Nandy - Kivuruge (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @dubadontv8387
    @dubadontv8387 10 місяців тому +468

    Ni Nani amerudia hii ngoma tujuane apa 2024❤

  • @elvislangat6464
    @elvislangat6464 Рік тому +24

    Huu Ngoma mzuri mno,yaani huwa sichoki kuisikiliza pia huu mwaka 2023yaani zaidi ya 🔥🔥good job nandy👍🙌💯🌹

  • @jeremihkyambi395
    @jeremihkyambi395 Рік тому +22

    Tokea Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪huu wimbo bado wanizungumzia🥺😪♥️

  • @vivianmusic.
    @vivianmusic. 8 місяців тому +22

    Iriniuma sana jamani baada yakusikia huu wimbo Nandi kama vire nimefanyi mm

  • @mamukadzo124
    @mamukadzo124 2 роки тому +13

    Baada ya kuskiza SIWEZI sasa nikakumbuka hii nyimbo Nandy mamaa lots of love from Kenya ❤️

  • @rayshikeli1577
    @rayshikeli1577 4 роки тому +483

    Stress za mapenzi nimekataa,hamna mtu kula vidonge kwa ajili ya penzi.....tujikaze roho zetu kuna watu wanatuhitaji kimafanikio zaidi ya Vivuruge,kama unakubaliana nami achia like❤️❤️

  • @relaxingstudyingyogaworking84
    @relaxingstudyingyogaworking84 3 роки тому +108

    Swahili songs from Tanzania are lovely. Swahili is one of the sweetest language in the world. Kiswahili ni lugha tamu sana tujivunie hii lugha yetu.

  • @mariemasudi364
    @mariemasudi364 3 роки тому +14

    Nani ana zidi ku penda mziki huuii hadi leo? Jamani mimi naipenda sana ❤️❤️❤️ Nandy lovely

  • @HalimaMaulidmangorosho
    @HalimaMaulidmangorosho 6 місяців тому +142

    Tunaosikiliza 2024 naomben like bas vipenz vyangu 🙏

  • @MapenzichanzingeMapenzichanzin
    @MapenzichanzingeMapenzichanzin 5 місяців тому +17

    Nimeruditena mana napeda sana from Congo 🇨🇩🎉🎉🎉

  • @Bigenergy94
    @Bigenergy94 8 місяців тому +94

    2024 bado niko hapa kabisa sibanduki❤

  • @AminaQali-zz1lp
    @AminaQali-zz1lp 12 днів тому +1

    Maze aliimba ukweli..... yaani true story and I was there.....big love❤

  • @levinpeter4829
    @levinpeter4829 3 роки тому +18

    "ama kuna mtu mnapendana sanaaaa" this line runs deep. I still love despite the pain, can't believe alipewa ball akanitoka

  • @StreetBuzz
    @StreetBuzz 4 роки тому +267

    nitapona mdogo mdogo..we niache niende salama....wapi likes za nandy 2020

  • @afiyahaitham713
    @afiyahaitham713 4 роки тому +651

    Women’s day today. This song is for all those out there who have decided to leave a toxic relationship. Powerful message

    • @emilykinya5757
      @emilykinya5757 4 роки тому +6

      Oooh my like me

    • @calebogola7702
      @calebogola7702 4 роки тому +13

      Toxic relationship is not brought about by men only...women too

    • @afiyahaitham713
      @afiyahaitham713 4 роки тому +11

      Caleb Ogola that’s not what I wrote. I mentioned women to coincide with women’s day that’s all.

    • @stonemarcom6985
      @stonemarcom6985 4 роки тому +3

      Caleb cheers to you brother

    • @gicheru100
      @gicheru100 3 роки тому +1

      Pia wanawake..

