SIRI ZA KUPATA UTAJIRI WA MALI
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- Je, unataka kujua siri za kupata utajiri wa mali kwa njia halali na yenye baraka? Watu wengi hutamani kuwa na mafanikio ya kifedha lakini hawajui misingi sahihi ya kuyafanikisha. Katika video hii, tunajadili siri muhimu za kujenga utajiri wa mali kwa kutumia kanuni zinazothibitishwa kiroho na kimaisha.
Utagundua:
Misingi ya kifedha inayokupeleka kwenye utajiri
Jinsi ya kutumia vipaji na fursa zako kwa mafanikio
Umuhimu wa nidhamu ya fedha na uwekezaji sahihi
Namna ya kupata baraka za Mungu katika maisha yako ya kifedha
Usikose kujifunza mbinu hizi za mafanikio! SUBSCRIBE kwa mafundisho zaidi na SHARE ili wengine pia wanufaike.
#UtajiriWaMali #SiriZaMafanikio #NidhamuYaFedha #JengaUtajiri #BarakaZaMunguKifedha
Very powerful lesson . May God bless you pastor
Praise God Indeed..!
Askofu ministry yako inanibariki speaking as friends and brothers. Naiombea, ifike mbali sana, kazi kubwa unafanya kuwafikia watu wa Mungu kwa neno la tumaini.
Ninanyenyekezwa sana na ujumbe wako. Umenitia moyo sana, Asante Apostle. Mungu akubariki sana.🙏🏽
Amen..Am blessed🙏🙏
🙏🏽🙏🏽
Naomba unitumie hicho kitabu
Kp zebuu 0:44
Mungu akubariki sana, somo zuri sana
Asante, Amen Amen. 🙏🏽
EXC