"Wapenda mpira simba na yanga mnashabikia msichokijua,mkijua mtaacha":Mch.Amiel Katekela

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 349

  • @JoyceJames-bp6gq
    @JoyceJames-bp6gq Рік тому +6

    Asante Mtumishi wa Mungu kwa kunipa ufunguo Barikiwa sana

  • @EdgarMagogozwa
    @EdgarMagogozwa 2 місяці тому +5

    🫶 mungu akupe nguvu uzidi kuyafungua yario sirini ❤❤

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 Рік тому +12

    Ameeen! Ubarikiwe sana mtumishi! Wasaidie hawa viongozi wetu wanatupeleka pabaya

  • @FIRBETLYELA
    @FIRBETLYELA 3 місяці тому +3

    Nimekuelewa sana mtumishi wa mungu

  • @elijahwambugu8301
    @elijahwambugu8301 3 місяці тому +3

    Mwinjilisti Amiel, ahsante kwa mafundisho.

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 2 місяці тому +4

    Amen ubarikiwe sana mutumishi hakika nimejifunza mengi

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Рік тому +8

    Good job. Wanakuelewa ni wale tu walio wateule. Be blessed

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 Рік тому +6

    Asante YESU kwa mafundisho haya barikiwa Mutumishi na utufungue macho ya kiroho.

  • @bossej1212
    @bossej1212 Місяць тому +1

    Mungu akubariki na akupe neema zaidi ili uzidi kutufunulia siri za ufalme wa giza ili tuwe imara kwa imani yetu kwa Mungu na mwanawe Yesu kristo

  • @miria659
    @miria659 Рік тому +8

    Hapo umetusaidia Mimi nilikataa kuwa shabiki hata wa vipindi za television God bless you n promover Tv

    • @leahjeremiah4157
      @leahjeremiah4157 Рік тому +1

      Asanteeeee mtumishi kwa kujifungua hakika mbingu haiko mbali na mimi

    • @leahjeremiah4157
      @leahjeremiah4157 Рік тому +1

      Mimi ni Sina timu nashabikia wanao mpenda yesu

    • @leahjeremiah4157
      @leahjeremiah4157 Рік тому +1

      Mimi ni Sina timu nashabikia wanao mpenda yesu

  • @fabianmdachi3560
    @fabianmdachi3560 Рік тому +1

    amina pasta nabalikiwa sana namafundisho yako mungu azidi kukutumia

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga 6 місяців тому

    Asante sana kwa ufunuo huo. Mimi binafsi sijawahi kupenda wala kushabikia mpira katika maisha yangu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому +8

    Safi Sana mtumishi nakuelew vyema

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 місяців тому +1

    Amen Amen Mtumishi wa Mungu

  • @NikolausIsdori
    @NikolausIsdori 18 днів тому +1

    ❤ aminaaaaaaa

  • @AnnaWaYesu
    @AnnaWaYesu Рік тому +5

    Nampenda Katekela🙌🏾

  • @MussaFikirini
    @MussaFikirini 5 місяців тому +1

    Barikiwa sana mtumish wabwana

  • @idrisashaban5671
    @idrisashaban5671 Рік тому +1

    promover tv mungu awabariki xana kwa kaz kubwa mnayofanya

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 Рік тому +7

    Jamani Yesu tusaidie haya mambo ni mazito Sana, msaidie mtumishi wako uliyemtuma Ili tupone, Mungu wangu nimeogopa sana

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Yesu hajamtuma huyo alivyo andoka alisema kashamaliza kazi hao wamejituma wenyewe

    • @mathayokaaya4093
      @mathayokaaya4093 Рік тому

      Wewe nimfuasi wake tengeneza mipango

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      @@mathayokaaya4093 yesu mda wake ishaisha na hajatumwa kwetu kabisa amatumwa kwa wana Israel na ushahidi upo

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 8 місяців тому +1

    From burundi mungu akubariki

  • @faridashabanifaridashabani5950

    Amina Sana Baba yangu

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 Рік тому +3

    Mtumishi Barikiwa sana,Je kusherekea birthday Kuna uhusiano wowote na kuzimu?

