Gigy Money - Papa (Official Video ) SMS SKIZA 7916996 to 811
Вставка
- Опубліковано 13 лис 2017
- #GigyMoney #Papa #SlideDigital
(C) Slide Digital
Gigy Money Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/gigymoneyog
Written & Performed by Gigy Money
For Bookings: mxcartertz@gmail.com
Follow Gigy Money on:
/ gigy_money_og
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
2024 Anyoneeee! The song is still dope guys!
Gig hana ngoma km hii
Am still in love with this song till now 2023
Kama bado unaupenda wimbo huu hadi Leo hii 2020 gonga like twende sawa
Yeah
Kama umemona amba lulu gonga like hapa
Nice song
@@doriciancyprian4572 teeenaaaaaa💃
nakubal kbs mpak 2021
My favorite all the time kama unaisikiliza 2020 gonga like apa...
Pmojaaaa sna
😘😘😘
azh zha yassin subscribe to my channel
Ya nn
Nimerudi tena 2022 daaaha nikapita mahala imepigwa. Tena kwa sauti ya juu utaipenda🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mzr pia bado aichuji
@@abdulsaid5518❤
Kama bado unaupenda huu wimbo 2021 gonga like
2023
Jamani gigy nakupenda mnoo nyimbo haichuji Hadi leo 2021❣️❣️❣️😘😘
Kwa nyimbo zako zote napenda hii Gigy.. Clean and clear
Iko poa
Mwaya 💋❤️💜💜💜💜
Kizazi sana
Piamimi hii nyimbonzuri
Ii
Kweli nimaeamini nnzi akiacha ujinga anatengeneza asali,uko vzr bibiye gigi
Marioo fundi🙌
Marioo's voice in this song 😤🔥🔥🐐
Sister wetu yupo vizur sana
I love you Gigy money 💰❤️🇰🇪natamani asema anachotaka nimfanyie,nampa papa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪This song ...Giggy outdid herself
Gigy hii kitu adi leo 2020 bado naielewa Sana yaan, sema hizo nyingine ulizotoa ni uvundo mtupu, Ila kwa hii nakwambia itaishi Kama umri wako
Gygy hi ndo ngoma ambayo nime kuelewa tu zingine Ni maji
Young killer Msodoki coz kaandikiwa na marioo...gigy si mtunzi mzuri...
Good
Nakumbuka mbali sana pindi nipo oman nawajibika na goma ndio latoka bac weeeee na mpaka ss 2023 ni 🔥🔥🔥🔥
Hadi oman uliend
giggy uko juu my sweet sister
2024 still enjoying this 🔥🔥🔥
I like this song ningependa uwendeleye kuimba nauyumwoneko umeeleweka sana kuvyenye umeimba
Sifikirii Kama Gigi anaweza kutoa Tena goma Kama hili..biti yenye ujazo.ngoma Kali sana..hayo mambo ya kupeana Papa nakuachia mwenyewe..26.3.2020
🤣🤣🤣🤣
Chombezaaa ni ngomaaa hatareee pia
Gigi upo juuu Sana
Gigy hapa uliimba mpz
31.10.2023 Tunduma ni mwendo wa papa❤❤❤
Kenyans in majuu well represented ❣️
Dah huu wimbo mtaam
Marioo in this one🎉
Nasi anapendaga sana samaki haka kipande ni marioo kaimba au me ndio nasikia vibaya
Bado nazid kuikubal ii ngoma...kama kuotea aliotea
Marioo wamembania kwenye video hajaonekana
Wimbo bora sana 💓💓🙏🙏👍👍🔥🔥🇲🇿🇲🇿
Nakukubar wang gift wang
Nakupenda mpaka natamani nije Tz kukuona mama mayra yani penda sana Kazi yako aise noma papa
Kama bado unipenda hii nyimbo mbaka sasa 2021 gonga like hp
Nakubar
Who else heard Mario's chorus from this dude,,,it's 6yrs since it was released bt stil on top
KWANI HAO SAMAKI WENGINE HUJAWONA MPAKA UMTAJE PAPA
Gigy mbn hapa huna mijino km sasaiv
Naomba nipewe hapahapa.🙍🙍🙍
Toa kama hizi mzee
God knows how many times I've rewinded this song ..
