Ulikotoka na ulipo fikia kwenye ngoma hii uko vizuri. Chamsingi kaza kama ndo unaanza utakuwa mkali ikwenye kuimba na video queen. natamani ata niwemshauri wako kwajinsi ulivyo tamba katika ngoma hii. Hongera Amber
Amba lulu anze kujiheshimu ili uendelee na mziki.wewe ni msanii mzuri na unajua sana.Fanya mziki utakuweka mahali pazuri.Tafuta collabo Kenya na utakuwa juu tu saana.Love you Amba
kwake Ngoma nimeipenda yani duh iko fireeeeeeeeee noma sana kaza Buti mamaaaa tena sana Ngoma bila chupi iko poa achana Na wanao jidhalilisha kwa kuonesha uchi wao nasikiliza nkiwa Dubai UAE,abudhabi
Huyu dada mshenzi sana,kanizulumu pesa yangu ya uber,nimemtoa masaki kwenda kinondoni nimemzungusha mwisho wa siku ananitoloka bila ata kunilipa, yaan wewe amber lulu unazalau sana kazi za wenzio. Hainan noma
wossup furaha sifa...am a kenyan rnb/pop singer and since you from chicago....kindly subscribe to my youtube channel...i need fans from there too,,,soo tell all ya friends to subscribe...kindly sifa
Tunayoisikia hii nyimbo 2024 gonga like
Tuliokuja baada ya interview ya mama zuri
💯💯💯💯
Tunao skia huu wimb 2023 tujuwane ❤
Hahahaha 🤣😂😂
Wangapi wana skia huu wimbo 2024😅❤
Nani anasikiliza from June 2024💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿 jini kisirani 👌
Tunaosikiliza huu wimbo 2024 tujuane hapa❤❤
Nani bado anaisikiliza hii 2024😊😊
Mimihapa
Mimi
@@AishaAli-c4l safiiii karibu sanaa
@@BlessingIma-v9u safiii hongeraa
Kama ww ni fala hutoipenda wimbo huu basi kaza mavi yako # jini kisirani lv u amber lulu best girl ni tz wowwww kama mshabiki kama mm like and comment
Wanao sikiliza 2025 gonga like hapa
Achana namiiii jyn kiss rany😈 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
2024 best songs but the musical journey joules can’t like you make it ours girl we know
Kama ndio Mala yako ya kwanza kuangalia hii video 👍
Hii nyimbo mi naipenda sn kha Amber lulu kaimbaa wa c masighara wallah
Baada ya CORONA Nani anaangalia♥️ tujuane hapa👇
Nipo
NA WOTCH KWA TV HASWA NIME CONNECT🇨🇿
@@fekechezidg2036 qaç
Corona yenyewe jini kisirani
Nipo
I'm on dat #month.AprlDaaahhh #kweri Jini kisirani #2021. Aseee like hapa tufahamiene Jini vijini kisirani.
2021 still appreciate this song 🔥 amberlulu you're so amazing
Tamu sanaaa
Haichoshi yaaani inahit kila siku
Pa 1
Tunao ikubali iyi ngoma adi 2021 tujuane 🔥🔥🔥🔥
Ngoma Kali Kama umepanda Bei gonga like twende sawa mwaka huu 2020
Diana Elieza nimetizama leo hii 10/3/2020 LuLu aimba hivi siku zote angekuwa mbali sana 😘
@diana elieza mimiii ila sioni kwenye mdundoo.com naomba audio
Me pia naungana na ww dr
@@grandeemalisa8329 nenda audiomack
2021🤗
This woman is doing well this days,I'm always watching this video that is why I'm in love with the song.
Jini kisirani🔥🔥🔥...
Kaza utafika mbali....254 Weka like hapa 💕💕💕
penda sana amber lul
am the first one to like...have a request kindly subscribe to my youtube channel...lit video is coming with lit chareograpy...am an rnb singer
so cool beats ,n if she seriously for sure she will be far,n her crazy style was so cool, lezz go
Ilishi Ramzah hahaa nishaweka
Amber lulu umetisha my dada
Hamisa mobeto alinifanya nikajua huu wimbo, such a nice song indeed 😍😍😍👌
Yan hii nyimbo hata siwez kuchoka kuisikiliza...Love you amber Lulu keep going 😍😍
same here the song is highly addictive
Me tooo
Hahahaha kwaiyo huchoki kwel
Hii ndo ngoma Kali sana kwa Amber lulu, haya ni maoni yangu.