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 Рік тому

      Niliiskia kidogo kwa mwakasege afu akakatisha nikahisi Hapo hapo kuwa Kuna kitu hatukijui kuhusu birthday party nikaelewa hii haifai

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 Рік тому +2

    Asante Mungu baba kwa kutumia kinywa cha mtumishi wako

  • @annakaleshu5393
    @annakaleshu5393 Рік тому +5

    Kweli kabisa Mtumishi wa Mungu

  • @rechoemid283
    @rechoemid283 Рік тому +2

    Ameen mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏

  • @KabnasNyangi
    @KabnasNyangi Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana ni leo tu nimetoka kuhubiri habari za Naboth na Mfalme Ahabu Naboth alikataa kubadilishiwa urithi wake wa shamba la mizabibu

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 Рік тому +6

    Sema baba mtumishi Amiel tuko pamoja.

    • @africachulla4361
      @africachulla4361 Рік тому +1

      Blind mind Kila kitu kitakuwa hivyo,am real against on such weak preachings mm nafurahia mpira iliw Kuna ujinga ndani yake anayefanya atajijua nisawa hata biashara tunanunua Kwa wachawi na kuuzia pia Kila mtu,tusichanganye watu

  • @richardmjema8321
    @richardmjema8321 Рік тому

    Asante mchungaji ujumbe mzuri ila ukumbuke hata ibada kuja siku ya jumapili ilikua hiki ulichohubiri tumfuate mungu jua rumi ikabakia hapo ambayo sio siku ya ibada

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 Рік тому +1

      Mungu hafungwi na siku ,biblia inasema Siku zote ni sawa ,we unafikiri jumamosi ndo imebeba utakatifu tu pekee Basi ingekuwa ivo mtu akienda kuzini siku hiyo anakufa

  • @gghh9218
    @gghh9218 Рік тому +4

    Amen amen,najifunza mengi sana kutoka Kwa huyu mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @alexseve7720
    @alexseve7720 Рік тому +4

    Ubalikiwe sana Mtumishi hayo unayo yaonge ni kweli kabisa

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому +5

    Nachoshukuru MUNGU wangu nilizaliwa sjui mpira hata kuucheza kila nilipokua nkjarb kuucheza nkiwa MDOGO nashndwa😏😏😏😏🤔Sasa ikija kwenye kuuangalia ndo snaga time kabsaaaaaa Kwanza siwez kabsa kwasababu sjui kitu na Sina hata hoby kabsa😜😜😜😜😜😜😜😜😜 Asante Sana YESUKRISTO mwana wa MUNGU

  • @pastorstevenhassam295
    @pastorstevenhassam295 Рік тому +3

    MUNGU Akubariki Sana Mtumishi binafsi nimepona

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +1

    Yesu ndio njia kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Have mercy on me.

  • @EmanuelyShupa
    @EmanuelyShupa Місяць тому +1

    Daaàa!! Jaman tumtafute mungu Kwa bidii wapendw

  • @conkfabrimendaking7093
    @conkfabrimendaking7093 Рік тому +5

    Amen. Uku kanisani kwetu sikuizi wameanza kuimba na kucheza taarabu na kuvalia vijora na kucheza kisingeli juu madhabahuni askof kaganga ndie mchungaji wangu kiongozi wa makanisa ya t.a.g Zanziba kanisa letu linaitwa ZICC

    • @prophetnkoronko1990
      @prophetnkoronko1990 Рік тому +2

      Ondoka hilo kanisa la tarabu

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому +2

      Shetani mjanja sana ametuingizia singeli na Taarabu kanisani

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Рік тому +1

      Mimi sitaki kuona vitu vya namna hiyo kanisani kwetu

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 Рік тому

      Kwa Kweli hapa Zanzibar Kwa Kaganga kariakoo ,nyimbo za taarabu na Mavazi ya mashekhe wanavaa wanakwaya wanaimba, Baba Kaganga kemea pepo.

