KAMPISTA: UCHAMBUZI SAKATA LA FEI TOTO NA MAYELE KUTUA SIMBA? USAJILI HUU WATAMSAHAU CHAMA UKITIMIA
Вставка
- Опубліковано 4 лип 2024
- #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream
- Спорт
Hiyo kweli au. Maneno
Utupe habari za ukweli hayo unayoongea je I kweli?
MO TUNAOMBA MAYELE NA FEI TOTO WAJE SIMBA
Boss wetu tunaomba atuletee fei na mayele
Hatawakitua hatawakiruka Tabuileile😮😮😅
wakaee saw mana hz machine sio za kitt
Tuleteee mayere baba na fei
Tutamusahau tu chama maana hayo nimajembe yakanzi
Tuwakomeshe na wao yanga
Feisal aje
Zikituwa hizo miamba tutaendesha gari bila usukani
Chama chetu cha waandishi
Mlete fei na mayele
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba hapa ilipo hata wasipokuja mayele na fei toto timu ni nzuri mno chama amebakia kwa talifa zenu tu Hana lolote ametuangusha miaka mitatu aende kabisa tuko vizuri mno
Hilo chambuzi la yanga
Simba wakimsajili fesali usajili WA chama kwenda yanga utakuwa umefunikwa kabisa
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba kwa Sasa nifulu nje ndani utake usitake
Wakitua hawa wawili tutamsahau Chama
Hahahahaaaa
Hai hata kama akitua mmoja Simba inakua basiloona
Umeonaeeeee