diva friji lake haligandishi😂
Mbn cyo lazima uchemshe njegere mi sichemshagi na zinaiva vizuri
Tena kwenye pilau unakaanga tu Jamani 😂😂 unajua ukiwa unapika Mara kwa Mara unakuwa mbunifu jiko.linahitqji uzoefu kamamuingii jikoni Mara kwa Mara kila ukipika avinogi
Diva nipe mm hizo Deras zako ambazo huziwezi.without unoffence njoo nikufundishe upishi kiasi na Insha'Allah utapenda my dia. Nakupenda bure❤
Kupika ni zirooo bibiie
Shoga kupika hajui kabisaaaa😅😅😅😅😅😅😅
😂😂
😂😂😂😂Yani anavyohangaika ata hajui anafanya nn jkin😊
Mm sijui kupika lkn Diva hajui zaidi
Saa nne ucku,hata mimi ningepuliza dawa😂😂chaaaa
Uchafu huwoo nawaa mikono bhana kupika hujui uchafu ndo huwoo😂😂
More love from 🇶🇦 ❤❤❤❤
Anakaa ndani Hana hata hela ya kitunguuu😦😦😦eti ajifunze kutumia simu yake kutoa hela 😂😂😂😂😂😂
Kumbe ma celeb wako kama sisi tu choka mbaya
Mie nayapenda mapezi yao ❤😂mashaaallah japo mnawafanyia figisufigisu
Mara paaa wigi lina shika moto anavo jaza mafuta
Kwanza anapikaje na wigi hakuna hata kitambaa kichwani
Tuanzie hapo kutiana tuu kichef chef bure
😂ilo pilau naisi litakuwa boko maana sio kwakukoroga huko
Ila mashoga wengine, wee unakaa kwa mke wa mtu mpk saa nne za usk , ata wasi wasi huna
Haki yao wakuulize mana .....
Huyu shehe mstaarabu ingawa sifa ndo zinamsumbua
Diva kama kapagawa jmn anavopika khaaa hovyo kabisa we sufuria limeungua na njegere mmh hovyo kabisaa 😢😢
😂😂😂😂
Acha ushamba sufuria hiyo ndo ilivo ivo ndg yng, mweh😂😂😂
@@temeketv we nae kusoma hujui hata picha huoni hadi mwenyew kasema imeungua na njegere
@@nailamimi20 🤣
Nna wasiwasi na hyu shogaake sio mwema sana
Wewe😂😂
Unajuaje? 😂😂😂😂😂😂😊
@@AmanaHussein ona anavyojirembua et kutomba ruhusa🤣🤣🤣af anavyomzodoa mwenzie🙌🙌🙌ndio maana sinaga marafiki mimi
@@Zainab_salat 🤣🤣🤣🤣shoga nishogoe
@@jamillahkheir6536 hajui hata kupika 🤣🤣🤣🤣
Hayo mafuta sasa yanavyojazwa uhuhuhu🙌🏽🙌🏽
Ila diva
Mimi mwenyewe nsprnda mafuta
Diva sefulia, imeungulia njegele dada harafu unapikia hvyo hvyo
😅😅😅😅 nkajua mie tuu ndo meona
Lol afalu sufuria yenyewe ni ya rice cooker 😅😅
😂😂@@nargishans2431
Diva. Mdogoangu. Hujui kupika daa. Aibu. Niajiri nikufundishe. Kupika my
Kuendekeza mdomo tu kupika aaah jifunze kupika ushakua mbibi maana sio dada🙂
Hili tatizo 😂😂😂😂😂😂😢
sura nzito kuliko matatizo yangu
Diva mwache mama mkwe sio vema kumsema kwenye mitandao
Mama mkwe wangu ni bibi yangu yani napendwq mpk najuaaaaaaaaaaaà
My God Diva mafuta mengi sana unatia kwenye chakula 🙆
Kwakweli chakula chako sikuli n’go mwanamke mchafu unashika shika na mikono 😞😏
Love you Diva hata wakuponde ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila my dear hujui kupika kabisaaa,wala sio msafi🙆🙆🙆🙆🤦
😳😳😳hayo mafuta au maji ?? Jamn 😢huzuni kwakweli
😂😂😂😂
Yote tisa😂 kumi hapo kweny kuchanganya kachumbari na mkono hivyo kanifukuza kula kwakweli
Janele utoton unaonekana ulinyonya sana vidole ona sasa unavyoongea utadhan unatonge mdomon 😂😂😂
Jamn
Alikuwa n madeko meno yamesogea mbele 😂😂😂
@@HalimaChuwa-kk5lt 😆😆😆😆😆
D hilo sufuria halipikiwi kwenye moto hilo ni la umeme tu bibiye 😂
Yanı mm mwenyewe nimejiuliza hapa nimeishiwa hadi na pozi 😂😂😂
Pilau limeugua Hadi Mimi huku Msumbiji naskia harufu Divva😢😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Hivi mtu a nahisi vipi anapo itwa bby na shoga ake jamni hmmm mm spendi kwa kweli 😅😅
Alikua yuataka apike biriyani ya mayai😂😂😂
Nachependa huku nilipo yaani gas uweza kununua hata kilo moja tu unaendeleaje kufanya mambo😊
Divaaaa unaweka mafuta mengiiiii jamani yeeee
Mnooo....yaani ukiweka kijiko mdomoni unafuta mafuta
Kha mganga alishwa matibwili😅
Divaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aiseeee nguo ndefuuuuu nmechekaaa😂😂😂😂
Hilo jishangazi taahira kujifanyisha