  • @HappyJohn-h8q
    @HappyJohn-h8q 14 днів тому

    Nandy una sautiiiii sana nakuombea Mungu umjue Yesu umuimbie. Nakupenda sanaaaaa. Huu wimbo ulipoutoa nlikuwa napitia maumivu ila yalipitaaaa. Nipo pengine nina amani

  • @jshshhshs2244
    @jshshhshs2244 3 роки тому +24

    She's the African princess for real I really appreciate 💕 big up 💕 mob love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @analikwuchigozie5355
    @analikwuchigozie5355 2 роки тому +39

    She is really incredible. Her voice is just too good✨👏🏾 I don’t understand anything but I love ❤️ I am from Nigeria 🇳🇬

    • @clingcrust8745
      @clingcrust8745 2 роки тому +4

      She’s basically saying that she’s fed with the relationship she’s in because her boyfriend is literally seeing other girls. Now she just wants to leave and that she’s gonna heal slowly

    • @mumenguvuze2093
      @mumenguvuze2093 2 роки тому +2

      Its a heart break song .... She has an awesome voice ... Now she says her man should leave her to heal from the heartbreak .. SWAHILI

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 2 роки тому +1

      Wee niache just leave me ntapona mdogomdogo I will recover slowly

  • @ronneygriffines4431
    @ronneygriffines4431 2 роки тому +124

    This song reminds me of my past relationship,,I did everything as Nandy is saying but ended up being heartbroken,,she never cared for what I went through but now everything is ok,, I've moved on and now very happy being single,,,Big up the African PRINCEEEEEEESSSSSSS

    • @doreensabai8736
      @doreensabai8736 2 роки тому +2

      Naaaaaandiii😍😍😍❤

    • @fandeyh.mashimba156
      @fandeyh.mashimba156 2 роки тому +4

      Pole sana. It is always like that, and then when thing goes wrong they come back asking for forgiveness 😭😭😭. You look at them and remembered all evils they did to you.

    • @justinnaftalekashindi1672
      @justinnaftalekashindi1672 Рік тому

      ❤❤❤

  • @Riverbrd
    @Riverbrd 2 роки тому +4

    Back here after watching 'siwezi' and realized every time she dons a dera, better sit down coz a Banger's comin'!

  • @Maajaliwa_Kassim
    @Maajaliwa_Kassim 5 років тому +5

    oooooh so swiit....nitapona mdogo mdogo....big up Nandy u are the best ...naumba mwenyezi Mungu akuongeze kipaji zaidi tena zaidi....

  • @georgeogbonna301
    @georgeogbonna301 6 років тому +248

    This lady is indeed the queen of Africa, since I saw her at afrima I have not stopped playing her song and promoting her music, here in America also I play her songs Everytime,her voice is just so angelic,@nandy you are awesome

  • @simonmpeho7385
    @simonmpeho7385 5 років тому +16

    It is a great song Rumba at it's best the singing is beautiful and you have that angelic voice that one hears once in a lifetime Nimeipiga hiyo nyimbo siku naima Niliondoka Tz miaka 30 iliyopita hivyo hiyo nyimbo inanirudisha Tz

  • @pamanyango8917
    @pamanyango8917 2 роки тому +3

    Nimerudi hapa tena ,baada ya mama nandy, kuimba huu wimbo siku ya mahari ya nandy

  • @snawomabusela3325
    @snawomabusela3325 5 років тому +240

    I'm from South Africa,i heard the song playing and i didn't understand the language but i saved every word i could pronounce and remember. I've been searching for the song ever since.It speaks to the soul and her voice is flawless.Even the language is rich and smooth flowing.I want to hear more of Tanzania .

    • @trippleblaaack
      @trippleblaaack 4 роки тому +36

      She is singing from the point of losing hope in her lover. Her lover treats her with so much despise and disrespect. He beats her, talks bad about her to his friends, cheats on her. Nandy can't take it anymore and tells her lover to let her go, she will heal as time passes, for she will be better healing than being with her lover.
      And yes, Swahili is rich and sweet. Start learning😂

    • @amliza4612
      @amliza4612 4 роки тому +4

      Lovely message snawo!God bless you,I feel the same way when I listen to Zulu musicians esp Zahara! Africa is blessed and highly favored! bless you all

    • @papson2010
      @papson2010 4 роки тому +5

      @@trippleblaaack hey...Am getting in love with Tanzania and its women. Would like someone to get me connected with some. This song is Divine

    • @mokaLARE
      @mokaLARE 4 роки тому +1

      @@papson2010 🌚

    • @mokaLARE
      @mokaLARE 4 роки тому +3

      @@trippleblaaack thanks for sharing the meaning of the song with us.

