Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @Frosita
    @Frosita 23 дні тому +2

    This pastor yuko really sana..Mchungaji unaponya mioyo ya wengi Mungu azidi kukuinua kwa viwango.vya juu zaidi..sio.maya ya kwanza nasikia huu ushuhuda kinywani mwako.Yesu akutunze.

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 24 дні тому +6

    Nabarikiwaga wana na Shuhuda zilizohai,
    Mungu Akubariki Mchungaji

  • @mkdg.4skolo891
    @mkdg.4skolo891 21 день тому +16

    Baada ya hilo na mm ninashuhuda nilikuw niko na boda boda yngu nafanys kazi zangu as usual nilikuwa natoa sadka na fnu tena kila wiki.lakn huwezi amini nilipoanza kuona hela inanizidi nguvu kazi za uhakika nikajisahau kdgo sas wew unayesema sadaka haiongei angalia tukio langu .siku hiyo basi likanifata sehem 1hvi mkoa wa pwni na ghafla chombo kikaisha upepo nikaangukia pembeni zaidi nikavunjia sehemu ambayo ni kumbkumb hadi leo kwmba hii ni kwa sababu ya kutokutoa fungu la kumi na kutokujiungamanisha kikamilifu na madhabahu ya Mungu alyehai mana ningesaidika kama Mungu angeliakuwa na kitu nimemkabidhi juu ya ulinzi wangu ushukuriwe baba unatuweka kwnye mstari kikamilifu snaa

    • @SiaeliMeena
      @SiaeliMeena 21 день тому

      Umenifundisha kitu kikubwa sana , barikiwa

    • @dorothhokororo5301
      @dorothhokororo5301 15 днів тому

      Hakika namuona Mungu kupitia Mahubiri Yako Mungu nisaidie nivuke hapa nilipo nisonge mbele

  • @mkdg.4skolo891
    @mkdg.4skolo891 21 день тому +1

    Kuna mpumbavu mmoja asiyejua ibada kule juu kakoment ujinga wake lakni Bwana atamwonesha njia kwa nguvu.eti anasema hyo ni njia ya kuchochea watu watoe sadaka yaani nimemshangaa sna yeye mwnyew hko kwa ibada zake anatoa mikafara yao ya kila namna ambayo ni machkizo kwa Mungu sas sisi wapendwa kutiwa moyo kutoa sadaka kunatatizo gani kwa mifano hai kam hii.pastor kimaro ubarikiwe sana na Mungu azndi kupandisha juu zaidi tunazipokea sana shuhuda byako na zinatujenga sanaa

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 21 день тому +2

    HONGERA NA ASANTE KWA shuhuda nzuri na TAMU KULIKO ASALI

  • @Roggy2711
    @Roggy2711 23 дні тому +2

    Amen Amen Amen 🙌🙌ponya roho za wengi Baba!!

  • @MajidiMajidi-iz9vr
    @MajidiMajidi-iz9vr 22 дні тому +1

    Mchungaji kimaro mungu akubariki sana kwa mafundisho yako unaponya wenigi ndani ya mioyo iliyoumia

  • @yustardrwamgurwa
    @yustardrwamgurwa 3 дні тому

    Mimi nisteven Rwamgurwa nabii nashida nasmbuliwa nguvu za kiume pia na uchumisina maisha naomba unisaidie mimi niko dodoma

  • @unclesammykaniki1184
    @unclesammykaniki1184 9 днів тому

    Mchungaji kiongozi Mungu akubariki sana masomo yako mazuri yanafundisha vizuri.

  • @joynessmhalila226
    @joynessmhalila226 16 днів тому

    Mungu akutie nguvu, na akubariki snaa kwa mafundisho Mazur.

  • @user-tq8sf7sd1r
    @user-tq8sf7sd1r 10 днів тому

    Ubarikiwe mchungaj

  • @teresateresa6905
    @teresateresa6905 22 дні тому +2

    Napokea vitu vizur kwa kujifunza na kunikumbusha eeee Mungu nisaidie animalize nadhali nilio weka

  • @elizabethmkayula8770
    @elizabethmkayula8770 19 днів тому

    Nabarikiwa na shuhuda hizi

  • @erickasenga2594
    @erickasenga2594 23 дні тому +2

    Tunapata uponyaji wa nafsi kupitia mafundisho haya baba

  • @joynessmhalila226
    @joynessmhalila226 16 днів тому +1

    Nikweli kabisaa sadaka inanguvu Sana, ww usiye amin, ungejaribu kutoa sadaka uone nn Mungu anakifanya kwako,
    Hata Mungu amesema nijaribuni kwa kutoa dhabihu zenu,

  • @user-gg1hg3zy4f
    @user-gg1hg3zy4f 10 днів тому

    Mchungaji barikiwa sawa

  • @williamjumbe1988
    @williamjumbe1988 24 дні тому +5

    Pastor napenda mahubiri yako, mungu ananisaidia pia kupitia wewe, nakuomba niombee pia nipige hatua pia, unajua pastor kuna watoto wa mungu kila tunalofanya aliendi,
    Mpaka uwezi amini kuna kazi nyingi nisha pata lakini zote nakosana na mabosi nafukuzwa, mpaka ya mwisho mwisho nikaambiwa nitoe sadaka ya malimbuko lakini siku natoa
    Nikafukuzwa kazi uwezi amini siku hiyo hiyo
    Tuombee roho ya kibari

    • @williamjumbe1988
      @williamjumbe1988 24 дні тому +2

      Najua kulingana na status yenu nyie wachungaji wakubwa ni ngumu Sisi watu wa kawaida kupata nafasi ya kuongea na nyie hila naamini, ukisema kitu tu ntafunguliwa

  • @user-ig7uy5lt9k
    @user-ig7uy5lt9k 18 днів тому +1

    Sadaka sio kitu cha kumpima mungu lazima tujitambue wapendwa

    • @davidkamando9630
      @davidkamando9630 12 днів тому

      Kwani Mungu alimwambie Ibrahimu amtoe sadaka mwanawe wa pekee?

    • @user-ig7uy5lt9k
      @user-ig7uy5lt9k 12 днів тому

      @@davidkamando9630 kwanza lazima ujue ile sadaka ilikuwa inamfunua nani na nini mungu alikuwa anataka akioni kwa ibraimu

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 7 днів тому

    Sadaka ni kitu kingine aisee

  • @joycenganyule3231
    @joycenganyule3231 23 дні тому

    Sio mchungaji wa magumasi

  • @user-bh7nb2kn5o
    @user-bh7nb2kn5o 21 день тому

    Mkihaidi mbatizwee na na mengi mim nilisakehewa

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 22 дні тому

    Kwahiyo Mungu alisema huyo mtu kashambuliwa sababu hakutoa pesa? Mbinu za kuwatia watu hofu watoe pesa tu hamna lolote!

  • @MajidiMajidi-iz9vr
    @MajidiMajidi-iz9vr 22 дні тому

    Mchungaji kimaro mungu akubariki sana kwa mafundisho yako unaponya wenigi ndani ya mioyo iliyoumia