Huyu mwana mke nimuchafu kweli unaweza pigiya muchungu iliunguza emo unapiga bila kuosha?? Makubwa wasani mnaishi maisha yakuigiza hawuna hata sufuria yamana sufuria zakisasa zenye haziungizi zinaja sana hawuna hata moja . Ww tu kaa maisha yabu single tu hakuna mwana umme asiye penda mke wake amupigiye chakula anyway hawa wamesha achana hizi show nizahapo nyuma
Hahaha,anajiongelesha English anajibiwa Swahili hata hainogi 😅😅
Unatakiwa kuwa na mitungi miwili je ikikatika usiku
Diva uko mchafu unashika hiyo kachombari na mikono hata km umeosha mi siwezi kula
Huku hakupikwi,gas imeisha aje tena daah 😂😂😂😂
Ni basmati lkn imetoka boko hahahahah divaaa bhnaaaa c ujifunzee tu kupika
Mimi nikoo nawaswas sijee deraaa likaunguaaa na honeeeeyyy kama ndioo mara yakwanza vilee kupika😂😂😂😂
Sipendi kupika na sijui, but diva😅 🙌🙌🙌
Kashasema mpigeni muuweni😂😂😂
@@mariamhussein7620 😁😁
She is very stupid wallah eti babe Janelle anataka kukwambia mama ako alivyofanya na linacheka
Abdul I salute you unauvumilivu sana
Hahahaha diva we kiboko kachumbali unachanganyia na mikono mmmmh
😂😂 unaweza fanya hvo ukiwa pemben ya camera sio mbele ya camera jmn😂
Sijawahi kuona pilau likigeuzwa kwa kupetwa kachumbari ikichanganywa kwa mkono 😂😂😂😂 mapishi mapya hayo chezea diva wewe 😂😂😂
Sinki lakuoshea vyombo la divs ni safi
How came unashika chakula like unachambua mtumba no bby nini kaz ya vijiko
😂😂😂yani hata hasubiri kuulizwa mbona kama anakurupuka
Diva gym inamuhusu kwa kweli
Ila diva angekua hajifanyi mzungu huyo mwanaume mbona naona mwelewa sn au ni kwakua tu wanashoot hii drama yao😂
😂😂😂😂😂ila ww
Alafu unatupikia na sufuria la presure cooker duh sisi tunamaisha zaidi ya hayo usitufanye wajinga😂😂😂😂😂
Basi nkaona nimeiona pekeangu nasema hii si sufuria ya rice cooker 😂😂😂Kwani hana sufuria
😂😂😂😂
Alivyofunika na mfuniko ndio nimechoka zaidi😂😂😂😂😂😂😂
MAMA ALIKUWA ANAFUKUZA KUNGURU 😂😂😂😂😂😂😂 YA NINI KUJAZA MADIVA NYUMBANI
Linakorogwa kama kachumbari 😅😅
Ninawapenda channel ya zamaradi tv bado gigy
Matha kavaa zake suti
😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂 mshenzi wewe
Me nisengekula kachumbar kwa mikon ivoo hapan
Kumbe ata mimi mrembo
Yani Hawa watu na filter zao unaweza kukufuru kumbe sisi ni wazuri zaidi jamani
Yani wew acha tuu sisi ni wazuri mno Hawa watu ukikutana nao live utakimbia 😂😂😂
Yaan anayoongeq na anyofanya ni utaahira mtupu hajiamini anajikweza kumbe jitu lenyewe mwajuma ndala ndefu kabisa
Mbona humvalishi Martha vizuri?🙁
Utaratibu n nywele zipo nje 😂😂hiyo si pilau ni pilawa 😂😂
Mafuta yamiminwa kama maji khaa anaekula atakua si binadamu kwa kwel
Diva leo uko na sura tofauti na ile unayotuonyesha,
Uwo ndo ualisia wa sura yake sasa 😂
😂😂😂😂😂duuh aibu naona mim!!!!Kweli sometimes wanaume wanavumilia japo hata wao hawajakamilka but this one!!!I salute!!!
yaani sijaelewa huo mchanganyiko jmni
Kama Mimi tuu sijaelewa kabisa
Unajua Je kama una roho nzuri???
Manguo yako marefu yanakuzeesha
Pilau linakorogwa hilo
wote mmekutana nyuma sifuri
😅
Janele Abdul anaonekana hakupend hebu kaa mbal na ndoa yao😂😂😂
Pilau,,,wali unapitishwa mwiko mara mbili tu bhana ,,,kila muda unakoroga tu 😂😂😂😂😂
Anageuza mpka nasikia kizungu zungu😂😂
@@scholamodestus9386 Yani sio kwa kugeuzwa huko
Duuuh uyu mama ajuwi kupika jmn🥺
😂😂😂😂
Umeonaee anazunguka tu mwisho wigi liingie kwenye pilau😂
@@ZulekhaAmar-fy4pm😂😂😂😂
😅😅😮😅😅😊@@ZulekhaAmar-fy4pm
😂😂😂😂
Mmmh kupika hakuna kitu hapo
Diva ni mchafu jmn unachanganyaje kachumbari na mkono af unashika shika sehem nyingine bila kunawa jmn🙌 chakula chako sili nisije kuumwa tumbo bure🤮
Matherrrr
hayo unayomimina ni mafuta au maji😂
Use spoon 🥄 😢
Mie nayapenda mapezi yao ❤😂mashaaallah japo mnawafanyia figisufigisu
Martha alivyo vyaa 🤣🤣 i hope you will pay her to appear on your show. Sie ma lawyer wa youtube tupoo kumsanua
😂😂😂duuh kama mwanasheria