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 7 років тому +12

    I love this song 😘🔥nikama #Nandy amejuwa ninayo yapitiya

  • @ABASIOFFICIEL
    @ABASIOFFICIEL Місяць тому +7

    Kabwa atuja maliza 2024 imebakie miezi miwili tujuwane kwa ku gonga like apa 👍

  • @maggiesheri853
    @maggiesheri853 6 років тому +8

    Oh my God,I love this song.It's everything you would want to listen to.The video is perfect as well.Yaani sizungumzi kiswahili kizuri vile japo kwa hii nyimbo naimba word to word.Kenya tupo for you Nandy.

  • @isaackalipi4076
    @isaackalipi4076 6 років тому +10

    J'ai toujours rêver de dire ça à un tanzanien, que j'aime le Bongo Flava par ce que je sais d'où il vient et je l'ai vu grandir...Depuis les Juma Nature, Professor Jay...Ceux que j'ai connu... Et aujourd'hui, quand je vois où il en est, woow! J'ai découvert cette chanson il y a trois jours et depuis je l'écoute en boucle sur youtube sur mon ordi et quand je quitte le boulot, je la joue sur mon phone...Ningeweza kuandika comment hii kwa kiswahili, lakini nimependa ibaki kwa Kifaransa ili iwe na saini ya nchi yangu DR Congo, na ku bainisha support kwa muziki wako. Inahimiza sana...

  • @vincentgeorge178
    @vincentgeorge178 7 років тому +17

    Sijawi skia nyimbo ikanitowa stress kama hii
    Bless u nandy

  • @ColinsNgabani
    @ColinsNgabani 26 днів тому +1

    Kumbe nandy ana Ngoma Kali hiivi ❤ 🔥🔥🔥

  • @ginah1335
    @ginah1335 6 років тому +28

    This sooong just talks abt my situation 😓 umekuwa kivurunge unavuruga sana

  • @shakilahpurity7314
    @shakilahpurity7314 7 років тому +172

    I love the video 💞💯 mmezoea Kuna breakup song video Mara Waka breakup Kwa mansion Mara flashy car...yani video ya nandy naipenda Sana hata Kwa nyumba za uswazi tunaenza shoot video... Asante Nandy Kwa kukumbuka asili yetu

    • @michaelreece8330
      @michaelreece8330 7 років тому

      Shakilah Purity Watu wanaposea video mbaya sio kwa sababu hamna hivyo vitu ulivyovitaja.

    • @shakilahpurity7314
      @shakilahpurity7314 7 років тому

      Lazier Michael 😊👍

    • @hidayayusufu4639
      @hidayayusufu4639 7 років тому

      👏👏👏

    • @algwiji
      @algwiji 7 років тому

      Pia huku upo😋

    • @saitotisaitoti6734
      @saitotisaitoti6734 7 років тому

      Shakilah Purity video nzuri sio mpaka uweke hvo vitu unavosema..hata hvo alivovaa na mahali alipo actia ni pazuri..wamechemka kwenye matukio hayaendani kabisa na wimbo.kosa hapo ni la director

  • @abdigodana5534
    @abdigodana5534 Рік тому +9

    "Kitu gani kwako me sijafanya????? Ama kuna mtu mnapendana sana.....???" Lyrics to deep makes a grown man cry😭😭😭😭

  • @pascalnyamaswa1534
    @pascalnyamaswa1534 Рік тому +1

    Nandy anaonekana mrembo zaidi katika wimbo huu kuzidi nyimbo zake zengine

  • @swagmastershood121
    @swagmastershood121 5 років тому +41

    This song is just beautiful. The simplicity of the cast is just beautiful. You could just feel the pain in her voice even if you can't hear a word she sings.. Much love from ZImbabwe.

  • @ngetichken9227
    @ngetichken9227 5 років тому +36

    Today hizi lyrics are a true reflection of my current situation
    ...mapenzi yanavuruga....thank you Mandy

  • @blessingempress1280
    @blessingempress1280 6 років тому +152

    Who is addicted to this song like me???? Woow! Nandy issa lit....