  • @husseinshemdoe6110
    @husseinshemdoe6110 Рік тому +4

    AMEN AMEN BWANA ATUOKOE NA YADUNIA

  • @HalimaPaskal
    @HalimaPaskal 2 місяці тому +1

    AMEEN

  • @roynamwinuka6391
    @roynamwinuka6391 Рік тому +5

    Mungu atusaidie

  • @gabriellusinde9263
    @gabriellusinde9263 Рік тому +10

    Mungu atuufungue macho ya rohon maana hata walio wateule wengi ni mashabiki wa timu hz

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому +2

      Sana tena hadi wachungaji tunabishana nao mpira aisee Mungu atusamehe sana

    • @Ester-fd1wz
      @Ester-fd1wz Рік тому +2

      Hata watumishi wa mungu ni wa shabiki,jamani mungu aturehem

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 Рік тому +1

    Mch nimekuelew Mungu akubariki,

    • @johnabdallah679
      @johnabdallah679 Рік тому

      Ameni mtumishi anayebisha abishe ila ukweli ndio huo tuponye mt

    • @swalehemshana4684
      @swalehemshana4684 Рік тому

      Haoo mia walikufa lini alafu sijaelewa hapo siku ya mechi kumbe walisha cheza kabla yake au

    • @africachulla4361
      @africachulla4361 Рік тому

      Mahubiri manyonge Sana hayo,msiangalie Mimi nafurahia mno na nimeokoka mbinguni naenda kimuingiacho mtu hakimtii unajisi Bali kimtokacho

  • @barakangwalo
    @barakangwalo Рік тому +18

    Upo sahihi sana mambo yaliyo mengi yanayofurahisha macho ya mwanadamu ni mpango wa yule mwovu. Tumwombe YESU kristo atusaidie kizijua siri za mbinguni.

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Рік тому

      Hasara yako Yesu kiumbe kaumbwa km ulivyo umbwa Wewe Si Mungu

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 Рік тому +4

      @@ahmedzahor2975 Mambo usiyo yajua huwezi kuyaelezea.Muelezee sana Mtume Muhamad sio Yesu.Huwezi muelezea.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Рік тому +2

      @@ahmedzahor2975 Hasara yako Allah Siyo MWENYEZI MUNGU na Muhamad Hakutumwa na MWENYEZI MUNGU.

    • @juniorsamuelsamuel1224
      @juniorsamuelsamuel1224 Рік тому +1

      @@saimonijonas1471 umemjibu vizuri sana huyo

    • @juniorsamuelsamuel1224
      @juniorsamuelsamuel1224 Рік тому +2

      @@paulmushi2428 Paul usibishane na mpumbavu

  • @petermalema5702
    @petermalema5702 10 місяців тому +1

    Ameeeeeeen

  • @fredbogomba9627
    @fredbogomba9627 Рік тому +5

    Injili ya namna hii Leo ni nadra sana kusikia lakini Alie jaa roho huweza kusema iliyo kweli

  • @raphaellaizer7035
    @raphaellaizer7035 Рік тому

    Bwana asifiwe mchungaji ubarikiwe Sanaa uko visuri sana mungj akusaidie

  • @NaomiMagelanga
    @NaomiMagelanga Рік тому

    Amen

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 4 місяці тому +1

    Kweli Dunia imeisha Mungu nirehemu makosa yangu yote nimepe mwisho mwema

  • @JohnGamma-qq2gq
    @JohnGamma-qq2gq 4 місяці тому +1

    Nikwl

  • @ChaSam-fr3pg
    @ChaSam-fr3pg Рік тому

    Pole sana....

  • @eliudmaburi4948
    @eliudmaburi4948 Рік тому +3

    100%

  • @luseshelomwashambwa5809
    @luseshelomwashambwa5809 Рік тому +3

    Hatareeee Sana, kuna siku niliona mchungaji anafupisha ibada Ili kuwahi uwanja wa Taifa

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 Рік тому +1

      Huyo hakujua kusudi lake

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому

      Wameshavulugwa aisee mm naonaga wanahubir kidogo alafu anaingizia na mpira yani huwa sipendag basi tu

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому

      @@elishakayagwa9371 Wapo wengi na niasilimia kubwa ya wachungaji wetu hawezi kuhubiri akamaliza bila kuingizia Simba na yanga

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 Рік тому +2

      @@consolatamedard6593 Hayo yanaitwa magugu ndani ya shamba la ngano

    • @luseshelomwashambwa5809
      @luseshelomwashambwa5809 Рік тому +2

      Na waumini Wana shangilia kabisa, mchungaji akawa anasema sisi kanisa letu kuangalia mpira sio dhambi. Hatupangiwi Maisha, nikasema okay

