Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Aman idumu haki sio saaana!!!! Mhuuu Tz yetu,tusalini sana mwenyezi Mungu atusamehe
Hongera sana dada kwa kuokoa maisha lissu
Hongera sana Mungu akutunze maisha yako yote
Mungu yupo pamoja nawe Mama, tunapita,hata huyo alieamulu kufukuzwa kazi, atapita, atakukuta upo upande wa Mungu,
Mungu akupe hutaji la moyo wako da vero
Pole sana dada hii nchi tunanyanyasika hatuna kwa kushtaki
Au dada pambana tafuta kazi private hospital mwenyezi mungu atakupigania maskini.
mungu yupo mama pambana ila nchi yetu wapo watu kama miungu watu
Lissu anapenda sana mambo ya sheria, mama angekuwa ndani ya muda, angerudishwa kazini 😂😂😂
Jamani huyu mama msaidieni kumbe kazi kafukuzwa rushwa ya ngono ni changamoto kubwa sana😢😢
Nchi ngumu sana hii
Doctor “ Please Do Something For Me” Tundu Lissu, 2017
Acute blood loss on the spot Hb 3g/dl. Wataalamu watajibu hili mimi hapo sielewi.
Lissu msaidie huyo mama hata basiafungue famancy ya dawa sio maneno tu alikudaidia uhai wako pia Hilo ulijue sio mnakuwa wachiyoo hela unayo lakini sasa.....
Kweli watu wanateseka sana
Mtafutieni kazi hata hospital binafsi
Jamni polisi tendeni haki
Bado madakitari kujitahidi kuokoa maisha lakini bado walikuwa wanazarauliwa
Mheshimiwa Lissu Fanya jambo Kwa huyo Muuguzi aliyesaidia kuokoa Maisha yako.
Mambo mengine yana hitaji story balance kotekote,unaweza kutetea mashetani bule au kuonea mtu
jamani nchi hii inamambo magum sana
MU NGU NI MKUBWA JAMANI ALIFANYA KAZI YA ZIADA KWA HUYU MWAMBA
Acheni mungu aitwe mungu
Magu kufa tena!