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 6 років тому

      its more than an addiction

    • @maryamalfons3699
      @maryamalfons3699 6 років тому

      hongera

    • @mwajumafurahish7902
      @mwajumafurahish7902 6 років тому

      m2kukukupa msaada ninadra sn walemavu. wangap wenyekusota kwamwili ulisha wah wapa msaada hii dunia nyinyingine kl mtu nalake vzr sn mdogo wangu cc wabongo niwajuaji mno

    • @mwajumafurahish7902
      @mwajumafurahish7902 6 років тому

      umezungumzia mahusiano nakialisia maisha yakawaida ndio yenyematukio mengi yamahusiano kutokana na mchanganyiko uliopo na kula m2 nalake kwangu yake yana mshinda hawez kujal yakwako..ckila anae tembea yuko Tatar kutoa msaada weka akirn.

    • @shyromburucollier40
      @shyromburucollier40 6 років тому +3

      blessing empress I can’t get enough of this song !!!!

  • @hildajepngetich6311
    @hildajepngetich6311 Місяць тому +2

    She sang it so well and expressed her emotions so perfectly 😢❤❤❤

  • @brightonseleli2531
    @brightonseleli2531 4 роки тому +13

    For 2 years have never heard this beautiful master piece......listening from Zambia

  • @angelkairu8254
    @angelkairu8254 5 років тому +111

    Cant get enough of this song, who else is still here?

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 5 років тому +40

    Soul and Spirit, This is the A.B.C of what a song should have and ultimately causing positive feelings. Thanks Nandy for doing Psychotherapy to all who in whatever painful situation they have faced and now healed.

  • @saidahassan3126
    @saidahassan3126 Рік тому

    Minaona afadhali ikae mapenzi bwana hayana mana afadhali kua single mother mara 💯African princes nandy kayazungumzia solute🥰

  • @racymwikali9992
    @racymwikali9992 5 років тому +21

    Nandy all way..
    Show some love for this girl...
    She will remain to be a queen.....

  • @fenoVoo
    @fenoVoo 3 роки тому +29

    I'm from 🇨🇲, I don't understand nothing from this song but the voice and the melody hit me straight at the bottom of my heart ❤.. One Love Tanzania 🇹🇿..Africa wins altogether as one.. 🌍

  • @everlynwanjiku5675
    @everlynwanjiku5675 4 роки тому +51

    Dont seem to get enough of this song...i really love it...so much😭😭more likes please ...

  • @maxmillianochango6575
    @maxmillianochango6575 4 роки тому

    True to her words nilipona mdogo mdogo nilipoachwa niende salama....love is for the birds....

  • @masivohbeatrice6333
    @masivohbeatrice6333 5 років тому +18

    This song has really touched my heart😥😥 nitapona mdogo mdogo nitapona

    • @vimovingi4942
      @vimovingi4942 4 роки тому

      😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶

  • @Roybeast748
    @Roybeast748 5 років тому +47

    Nandy u really don't deserve the name the African princess instead unafaa the African queen coz unaweza ile mbaya I lv u nandy keep up

  • @lilliangichuru
    @lilliangichuru Рік тому +11

    *2023 here to enjoy this master piece* 😍💖🇰🇪🇰🇪

  • @josephkway8391
    @josephkway8391 4 роки тому

    Amina......nitapona mdogo mdogo.....Amina nitapona.....

  • @bladdict247
    @bladdict247 2 роки тому +4

    Can't get enough of her songs....mtoto mzuri na sauti ya kutoa nyoka pangoni..aiseeh

  • @tiffnicely
    @tiffnicely 6 років тому +400

    Nandy is a Tanzanian singer and songwriter. She won the All Africa Music Awards in the best female artist in East Africa category in 2017.

  • @gicheru100
    @gicheru100 3 роки тому +6

    This song is a life story for some of us. Tuliachana naye na Niko na maisha Bora saa hii. No regrets whatsoever.

  • @cosmasomweri5897
    @cosmasomweri5897 Рік тому +3

    know this today,!!!! whoever ur calling a lover,is who he/she both you are at equilibrium at all situations, otherwise one will be overburdened then surrender ,take care.😊

  • @johnkipkoech
    @johnkipkoech 6 років тому +48

    if you ever wanted to hear how angels sound, please listen to her, she is an angel.