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 Рік тому +2

    Kwa kweli we go wamekufa kwa sababu ya mpira

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +6

    Ulimwengu wa SAsa mpira ndie mungu wa dunia hii watu wametekwa huko ni rahisi mtu kupata uvivu wa kwenda kanisani, kwenye mpira hata kama anaumwa upata nguvu ya kwenda mpirani

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 Рік тому +2

      Ni rahisi mtu kushindwa kula timu Yake imefungwa, ila hawezi kufunga sababu ya Mungu

  • @UwepoTv
    @UwepoTv Рік тому +7

    Hakika uliyosema ni kweli kabisa na umetufungua macho na ufahamu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 Рік тому +5

    Haufi ww lazima IELEWEKE KUWA YESU NI MSHINDI

  • @MTONDOZINESAEED
    @MTONDOZINESAEED Рік тому +3

    Sina timu kuanzia Leo...Eee MUNGU tusaidiye na family yangu na watu wote.

    • @waimani5550
      @waimani5550 Рік тому

      tatizo sio timu au mpira, tatizo ni kwamba mpira unatumika kwa manufaa ya nguvu za giza.

  • @wokovuakarow4909
    @wokovuakarow4909 Рік тому +1

    Halleluya
    Kwa kweli Mungu ni mwema sana je wapo vijana waliookokaa wanasikia haya wapate kupona.

  • @Grace-lh5rr
    @Grace-lh5rr Рік тому +2

    Makanisa ya kweli hayana waumini kabisa watu wachache kweli

  • @collinscareen7245
    @collinscareen7245 Рік тому

    Icho kiarabu ndiyo Lugha ya kishetani au??

  • @churchofrepentanceofchrist139
    @churchofrepentanceofchrist139 11 місяців тому +1

    Ndiyo mtumishi

  • @JohnMalekela-yk7yk
    @JohnMalekela-yk7yk Рік тому

    Hawa wahubiri hawa wanaohubiri ndoto, Mbinguni mtafika Lakini mkiwa mmechakaa sana. Maana yeye Mwenyewe shabiki no moja wa mpira. Tena anaonekana wa wekundu wa msimbazi. Poleni sana akina Amen kwa Kila kitu bila kuchunguza.
    Zichunguzeni hizo Roho.

  • @amyesanga2004
    @amyesanga2004 Рік тому +2

    Tunakuelewa baba ni sahihi

  • @EstomineHenry
    @EstomineHenry Рік тому +1

    Ukweli mtupu

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 Рік тому +13

    Nashukuru rafiki yangu haya yote nayafahamu!! 1Yohana2:15. Inasema msiipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia, mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Hivi kumbe vitu vya dunia karibu zote ni dhambi!!

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 Рік тому +4

      Hiki kipengele cha dance za kwaya hua tunajifanya hatukiskii wala kuona. Dance za kuzimu

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 Рік тому +3

      @@joshuamakota6714 yan siku hizi na viduku juu

    • @joyyjoyy5474
      @joyyjoyy5474 Рік тому +3

      @@dadaz4653 kabisa, waimbaji wengi sàa hii ukiiangalia nyimbo zao kucheza ni Kwa kusifu shetani, ni Mungu tu atusaidie

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 Рік тому +3

      @@joyyjoyy5474 yaan kwakwel Mungu atusaidie wokovu wa sasa iv na wazamani nitofaut kabisa wanaona kila kitu kawaida tuu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Рік тому +1

      Sanasanasa 😪

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 Рік тому +7

    Jamani mpiga kinanda amwache mtumishi, neno lituingie

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Рік тому +2

    Asiyekuelewa ni mlokole na mfia dini ila wanamcha Mungu tunajua unachokiongea

  • @alice4720
    @alice4720 Рік тому +3

    Amen nakumbali kambisa

    • @leahjeremiah4157
      @leahjeremiah4157 Рік тому

      Lakini si lahisi kwakizazi Cha Sasa kuamini unayo yaongea mtumishi bwana awafungue watu wake

    • @leahjeremiah4157
      @leahjeremiah4157 Рік тому

      Mtumishi muombee mume wangu Yani yuko tayali asile asinywe Ila aende mpilani

  • @Lukasngulujose
    @Lukasngulujose Місяць тому +1

    Kiongozi HP umemalia kila kitu sema mtumishi

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 місяців тому

    Sina uhakika sana na ukweli unaosema maana Imani na mambo ya Dunia hayana uhusiano na kupenda mpira Haina maana kuabudu mpira.

