Mimi hata sijui nicomment nini kwa huyu demu..mda wote alikuwa wapi jamani.. Sauti nzuri.. she is professional.. video nzuri, beat nzuri.. yaani utafikiri alikuwa anafanya mziki kitambo..good job amber .. wasikubanie tu kwenye hayo maredio.. you are a star ⭐️ my dear..am a fun from now..
Nampenda sana dogo zuchu anaweza kama mama yake sharauti nyingi dogo zuchu uende mbali stop mbinguni kazi nzuri naringa naringa naringa naringa na mungu.
nakumbuka mwaka 2016/2017 nikiwa ghetto afu pembezoni kulikuwa na club flan hivi, basi ikifika mida ya sa nne nne hvi ucku DJ ilikuwa ni lazima apige huo wimbo!!!!!basi nikawaga natikisa kichwa tu humo chumbani1!!!!!! goma nalikubali mpaka sasa
Achana umodel imba yaan unaweza nimeskiliza kwa makini nimejua unauwezo mkubwa Sana wa kuimba ujaingia kwa mkumbo unafanya kitu unachokiweza kweli nimependa kwakweli ckujua Kama ni mkali kiasi hiki amber lulu
Unatembea na beat, unasaut nzur sana na style yako yakuimb vannesa atakutafut kwa torch ,jiongeze kuandka nymbo ambazo mashabik wanavutiw nazo baaas utatusua
ujue umber lulu unakuja na kas ya ajab kuna cku ulisema unampenda Vanessa mdee na ukasema anaku inspire kufanya vtu kama vyke nakuombea kwa Mungu ukae meza moja nae mkiwania tuzo moja nakuombea nmeipenda nyimbo yko mpya only you nzur sana pia me huwa nakupendaga tyuuu ulivyo yaan be blessed mama
yaani bonhe la nyimbo ni bora u wimbe tuu amber lulu unasaut nzur sana yann hadi raha unaburudishaaa watuu nimeimbena sana nyimbo yako sauti yako nzurr nyimbo haina vurungu yaan ni bonge la nyimbo big up mamy
Congratulations lulu yr songs🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍🏽🔥🔥☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽 hater🌏☄️💫🤛🏾🖐🏽👀👁👌🏽👊🏽👍🏽 I wish this song we put top of the top ++++++ jini song also give us more music lulu 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
amber lulu we msanii na model unaweza yote that is what i can say mi siwezi sita kuweka kwako unajiamini i cant wait some day nipate umem ft Q chilla goo bby
2024 tunabang nalo bonge moja la ngoma huyu demu anajua sema mwehu tu
Naomba likes za amberlulu jmn
Am here 2024 amber Rudi kwenye game
2024 mko wapi❤❤
❤❤❤
❤❤❤
Back on those old days
Tupo
tupooo🔥🔥🔥
Yaani katika ngoma zote Za Amber lulu hii ndo ngoma kaliii kuliko zoooteee❤❤❤❤❤❤❤
2024 kitu kama kimetoka mwaka huu.
Wanao tizama vidéo hii hadi leo, like zetu zipo wapi✌🏻✌🏻
Ooo
Namkubali sana Ambar lulu
🎉
Hii ni kabla amba ajaanza kuvuta bangi
Tupo hapa
Chukua tax❤❤ kwani sh ngaaap
Linajua sanaa sema tu nahisi management hanaaa
*Huu ndio wimbo wa Amber Lulu mzuri kuliko zote*
Amber lulu wewe unajua BHANA 2023 LAKINI goma Kali.
Wangapi wanangalia hii nyimbo baada kusikia country boy kwenda kwa konde boy
Why is amber underrated she is a multitalented artist
Leo na mm nimejiunga kwenye kundi la wanaodai haki ya heshima kubwa kwako dada...❤
Tuliokuja hapa 17/9/2023 tujuane kwa like ngoma haichoshi hii
Let’s mark the 2021 register 🙋🏾♀️ 😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪 There’s something about this song! ❤️
0
Nakupenda san my ♥️♥️♥️♥️♥️❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🌷🌷🌷
This bang is on 🔥🔥🔥🔥amber anajua bhnaaaa🎉 till 2024 its my fav song❤❤❤ 2:08
Mimi hata sijui nicomment nini kwa huyu demu..mda wote alikuwa wapi jamani.. Sauti nzuri.. she is professional.. video nzuri, beat nzuri.. yaani utafikiri alikuwa anafanya mziki kitambo..good job amber .. wasikubanie tu kwenye hayo maredio.. you are a star ⭐️ my dear..am a fun from now..
pamoko wangu
Binti Fabulous that true
Binti Fabulous yaan acha tu..navile nikiona wanamdharau huko ig...kumbe duh anasauti cmchezo
Binti Fabulous niatari
Binti Fabulous
Nampenda sana dogo zuchu anaweza kama mama yake sharauti nyingi dogo zuchu uende mbali stop mbinguni kazi nzuri naringa naringa naringa naringa na mungu.
