AwuuTV || SIRI YA KUWA TAJIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Siyo vibaya kuwa tajiri! Ifahamu, kisha izingatie siri hii; nawe utaona matokeo makubwa (@AwuuTV _ Benevolence)

КОМЕНТАРІ • 21

  • @emmanuelsamsonMaboche
    @emmanuelsamsonMaboche 2 місяці тому

    Uko sahihi bro

  • @BarakaPaul-ey5sb
    @BarakaPaul-ey5sb 2 місяці тому

    Uko sahihi brother ubarikiwe sana Mungu awe pamoja nawe 🙏

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 4 місяці тому +2

    Uko vizuri

  • @Kelvislugu
    @Kelvislugu 4 місяці тому

    Hongera Kwa hii Kaz ulio iandaa

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo 3 місяці тому

    🎉Barikiwa sana

  • @LodifiaByanywelo
    @LodifiaByanywelo 2 місяці тому

    Mungu atusaidie

  • @Sanagu05
    @Sanagu05 3 місяці тому

    Ahsant sana

  • @cybercube9798
    @cybercube9798 2 місяці тому +1

    Kwa hiyo ww ushakua tajiri ..?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      AKIKIJIBU NAMBIE 😂😂😂😂😂

  • @Gesunte-mn3qn
    @Gesunte-mn3qn 3 місяці тому

    Amina Sana

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 місяці тому

    KUHUSU KUTOWA SADAKA NI SAWA KABISA LAKINI KUHUSU HIYO BAJETI YAKO HAIKUFANYI KUWA TAJIRI BRO

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo Місяць тому

      bila bajeti ata utoe sadaka huezi fanikiwa wew utakua unatoa pesa tu pasipo kuingiza😂😂tumia akili

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Місяць тому +1

      @@hassan-sarumbo HAYA WEKA HIYO BAJETI YAKO WEWE UNAETUMIA AKILI

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Місяць тому +1

      @@hassan-sarumbo M'MUNGU AMESEMA UKITOWA MOJA ANAKUPA 1 × 70 SASA SIJUWI KAMA UTAFILISIKA

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo Місяць тому

      @@salimmalaka256 jidanganye unaambiwa punguza kuamini sana kupitiliza utakua mjinga sio kila kitu ni kwenye maandiko unafuata utakua maskini unaambiwa jitafute ukipata ndio utoe sio utoe usubiri kupewa na mwenyez mungu

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo Місяць тому

      utajiri unayo siri nzito sana na hakuna mtu yoyote duniani anaye jua ni jinsi gani unakuja sas ukisha pata sasa ndo utoe sadaka ili pesa zako ziongezeke zaidi ya ulicho toa sjui kam umeelewa hapo🤣🤣