  • @RahelKiswaga
    @RahelKiswaga 6 місяців тому +1

    Ni sahihi muda wa ibada umechukuliwa na mpira

  • @gradyskamwela6163
    @gradyskamwela6163 Рік тому +10

    Mpira ni agano la kunasa wengi kwenda jehanamu kwa mtu mwenye mpango wa kwenda mbinguni tuachane kabisa na hili Bali tukahubiri injili watu wamjue Mungu

    • @AbdallahMbeten-w9t
      @AbdallahMbeten-w9t Рік тому

      Ye ""! And you agree with his nusinga, he says that they had trouble with the devil,He is the sorcerer, he is a freemason and they met Rusifer,,,
      Nanyi mnamsikiliza MTU kama uyo anayeongea upumbavu mbele yenu 😂😂😂😂😂😂 poleni sana ndugu yangu wakristo wamefeli wapi kila siku nyinyi ndio mnatoa manabii nyinyi ndio mnatoa mitume And you agree with such people when you mislead so much you look stupid every day,
      Msikubali kuburuzwa na matapeli kila siku mnatoa sadaka zenu mnampa pesa zenu bila sababu yoyote ile kwa maneno yake,
      😂😂😂😂😂😂😂Don't be stupid
      And someone makes you ignorant with his devilry and you applaud him very politely, my Christian brother, I think the devil has ruled over you and you lack the strength to fight him now he is in your souls,

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Рік тому +3

    Mungu atusamehe tumeshabikia na kutetemekea timu hadi kulia machozi

  • @deluhdenis6499
    @deluhdenis6499 Рік тому

    Mmmmmh yaan kwa kweli..sas tufanye lipi

  • @MariamuShemweta
    @MariamuShemweta 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂mungu atusaidie na vizazi vyetu

  • @IsaacNjama-b7i
    @IsaacNjama-b7i 4 місяці тому

    Mcheza piano anatatiza ujumbe!

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 6 місяців тому

    Umekosa cha kuubiri? Ubiri neno la mungu ,wanakufa kwa presha yao,hubiri neno

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 11 місяців тому

    Uko sahih Mtumishi
    Watu wanalia kwasababu ya mpira lakini wanashindwa kumulilia ya Mungu
    Watu wanashindwa kula kwasababu ya mpira lakini wanashindwa kumufungia Mungu.
    Mungu atusaidie atufunguwe akili

  • @MariamuShemweta
    @MariamuShemweta 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    9:39

  • @KabnasNyangi
    @KabnasNyangi Місяць тому +1

    Unasema vema mtumishi 6:33

  • @hagaindewario-rd3dr
    @hagaindewario-rd3dr Рік тому

    Ni kwel mtumishi wa MUNGU

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 Рік тому +1

    Maisha ni ya kuishi. Sio ya kutishwatishwa.

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Рік тому

    Ameeeeen

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +5

    Kamati ya ufundi ni mambo ya uchawi

  • @estermitti7336
    @estermitti7336 10 місяців тому +1

    Kila naposikia habari hizi namkumbuka mch: Cikopole pale mlowa barabarani Dodoma 2008 alisema haya "hatukumuelewa"

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому +2

    Wapenda mpira hawatakuelewa watakutukana

  • @joivon3038
    @joivon3038 Рік тому +2

    Ndomana mm sipend kushabikia mpira au chochote

  • @ChrisSamson-rr3ns
    @ChrisSamson-rr3ns 5 місяців тому

    Sema mtumishi unakuta mchungaji naye mashabiki washirika itakuwaje sasa,.