Kheee!! Huyu siku zote alikuwa wapi kukata viuno kwenye nyimbo za wasiojua muziki wakati yeye anajua zaidi??? Yaani sikujua kama she is this good
this deserves 10m views,honestly
Wawooop💋💋💋💋💋💋
Walai
❤❤❤
Huyu ni mwimbaji mzuri siku hizi asikii
Nakupenda ❤❤❤❤❤❤❤
Why is this girl underrated?
The way she carry herself is the reason. Pia maisha yake kabla ya muziki
She ain't playing kingdom music with moving spiritual love impartation,she is talented though
Nakupenda tu amber-lulu Mungu akuinue juu zaidi, awashangaze wanaokudharau
Watoto wakali
Nakukubali sana amber lulu.....💘👏👏👍
Amen
Naomba usiimbe dada maana kuna watu watalala njaa UTAWAMBAMBA
Well done amber lulu my sister your the best one you have done good job
Talent Amber ❤❤❤❤❤❤
hii ngoma ni 🔥🔥 hua sichoki kuitazama ❤️ U Amber lulu!
2020 kama unaikubali hii ngoma gonga like hapa
nakumbuka mwaka 2016/2017 nikiwa ghetto afu pembezoni kulikuwa na club flan hivi, basi ikifika mida ya sa nne nne hvi ucku DJ ilikuwa ni lazima apige huo wimbo!!!!!basi nikawaga natikisa kichwa tu humo chumbani1!!!!!! goma nalikubali mpaka sasa
Achana umodel imba yaan unaweza nimeskiliza kwa makini nimejua unauwezo mkubwa Sana wa kuimba ujaingia kwa mkumbo unafanya kitu unachokiweza kweli nimependa kwakweli ckujua Kama ni mkali kiasi hiki amber lulu
amba lulu umetisha sana nice song nlkua sjuag ukal wako
Upo vzur mama
Amber Lulu anajua sio gigy money simuelewi
Wewe sasa ndio muimbaji sio yule mwenzio wa SUPU sijui ya makongoro sijui supu gani. Salute 🙌 na County Wizy nae kaua mbaya
Jackson Wilson Makala 🤣🤣🤣😂😂😂😂
Jackson Wilson Makala 😂😂😂😂😂😂 mi naona ni supu ya omenaaa duuu umeniacha hoi aki na comment yako dear😂😂😂
Unatesa dada daaa....
nice video ww unaweza sijui ulikua wasubir nn skuzote kutupa vtu vizur nyimbo bomba sana uani sichoki kuiskilza amber lulu ww ni mkariiiiiiiii
mie huwa nairudi kusikiliza kila wakati ki ukweli
Noma Sana, the Queen of bongo music.🙌🇰🇪
Daah huy mwana ndo kauwa kabisa yani hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Uko vizuri dada pambana wakome lov you
Amberlulu nakupenda sana❤❤❤
watakoma kweli na usiwape chansi
Kazi nzuri Sana, Big Up.............
Nimependa hapo ulipo imba...... Huku kumewaka Moto si kitoto,
Yaani Amber huu wimbo haunikifu dear love you so much ❤️🔥🔥🔥
Hii nyimbo nzuri balaa.....Big up lulu
I really love this song 🇰🇪😍😍😍2020✍️✔️✔️✔️👌
upo vizuri Saut nzurii Leo watakoma Si unanisomaa
Mtoto mzuri na ngoma yenyewe kaali pia. Amber kweli Amber, ushanizingua mtoto, sauti nyweeee...naupenda mziki wako. Bonge la fan toka KENYA.
