KUNA MTU MNAFANANA SANA NA SI NDUGU YAKO•HILO NI PEPO NA HUTENGENEZWA•NJIA YA KULISHINDA KWA MAOMBI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 21

  • @CherieDeDieu
    @CherieDeDieu Місяць тому +5

    Huyo mkalimani amenibariki sana hata kama sielewi lugha. Nahisi tu ni Mama mwaminifu kwa kazi ya Mungu na hata simjui. Anafanya kazi nzuri kwa kweli; Mungu ambariki sana.

  • @user-cx7uz3ri6v
    @user-cx7uz3ri6v Місяць тому +7

    Hallow tulikumweee, hallow tulikumwee.
    Asanteni sana Promover TV.
    Neema ya BWANA wetu YESU KRISTU, na upendo wa MUNGU BABA na ushirika wa ROHO MTAKATIFU uwe nanyi daima na milele. Amina

    • @rachelsamson6250
      @rachelsamson6250 23 дні тому

      Kumbe sio mimi tu ninae enjoy hilo neno
      Tulikumwee👋😅

  • @isaackmanyikaofficial858
    @isaackmanyikaofficial858 Місяць тому +4

    Mungu awabariki sana Promover.
    Kuna somo Mtumishi Omary hakulimalizaga linaitwa Miji 8 ya nafsi tafadhari mkumbusheni ni muhimu sana

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur Місяць тому +4

    MUNGU WA MBINGUNI Akubariki sana Muinjilisti Omary Mnyeshani

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 Місяць тому

    Aameen assnte ssna mtumishi wa Bwana ila pia nimetarajia nipate na kifungu cha maandiko maana umenena sana baba bila kutupa andiko kama vile mtumishi Katekela hufanya

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Місяць тому +3

    Asante kwa mafunzo bora mtumishi wa Mungu zidi kubarikiwa hakika kuna mamvo mingi nimejifunza pamoja na mama mutafusiri promover tv jumla nawale wote wamekuja mbarikiwe sana..

  • @anthonymaina7100
    @anthonymaina7100 Місяць тому +7

    Hiki kirudi kinakaribiana Sana Na lugha za Kenya bwana....haswa Kikuyu Na kiluhya...infact maneno mengi Ya kirudi ni ya kikuyu😂

    • @juliaannenderitu
      @juliaannenderitu Місяць тому +1

      Glad you noticed....plus.we are one in Christ now Turihamwe yeah! ✅😊

    • @daisymuthoni675
      @daisymuthoni675 Місяць тому +1

      😂😂hata mimi nimenotice much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @user-hc4jv8uz5b
      @user-hc4jv8uz5b Місяць тому +2

      Mi naona nikama kisii /kiluyha

    • @paulndungu977
      @paulndungu977 Місяць тому +1

      Bantus

    • @harrietkiden7808
      @harrietkiden7808 Місяць тому +1

      More kiluhuya than kikuyu

  • @user-hc4jv8uz5b
    @user-hc4jv8uz5b Місяць тому +1

    Amen tuko pamoja

  • @EdwinKebeya-hf2vi
    @EdwinKebeya-hf2vi Місяць тому +1

    Amen

  • @jameskotte-endtimegospel
    @jameskotte-endtimegospel Місяць тому

    Kuna mtu dar tufanafana sana ...nlimuona kweye UA-cam...sahib nko namtafuta. ..bado cjampata lakini picture ya UA-cam nmeifadhi

  • @jameskotte-endtimegospel
    @jameskotte-endtimegospel Місяць тому

    Naitaji kumuona hyo mtumishi nina shinda hio
    Hili jambo anazugmuza hapa...suluhu ndio ipi

  • @jameskotte-endtimegospel
    @jameskotte-endtimegospel Місяць тому

    Pia watu dar zaidi ya watu 3 wants wanasema ciko mgeni wameniona mahali...lakini nko mgeni uku