  • @conniegithegi
    @conniegithegi Рік тому +8

    Reminds me of a past I had😢 But God happened 😊

  • @josephkimani3688
    @josephkimani3688 5 років тому +33

    Nandy I have just known you this September 2019.just can't believe I have been missing alot of good music from you.i love you as a music character 💯❤️❤️

  • @abdullahimohammed895
    @abdullahimohammed895 4 роки тому

    Nitapona mdogo mdogo aki sina mingi lakusema ✋-👏👏👏👏 from USA

  • @ireneo-dwamena7490
    @ireneo-dwamena7490 5 років тому +15

    Shout out to this beautiful Tanzanian singer from another parent, she is beautiful with such a soulful, beautiful voice. Just discovered her but better late than never. Keep up the fantastic work

  • @Worldwide989
    @Worldwide989 Рік тому +6

    Mimi anapenda kiswahili kama maji baridi, my second home tanzania 🇹🇿

  • @cuteblackrosee
    @cuteblackrosee 6 років тому +8

    Omg this song is everything even Beyoncé can not sing like this! My sis big keep up the good work you are pretty inside and out love from the US

  • @annmaina8985
    @annmaina8985 4 роки тому +18

    Back in 2018 Dec,after I was thrown out by my husband I always listened to this...n I decided to let him be with the one who makes him happy 'ama Kuna mtu mnapendana sana'.
    Now I'm here in Nov 2020 n the pain is gone.

  • @chrismwangi1715
    @chrismwangi1715 2 роки тому +2

    Wawawoo one f the favorite female artist ever had n your pass message for all situation that go through

  • @PatriciaMuganzi
    @PatriciaMuganzi 5 років тому +18

    Song's been on replay... umenigusa Sana Nandy. This song made me cry like a baby... hehe.
    Thank you so much for expressing our pain young girl.

  • @claudinehedam.1297
    @claudinehedam.1297 4 роки тому +36

    Who is here, after Koffi mentioned her and this song in his interview?

  • @mugishajoramu6650
    @mugishajoramu6650 4 роки тому +300

    Kama unaupenda huu wimbo gonga like

  • @Memphisblue22822
    @Memphisblue22822 Рік тому

    kipindi hii nyimbo inatoka ndio nilikuwa on my ealry 20s... nilikuwa naanza job nalala chini ndani nna kiatu pea moja tu na jins kama mbili lakini i was content ... nilikuwa na love and family...
    then am here sleepin like a king but no love no family and am not content .... i feels like a slave... moyo wangu ulikuwa pure sana

  • @itsJesseKelvin
    @itsJesseKelvin 6 років тому +68

    The song has soul and so much sincerity most of us have faced heart breaks tutapona... Kenya massive

  • @consolatagabriel
    @consolatagabriel 5 місяців тому +19

    na mimi pia nipo hapa 2024

  • @roseypraize4469
    @roseypraize4469 3 роки тому +11

    I didn't know one day I could listen to this song and not cry☺️☺️

  • @stenciahmndeme2217
    @stenciahmndeme2217 2 роки тому +1

    Dah unaimbwa bwanh tena kwa isiy sana Mwenyezi MUNGU akupe afya njemaaaaa💞🔐

  • @ednahkwamboka4422
    @ednahkwamboka4422 4 роки тому +79

    The Story of my life! Hope someday i wont have to get soooo emotional listening to this song. Some wounds just don't heal or do they?

    • @leilamwilali6335
      @leilamwilali6335 4 роки тому +6

      They do heal sweety trust me I’ve been there and when I decided to know my worth I stepped out and I made it

    • @ednahkwamboka4422
      @ednahkwamboka4422 4 роки тому

      @@leilamwilali6335 thank you.

    • @monicawanja5470
      @monicawanja5470 4 роки тому

      Ednah Kwamboka mi to

    • @nuriajegge6259
      @nuriajegge6259 4 роки тому +7

      Yes they do heal,when you learn the lesson behind the pain...when you let go..the wound heals..

    • @jobonserio6769
      @jobonserio6769 4 роки тому

      Haye babaa yane ..

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 4 роки тому +62

    Nani bado anapitia huu wimbo July 2020,twende pamoja jamani.

  • @roxanetoure2516
    @roxanetoure2516 6 років тому +18

    Just discovered her....love that song😭😍😍. Made me cry like a baby. Sa voix elle est magnifique 😩💕

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra Місяць тому

    Uandishi wa j melody. Tuliokuja kusikiliza kusikiliza uandishi tujuane.