wimbo ni mzuri kila Mara si choki kusikiliza amber lulu ulikuwa wapi u rock girl
7/6/2020/gonga like tusonge mbele 🇹🇿🇹🇿🔥 🔥
Ngoma kali sana hii tunao iskila leo uck wa 2020 tujuane
AMBER LULU KAMA UTAONA COMMENT YANGU NAOMBA HII NGOMA IRUDIE REMIX NIKUBWA SANA NAIKUBALI ALAFU AIDIA YAKE HAIZEEKI #watakoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
big up mchiz wang mwanang hakuna level yako uko juu mdada wang
NISEME UKWELI AMBER UKO JUU WALLAH,,,AKINA SHISHI,,,SJUI CHURA SJUI VITUGANI NA SUPU ZAO TUPA KULE,,,DAAAH SJAAMIN UJUE DUH,,FRM NOW AM UR FAN AMBER
Umenifanya ni fall in love ❤️ na mziki wako! Nimezisikiliza nyimbo zako zote hadi mpya ya jini kisirani! Umeongeza mshabiki 😉😉
2020 bado with Amber lulu ......Kenya live
October 10 mda huu kama upo unaisikiliza we ngoga like yko
Hata Kama ingekuepo miaka ya udhindani 2004 - 2010 bado hii ngoma ingepenya tu nauhakika bonge moja la ngoma 🙌🔥🔥
Nmesaka hii ngoma for months since niiskie kwa mix.. I love this track😍😘🤗
Amber NAKUPENDA bure huu wimbo sichokag kuusiklza
Jamani uuuuwiii🥰🥰🥰 nakumbuka feeling za Chuga kipindi hicho 2017 nilipokimbia shule😂
Unatembea na beat, unasaut nzur sana na style yako yakuimb vannesa atakutafut kwa torch ,jiongeze kuandka nymbo ambazo mashabik wanavutiw nazo baaas utatusua
Yap yap keepin rollin i luv yr music from italy nakupata safi kenya hoyeeee
lazima wakome mbwaaa haooo... Hatari sana...!!
Kevin _L's 👌👌👌👌
Kevin _L's kweli kabisa
saut yko amber uuuuuh...leo watakoma:)!
Uko gud my dear
Duh kumbe we mkali ivo best wakimbize haooooooooooooooooooo
This is bung unajua amba unajua sana kuwa tu serious na mziki afu siku utakumbuka haya maneno
mashaallah watanzania wanavipaji
Yr voices amber lulu yr beautiful lady go uppppppp baibe 🔥☄️👍🏽🍾🥂
Umetisha sana kwenye hii ngoma connty wizzy
Messie kalenga toto kalenga toto kalenga de trouble
Mziki ni laana kutoka kwa Allah
the good video good audio. one step ahead. fanya vizur zaid ya happoooo
Hatar
Plooo plooo nakubali kazi kazi Mwanangu @Amber the Amber nice video wooow apa msani Dogo Red toka nchini Zimbabwe Harare
nyimbo kali sana bigup
ujue umber lulu unakuja na kas ya ajab kuna cku ulisema unampenda Vanessa mdee na ukasema anaku inspire kufanya vtu kama vyke nakuombea kwa Mungu ukae meza moja nae mkiwania tuzo moja nakuombea nmeipenda nyimbo yko mpya only you nzur sana pia me huwa nakupendaga tyuuu ulivyo yaan be blessed mama
My best song for ever.
Hii nyimbo ni tamu kuliko maisha ya mo
bonge la ngoma ww nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Still love
Niececup
Niece voice Amber still
On the hill of my brain
2019
Fanya kama unalike
Boy of the country umetisha kinyama mzee na sauti yako mi hoiiii!!!!!
2024 tuna bang na hili goma
yaani bonhe la nyimbo ni bora u wimbe tuu amber lulu unasaut nzur sana yann hadi raha unaburudishaaa watuu nimeimbena sana nyimbo yako sauti yako nzurr nyimbo haina vurungu yaan ni bonge la nyimbo big up mamy
Cute Mamy23 nice
Lulu ana umbile nzuri tatizo lake puwa kubwa .
Let's hit 1M on this 💥💥
Katika ngoma naikubali miaka mear ni hii na nyimbo ulio wah kuimba ni hii sio mapiano yenu haya
In love.....my boo
.Amber😍😍
ngoma kalii
Woo amber hii wimbo sichokagi
Amber anajua sana kuimba watu wanamchukulia poa atafka mbali ajirekebishe tabia zke tu
Just remembering some days back ....more love for both Amber and Counrty Boy
Congratulations lulu yr songs🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍🏽🔥🔥☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽 hater🌏☄️💫🤛🏾🖐🏽👀👁👌🏽👊🏽👍🏽 I wish this song we put top of the top ++++++ jini song also give us more music lulu 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Hii ngoma Kali, inabamba Kila konaaaaaaa big up @Amber
Umbelulu kusema kwel anaujua mzikiii
Nakupenda san amber lulu😍😍😍
Yaaah u kill it buddy
this song is dope.... good job amber.. this is wat u suppose to do
amber lulu we msanii na model unaweza yote that is what i can say mi siwezi sita kuweka kwako unajiamini i cant wait some day nipate umem ft Q chilla goo bby
unaweza mamy
nakukubali xna mamlai unaweza xna tena ckidogo km vile umeanza kitambo Nouma xna
Big up mama 🥰
Hii nyimbo naipenda sana coz yanikumbusha mbali sana... Love to #Umberlulu
Huku kumewaka so kitoto ni shidaa oyoooooooo💋💋💋