Lulu don't give up hata kina diamond walianza hivi hivi so dear utafika mbali Kwa uwezo wa mungu good song amazing voice love you lulu
duhhu umber lulu we mkalii pamoja sana
Ulikotoka na ulipo fikia kwenye ngoma hii uko vizuri. Chamsingi kaza kama ndo unaanza utakuwa mkali ikwenye kuimba na video queen. natamani ata niwemshauri wako kwajinsi ulivyo tamba katika ngoma hii. Hongera Amber
Kgombana na mimi bado naona kama unanuka papa bado facebook twitter huzijui bado ata insta live huijui bado 👌👌👌
Nani mwingine kaurudia kuanagalia km .. Mm 🔥 🔥
bary Tz mm
umetisha Amber Lulu good song
Imetsha
Iko juu mbayaa
mimi hapa nimeirudia mara nne
😅😅
Wimbo huu nasikiliza ad Leo mara sitasita yan naipenda ad bhac asa unapoimba kugombana na mim Bado na kuendelea yan amber lulu we fire
Mashonga wananda hii inawahusu ama kweli jini kisirani kama unaikubali ngoma like hapa tujuane team jini kisirani.
namkubali sana huyu dada
diva rechol naipenda sana hii
😂😂😂😂Teamjinikisirani😂😂😂😂😂😂
Kna watuu; kma hao duuu mia
Mh
Hawa wadada nawapenda Sana Amber Lulu pamoja na Gift mapesa aka Giggy money🇰🇪🇰🇪🇰🇪💋❤️
Ingoma aichuji atali sana lulu gonga like hapa kama unamini ilo
Ngoma kali nani anaangali hiyi 2021 tujuwane eti mambo bado
This is EXACTLY What i call the POWER OF MUSIC. 👊👊👊
One of the best singer on the planet. Keep up the good work.
This song z fire. I like her bcoz she admires herself ñ that z habit of most short women like I💋
nimekubaliiii saaaana arifuuuuuuu.
Hii nyimbo haiishi hamu nairudia kila wakati 👏👏👏👏👏👍
Kugombana na mm bado"salute saaana 💪💪💪
Amba lulu anze kujiheshimu ili uendelee na mziki.wewe ni msanii mzuri na unajua sana.Fanya mziki utakuweka mahali pazuri.Tafuta collabo Kenya na utakuwa juu tu saana.Love you Amba
safi sana my dear
Hi nyimbo kilA siku pake niisikize,naipenda ajabu nyimbo Kali,kazi nzuri hongera mno
Jini kisirani uko juu Amber Lulu kwa hiyi umetisha sana
Ngoma nzuli sana lulu safi sana
Mkn Amb nakubal
Huyu demu atatoboa sana kwenye huu muzik,me sijawah kuona wimbo mbaya kwake....
kabsa hana nyimbo mbaya atafka mbali
Kweli aseee
Video nzuli kweli bila dowa na vile vi nusu uchi Kila mara kumbe Mzee bagu na basta ndo dawa ya wakaa uchi wa 🇹🇿 Awiiiii🗣️🎙️
Amber Lulu....Kenya we love mwanzo mm .... haters nyinyi n majini kisirani....# jini kisirani ....😍😍
Súcilizuii
Amber lulu unajua nyimbo zako zote nzur kaza mwendo utafika!
Nice artwork this song has reminded me Nyota ndogo song watu na viatu. Nice job lady Amber
Hata human hair hujui bei yake bado na unataka kushindana na Mimi.....love you Amber Lulu 🇰🇪
Love her energy 😭❤️ ever since 8th
Kipaji unacho sema umezidisha kujirahisisha sana ...tulia amber Fanya mziki kipaji unacho
I just love ur personality amber😍😘😘
kwake Ngoma nimeipenda yani duh iko fireeeeeeeeee noma sana kaza Buti mamaaaa tena sana Ngoma bila chupi iko poa achana Na wanao jidhalilisha kwa kuonesha uchi wao
nasikiliza nkiwa Dubai UAE,abudhabi
Am in love with the song, enjoying from 🥰🇰🇪
1M views n counting shikilia pale pale Amber
Watching from 🇬🇧! Sick tune! Big up yourself girl!