  • @gandhiamauril8666
    @gandhiamauril8666 6 років тому +105

    I’m Haitian , I don’t understand a word but I’m in love with her voice 😩❤️😘❤️

    • @samsonkarume7173
      @samsonkarume7173 2 роки тому

      Ou fè m soufri tankou yon lyon,
      Epi ankò medikaman pou doulè mwen pran grenn,
      Zanmi m yo ou meprize m,
      Li fè m 'parese pou m fèb,
      Oh Oho wap banm doulè tankou lou. e ankò
      Medikaman pou doulè mwen pran grenn mhh
      Pou zanmi ostil yo ou te meprize m '.
      Ou fè m parese vin fèb,
      Jodi a mwen pa gen okenn valè,
      Wap swiv yo o papa,
      Jodia mwen pa gen valè eeh
      Mwen vle di,
      wap swiv yo
      Oh papa,
      li kite m
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè
      (Kite m ale an sekirite)
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè (kite m 'ale)
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè (kite m 'ale an sekirite)
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè, aaaah ooh
      Le pli vit ke yon diskisyon eklate ou joure m ',
      Menmsi mwen pote yon kado pou ou epi mwen di ou mèsi,
      Ankò epi pataje menm san yo pa konnen poukisa ou satisfè,
      Men, lè mwen anmède patnè mwen pa panse,
      Pou mwen kè yon sèl melanje yon,
      Ou vin tounen yon dezòd, ou deranje anpil papa,
      Kisa mwen fè ou eeeh eeh
      Oswa èske gen yon moun ou renmen vrèman,
      Jodi a mwen pa gen okenn valè
      Wap swiv sè yo du oh papa
      Jodia mwen pa gen valè eeh
      Se poutèt sa ou jwenn sè du
      O papa mwen, kite m ale,
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè (kite m 'ale an sekirite),
      Mwen pral geri ti kras mwen pral geri (kite m 'ale),
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè (kite m 'ale an sekirite),
      Mwen pral refè ti kras mwen pral refè, aaaah ooh
      Aiyoyoiyoh
      Ulienipa maumivu me kama nyang'au,
      Na tena maumivu dawa ninywe vidonge,
      Kwa marafiki mashosti ukannidharau,
      Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge,
      Oh Oho ulie nipa maumivu me kama nyang'au. na tena
      Maumivu dawa ninywe vidonge mhh
      Kwa marafiki mashosti ukanidharau.
      Ukanitia uvivu tress niwe mnyonge,
      Leo sina thamani ndo maana,
      Unawafata milupo oh baba,
      Leo sina thamani eeh
      Ndo maana,
      unawafata milupo
      Oh baba,
      we niache
      Nitapona mdogo mdogo nitapona
      (niache niende salama)
      Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache)
      Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama)
      Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh
      Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi,
      Hata zawadi nikikuretea ausemi asante,
      Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini,
      Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze,
      Kwangu moyo we unauchanganya a,
      Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we,
      Kitu gani kwako mi sijafanya eeeh eeh
      Ama kuna mtu mnapendana sana,
      Leo sina thamani ndo maana
      Unawafata masista du oh baba
      Leo sina thamani eeh
      Ndo maana unawapata masista du
      Oh baba we niache,
      Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama),
      Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache),
      Nitapona mdogo mdogo nitapona ( niache niende salama),
      Nitapona mdogo mdogo nitapona, aaaah ooh
      Aiyoyoiyoh

    • @rashidyekin9619
      @rashidyekin9619 2 роки тому +2

      its a breakup song, after being miss handled in a relationship, she decides to leave and heal slowly

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 років тому +29

    Nandy my current princess! Love your voice na KIZOMBA in your songs. Lit lit litttt👌👌👌👌👌👌💖💖💖💖💖💖💖💖

    • @sarahsabah980
      @sarahsabah980 6 років тому

      me too I love Her voix with song of kivuruge Nandy I❤u

  • @simontish2727
    @simontish2727 4 роки тому +14

    This song... let's just say it helped me keep my sanity and believe ever more that time is the best medicine when nursing heartbreaks. Usiuvunje moyo unaokudhamini.