Damn....sis got a certified hit💯...beautiful voice
Jamani kawimbo katam balaaa etiii😊😊🤗💗💗🔥🔥ivi walisemaga unashidagani huuu nyieee
Wenye tumekuja baada ya skendo mikonoo juu
Ngoma kal dada gig we noma
Sister hii nyimbo ulioteaaa..nzuriii sanaaaa
giggy mapesa kama ada yake tayari ameshakinukisha pumbavu akeee
Ushauri tafuta hii melody tengeneza mziki wa aina hii
Moto Sana ,kip it burning gigy
Saf sana
Namapa papa🦈🦈🦈
Naisikiliza Tena 2023 🔥🔥
Nakupenda we kichaaa hujui tu
Still 2024 my favorite mosic
Ngoma kali ya muda wote.
Feb 6, 2023
Madanga wa mjini awo wamekutana
Give it to me....give it to them....wapatie....wakinuna...au...wakicheka...ni ..shauri yaho....wakomeshe...sanaah....wape..wine...beer...whisky...Rum....Mbege...Gongo...Wakimeza wakitema shauri yako....Let..us ..Gooooo....you....go...All the...Way...to..the TOP
Hii nyimbo ndio naipend sn🥰🥰
💃😘😘
Hajatoka kwenye key....kwenye bi
Wapeee nimerudi kusikiliza♥️♥️🇹🇿🇹🇿
My forever song 2025
Oh the old days of Npapa 😊 shit happens thou nice song still...
2023 we on
Tupoooo
Nyimbo zako hazichezi mbali na Papa, umetunga ww au umetungiwa
Umetisha
Kuna watu wawili bongo amber lulu na gigy 🙈🙈🙈🙈
Ipo mpka Leo huku kwetu ilinga kwawala umbwa 💔💝💝💝
*Kazi safi sana, muziki mtamu*
Wanaoangalia baada ya connection like hapa😂😂
Love from Kenya....wooow...sauti nzuri ...Saidi Karoli ivi....
mbone huyu dada yuko juu ka mawingu tu. ngoma haichoshi kabisa
hii ndo nyimbo nzur ya gigy2021
Tishaaaa
Moto sana
My favorite song 💙💙
Ikipigwa Disko hii wimbo balaaaa inaamsha kinoma Beat ake
Mko wapi Tunaoskiza tena 2021🤔
Nampa papa....love u gigy...ma role model .
#marioo hiii ktu uliiwezea knyama na biti linabamba had2020 daaah👍👍
Wooow gigi I love you mashallah your song are nice ❤️ 💕 💗
Uko vizur cn sisi mashabiki wako tuna kukubali San 💯💯💯💥💥
Nampa nampa nampa nampapapa from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 we love you gigy money
Marioo yuko wapi humu jmn
Still the best from gigi💯
Asante Marioo kwa uandishi ❤
This song hits different on my friends birthday 😂😂
Jamani naombeni likes zenu
Ata nlkua sjui nani ameimba hii nyimbo
2023 naupenta bwanaaaa
Jamani nimejikuta hapa kwa mipapa, hii lockdown ya ulaya sio ya kitoto basi ndo nimejikuta hapa wacha tule papa hadi kieleweke
From Zambia
Nampa papa my all time song
Yan hii ngoma daah my favorite song for sure ad leo 2020
The best singer❤❤💎 motema nangaii❤
Kama umerudi huku baada ya connection mbingu utaiskia kwenye bomba
😅😅
Hii ndo ngoma
Naskia eti gigy anaimba ngoja niamini leo.. kweli anaweza who is here 2021😉😉
Hapa gugy uliweza🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Nampa papa
hata mimi natoa papa karibuni
Daah
Nice chorus, I love u Gigy Money