Mummy..hii ni kali.kaza utafika mbali"wishing you the best
Who is here to day fireeeeeee
Umber tupe ngoma kali km hiiiiii jmn
Omg the first time I listened to song I loved it so much. I LOVE AMBER LULU. Her hair is gorgeous . I love pink. Ambers voice is outstanding.
Ebhanaeee Ngoma imetulia sana itawagusa wote majini visilan pga kaz dada
I miss Bambi aka Leah Dubz.. She loved this song... Wangari wherever you are nakupenda sana
Kwa wanawake WA bongo unawafunika sanaaa mdada wangu WA ukweeee
kama unatazama 2020 gonga like
tupo
Nasi pia tupo
Ss pia tupo
Mambo vp
Huyu dada mshenzi sana,kanizulumu pesa yangu ya uber,nimemtoa masaki kwenda kinondoni nimemzungusha mwisho wa siku ananitoloka bila ata kunilipa, yaan wewe amber lulu unazalau sana kazi za wenzio. Hainan noma
Umeua mama you always makes me proud of you since nimesikia naiee remix
Tunataka ngoma mpya nyngne kali Amber lulu mbna unachelewa aseeeee
2020 liking this
ok
❤❤❤❤🙌🙌🙌
yan hpo ndo ume xema vit vizr xan maan kunwa2 kam viatuu
Dada yangu big sanaa kwa nyimbo nzuri sanaa unajuwa kabisa...
nice song
ckuiz kuna majini visiran weng sana na yawapande👌👌👌
Ngoma hii naikubalii sana, kuna watuu ni majini kisilanii
amber nimekupenda kweli my dda nice song dr
Amberlulu ushauriiii wangu tu saiv piga collable na diamond maana wote nyinyi kwa tz ni balaaaaa
Yaan Amber mziki wako mzuri,,,,mhimu jitahid kurejebisha tu zle skendo mbaya zle naamini wee ni msanii mkubwa sana tu mara 40 ya Giggy
Me from 🇺🇸
Nice sis
dah umetishaaa mama Leo nimehindanayo hiii ngoma nasikiliza
In love with this song,i listen to it everyday.Much love lulu
Mimi ni mkongomani drc ..so Amber Lulu ni Star mkubwa..so love end i apreciate the song
What......... yani bado sijaamini ninacho kionaaaaa Big up sana dada lulu.. bonge la ngoma.... listening from Chicago USA 🇺🇸 nakupenda bureeeeeee
big up
wossup furaha sifa...am a kenyan rnb/pop singer and since you from chicago....kindly subscribe to my youtube channel...i need fans from there too,,,soo tell all ya friends to subscribe...kindly sifa
poa kaka tuku pamoja
nzuriii
Furaha Sifa hatar snaa
amber lulu big up xn....yaan sichoki kusikiliza nyimbo zako.......mambo ni fire
ujawahi kukosea amber lulu, your so mwaaaaaaaaaaaaa
Safi sana mama queen of bongo flavour
pendezaaaa sana ktk hiii song 😙😙😙😙😙😙😙😙free
Safi mzma
yan naupenda huu wimbo ya big up Sana my
Yan hii Kali🔥🔥🔥🔥🔥
J'aime la chanson vraiment from 🇨🇩🇨🇩 😘 nakupenda weye mdada
I don't understand the lyrics but yananipandaaa 💃💃💃💃💃💃💃💃
Jini kisiraniìiiii hongera mama good music
sweet and lovely...gonga like
Kama umeikubali gonga like
Nyimbo nzur umajitahid! Nice
Yaani hii ngoma naisikiliza Mara kumi kwa siku
umetisha ambaaa kwa iingomaa imepenyaa toa ngoma kali kama iii
My favourite ❤artist
Hit song 5th january 2022 still trending 🤩🤩🤩
😜😜😜 30-3-2022
jmn nimeipenda hiii song Sana'a jmn umewaweza wambea keep it up Amber Lulu
My new crush .can't get enough of your songs gal.. Keep rocking
Kuiskia huu wimbo umenichizisha Bana nacheza kila Siku ofisini
This Jam reminds me of a hard time in 2017..furukuto tu.
Kwanza unanionaje kilasiku napanda bei Amber Lulu hinyimbo kila siku napenda kuisikiliza nakuiyona unaweza sana Mungu akuongoze
Yes yes yes Nice i like senegal 🇸🇳