  • @alexchengula9874
    @alexchengula9874 Рік тому +2

    Hakuna kitu kama hicho. IPO siku tutaambiwa kuishi duniani ni dhambi. Nyie manabii wa uwongo mnatupotosha. Wachezaji wa Mpira wana vipaji vya kucheza mpira na mashabiki wanapata burudani. Jitahidi kutafsiri vitabu vitakatifu kwa umakini.

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Рік тому +2

      Usiseme hakuna kitu jiulize duniani ulikuja na nini utaondoka na nini? Je nini kusudi la aliyekuleta duniani? Je ni kushabikia soka!?

  • @familyofgodtv1290
    @familyofgodtv1290 Рік тому +2

    Mtumishi samahani nilikuwa ninaomba namba ya katekela Kuna maombi nilitaka nimshirikishe

  • @naftalimutahi5591
    @naftalimutahi5591 Рік тому

    Thanks bro.kemea kabisa.we cannot win for Christ with football.
    Through spirit and truth we win souls for Christ.
    Exercise is ok but profiteth litlle if you want exercise,run etc do it appropriately not exposing you body parts in the name exercise.
    lets be decent and orderly.

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 Рік тому

      Hivi waziri Nape upo likizo hii ni hatari kwa kizazi chetu

  • @AgnesBakarii
    @AgnesBakarii 9 місяців тому

    Kweliii kanbisaa

  • @deadcrush
    @deadcrush 8 місяців тому

    Hasa ka sauti cha kinanda?

  • @japhetgidion5793
    @japhetgidion5793 Рік тому +1

    Mom

  • @ignusrwelamila7355
    @ignusrwelamila7355 9 місяців тому

    Hii ni sauti ya Mungu juu ya kupinga juudi za shetani kutumia michezo kulipoteza kundi la watu wa Mungu

  • @erastosanga667
    @erastosanga667 Рік тому +1

    Naaplishert ujumbe huo mt wamungu

  • @kabebemazambi5757
    @kabebemazambi5757 Рік тому

    Acha uwongo we babu tafuta hela namna nyingine 😂😂😂😂

  • @fredialfredi202
    @fredialfredi202 Рік тому

    Mi sijaelewa kwa kweli

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 Рік тому +6

    Mimi nilikuwa addicted na mpira baada ya kugundua kuwa ni dhambi niliamua kuachana na mpira kabisa. Haikuwa rahisi lakini hivi sasa niko huru sijawahi fuatilia mambo ya mpira wala roho yangu haibabaiki na mambo ya michezo.

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 Рік тому +1

      Aisee nami nijitoe kwakweli maana mmmh

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 Рік тому

      Apo kwenye kafara eti Mechi yanga akishinda watu 100 wanakufa au Simba akishinda watu 100 wanakufa hapo ndo unatudanganya... Mpira ni afya. Michzo ni afya.. michezo ni ajira, michezo inawapa watoto wa wenzako kipato na wengine wanakuja kuleta sadaka kanisani..

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому +3

      @@thadeylyimo9772 ndugu akina Adam Nuhu Daudi na wengine walikuwa wanacheza mpira wapi? Mbona miaka waliyoishi hata nusu yake hatuwafikii? Unazungumuzia pesa je unajua chanzo cha matumizi ya fedha na mwisho wa matumizi ya fedha duniani? Kizazi cha bongo freva kina fikra finyu sana kuhusu mambo ya Mungu kinatazama mambo kwa macho ya nyama.

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 Рік тому +1

      @@rubefabi8366 Ni sawa na kusema kizazi Cha Adam nuhu daudi hawakuwa na magari basi tuishi Kama wao ... Apo umezungumzia Nyakati tatu tofauti ktk biblia.. "Tambua Nyakati uliyopo" zingatia ni Nyakati gani uliyopo...

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 Рік тому

      @@thadeylyimo9772mfano unaoutoa ni tofauti mambo ya usafiri na mambo ya mpira ni wapi na wapi? Ungesema kusafiri na ungo hapo ungeleta maana.

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 Рік тому +2

    AMEN AMEN

  • @collinscareen7245
    @collinscareen7245 Рік тому

    Mzee wa Kanisa akitamani kuwa Mchungaji ni tatizo?….

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 Рік тому +1

    Yaani hapo kwenye Moira SEMA tupone.Maana huo Ni ugonjwa.