  • @dumasekatongo6830
    @dumasekatongo6830 Рік тому +3

    What a beautiful song.... very emotional 😭 and healing at the same time

  • @ssekyewajulius5769
    @ssekyewajulius5769 2 роки тому +18

    I don’t understand swahili but i love this woman with all my soul . Somehow i understand what she sings

  • @Kelsric
    @Kelsric 6 років тому +21

    I have had to listen to this song over and over to get over it but clearly I have got to admit that this is a mastery in music. Marvelous work of art.

  • @maishskaeh2772
    @maishskaeh2772 5 років тому +5

    For her songs#nwadayz mi uplay bongo,true African queen.mad love for ya

  • @DanFlavourTz
    @DanFlavourTz 3 місяці тому

    Hii nyimbo ni kali mnoo kusema kweli imba nyimbo zote ila hii aaah kila kitu kipo vizuri kuanzia uandishi merody mpaka beat wee acha tuu

  • @ibrahimaunga24
    @ibrahimaunga24 5 років тому +30

    this song actually i listen to it daily and continously,today i gotta comment and say it really healed me

    • @barakafrancis2979
      @barakafrancis2979 4 роки тому

      94ttt wed ii

    • @husnaharuna8269
      @husnaharuna8269 4 роки тому

      Hey Ibrahim.
      We're you also mistreated with your husband/lover? Strange this is for healing ladies/women who once have been wounded with love from their lovers.

  • @evanskochulem9277
    @evanskochulem9277 6 років тому +6

    I have made more than 100 views for this song alone,, a queen indeed in her own right.

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 роки тому

    Nitapona mdogo mdogo wee niache🙄🙄🙄🙄🙄a nice song that I can sing to my crush😁😁wallah

  • @sambianhobrian4671
    @sambianhobrian4671 4 роки тому +7

    I just love the voice of #Nandy but am from Cameroon .
    Her songs are all heart warming though I don't understand the meaning of her songs but I can feel it from the rythm

  • @rukiaabdallah92
    @rukiaabdallah92 7 років тому +445

    Watz shida sana angekuwa uch mngesema wimbo na mavaz hayaendan mim naona yuko sawa kwa kila kitu na wew shabiki kama unaona hayuko sawa dondosha like yako yako hapo chin na utoe wimbo wako na video yako 😙Nandy kaza buti twende tutakuelewa tu kwani kila kitu kipo sawa

  • @Twandana2010.
    @Twandana2010. 4 роки тому +65

    Nani karudishwa hapa na Coffe Olomide?👍🔥🔥🔥

  • @MayundoKakinga
    @MayundoKakinga 3 місяці тому

    I loved the song without understanding the meaning great song❤ from Zambia 🇿🇲

  • @mercylynekuin4863
    @mercylynekuin4863 6 років тому +86

    Saa zingine sielewi mapenzi😢😢unayempenda hakupendi vile vile...ila naomba ni mpate soulmate wangu...otherwise heartbreaks mbaya

  • @jimk7479
    @jimk7479 6 років тому +7

    Naomba uokoke Nandy, msifu Mungu utabarikiwa sana Mdogo wangu.

  • @meshymesh9689
    @meshymesh9689 4 роки тому +6

    Nandy my favorite female artist, mad love from 🇰🇪 kenya

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 4 місяці тому

    B gap kwake mwana dada nandy namkubali sana yuko juu

  • @naomiobure4329
    @naomiobure4329 5 років тому +9

    the African princess you remain to be my role model....this song will never get old...😄

  • @mohdsubeir2343
    @mohdsubeir2343 6 років тому +29

    love from Sudan 🇸🇩 I believe I’m not Arab I’m African and proud

  • @rukabobugalama2722
    @rukabobugalama2722 3 роки тому +8

    I can't believe this song is 3years old now, I heard it in my sister's phone and I end up go on utube to watch the video, I'm now paying it unstoppable. My best song of December 2020 much respect from DRC

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 4 роки тому

    Wimbo mzuri sana Nandy nakupenda sana sauti inanivuruga mdogo qangu

  • @rouxelolou1987
    @rouxelolou1987 6 років тому +10

    Wonderful. Music is wonderful. Without know the langage i feel in love OF this music. Oh, this is a wonderful voice. Beautiful. I am from benin in west africa. All my friends love this music. Nandy, beautiful job. Your music is wonder